PRINCE KATEGA: KUMBE BINADAMU HATUFARIKI HUWA TUNAACHA MWILI ..... WAAFRIKA TUJITAMBUE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ค. 2020
  • PRINCE KATEGA: KUMBE BINADAMU HATUFARIKI HUWA TUNAACHA MWILI ..... WAAFRIKA TUJITAMBUE
    Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE th-cam.com/users/Tricodskills...

    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / tricodmedia
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricod-skills-11524157...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodskills
    #PrinceKatega
    #Africa
    #kujitambua

ความคิดเห็น • 126

  • @owtisowtis4049
    @owtisowtis4049 3 ปีที่แล้ว +7

    Sijutii kabsa kukusikiliza mzee wangu... Namshukuru Mwalimu wangu the Great Sir TABARO KAIJAGE kunitambulisha kwako...

  • @salyungumabula5539
    @salyungumabula5539 3 ปีที่แล้ว +9

    Siku waafrika tulivochezewa, tutashangaa Siku tukiamka. Ukweli tunauona kama uongo na uongo kama ukweli. Babu zako ulio ishi nao wakifa wanaitwa mizimu na hautakiwi kuwakumbuka wala kuwasigelea, wao wakifa wanaitwa no watakatifu, lazima tujifikirie Waafrika tulipokosea. Until we are awake ndo tutayajua anayoyasema Prince Katega II. MUNGU wetu atuhurumie!!

  • @zubedarichard3238
    @zubedarichard3238 3 ปีที่แล้ว +7

    Asante sana nlienda kwa wachungaji wanasema niache mizimu nlikuw naumwa balaa lkn toka nimetambikia mambo yanaenda vzr

  • @allenjoelmassawe6810
    @allenjoelmassawe6810 4 ปีที่แล้ว +13

    Mzee mm naomba unifundishe jinsi ya kuongea na mizim ya babu zangu maana hatujui kubisa

  • @mrsun6886
    @mrsun6886 3 ปีที่แล้ว +6

    You're right Prince religion they call them angles but Africa we call them ancestors so mizimu ya mababu n.a. mabibi zetu ndio malaika wetu ambao dini zinaita malaika

  • @mbaryajunior2168
    @mbaryajunior2168 4 ปีที่แล้ว +3

    Kutoka duce tupo pamojaaaaaaaaa nakubali sanaaaa kazi zako

  • @isakabaragomwa296
    @isakabaragomwa296 3 ปีที่แล้ว +6

    Siku zote dawa inayo ponya lazima iwe chungu.
    Lakin kunywa Ni lazima kama tunataka kuishi.

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana mzee Wangu wewe ni zaidi ya Mwalimu!

  • @stevenmwaisunga5090
    @stevenmwaisunga5090 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana katega.

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera, tuko pamoja

  • @audaxminde5314
    @audaxminde5314 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa somo

  • @munirafarah9369
    @munirafarah9369 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera

  • @winfordmosha11
    @winfordmosha11 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante baba huwa nakuelewaga sana

  • @nelsonsalumuclovis753
    @nelsonsalumuclovis753 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana mzee wng

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa funzo,nimejifunza kitu hapo.

  • @anthonykamkolwe5766
    @anthonykamkolwe5766 4 ปีที่แล้ว +4

    Ukweli Mtupu......

  • @dailymatrixpurpose19siva
    @dailymatrixpurpose19siva 3 ปีที่แล้ว +2

    Its only Mamafrica baba juu si wote ni watoto wa Mungu sio Jesus peke ...i believe there are two greatest law which are responsible for humanity life on earth..THE LAW OF CAUSES AND EFFECTS WHICH KARMA AND THE LOW OF REBIRTH as you said REINCARNATION BABA and HUMAN BODY is a one of the amazing vehicle in universe transmute those law Sir Kageta...since I was born I always believe that we all have the spark of Nature or God which I call Soul inside of us which live forever in different forms by the power of its own minds

    • @mrsun6886
      @mrsun6886 3 ปีที่แล้ว

      You're right❤

  • @FAMILYKALEGERA
    @FAMILYKALEGERA ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa mafundisho haya yote.

  • @mbondoo1780
    @mbondoo1780 4 ปีที่แล้ว +2

    Prince katega uko sahihi kabsa lakin
    Kumbuka watu wanaprogram ambazo zimepandikizwa kwa miaka mingi nasio rahisi kuzitoa kwa wakat mmoja., Endelea kuuongea ukwel kwan UKWELI Utatuweka kua huru 💝💗💗💗💖💕🙅

  • @samniza1763
    @samniza1763 4 ปีที่แล้ว +4

    I am not sure about those mizimus, but Let's keep reading the original word of God.

