SEHEMU YA KWANZA: "HAKUNA KIFO!DINI NI NZURI ILA WAMEINGIZA UKOLONI":KATEGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 มิ.ย. 2020
  • Mchambuzi Wa siasa na uchumi wa afrika Prince Katega Amefanya Mahojiano maalum na Global tv na kufafanua mambo mbalimbali kuhusu ukiloni
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 172

  • @faridamkesso97
    @faridamkesso97 4 ปีที่แล้ว +8

    Asante kwa Elimu Prince Katega, Waafrika lazma tuamke na tujivunie Uafrika wetu

  • @frankthadeo9167
    @frankthadeo9167 4 ปีที่แล้ว +6

    Ukarimu ulitupoza sana, ndiomaana wakatuandikia historia badala ya tujiandikie wenyewe, wametutenga kwa udini. Watu wanapigana kwny midaharo kuwatetea wazungu na waharabu alafu unaambiwa hiyo ndio imani, nahs Mungu anatushangaa sana.

  • @fiziparadise7808
    @fiziparadise7808 4 ปีที่แล้ว +7

    Well said sir. We must emancipate ourselves from spiritual, mental and economic slavery in order to progress and prosper. Respect from Congo🇨🇩🙏🏾

  • @j.munenekingdom28
    @j.munenekingdom28 4 ปีที่แล้ว +3

    Ashante mwalimu salute you from Kenya.

  • @ummesaniyah
    @ummesaniyah 4 ปีที่แล้ว +9

    Akili na uwezo wa kufanya mambo unatoka kwa mwenyezi Mungu.. Shuleni hufundishwi akili, unafundishwa ujuzi.. Tunafikiri kuwa na vyeti ndio ujuzi na akili.. Sivyo... 🤔 True.

  • @sportskijiwe781
    @sportskijiwe781 4 ปีที่แล้ว +10

    Anahitaji muda mwingi kumsikiliza huyu mzeee time ni ndogo mpeni muda mwingi

  • @joventjohansenmushwaimi1988
    @joventjohansenmushwaimi1988 4 ปีที่แล้ว +3

    Prince Katega wape somo ndg yangu

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 4 ปีที่แล้ว +8

    Mnatukosea sana kumpa nusu saa apewe kipindi cha historia topic kwa topic kila anachoongelea anashindwa kuchambua hadi mwisho 🥵

  • @hassanhamudy6639
    @hassanhamudy6639 3 ปีที่แล้ว +1

    Global andaeni makala maalumu kwaajili ya mwalimu haswa kwakila point alioigusia aizungumzie vizuri tupate kuelimika zaidi.....nimawazo yangu tuu ahsante 🙏🙏🙏🙏

  • @EastCoasTGorilla90
    @EastCoasTGorilla90 4 ปีที่แล้ว +9

    Mzungu Leo amekua mungu.. Kwakua tumempa nguvu.. Tuamke waafrika!!!

  • @kidongojoseph
    @kidongojoseph 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja sana prince katega kenya nakufatilia sana na nmeanza huduna ya ukombozi wa FIKRA

    • @SangaliPower
      @SangaliPower 12 วันที่ผ่านมา

      Karibu sana

  • @jafariheda7280
    @jafariheda7280 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani mzee wetu kwa kutufumbua akili na pia mungu waga huleta mtu wake kwa wakati sahihi nimependa Sana na pia naungana nawewe mzee wangu ila pia ushauri wangu kwako anda program vyuoni na pia mashuleni ili kujenga vijana na pia vipindi mitandaoni ili wenye mitandao za kijamii tushiriki kwenye kipindi chako

