WAZIRI MKUU AWACHANA TRA MBELE YA WAFANYABIASHARA KARIAKOO "Rais anatamka unakuwa na mashaka"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 103

  • @salumhamoud-dv3nf
    @salumhamoud-dv3nf ปีที่แล้ว +12

    Muheshimiwa nakuelewa sana. Na pia una faa kia raisi. Asante sana

    • @nizarurassa6480
      @nizarurassa6480 ปีที่แล้ว

      Kauli ya waziri mkuu ni maagizo kutoka Kwa raisi.

  • @NgelelaLuchagulaMasalu-bg5xu
    @NgelelaLuchagulaMasalu-bg5xu ปีที่แล้ว

    Asante mweshmiwa waziri mkuu chapa kazi mkuu na kazi iendelee

  • @samoramollel
    @samoramollel ปีที่แล้ว +18

    Mungu pekee ndio mkombozi kwa watanzania wote

    • @kabulukimati
      @kabulukimati ปีที่แล้ว

      Mungu.wa.mbinguni.mbariki.raisi.wetu..mbariki.waziri.mkuu.wetu.kiukweli.wametupa.faraja.na.amani.sisi.wafanya.biashara.ushauri.kuna.baahi.ya.wizara.zinatakiwa.zifunjwe.au.zifanyiwe.mabadiliko.zikiwepo.wizara.ya.fedha.na.biashara..ni.maono.yangu

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuweke muheshimiwa.Fata nyayo za Mwenazake.

  • @IsackMgaya-eu5li
    @IsackMgaya-eu5li ปีที่แล้ว

    Asante sana baba kweli upo vizur na umesimama kwenye kwel ukwel lazima ujitenge

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 ปีที่แล้ว +6

    Hongera muheshimiwa waziri wetu kwa kutatuwa kero zetu asante muheshimiwa 🙏

  • @salomembiro5017
    @salomembiro5017 ปีที่แล้ว +3

    Kweli baba Majaliwa, hali siyo nzuri kabisa

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 ปีที่แล้ว +6

    Rushwa inaanzià juu kwenu

  • @jack2010ization
    @jack2010ization ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana kiongozi

  • @FatnaAlly-fh7qj
    @FatnaAlly-fh7qj ปีที่แล้ว +1

    Allah mashallah ubarikiwe semaaa semaaa baba wafanya biashara wanapata tabu mungu akutie nguvu ulinde haki mashallah

  • @FatnaAlly-fh7qj
    @FatnaAlly-fh7qj ปีที่แล้ว +1

    Allah honfera sana muheshimuwa wa ziri

  • @MoriceFwaka-pt4bp
    @MoriceFwaka-pt4bp ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mweshimiwa tunakuamini Mungu akurinde

  • @FatnaAlly-fh7qj
    @FatnaAlly-fh7qj ปีที่แล้ว +2

    Allah mpaka watu wanashundwa kuleta biashara kutoka nje Kwa ajili ya Kodi kuwa kubwa Sasa wakati wa haki umefika mabubu nao kuongea na kupata haki mashallah 💕👍👍

    • @christinembeye5489
      @christinembeye5489 ปีที่แล้ว

      Kweli mtu ukisafiri hata na Masanduku Mawili ru Airport Mtu Unapekuliwa na TRA mpaka Nguo za Ndani zilizomo Sandukuni zinaonekana🙈🙈 kwa sababu ya Tamaa zao,
      Kweli Waziri Mkuu Watu husika Washughulikiwe Kikamilifuu-

  • @emanuelsamson-hq2jv
    @emanuelsamson-hq2jv ปีที่แล้ว

    Asante waziri mukuuu

  • @chackym4416
    @chackym4416 ปีที่แล้ว +1

    Next presdent

  • @robaichisutia4765
    @robaichisutia4765 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki Waziri na aibariki Tanzania

  • @masaimollel2525
    @masaimollel2525 ปีที่แล้ว +2

    Mnalindana tuu msituone sisi mafala ningewaelewa kma mwigulu ungemtengua hapohapo na km wewe hauna uwezo wa kutumbua Sasa si upeleke pendleton kwa raisi Samia kuwa waziri wa fedha hafai au mpk siku watanzani wajinyonge kwa hasara wanazoingia ndio mje kutoa pole .

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 ปีที่แล้ว +1

    Nusu Mungu wafukuzwe kazi, waje waone maisha uraiani.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo sio TRA, tatizo ni kuwa WAUMINI wanaishi kama KUHANI WAO.

  • @MlelwaErasmo
    @MlelwaErasmo 5 หลายเดือนก่อน

    Wazili. Mkuu safisana.

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 ปีที่แล้ว +7

    Hii ni awamu ya nne inatawala,mama hawezi kutumbua mtu, mafisadi,Rip JPM

  • @MlelwaErasmo
    @MlelwaErasmo 5 หลายเดือนก่อน

    Ulifaa. Kuwa rais. Inafaa 5:37

  • @yusuphmaharage2739
    @yusuphmaharage2739 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana waziri mkuu

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 5 หลายเดือนก่อน

    safiiiii

  • @alibushiri4725
    @alibushiri4725 ปีที่แล้ว

    Namkubali wazir mkuuu kuliko mama

  • @rabwarab574
    @rabwarab574 ปีที่แล้ว

    Nawaheshimu wabunge wote wanaopita ktk majimbo yao bila kupingwa mfano waziri mkuu kassim majaliwa na Hayati Jpm na profesa Mwandosya hawana mba mba mba❤

  • @RamAMsTZ
    @RamAMsTZ ปีที่แล้ว

    Sawa mh.

