LISU ATANGAZA KUMKABILI RAIS SAMIA UCHAGUZI MKUU/AMSAFISHIA NJIA MBOWE NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 110

  • @cheekszebedayo9340
    @cheekszebedayo9340 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hongera sna lisu😅

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mmemuona Huyo.Apitapo Wahujumu na Vibaraka na Vikaragosi Udondoka Wenyewe.Aimarishiwe Ulinzi Mara Mabilionni Shetani Alali Usiku kucha Upanga Uovu Wake Mungu . Awarinde Wote Wenye Nia njema na Taifa letu.Tunasali kwa Ajiri ya Taifa..❤

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 2 หลายเดือนก่อน +12

    Amefika umwanasheliya bola lissu kamanda

  • @benardkinde8496
    @benardkinde8496 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kalibu tena mheshimiwa

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 2 หลายเดือนก่อน +5

    Welcome back home kamanda lissu

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sana kamanda lissu kurudi salama

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 2 หลายเดือนก่อน +4

    Karibu tena nyumbani kiongozi

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ka umri kamesogea brother but never give up

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 2 หลายเดือนก่อน +1

    Na Mungu atakushindia

  • @AlbinMsechu
    @AlbinMsechu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nmefurahi sana kukuona Makam M/Kiti...karibu tena mkuu

  • @mathewyoung2159
    @mathewyoung2159 2 หลายเดือนก่อน +1

    Karibu Sana kamanda wetu ✌️✌️✌️✌️

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa kwisha! Kwisha kabisa!, bora angenyamaza tu, angestaafu vizuri

  • @BIGCHENDREADLOCKS
    @BIGCHENDREADLOCKS 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kalibu saana mkuu wa inchi

  • @FashoKibona
    @FashoKibona 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mwamba umenena wambie,pamoja tunaweza.

  • @vallencymacdonalds
    @vallencymacdonalds 2 หลายเดือนก่อน +5

    Oyooo mwamba karudi

  • @abdullahiahmed4200
    @abdullahiahmed4200 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ingelikuwa vizuri waandishi.mngewahoji na ccm inapotokea jambo kama hili la Nape na makamba

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 หลายเดือนก่อน +3

    Chukua maua yako makamu mwenyekiti Cdm, Wajue ushindani wa uchaguzi unahitaji maarifa na kukubalika sio nguvu pekee,lakini ccm wajue bila dhuluma,wizi,na kutumia vyombo vya dola wasingepita hata 2015,2020, na hata sasa hawataishinda CDM digital bila kuiba kura kwa kutumia hila na nguvu ya dola ingawa sio rahisi kwa wakati huu

  • @starlily07
    @starlily07 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mwamba huyu hapa 😀 tetenteeee😂

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 หลายเดือนก่อน

      Nimeipenda hiyo tetentee. Haaaa😀😀😀😀 tetenteee. Mwamba. Lissu ni mboga tubaki kupika ugali tu.

  • @SichivulaGevasi
    @SichivulaGevasi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Safisana lisu

  • @LeitoSanga
    @LeitoSanga 2 หลายเดือนก่อน

    Big up

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kamanda karudi . Kazi iendelee Karibu sana kamanda Lisu.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu aendelee kukutunza na kukulinda

  • @evodirudo4813
    @evodirudo4813 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tulikuwa tumesha kumiss Mr lisu Kwan kumepowa

  • @lonyorilaizer2649
    @lonyorilaizer2649 2 หลายเดือนก่อน +1

    KARIBU TENA LISSU YOUR ALWAYS THE POLITICAL ROLE MODAL OF ALL TIME

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 2 หลายเดือนก่อน

      Go back to School and polish your English

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli mh. Lisu namkubali kuliko, huyu mh. Lisu ni Lulu ya hii nchi mh. Lisu nitakupigia kura yangu.

  • @KwiniJoel
    @KwiniJoel 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka Lissu
    Nina Imani nawe
    Hujawahi kutuangushe

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 หลายเดือนก่อน +2

    👊👍✌️.

  • @BernardUrassa-lq8so
    @BernardUrassa-lq8so 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kura yangu kwako

  • @ndingolivin-qy6xk
    @ndingolivin-qy6xk 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu tena nyumbani

  • @orestsanga6294
    @orestsanga6294 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeyapenda majibu yako

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mie ccm lkn kura yangu nitampa Lisu

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 2 หลายเดือนก่อน

    Lissu nimupango wamungu kwahiyo sisiraia tuunge juhudi zahuyu Malaika watz eemungu tusaidiye utujariye umakini ktk nchihii Inaenda kienyeji kienyeji

  • @zawadimbwambo1091
    @zawadimbwambo1091 2 หลายเดือนก่อน +3

    Namkubali huyu kamanda sana

  • @FratteMlay
    @FratteMlay 2 หลายเดือนก่อน +4

    Karb mwamba

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 2 หลายเดือนก่อน +2

    Magufuli tutakukumbuka

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 หลายเดือนก่อน

    Tulijihisi kama yatima. Karibu baba.