  • @7191cany
    @7191cany ปีที่แล้ว +2

    Anaongea mambo mengi mazuri sana, binafsi nakubaliana nayo. Kuna mambo machache nayaona anatamka kama mzaha fulani hivi, kwa sababu hata katika kujadili kwake hayawekei msisitizo, yaani si mambo ambayo ni kiini cha hoja yake. Sasa tahadhari ni kwamba, mara nyingine mambo yanatamkwa "by the way" wakati mwingine ndiyo hasa huwa yamekusudiwa kubeba maana. Yaani lengo la msemaji linakuwa limejificha kwenye mjadala ambao msemaji anakuwa anatumia muda na maarifa mengi kuuwasilisilisha lakini ndani yake akichomekea vimaneno ambavyo wasikilizaji wanaweza wasivitilie maanani. Ukweli ni kwamba neno lolote linalosemwa, hata kama hukulisikia, lazima lina athari, zinaweza kuwa chanya au hasi. Ushauri wangu ni kwamba, hata kama msemaji yeye binafsi hana nia yoyote katika baadhi ya maneno ya "kuchomekea" tusipuuze maneno hayo. Pamoja na kuunga mkono hoja ya msemaji, tusiache kutenganisha nafaka na magugu ili tusije kuhifadhi ghalani sumu ambazo ziweza kuharibu kila kitu hata kuleta mauti.

  • @shabanimhando1164
    @shabanimhando1164 4 ปีที่แล้ว +2

    kweli kabisa

  • @chillaxybeatz4273
    @chillaxybeatz4273 3 ปีที่แล้ว +3

    Very critical

  • @kidongetz8184
    @kidongetz8184 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa ana akili sana

  • @annewachira4317
    @annewachira4317 3 ปีที่แล้ว

    Asante Sana!

  • @biblenakoranmatuhuhu9904
    @biblenakoranmatuhuhu9904 3 ปีที่แล้ว +2

    Pia kuna ujaki katika mwaka wa 2046 yote yatukuwa wazi ,watamjua Mungu huyo wa kale jina lake Enkai ,tumeishi kumuangalia angani ila ni kwingine.
    The Lord of Waters and dwells in the fresh waters and the trees

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 3 ปีที่แล้ว

    Dini siyo nzuri na siyo mpango wa Mungu. Dini ni upagani kama upagani mwingine ila kumcha Yesu ndyo jambo la msingi

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro 3 ปีที่แล้ว +3

    🤣😂🤣😂 i love this......i hate mzungu zaidi

  • @nicksonnovart5788
    @nicksonnovart5788 4 ปีที่แล้ว +1

    True

  • @robertmbisorg8867
    @robertmbisorg8867 3 ปีที่แล้ว

    Kabisa mu afrika tufunguwe fikra na tutashinda muzungu. Ye tujuwe muzungu siyo mungu. Tukikua na mausiliano na afrika yetu tutakua strong sana.

    • @mbenjeramalinjanga1972
      @mbenjeramalinjanga1972 3 ปีที่แล้ว

      Makufuri raisi lakini sio laisitu wewe nikingi nimfalume naomba nakama ningekua na uwezo binge kula misha usije ukasema ukimaliza muda atoka madalakani wewe uwezi kutoka adi pale mungu atapo kuchukua nakama utatoka utuaidi kama kunamtu unaweza kumuona wewe anafanana nawewe MPE na atopo Fanya mabaya uwetayali kuyapokea

  • @peterbillas9131
    @peterbillas9131 3 ปีที่แล้ว +2

    Kweli mzungu kaja jana

  • @malegesibwire4978
    @malegesibwire4978 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mtafutieni muda mrefu sio wa Nusu saa huyu ana vitu vingi sana 😁😁😁😁

    • @pascalgiyam9476
      @pascalgiyam9476 3 ปีที่แล้ว

      Asipewe muda hata naomba mwenyezi mungu amwangamize haraka asije akakufurisha watu wengi

    • @uzungupoint
      @uzungupoint 2 ปีที่แล้ว

      @@pascalgiyam9476 Huna AKILI wewe.