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np 5 หลายเดือนก่อน

    Ukitoka tu hapo utumbo wao unaendelea! Watendaji wanamufanya mama achukiwe wabaya sana hawa

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว +4

    Kasimu majaliwa for Presidency. Mungu akitupa huyu mtu kama Rais Tanzania itapiga hatua sana.Viongozi wa awamu hii wengi wamejikinai na kujaa kibri.

  • @NRI_1
    @NRI_1 ปีที่แล้ว +2

    Curruption too much in Tanzania

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 ปีที่แล้ว +5

    Nahizo pesa zote wanazo walipisha watu zinaisha mifukonamwao katika sehemu yenye wazi walamali yauma naserekali kama TRA WEzi namba wan wanawaoneya watusana yaani pese zinazo ingia mifukoni mwawatu nyinyingi kuliko zinao ingizwa serekalini

  • @MiriumWajey-lr1tq
    @MiriumWajey-lr1tq ปีที่แล้ว +2

    Kodi zimekuwa changamoto

  • @arthalesha5825
    @arthalesha5825 ปีที่แล้ว +1

    Eti hawana tv😂😂

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว +1

    Magufuli angetumbua zaman hao jamaa.

  • @MjuniJeremiaStephanoZaka-nu8dj
    @MjuniJeremiaStephanoZaka-nu8dj ปีที่แล้ว

    Tuna imani na wazuri wetu mkuu alistahili kuwa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 ปีที่แล้ว +3

    Selikari ni wewe tu mheshimiw

  • @jacklinelucas
    @jacklinelucas ปีที่แล้ว +2

    Kwan Mheshimiwa amewajua vizuri tu dawa inChemka

  • @darasibrown6084
    @darasibrown6084 ปีที่แล้ว +3

    Hili swala la kodi na kujua haki ya mtu binafsi yan haki yako ilibidi hii misingi tuwekewe toka dalasa la kwanza had la saba kwenye mtaala watoe aiba na michezo waweke hili somo kila mtu atajua wajibu wake

  • @falobedstylish
    @falobedstylish ปีที่แล้ว

    tz kikubwa uzima

  • @mayranehemia9469
    @mayranehemia9469 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @servaspilato7892
    @servaspilato7892 ปีที่แล้ว +1

    Ama kweli majaliwa sijawahi kukukibali iLa hapa baba kagombee uraisi niko pamoja na wee

  • @frankmwakalinga7455
    @frankmwakalinga7455 ปีที่แล้ว +1

    ❤ Hongera sana waziri mkuu kwa busara zako na hekima zako
    God bless you 🙏🙏🇹🇿

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 ปีที่แล้ว

    Tatizo mnaongea tu mngekuwa mnaonyesha mfano mkifukuza 5 .6 hawa wengine watajifunza

  • @allykihambwe6690
    @allykihambwe6690 ปีที่แล้ว

    Mh,waziri mkuu jambo Hilo TRA nitabia Yao raisi ameagiza wafanyabiashara wanaoanza biashara wasilipishwe Kodi laki jambo Hilo halitekelezwi mpaka Sasa kwani Kuna kampuni imesajiriwa ivi karibu I MWEZI wa tatu hata kazi haijaanza imepipishwa Kodi ningepata nafasi ya kukuona ningekuletea ushahidi wa Kodi tuliyolipa kabla ya kufanya kazi.

  • @hapietz
    @hapietz ปีที่แล้ว

    All

  • @chachamakenge8367
    @chachamakenge8367 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa,waziri mkuu,nakisa kimoja,kuna mtu yuko gerezani,chakushangaza alikuwa na mtandao wa TRA feki yeye akiwa kiongozi wao ,alikuwa anawaongoza kwa njia ya simu akiwa gerezani,hivyo kuna watu wanaojifanya ni kutoka TRA, hivyo kuna uwezekano mkubwa wafanya biashara huwa wanatapeliwa

  • @SayakuluAyubu-my9kr
    @SayakuluAyubu-my9kr ปีที่แล้ว +1

    Ruswa, iko hivi Mimi nnataka Nida nikienda kule ofisi ya Nida naambiwa let Nida ya mama yangu Ana maka 60 Hana Nida hapo inakuwaje, Mali IA mwengewe

  • @neemamuro8001
    @neemamuro8001 ปีที่แล้ว

    Waziri kwasasa tunatwangia maji kwenye kinu. Tangu Magufuri afe walarushwa wamepewa nafasi tena. Hawana wakuwakemea. Mbona wakati wa Magu hayakuwepo?.