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii y msigwa, mbona akina Makamba,na Nape wa mepigwa chini hilo huoni

  • @serafineslaa1082
    @serafineslaa1082 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hujaongea ukweli. Ikiwa mwanachama alalamika kuhusu uendeshaji wa chama kwamba hakuna uwazi, unawezaje kutuaminisha kuwa ni chama cha demokrasia. Hebu mtusomee mali za chama na kwanini mnamwekiti wa kudumu

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ww ndo huelewi Msigwa ni msaliti ulitegemea aseme mazuri ya chama yaani mke ametoroshwa na mme mwingne unategemea amseme mme wa mwanzo vzr tumia akili mali za ccm nani anazihoji mbona Ndugai alihoji mikopo akaporwa usipika hilo hamlioni

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephmantago2837 vichwa vingine vigumu kuelewa kaka ata ukimuambia mkewe na myoa Mimi atakataa acha kabisaaa

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kumekuchaaa

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tundulis Na mwabukusi kuna Tija kubwa sana ya kuungana kuongoza Hili jahazi

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 2 หลายเดือนก่อน +2

    Au mwandishi anataka ugombane na Mbowe😂

  • @ChandeRema
    @ChandeRema 2 หลายเดือนก่อน

    Uchaguzi TLS

  • @tzonespices9734
    @tzonespices9734 2 หลายเดือนก่อน +3

    Amerudi

  • @omaryidd4373
    @omaryidd4373 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lisu hujawah niangusha unajibu hoja vizuri mno

  • @zhaozlyoung
    @zhaozlyoung 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mwambaaaaa

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simama Imara .kata ngebe za Vikaragosi kwa akina Msigwa.Utajuta Kusariti Umma.Tupo pamoja Na Wapiganiao Haki, DaimaHaki Usimama kwa Wapiganiao.Haki .Siasa Safi Na Uongozi Bora. Ardhi. isiyoporwa. Na kurinda Urithi wa Watanzania.Karibu Uwanja Wa Mapambano.Umkhoto. We Sizwe..Pemberi ne Jongwe..

  • @AlexPetro-z1e
    @AlexPetro-z1e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja

  • @MwinyiShomar
    @MwinyiShomar 2 หลายเดือนก่อน

    Amna upinzani wote pasua kichwa

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wakiiba hukum ya wezi sisi wanainchi tutaifanyia kazi maana hata bibilia inazungumza mshahara wa dhambi ni mauti Kwahiyo endapo mauti yatawakuta wezi wa kura hatunadhambi

  • @MichaelMwasese
    @MichaelMwasese 2 หลายเดือนก่อน +1

    Rais watu Tundu lisu wewe nirais ushashinda 2015na2025 uhakika babu

  • @petermsigwa527
    @petermsigwa527 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tuhuma ni nzito lazima zijibiwe

  • @GiftyJackson-k3v
    @GiftyJackson-k3v 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mwamba amerudi

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 2 หลายเดือนก่อน +2

    FANYENI UCHAGUZI WA AMANI HATUTAKI VURUGU.

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 2 หลายเดือนก่อน

      Tangu lini tuna uchaguzi wa Amani Tanzania wakati watoto wetu wanaibwa na kuchinjwa 😢😢

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 หลายเดือนก่อน

    Anakaa wapi?

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 2 หลายเดือนก่อน

    Mdanganyeni tu

  • @meryamabdullah2081
    @meryamabdullah2081 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu lisu aliondoka lin 😅

    • @f.a6043
      @f.a6043 2 หลายเดือนก่อน

      🐸👈🏼🤣

  • @naftaliwilliam514
    @naftaliwilliam514 2 หลายเดือนก่อน +1

    Punguza kulalamika

  • @Nicolasmosereta
    @Nicolasmosereta 2 หลายเดือนก่อน

    Kiboko yao karudi

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 2 หลายเดือนก่อน

    Msigwa ndio asiseme kabisa, Anamadeni makubwa saana ambayomtetezi ni ccm

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amani ni kitu cha muhimu cha muhimu akivunjiki

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tunahitaji amani inayotokana na utendwaji wa haki sio amani ya hofu au uoga na vitisho

  • @iddyekanda6456
    @iddyekanda6456 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna upinzani wa kuitoa CCM kwa sasa

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 2 หลายเดือนก่อน

    Pipooooz

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hatutaki fujo tunataka amani tu! Kila mwaka mnaibiwa nyie tu jamani! Mwageni sera tuwasikie tubasilike!