  • @totoozebingwa4076
    @totoozebingwa4076 3 ปีที่แล้ว

    Salute brother

  • @rajabuomary1628
    @rajabuomary1628 3 ปีที่แล้ว

    Fact

  • @emmanuelnhumba2958
    @emmanuelnhumba2958 3 ปีที่แล้ว +1

    Nani anasikiliza leo tarehe 12 March Wakati habari za uvumi wa Mshua kuwa hayupo anaumwa zikizidi kuvuma na kuzimwa na watawala bila jibu maalum? Where is this Indigo Child?

  • @bensonmaina666
    @bensonmaina666 2 ปีที่แล้ว

    Kazi safi Mwalimu.

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 ปีที่แล้ว

    Nimekupata Baba 👊👊

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 4 ปีที่แล้ว +10

    Ukweri unauma. Tukiamka wazungu wamekwisha

  • @peterbillas9131
    @peterbillas9131 3 ปีที่แล้ว +1

    Swala la udongo umechemsha sayansi inawakilisha we made from star dust...

  • @ogindiii1465
    @ogindiii1465 3 ปีที่แล้ว +1

    Kenya tuko na fuvu la 1.4million years ago
    Trukana boy

  • @totoozebingwa4076
    @totoozebingwa4076 3 ปีที่แล้ว

    Prince KATEGA II.

  • @prosperulungi7517
    @prosperulungi7517 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa angetafutiwa kipindi hata TBC maana anaongea point Sana

    • @misifaskills745
      @misifaskills745 7 หลายเดือนก่อน

      Tbc aangalie na kusikiliza nani??

  • @diamondkamugisha6672
    @diamondkamugisha6672 4 ปีที่แล้ว

    Mm

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni hazina kubwa sana usikae karibu na mapadre wanaweza kukudhuru unasema ukweli mtupu na usahihi mkubwa

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว +1

    Elimu ya chaki na elimu ya dini kunautafaut mkubwa sana .kikawaida hata mteja au mwiz yeye anajiona anafanya ndivyo hana kosa lakini machoni mwa watu wengine wanawaona .wana makosa wanafanya . Sawa na huyo jamaa

  • @user-qn8if4ek9f
    @user-qn8if4ek9f 6 หลายเดือนก่อน

    NADHANI SASA NI MUDA WANGU WA KUINGIA JESHINI. 🇹🇿🔱 19:33

  • @duhhuskie2698
    @duhhuskie2698 2 ปีที่แล้ว

    Part 2 iko wapi?

  • @yusuphpetro2639
    @yusuphpetro2639 3 ปีที่แล้ว

    Nifundishe nielewe zaidi

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว

    Uislamu sio jina Uislamu ni kukili kwa imaan moyoni kuwa hapana Mola wa haki apasae kuabudiwa ila Mungu mmoja (Allah), kujisalimisha/kunyenyekea kwa Mungu mmoja tu na kufuata maamrisho ya Mola Muumba.
    Uislam haukija kuondoa mila/tamaduni nzuri ktk jamii bali Uislamu umekuja kuendeleza/kukazia mila/tamaduni nzuri anazoziridhia Mungu Mola Muumba.
    Yapo majina yenye tafsiri/maana nzuri Uislam hauyapingi/hauyakatai.
    Mungu Mola Muumba (Allah) ni mzuri, ametakasika na kila sifa chafu/mbaya na anapenda/anaridhia mambo mazuri.
    Hivyo Mungu Mola Muumba (Allah) anataka/anafurahi/anapenda tuitane majina mazuri na tutende matendo madhuri anayoyaridhia.
    Maana ya Muhammad ni mtukuka/msifiwa/mwenye sifa nzuri. Hivyo hata kama ni jina lililotokana na kabila la Kiarabu bado linampendeza Mungu ,Uislam na kwa Waislam sababu sifa za Muhammad zinaendana na tafsiri/maana ya jina lake.
    Kinachoonekana unataka kuturejesha ktk imaan za kipagani/ukafiri (Ushirikina) baada ya kukosa hoja zenye mashiko kuhusu uwepo

    • @eliakimjoakim7393
      @eliakimjoakim7393 2 ปีที่แล้ว +1

      Shida ni ilo jina la allah,wewe kwa kabila lako Mungu ana jina basi muite kwa jina la kabila lako mzee,ukoloni wa dini umetutafuna sana ngozi nyeusi😭😭😭

    • @nabiimgongolwa8728
      @nabiimgongolwa8728 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga kwani waafrika hatukumjua Mungu mpaka tupewe jina kiarabu Allah?

