WALIOIBA FEDHA ZA SERIKALI KUSOMEWA AL-BADIL, MFANYABIASHARA AONGEA KWA UCHUNGU MBELE YA WAZIRI MKUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2023
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

ความคิดเห็น • 46

  • @salamaisayas8281
    @salamaisayas8281 ปีที่แล้ว +3

    Hongera zako Baba yetu MH waziri mkuu kudhibiti wazurimaji wanaotutesa waache wizi wanatuumiza wavuja jasho WA nchi hii _ wakomishwe kbsaa !

  • @emanuelsamson-hq2jv
    @emanuelsamson-hq2jv ปีที่แล้ว

    Ukosawa nduguyetuu munguu akubarikii sanaaa

  • @annaseleman1851
    @annaseleman1851 ปีที่แล้ว +2

    Baba mungu akubariki kuitetea tanzania

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 ปีที่แล้ว

    Maskani poleni sana Wafanya Biashara na Wafanya kazi mnaonewa na T. R. E kupewa Rushwa hii inauma sana lazima Serikali ichukuwe hatua

  • @furahamandai6628
    @furahamandai6628 ปีที่แล้ว +5

    Dah huyu baba alikuwa anataka kulia

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว

    Jamaa kaongea point sana yaani genius, awa mawaziri wanacho jua wao ni kuiba tu, yule Waziri wa Biashara uozo mtupu, viongozi wetu Degree zao co za ubunifu, ziko kwa ajili ya kukandamiza watanzania na kuiba, viongozi wengi bogus

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 ปีที่แล้ว

    Nchi ya dhuluma sana hii😢😢😢😢 mwenyezi mungu awalaani kabisa mnavyo wadhulumu watu alafu mnaenda kuinjoyi na familie zenu. Mungu awalaani kabisa

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free ปีที่แล้ว +4

    Daaah jamaa kaumia mno 😮😮😮

  • @joshuabartonpolelaab4985
    @joshuabartonpolelaab4985 ปีที่แล้ว +2

    ismail masoud kamaliza 😁😁😁😁

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts ปีที่แล้ว +1

    Jamani kuna watu wana uchungu na nchi yao...watu wamejaa maumivu!! Huyu ameamua kujilipua liwalo na liwe!! Kajitoa muhanga...

  • @RobertGwelela
    @RobertGwelela ปีที่แล้ว +2

    Masudi umeweza Sana.

  • @kedricksiame6167
    @kedricksiame6167 ปีที่แล้ว

    Yap good safi mzee

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Wanya biashara.

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว +2

    Yaani ushuru wa vitenge kontena futi 40, kenya ushuru M 45, Zambia M 24, Tanzania M 400 na Nnchi ina Bandari, yaani hii Nnchi ya ajabu sana, na izo ela wanazila tu,Kina mwigulu wala rushwa

  • @joshuabartonpolelaab4985
    @joshuabartonpolelaab4985 ปีที่แล้ว +3

    kula chuma hicho kutoka #tanga😁😁😁😁

  • @malataogtz2080
    @malataogtz2080 ปีที่แล้ว +1

    Sijui mbwayi

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts ปีที่แล้ว

    Mimi namuelewaga sana mheshimiwa Majaliwa, ni mtetezi wa wanyonge na sio kiongozi mkalia kiti ofisini akipulizwa na kiyoyozi..
    Mama Samia hakukosea kumuacha ktk nafasi yake, na natamani baada ya mama kumaliza muda wake ampe kijiti Mhshmw Majaliwa...ni kiongozi bora anaiweza hii nchi

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 ปีที่แล้ว

    Mtanga mwenzangu umeamua kujilipua kabisa

  • @kiatu
    @kiatu ปีที่แล้ว

    Elimu haitumiki vizuri

  • @safielimjema4593
    @safielimjema4593 ปีที่แล้ว

    👊🙏 mzee kaupiga mwingi mno

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 ปีที่แล้ว

    Mwigulu mungu mtu!!

  • @rashidikanyama2357
    @rashidikanyama2357 ปีที่แล้ว

    Watu ni vichwa hata sio viongozi wala nini dadeki

  • @radhiaabbas1040
    @radhiaabbas1040 ปีที่แล้ว

    Sema baba tumechoka

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 ปีที่แล้ว

    Tanga oyeeee

  • @maryamjumah
    @maryamjumah ปีที่แล้ว

    Maskn baba wawatu anauchungu bora kuyasomea majizi yote

  • @mwlsengeletv1375
    @mwlsengeletv1375 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa apewe maua yake

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 ปีที่แล้ว +1

    Maguli alipanda ujasili katika mioyo yetu ila mwingulu sio mtu mzuri Mimi sijui huyu jamaa mwingulu anapendewa nini

  • @maryamjumah
    @maryamjumah ปีที่แล้ว

    Mwambie ajielewi tai kama mganga wa kienyeji

  • @Mariam-tk6mm
    @Mariam-tk6mm ปีที่แล้ว

    Nguvu za viume🤣🤣🤣ctaki mtu aguse comment yng

  • @kasmathhafidhi7451
    @kasmathhafidhi7451 ปีที่แล้ว

    Masudi wa tanga , all facts .

  • @marcomathew8439
    @marcomathew8439 ปีที่แล้ว

    Tanga wana kiongozi

  • @totolapastor1314
    @totolapastor1314 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂

  • @maryamjumah
    @maryamjumah ปีที่แล้ว

    Mvueni uaziri

  • @scolabwana8252
    @scolabwana8252 ปีที่แล้ว

    Wafanyabiashara ni wasomi kuliko wasomi wa mchongo

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 ปีที่แล้ว +1

    Atasoma albadiri Tanga😂😂machungu mzee wa watu

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 ปีที่แล้ว

    Msambaa kachalukwa

  • @kwilasajunior5367
    @kwilasajunior5367 ปีที่แล้ว

    Mwamba kachefukwa

  • @zakhiamsuya4922
    @zakhiamsuya4922 ปีที่แล้ว

    Albadiri

    • @kayombogregory8241
      @kayombogregory8241 ปีที่แล้ว

      Hayo ndio matokeo ya kuingia kwenye uongozi bila kuchaguliwa na wananchi.

  • @kedricksiame6167
    @kedricksiame6167 ปีที่แล้ว

    Yap good safi mzee

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 ปีที่แล้ว

    Mtanga mwenzangu umeamua kujilipua kabisa

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 ปีที่แล้ว

    Msambaa kachalukwa