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kakojoe ulale

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 2 หลายเดือนก่อน +1

      Umemsikia Nape au unaongea tu kama vike masikio yako yako deaf(y)!?

    • @barakabusima
      @barakabusima 2 หลายเดือนก่อน +1

      Utakuwa umekatwa wewe siyo mzima😂

    • @AyoubAbdullrahmanAmir
      @AyoubAbdullrahmanAmir 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@festokemibala5832😂😂😂😂🎉

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 2 หลายเดือนก่อน

      @@barakabusima Mdomo Mali yako! Sikupangii cha kusema Ongeza sauti!!

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 หลายเดือนก่อน

    uoga utashindwa vipi na mam

  • @ezekieliPalaleti
    @ezekieliPalaleti 2 หลายเดือนก่อน +2

    👊✌️🫶🫶🫶🫶❤

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 2 หลายเดือนก่อน

    Pamoja na wizi wa CCM,nyiye Chadema mmejiandaaje?

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 2 หลายเดือนก่อน

      @@ChristerKoku Heche arekebishe hoja ya elimu. Anasema vijana wajifunze kilimo, ila wasifundishwe panzi ana miguu mingapi. Ukweli panzi anakula mazao, na usambaza magonjwa kwenye mimea.

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 หลายเดือนก่อน

      Tumejiandaa kukuoa

  • @pennymahombo9528
    @pennymahombo9528 2 หลายเดือนก่อน

    Llllllllllllllllĺphaki na amani zinahusiana Zaburi85:10 NI UKWELI hivyo ukiongea amani ongea na haki pia

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 2 หลายเดือนก่อน

    Nilisema mie
    Mnamchangia pesa lissu hanunui gari kama alivyosema analikarabsti
    Pesa mliochanga ameenda kulipia ada wanawe

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kakuliza Nani wewe kilaza mkubwa

    • @PaulKiwese
      @PaulKiwese 2 หลายเดือนก่อน +1

      Acha kusema bila kufikiria

    • @levissanga8867
      @levissanga8867 2 หลายเดือนก่อน +1

      Acha ujinga nani kakuuliza hayo. Thibitisha usemayo. Acha mambo ya.hovyo

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 2 หลายเดือนก่อน

      We ulichangia shingapi

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 2 หลายเดือนก่อน

    Alafu anawatuhumu viongozi wa serikali wakiumwa wanaenda nje kutibiwa
    Lissu ameumwa ameenda kujitibu
    Hivyo kuweni makini uongo wa LISSU

    • @donaldmaziku7915
      @donaldmaziku7915 2 หลายเดือนก่อน +2

      uchawa utakushinda tu

    • @FMAutoElectrical
      @FMAutoElectrical 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ni mtumzima najua unawatu wanakutegemeya kama baba jaribu kuwa kama baba usiwe kama mtoto tokalini lisu alitibiwa Tanzania? Baada ya kupigwa lisasi?

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 2 หลายเดือนก่อน

      Mamako amegharamia matibabu yake wewe choko la kizmkazi

    • @isackphilipo9870
      @isackphilipo9870 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani katibiwa kwa gharama za mamaako au ya sisiem

  • @ShaibuYahaya-v4b
    @ShaibuYahaya-v4b 2 หลายเดือนก่อน +1

    kaka lisu mm nakuamini

  • @AloneChuga
    @AloneChuga 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mkudaa tu

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 หลายเดือนก่อน

    FANYEN MFANYAVYO ILA MSITUHALIBIE AMAN KWA SABABU YA NJAA ZENU KUWEN MAKIN

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kazi ya utawala duniani ni kuhakikisha watu wake wameshiba. Kwa hiyo unakili ushaifu.

    • @BIGCHENDREADLOCKS
      @BIGCHENDREADLOCKS 2 หลายเดือนก่อน +2

      Da wabongo hawana ubongo 😂😂😂

    • @barakalameck7342
      @barakalameck7342 2 หลายเดือนก่อน

      Amani inakusaidia nini kwani wewe au umekaririshwa tu hilo neno mkubwa ebu tupe faida ya amani tukianza na wewe imekunufaisha nini toka uwe na amani ni sawali tu lakini ukiweza kujibu sawa?​@@GodfreyOsward

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ni vizuri kuwa mpo wenzetu mlioshiba.

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 2 หลายเดือนก่อน

    Kaja wajinga watanyamaza ma ccm

  • @arkammuhiddin9054
    @arkammuhiddin9054 2 หลายเดือนก่อน

    Mama 5 tena

  • @cheekszebedayo9340
    @cheekszebedayo9340 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera sna lisu😅

  • @cheekszebedayo9340
    @cheekszebedayo9340 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sna lisu😅

  • @cheekszebedayo9340
    @cheekszebedayo9340 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera sna lisu😅