    • @princebuganzilut2047
      @princebuganzilut2047 2 ปีที่แล้ว

      Which is the original God and which is not plse?? Advise plse

  • @dumasbajun0012
    @dumasbajun0012 ปีที่แล้ว

    Shukran 🙏🏿

  • @jonathanpaul4784
    @jonathanpaul4784 4 ปีที่แล้ว +4

    Kuna watu wanaamin kuwa mussa na elia pale walipo mtokea yesu kwamba wale ni watakatifu .kutokana na mafundisho tunayo fundishwa katika imani zetu kuwa ..muafrika akifariki ni amefariki tu na anakuwa mzimu ila wazungu wao wanajua nguvu ya mizimu ndio maana wao mwenzao akifa wanamuita mtakatifu ndio ujiulize mpaka leo hakuna mtakatifu muafrika ni wazungu tu

  • @nackeltayiai9330
    @nackeltayiai9330 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa masomo hii

  • @nasrihamisi8569
    @nasrihamisi8569 4 ปีที่แล้ว +2

    Tufundishe baba uzungu unatupoteza Sana nahawata tuambia ukweli.

  • @samweljoab5109
    @samweljoab5109 3 ปีที่แล้ว +2

    Good

  • @sahalexcha3036
    @sahalexcha3036 4 ปีที่แล้ว +4

    *_Anaposema kilichotokea kwa Mh Benjamin William mkapa kwanni mnatoa hiyo saut acheni zenu_*

  • @thomasnachenga795
    @thomasnachenga795 4 ปีที่แล้ว +1

    Pure truth 100%...ukiskia maarifa ndio haya...USIANGAMIE MUAFRIKA.

  • @fredichaki4868
    @fredichaki4868 3 ปีที่แล้ว +2

    Prince katega wa pili Nina muelewa Sana uwa

  • @kabilazunda2791
    @kabilazunda2791 3 ปีที่แล้ว +3

    Tufundishe jinsi ya kuwasiliana na mizimu

  • @mgala0782
    @mgala0782 4 ปีที่แล้ว +5

    Ukweli ni kua nadharia ya kifo haipo binadamu hafii ukiangalia angani jua lipo, mwezi upo , nyota zipo , binadamu hafii

    • @hamisimtemi3803
      @hamisimtemi3803 3 ปีที่แล้ว +1

      kuwepo kwa nyota, jua na mwez kunahusianaje na kufa kwako had useme hufi

    • @fransgold7515
      @fransgold7515 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @JKGJICHOMAKINIONLINE
      @JKGJICHOMAKINIONLINE ปีที่แล้ว

      @@hamisimtemi3803 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jorammwakatobe9579
    @jorammwakatobe9579 4 ปีที่แล้ว +3

    Nifundishe niongee na baba zangu

  • @allenjoelmassawe6810
    @allenjoelmassawe6810 4 ปีที่แล้ว +3

    Ila ndugu unavyo weka mambo hadharani ivi ina maana hawa jamaa hawata kufanyia njama zizote ndugu maana ukweli siku zote sio rahis kuujua kirahis na ukijua lazima utapata kipangamizi

  • @hamisiramadhani8661
    @hamisiramadhani8661 4 ปีที่แล้ว +2

    Nikweli kabisa

  • @manakamuhammad6936
    @manakamuhammad6936 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimesikia katika history yako kutoka colobalt TV Tanzanian ndio nimeamua kukufua.

  • @zainabukombo411
    @zainabukombo411 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kbs baba

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko sahihi muheshimiwa katega

  • @ethankihoro216
    @ethankihoro216 3 ปีที่แล้ว

    Iwe kweli ama urongo me sijui lakini najua kile binadamu anaanzisha huisha baada ya miaka kidogo na kupitea kabisa lakini kile mungu alianzisha hakiishi kitadumu milele ....from 254

  • @elizakeleme73
    @elizakeleme73 3 ปีที่แล้ว +2

    Nifundishe mimi njinsi yakuongea na babu nzangu

  • @barakamaingu9858
    @barakamaingu9858 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana Prince, ila nina maswali machache ya kukuuliza

  • @Landosofficial10
    @Landosofficial10 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwalimu nakupataje