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 ปีที่แล้ว +1

    Dah ila waziri huyu anapiga kazi ongera sana Mzee najua kutetea Haki ni kazi sana MUNGU aendelee kukulinda

  • @sanauswahilimovies
    @sanauswahilimovies ปีที่แล้ว

    Bonyeza hapa kutazama filamu mpya za bongo movie

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 ปีที่แล้ว

    Hyu ndo anapajua raisi jamani

  • @LukasMamuya-ub1ot
    @LukasMamuya-ub1ot ปีที่แล้ว

    Mzee nimekuelewa

  • @noahlameck1564
    @noahlameck1564 ปีที่แล้ว

    Mbona sijamuona baba levo akiongea apo kariakoo

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 ปีที่แล้ว

    HONGERA MSAIDIZI WA MH RAIS UNAELEWEKA!! KUMAliIZIA RUSWA ITISHA KURA YA SIRI MUHIMU KUBAINI!

  • @charlesmanase4507
    @charlesmanase4507 ปีที่แล้ว

    Basi awe rais tu

  • @HusseinSaguti
    @HusseinSaguti ปีที่แล้ว

    Niko tayali

  • @jacksondavid6854
    @jacksondavid6854 ปีที่แล้ว

    bonge lakiongozy

  • @christinagervas2134
    @christinagervas2134 ปีที่แล้ว +1

    06:04 "waziri mwenye dhamana na wizara yake, makamu wa rais w/mkuu na raisi wakitoa maelekezo kwa mamlaka chini yao ni agizo"
    Then tunategemea Mwigulu aache kutoa matamko ya kukandamiza raia kupitia mamlaka zilizopo chini yake mfano hao TRA Ilihali washasema tamko la waziri ni agizo?

  • @jacklinelucas
    @jacklinelucas ปีที่แล้ว +1

    Hapa nyinyi TRA wezi wakubwa nasasa kuna kamat imeundwa muangalien msije mwagiwa chakula chaa watoto wenu Wazazi wamewasomesha mnataka kuharibu kazi angalien

    • @jacklinelucas
      @jacklinelucas ปีที่แล้ว

      Mnatubana sana na mtahamiswa hapo

    • @DavidMbwilo-qk1bz
      @DavidMbwilo-qk1bz ปีที่แล้ว

      TRA nawachukiaa sana kinachowaponza ni maisha ya starehe wanayoiga ndio maana wanakosa uadilifu katika kazi

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 ปีที่แล้ว

    Mama Samia kwani anasemaje kuhusu mwigulu

  • @rehemarwanda6039
    @rehemarwanda6039 ปีที่แล้ว

    TRA MJIPANGE UPYAA

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 ปีที่แล้ว +2

    Wafanyabiashara ni wajanja sana inabidi kuwa making wafanyabiashara wengi hawana maduka na wanauzia kwenye stop na tra wakienda kwenye duka wakifanya assement anonekana anabiashara ndogo wakati Biashara anafanyia stoo

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 ปีที่แล้ว

    Polisi hawahusiki kukagua wafanyabiashara , kuna sheria kandamizi.

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 ปีที่แล้ว +2

    Mheshimiwa Waziri Mkuu, hawa wafanyabiashara msiwalegezee kila kitu! Wana mambo mengi yanayokosesha serikali mapato. Wasionewe lakini nao wawe waungwana na wakweli! Biashara zimejaa ujanja mwingi.

  • @ThomasSanga-eo8db
    @ThomasSanga-eo8db 5 หลายเดือนก่อน

    Saf

  • @soniaemmanuelmataro9414
    @soniaemmanuelmataro9414 ปีที่แล้ว

    Na simu wanazotupigia ni kero,

  • @abdulhakeem959
    @abdulhakeem959 ปีที่แล้ว

    KUNA JAMAA LIMESIMAMA NYUMA YA WAZIRI MKUU,NALIGANANISHA NA ROBOTI MVU LA MAREKANI

  • @menaldmbilinyi3518
    @menaldmbilinyi3518 ปีที่แล้ว

    Chekeni

  • @marymremi1051
    @marymremi1051 ปีที่แล้ว +1

    Mungu mkubwa mie wakati wa kitilya nilizuiwa contena la toi likazuiwa na ikawa mwisho wa biashara

    • @lemonadesoldier1377
      @lemonadesoldier1377 ปีที่แล้ว

      Pole Sana dada Mungu atakutetea

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 ปีที่แล้ว

      Pole sana Mungu atakulipiya kwa dhulma walio kufanyia

  • @masikitikomwakyonde1259
    @masikitikomwakyonde1259 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi wetu ni jeuri tu kweli kabisa ni agizo tatizo viongozi wanajifanya Miungu watu

  • @samyspesho1698
    @samyspesho1698 ปีที่แล้ว

    WANASIASA WANAFKI SANA

  • @NRI_1
    @NRI_1 ปีที่แล้ว

    TRA و ZRB ، الهجرة كلها أكثر الناس تقيدا في تنزانيا

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว

    Wapo Kwa ajili ya mifuko Yao na advantage ni Kwa kuwa wananchi hawana elimu ya Sheria hizo Sheria haipo kwengine duniani wanajua Sheria.

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 ปีที่แล้ว

    Tufuate sheria.