  • @user-rv5qn2jy5c
    @user-rv5qn2jy5c 4 หลายเดือนก่อน

    Sawa sasa tufanyaje ili tujue kazi yetu haswa mimi

  • @peterbillas9131
    @peterbillas9131 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania it wasn't made in Germany tanganyika was

  • @mbenjeramalinjanga1972
    @mbenjeramalinjanga1972 3 ปีที่แล้ว

    Yani Mimi nimekuelewa sana

  • @piusmatei51
    @piusmatei51 2 ปีที่แล้ว

    Motorcycle

  • @fransgold7515
    @fransgold7515 3 ปีที่แล้ว

    Mzee bana kaambiwa kutambikia no Mambo ya kizamani mzee naye kasema at ahaa Mambo yakizaman ndioyo ya mungu at Kwan mungu siniwazaman Nani kwelil kwan mungu sini mdanamda

  • @shenellebennett7038
    @shenellebennett7038 ปีที่แล้ว

    Yaani mungu a najua huku Kuna waarabu, wazungu huku wa Africa huku, wachina huku, afu aende waambia waarabu chukueni maneno haya mkipata meli muende mkaawaambie wa Africa, 🤣🤣🤣🤣 dah hili nalo pigo la kitaifa Aisee

  • @anoldprosper3923
    @anoldprosper3923 4 ปีที่แล้ว

    Dah braza we achatu uniniguza sana

  • @aminakm2009
    @aminakm2009 3 ปีที่แล้ว +1

    Docteur Bombe Magufuli uyo ni chuma kabisa ,natur, kabisa mm hata nitolewe usingizini nnamkuba 👌🏾

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 3 ปีที่แล้ว

      jifunze kuandika fala we

    • @aminakm2009
      @aminakm2009 3 ปีที่แล้ว

      @@bennymochiwa4800 we njoumeniandikiya fala mama yako

    • @swaumukulachi8289
      @swaumukulachi8289 3 ปีที่แล้ว

      Achen kutukanana niii mda wa kuijenga afrca

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 3 ปีที่แล้ว

    👍🏿❤️

  • @nasirpoppa4113
    @nasirpoppa4113 4 ปีที่แล้ว

    👊👊👊

  • @chusecurrents4324
    @chusecurrents4324 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelew

    • @OmanOman-gp7xm
      @OmanOman-gp7xm 4 ปีที่แล้ว

      Nalay langu jina ukweli mtupu atawale miaka mia magufuli

  • @reubendaud8198
    @reubendaud8198 3 ปีที่แล้ว

    Navo wasikia wazungu napandwa na hasira ,wanadhalau Sana hawa

  • @potiyowatz836
    @potiyowatz836 3 ปีที่แล้ว

    Nguvu ya mzungu ni pesa na elimu.

  • @peterraymwasha2362
    @peterraymwasha2362 4 ปีที่แล้ว +2

    Ufahamu wa Mwalimu Katega ni kiboko

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 4 ปีที่แล้ว +1

    Katega anasali dhehebu gani? Sipati picha anahudhuriaje ibada na elimu hiyo kubwa

    • @joventjohansenmushwaimi1988
      @joventjohansenmushwaimi1988 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyo haabudu ktk Dini hizi zenu ana mengi sana kama unataka kuyajua mengi nikuunganishe nae kwenye group

    • @charlesngassa3673
      @charlesngassa3673 3 ปีที่แล้ว +2

      Zehebu zililetwa na mzungu. Dini zipo toka enzi hizo hapo alipo ni kanisani mbona unamwelewa adi aingie kwenye majumba ya kizungu ndyo uamin anasal?