  • @DavidNdara
    @DavidNdara 4 ปีที่แล้ว +3

    If a lie can destroy such a strong truth, it means the lie is stronger than the truth...Mr. Prince, any idea in the power behind that lie, whats its secret. Maybe we should disseminate the lie

  • @jonathanpaul4784
    @jonathanpaul4784 4 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nmekuelew ila bado kuna watu majuha watakupinga

  • @mbaryajunior2168
    @mbaryajunior2168 4 ปีที่แล้ว +6

    Wakwanza kucomment weka hapa comments zote za katega

  • @Child0fStarSon0fSun
    @Child0fStarSon0fSun ปีที่แล้ว

    1:54 right out of either

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk หลายเดือนก่อน

    ❣️🇹🇿👏

  • @nackeltayiai9330
    @nackeltayiai9330 3 ปีที่แล้ว +3

    Sisi ndio watoto was Israeli...watoto wa mungu

  • @sahalexcha3036
    @sahalexcha3036 4 ปีที่แล้ว +2

    _KUKUBALI SANA KATEGA_ ila tu bado sijapata kitabu Chako naomba nijue nakipataje

  • @edwardochieng7962
    @edwardochieng7962 3 ปีที่แล้ว

    Nashikuru sana prince...lakini eliya wala hakufa.

  • @mansourmakame355
    @mansourmakame355 3 ปีที่แล้ว +2

    Tusiposoma kur an tutapotezwa sana na watu wa aina hii, na kuna tatizokubwa litatokea pindi watoto wetu watakapoacha kusoma kur an

  • @justinemashine4292
    @justinemashine4292 2 ปีที่แล้ว

    prince katega
    BABA WA FIKRA

  • @edmundkalonga6461
    @edmundkalonga6461 2 หลายเดือนก่อน

    Hatuwezi kuamka kwa sasa mpaka. Kila mmoja akubali lakini kwa wengi waliopo sasa na kwakuwa hawapendi kuamini na kuaminiana sisi kwa sisi wazungu wamefanya jambo sana kwamba sisi tusiaminiane tuwaamini wao hapo ndio wametuweza sana

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 3 ปีที่แล้ว +1

    Unsyuka 😄😄😄🤸🤸🤸

  • @barakamateru7615
    @barakamateru7615 3 ปีที่แล้ว

    Mzee unjaua tatizo uhaya mwingi sana unajisifia fisia kila saa nenda kweenyee point

  • @shemodero8886
    @shemodero8886 ปีที่แล้ว

    Kama tunarudi, kwanini population inaongezeka zaidi . Nina mona kwamba wengine watoka wopi?

  • @audaxminde5314
    @audaxminde5314 4 ปีที่แล้ว +2

    Hebu niandikie hilo neno

  • @allironjo2698
    @allironjo2698 3 ปีที่แล้ว

    Elimu ikzidi sana inakua ujinga

  • @stanobwago9991
    @stanobwago9991 3 ปีที่แล้ว

    Jaman, mie biblia yangu yote inaniambia Eliya alipaa mbinguni na gari la moto huku elisha akimuangalia, sasa huyo aliekufa ni yupi labda

  • @alfanboman5455
    @alfanboman5455 ปีที่แล้ว

    Saf San mzee wgu

  • @innocentmallya6728
    @innocentmallya6728 2 ปีที่แล้ว

    Wa wa wa katega waa tunakupenda mfalme

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople992 5 หลายเดือนก่อน

    Umeludi Mala ngapi Dunia

  • @shemodero8886
    @shemodero8886 ปีที่แล้ว

    Tunaka wapi tukishawacha mwmili??

  • @manakamuhammad6936
    @manakamuhammad6936 3 ปีที่แล้ว +2

    NifutAlia kabisa

  • @ErickNduwimana-tp9gb
    @ErickNduwimana-tp9gb 2 หลายเดือนก่อน

    Nakuwunga Mukono

  • @PauloMaona-in4qh
    @PauloMaona-in4qh 10 หลายเดือนก่อน

    ufufuo upo

  • @user-wu7sy6dp2o
    @user-wu7sy6dp2o หลายเดือนก่อน

    Unawasema wazungu akati %80 unaongea kingeleza unafki uo mbona mbarikiwa aongeagi kingeleza kingi ivo

  • @chiragiabel
    @chiragiabel 4 ปีที่แล้ว +4

    This is Satan's great deception, "Natural immortality of the soul" Satan said, ye shall not surely die. Now its just the matter of choice, to trust what God said or what Satan lied.
    But of the tree of the knowledge of good and evil, thou shalt not eat of it: for in the day that thou eatest thereof thou shalt surely die.
    Genesis:2:17
    KWELI ITABAKI KUWA KWELI TU😊

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว +2

      Kwaivo Mungu hakutaka tujue good and bad alitaka tuwe midoli wa mbinguni forever?

    • @nelsonsalumuclovis753
      @nelsonsalumuclovis753 4 ปีที่แล้ว

      K😃

    • @nelsonsalumuclovis753
      @nelsonsalumuclovis753 4 ปีที่แล้ว

      😃

    • @zachariahexegesists7892
      @zachariahexegesists7892 3 ปีที่แล้ว

      you are not the body that takes you to churches or mosques

    • @chiragiabel
      @chiragiabel 3 ปีที่แล้ว +1

      @@BigZhumbe Wewe unamchukuliaje huyu Mungu?
      Canst thou by searching find out God? canst thou find out the Almighty unto perfection? It is as high as heaven; what canst thou do? deeper than hell; what canst thou know? The measure thereof is longer than the earth, and broader than the sea. If he cut off, and shut up, or gather together, then who can hinder him? For he knoweth vain men: he seeth wickedness also; will he not then consider it?
      Job:11:7-11
      MY FRIEND, MUNGU HACHUNGUZIKI. HATA ANGETAKA TUBAKI MIDOLI FOREVER, ANABAKI KUWA MUNGU TU.

  • @ptv7577
    @ptv7577 2 ปีที่แล้ว

    Rencalate of bodies

  • @ubempiretz1625
    @ubempiretz1625 3 ปีที่แล้ว

    Mh

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 3 ปีที่แล้ว

    Kuna MWILI na ROHO. hata YOGI kama Sadhguru anasema sana hilo.
    Ndio maana kwa wakristo husema Yesu ni Mungu

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko2480 2 ปีที่แล้ว

    Mie ni mgogo tunawaita milungu mzimu

  • @rajabujuma4976
    @rajabujuma4976 4 ปีที่แล้ว +2

    Usipingane na maandiko kwa kujificha kwenye kivuli cha uzalendo wa kiafrica na upotoshaji wa haoo walio potosha bali hebu jaribu kuutafuta ukweli ukiupata ndo uwaeleze watu hivi" unaonaje utakapo wafundisha watu kua hawato fufuliwa alafu wakajikuta wanafufuliwa kiurahisi tuu"! Umewahi kujiuliza hali itakuaje kwako wewe kama mkufunzi pamoja na wale ulowafundisha wakakuamini!??

    • @ezekielmartin5675
      @ezekielmartin5675 4 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa hajielewi kabisa.

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว

      Dunia ina dini 4300 dini zote hazielezi kuhusu ufufuo sauti ya wengi ndio sauti ya Mungu

    • @rajabujuma4976
      @rajabujuma4976 4 ปีที่แล้ว +1

      @@BigZhumbe lau dunia nzima ikakubaliana katika jambo lisilo la kweli, na yakatupiliwa mbali maoni ya mtu mmoja mwenye haki, kukubaliana kwa watu wote duniani, hakufanyi ukweli kua uongo ukweli utabaki kua ukweli na uongo utabaki kua uongo

    • @hamisiramadhani8661
      @hamisiramadhani8661 4 ปีที่แล้ว +1

      Hiviovitabu kaandika nani kamasio binadam. Tena vimehaliliwa kwa 320 chiniya yamzungu mtoto waarekizanda wapili. kaisali

    • @imbatokamoyoni2209
      @imbatokamoyoni2209 4 ปีที่แล้ว

      @@ezekielmartin5675 ukiwa wewe mwenye kujielewa toa maoni yako,watu WAJIFUNZE Kujifunza sio dhambi dhambi Ni kuamini kitu bila kujua aliyekuletea,alikuwa na Nia gani na wewe..fikiria nje ya box

  • @Kibonge1
    @Kibonge1 4 หลายเดือนก่อน

    Nilichelewa kuguskiza
    Lakini nakubaliana na wewe

  • @mohamedmmubullah1147
    @mohamedmmubullah1147 2 หลายเดือนก่อน

    Vema

  • @alikarisa
    @alikarisa 3 ปีที่แล้ว

    Unapotosha watu. Kwahiyo wanaokufa wameumbwa Na Nani?