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy1979 3 ปีที่แล้ว

    Mengine kweli lakini kuhusu dini upo wrong

    • @issajhma1005
      @issajhma1005 3 ปีที่แล้ว +1

      Dini mbili zote ni za kigeni kaka

    • @abdulrazakhassanor498
      @abdulrazakhassanor498 3 ปีที่แล้ว

      @@issajhma1005 nn Maana ya dini?

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      @@abdulrazakhassanor498 Dini ni utamaduni wa watu fulani kumuabudu mungu wao na mfumo mzima wa maisha yao hiyo ndio dini

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu Kuja ufundishe Kenya ...kuna wajinga wengi Sana hapa...

    • @dennismotari1657
      @dennismotari1657 3 ปีที่แล้ว

      Sana tena sana kama sisi wakenya

    • @swaumukulachi8289
      @swaumukulachi8289 3 ปีที่แล้ว

      Tatzo lugha yenu ya taifa ni kingereza ndomanaaaa

  • @immasanga5713
    @immasanga5713 4 ปีที่แล้ว +5

    Hyu mzee ana akili nyingi sana

    • @pascalgiyam9476
      @pascalgiyam9476 3 ปีที่แล้ว

      Hana hata kidogo, mtu gani anachekacheka hovyo

    • @msamimustapha1870
      @msamimustapha1870 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pascalgiyam9476 kuchekacheka Ndo Hana kili we Ni zoba jifikilie

    • @suzanaagustinookelo4953
      @suzanaagustinookelo4953 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pascalgiyam9476 mjinga wewee huna hakiliii

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

    🤔👍👍👌👌👌👌🙌🙌🙌👏👏👏👏

  • @reubendaud8198
    @reubendaud8198 3 ปีที่แล้ว

    Wew mzee ninapokusikiliza machozi nanilenga kwa uchungu

  • @salmamrembo4360
    @salmamrembo4360 3 ปีที่แล้ว +1

    Miaka 40 ya magufuli

  • @islamyahaya
    @islamyahaya 3 ปีที่แล้ว

    Kweli huyu msomi ama mbabaishaji. Kweli mbona hana logic

    • @receptionwsv3298
      @receptionwsv3298 5 หลายเดือนก่อน

      Siyo msomi kwasababu kataja Utumwa wa dini

  • @fransgold7515
    @fransgold7515 3 ปีที่แล้ว

    Pendasan mzee😂

  • @mahamudaideed6922
    @mahamudaideed6922 3 ปีที่แล้ว

    Kama sio udongo tumeumbwa na nini

  • @abdulabass5808
    @abdulabass5808 4 ปีที่แล้ว +2

    Una upagani ulioficha kwenye naturalist, ukweli binaadam asili yake ni udongo ,vitu tunavyokula asili yake udongo vipi sisi tusiwe udongo,ukifa unaenda kwenye udongo kuonyesha ndio asili yako, kubwa zaidi alieumba dunia na vilivyomo vyote amesema binaadam ni udongo,so you think twice you think wrong.

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +1

      Mie najua mbegu za mama na baba zikikutana ndio zinatunga mtoto. Sijawahi ona binadamu katoka mavumbini Ila najua tukifa tunarudi mavumbini. Sasa akili hizo changanya na zako utapata ukweli

    • @lughanojohn4211
      @lughanojohn4211 3 ปีที่แล้ว

      Wewe aliyekwambia binadamu ni udongo ni naniii? Mbona haujitambui wewe kuku wakisasa unayekuwa kwa wiki tena kwa pumba nyingi madawa,chanjo kibao na mabandani taa kama zotee?