  • @selemanimandindi9194
    @selemanimandindi9194 3 ปีที่แล้ว

    Mzee minimekuelewa ila kuna baadhi ya vijana hawaelewi kabisa ndio kwanza wa nakuambia unavuta bangi

  • @imbatokamoyoni2209
    @imbatokamoyoni2209 4 ปีที่แล้ว +2

    Kidogo nina Shaka na "reincarnation"
    Kwanini Ni baadhi ya watu.. kwanini sio sisi sote

  • @SasukeKasongo
    @SasukeKasongo หลายเดือนก่อน

    upuuzi mutupu

  • @ezekielmartin5675
    @ezekielmartin5675 4 ปีที่แล้ว

    Acha bangi

  • @ezekielmartin5675
    @ezekielmartin5675 4 ปีที่แล้ว

    Wewe acha kupotosha wakristo, Wapi Yesu aliletewa mizimu?

    • @estherbandari7688
      @estherbandari7688 4 ปีที่แล้ว

      Google transfiguration of jesus utaelewa anachoongea

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว

      Kwani mzimu ni nini kwa mtazamo wako?

    • @ezekielmartin5675
      @ezekielmartin5675 4 ปีที่แล้ว

      @@BigZhumbe soma bible usidanganywe naporojo za hekima ya kidunia🤣🤣🤣
      Wakolosai 2:1-15,17-23
      [1]Maana nataka ninyi mjue jinsi ilivyo kuu juhudi yangu niliyo nayo kwa ajili yenu, na kwa ajili ya wale wa Laodikia, na wale wasioniona uso wangu katika mwili;
      [2]ili wafarijiwe mioyo yao, wakiunganishwa katika upendo, wakapate utajiri wote wa kufahamu kwa hakika, wapate kujua kabisa siri ya Mungu, yaani, Kristo;
      [3]ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika.
      [4]Nasema neno hili, mtu asije akawadanganya kwa maneno ya kuwashawishi.
      [5]Maana nijapokuwa sipo kwa mwili, lakini nipo pamoja nanyi kwa roho, nikifurahi na kuuona utaratibu wenu na uthabiti wa imani yenu katika Kristo.
      [6]Basi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, enendeni vivyo hivyo katika yeye;
      [7]wenye shina na wenye kujengwa katika yeye; mmefanywa imara kwa imani, kama mlivyofundishwa; mkizidi kutoa shukrani.
      [8]Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo.
      [9]Maana katika yeye unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa jinsi ya kimwili.
      [10]Na ninyi mmetimilika katika yeye aliye kichwa cha enzi yote na mamlaka.
      [11]Katika yeye mmetahiriwa kwa tohara isiyofanyika kwa mikono, kwa kuuvua mwili wa nyama, kwa tohara ya Kristo.
      [12]Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua katika wafu.
      [13]Na ninyi mlipokuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kutokutahiriwa kwa mwili wenu, aliwafanya hai pamoja naye, akiisha kutusamehe makosa yote;
      [14]akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akaiondoa isiwepo tena, akaigongomea msalabani;
      [15]akiisha kuzivua enzi na mamlaka, na kuzifanya kuwa mkogo kwa ujasiri, akizishangilia katika msalaba huo.
      [17]mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
      [18]Mtu asiwanyang’anye thawabu yenu, kwa kunyenyekea kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na kuabudu malaika, akijitia katika maono yake na kujivuna bure, kwa akili zake za kimwili;
      [19]wala hakishiki Kichwa, ambacho kwa yeye mwili wote ukiruzukiwa na kuungamanishwa kwa viungo na mishipa, hukua kwa maongeo yatokayo kwa Mungu.
      [20]Basi ikiwa mlikufa pamoja na Kristo mkayaacha yale mafundisho ya awali ya ulimwengu, kwa nini kujitia chini ya amri, kama wenye kuishi duniani,
      [21]Msishike, msionje, msiguse;
      [22](mambo hayo yote huharibika wakati wa kutumiwa); hali mkifuata maagizo na mafundisho ya wanadamu?
      [23]Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว +2

      @@ezekielmartin5675 Hio biblia ilikua wapi wakati wa slavery na ilimsaidia vipi muafrica?

    • @digoyaguitarally2790
      @digoyaguitarally2790 3 ปีที่แล้ว

      Aisee kuna vitu vingine muelewa mjitambue nyie

  • @ezekielmartin5675
    @ezekielmartin5675 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe huwez kukomboa fikra za mtu