    • @digoyaguitarally2790
      @digoyaguitarally2790 3 ปีที่แล้ว

      We tofautisha udongo na roho

    • @davidchosen3831
      @davidchosen3831 3 ปีที่แล้ว

      La hasa binadamu asilimia 75 ni maji sio udongo .Asilimia 25 ni mionzi .Tatizo kubwa ya waislamu wenzangu ni kuamini kua Dini yao ilishushwa na MUNGU Toka mbinguni.Mungu hajaumba dini .Dini ni mpango wa .binadamu kumtafuta Mungu ambayo ikitumika vizuri ni sawa na ikitumika vibaya ni sumu.Ukweli ni kwamba Mungu ni roho nasi tumeumbwa kwa mfano wake bila Shaka hatuwezi kua udongo lazima tuwe roho.Binadamu sio mwili ni roho ila tumepewa mwili na mwenyeenzi MUNGU ili tupate kuishi hapa duniani

  • @jumanneshego2340
    @jumanneshego2340 3 ปีที่แล้ว +1

    hahaaa ivi unasema kweri kifo akuna?

  • @nelsonyandilo3797
    @nelsonyandilo3797 4 ปีที่แล้ว +1

    Hatukutokana na udongo? Nani mkweli sasa Mungu au wewe? Neno la Mungu ni kweli tupu! Binadamu wa kwanza aliishi tz? Adamu

    • @faithnalitolela834
      @faithnalitolela834 4 ปีที่แล้ว +1

      Siku akifa mwili ukaoza asiwezw kutofautisha kati ya udongo na yy ndio atajua

    • @faithnalitolela834
      @faithnalitolela834 4 ปีที่แล้ว

      Siku akifa akachanganyikana n udongo asiweze kutofautisha kati ya mwili n udongo ndio atajua

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +3

      Swali dogo tu wajameni. Hivi wewe hapo Nelson ukitoka kwa udongo au ni mbegu za wazazi wako kukutana ndio ukazaliwa. Yaani hata Mimi najua ntarudi mavumbini Kama biblia isemavyo lakini najua sikutoka mavumbini. Nlitoka kwa tumbo la uzazi wa mama yangu.

    • @nelsonyandilo3797
      @nelsonyandilo3797 3 ปีที่แล้ว

      @@ilovejesus9303 asili yako ni udongo ndo maana ukioza mifupa itaonekana lakini nyama huwa kama udongo tu

  • @Bistwishs
    @Bistwishs 3 ปีที่แล้ว

    Huyo jamaa mpelekeni hospitali ya vichaa

    • @geordie1424
      @geordie1424 2 ปีที่แล้ว +1

      Let’s start that with you.

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว

    Sasa huyo jamaa yeye ni mpingaji ila kama anajali ubantu au uafrika mbona anazungumza lugha za wazungu english-speaking au na wewe ni miongoni ya ukoloni kama unaupinga ukoloni acha mambo yote ya wazungu

    • @lughanojohn4211
      @lughanojohn4211 3 ปีที่แล้ว

      Ukishatambua nini maana ya harakati za ukombozi wako na kizazi chako na wajukuu zako wa baadae, kamwe hauwezi kumkosoa eti kisa anaongea kiingereza na siku nyingine uache ku comment upuuzi,, maana unajizalilisha tu na ufupi wako wa fikra mkundruuuu wewe.....

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว

      @@lughanojohn4211 utumwa wa kifikra .mbona nchi za Asia wanajali lugha zao to na wapo wanaharakat kuliko huyo boya pamoja na wewe mwenziwe limbukeni

  • @hassanabdalla2741
    @hassanabdalla2741 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapana! Muhammad (SAW) alikuwa Muislamu na Uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad. Suala la kifo hilo lipo wala halitaki ubishi ila km ww unahisi hutokufa hiyo ni imani yako na naiheshimu.

    • @aloycemacha9894
      @aloycemacha9894 4 ปีที่แล้ว

      Uislam haukuwepo kabla ya mtume

    • @aloycemacha9894
      @aloycemacha9894 4 ปีที่แล้ว

      @@johncharles6618 😀sawa mie muongo

    • @aloycemacha9894
      @aloycemacha9894 4 ปีที่แล้ว

      @@johncharles6618 ni kama vile yesu hakuwa mkristo na hakuwahi iona hiyo dini 😀😀

    • @hassanabdalla2741
      @hassanabdalla2741 4 ปีที่แล้ว

      @@johncharles6618 Ukihitaji nikueleweshe kwa nia kujifunza ktk maandiko nitakuelewesha ndugu yng ila ukitaka ubishi sitokuwa na muda wa kubishana. Ahsante

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      @@hassanabdalla2741 Hassan unaonekana mtu muungwana Sana. Hivi wewe ulizaliwa au ukitoka mavumbini huko hospitali?

  • @rajabuomary1628
    @rajabuomary1628 3 ปีที่แล้ว

    Nashukulu kukuskia wewe farisa zako ndio nipo nazo mimi simama apo ulipo usiteteleke

  • @hassanabdalla2741
    @hassanabdalla2741 4 ปีที่แล้ว +1

    Unahitaji kupewa elimu ya maandiko matakatifu. Nadhani Wachungaji wanahitaji wakuombee mana ili uondokane na dhana za kipagani ulizonazo.

    • @aloycemacha9894
      @aloycemacha9894 4 ปีที่แล้ว +2

      haa haa uko brainwashed kijana

    • @wanderaothumani4919
      @wanderaothumani4919 4 ปีที่แล้ว +2

      Bora yeye mpagani lakini anaongea kwa kutoa na ushahidi we unaeijua dini enhee tueleze

    • @joventjohansenmushwaimi1988
      @joventjohansenmushwaimi1988 4 ปีที่แล้ว +2

      Huyu hujamjua ukipata time ya kumsikiliza utaelewa

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      Wewe Hassan umetoka mavumbini au mama yako alizalishwa utoke? Unajua Kuna vitu simple tuna complicate sana

    • @nondombilizi6624
      @nondombilizi6624 3 ปีที่แล้ว

      Hassan maandiko ngani ya ukoloni ndini zililetwa naho

  • @winnikitare4626
    @winnikitare4626 4 ปีที่แล้ว

    Unapotosha imani za watu akili nyingi huondoa maarifa

    • @lughanojohn4211
      @lughanojohn4211 3 ปีที่แล้ว

      Tuelemishe wewe sasa usiyekuwa na akili nyingi ili tusipotoke......

    • @davidchosen3831
      @davidchosen3831 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo hutaki ukweli unapenda kudanganywa

  • @abdulhakimsaleh6899
    @abdulhakimsaleh6899 3 ปีที่แล้ว

    mjinga huyu tena mkubwa

    • @geordie1424
      @geordie1424 2 ปีที่แล้ว +1

      Ww ni zaid ya mjinga

  • @nelsonyandilo3797
    @nelsonyandilo3797 4 ปีที่แล้ว

    Tambiko? Anatushawishi turudie uchawi huyu jamaa kumbe wakala wa shetani kabisa

    • @saidkhery9011
      @saidkhery9011 3 ปีที่แล้ว

      Tambiko si uchawi. Na kama ni uchawi hakuna mchawi mbaya na hatari kama mzungu.rudi kwenye asili yako mambo yatakuwa sawia

    • @nelsonyandilo3797
      @nelsonyandilo3797 3 ปีที่แล้ว

      @@saidkhery9011 Yesu ni njia

    • @lughanojohn4211
      @lughanojohn4211 3 ปีที่แล้ว

      Yesu gani ni njia sasa, uyo Yesu mzungu na sanamu ama? Na kama ni uyo ni njia ya kwenda wapi angalia usifuate mikumbo ukajikuta kwenye 18 za Wazee wa 666.......

    • @lughanojohn4211
      @lughanojohn4211 3 ปีที่แล้ว

      Kwanza wewe ushawai kuwa mchawi ama ata kwenye ukoo wenu au nawewe ni kuku wakizungu unayekuwa kwa wiki moja kwa madawa, chanjo nyingi na taa kibao bandani?

    • @frank_mwalongo
      @frank_mwalongo 3 ปีที่แล้ว

      Anahitaji msaada huyu