Mungu rehema zako ni za milele sitachoka kukuabudu hakika hujawahi kuniacha nikaaibika baba nakuinua saana nakutukuza saana Mungu unihukumu sawasawa na unyofu wako,unirehemu bwana Mwana wa Daud 🙏🙏unipake mafuta mabichi baba ujifunue zaid katika maisha yangu
Nabarikiwa sana na maombi haya ila ninashida kubwa natamani sana nipate nguvu zaidi ya kuomba na kufunga,ila sielew jinsi ya kusimamia maandiko naomba msaada
Haya maombi ni mazur ila najiuliza kuwa mbona maneno yote alioyataja kwa kifungu vya bibilia hamna hata moja lililoandikwa kweny hivo vifungu vya bibilia au bibilia zio tofaut
mim lucy hugo kapinga .Hakika kakaino mungu anazidi kunishuhudia nabarikiwa na mahombi hayaa .yesu anaweza yote nazidi kupokea mvua ya Ushindi na mibaraka
Mungu azidi kukubariki mt kwa maombi haya yamenisaidia Sana kila wakat nikiwa ktk magum mungu hunisikia nikiomba maombi haya
Ameen
Bwana yesu asifiwe mtumishi naomba uniunganishe Tena Mama aron zanzbr am ya mwazo imepotea
Mungu akutunze mtumishi uje uwafundishe na wajukuu zetu neno nafarijika sana na nimekombolewa kupitia haya maombi
Amen. Mungu akubariki pia.
Mungu rehema zako ni za milele sitachoka kukuabudu hakika hujawahi kuniacha nikaaibika baba nakuinua saana nakutukuza saana Mungu unihukumu sawasawa na unyofu wako,unirehemu bwana Mwana wa Daud 🙏🙏unipake mafuta mabichi baba ujifunue zaid katika maisha yangu
Ameen
Hakika mungu yupo na hata tuacha kamwe kwakuwa yeye ni mwaminifu
Barikiwa Mtumishi Inno jamanii Mungu akupe miaka mingi hapa Duniani uishi muda mrefu uje uwalishe neno hata vilembwe vyetu🙇🙇🙇
Amen
Ehee mungu kwamahombi haya ya hasubuhi utanitendea mema kwasku iyo Leo asante
Ameen
Haya maombi yananguvu sana
Hakika
Aminaaa jamanii nashukuru Sana kwamaombi haya nimepona kabisa miguu yangu
Ameen ameeen
Nilisikia shuhuda ya mama aliyefunga na kuomba kwa siku tatu akaponywa,natamani sanaaaaaaa hii nguvu
Ameen. Mungu atakupa
Amen Mungu nimuaminifu
Amen Yesu nipe Moyo wa kusamehe
Amen Mungu nisaidie usinipite kwa maombi haya ya Rehema leo
Ameen
asnte kaka, Ubarikiwe
Amen
Nabarikiwa sana na maombi haya ila ninashida kubwa natamani sana nipate nguvu zaidi ya kuomba na kufunga,ila sielew jinsi ya kusimamia maandiko naomba msaada
Sikiliza somo linaitwa JINSI YA KUOMBA ILI UJIBIWE by Innocent Morris lipo hapa hapa kwenye channel yetu nimefundisha
Au unaweza kusikiliza mikesha ambayo huwa tunafanya hapa utapata mifano mizuri jinsi ya kusimamia mistari katika maombi yako
Tembea Leo na mm shinda Leo na familia yangu fungus biashara yangu leo
Mungu akutendee katika jina la Yesu Kristo
nafarijika sana kusikiliza haya maombi! Asante Yesu kwa kutupa huyu mtu
Amen
Unaisamehe Baba dhambi zangu
Ameen
Haya maombi ni mazur ila najiuliza kuwa mbona maneno yote alioyataja kwa kifungu vya bibilia hamna hata moja lililoandikwa kweny hivo vifungu vya bibilia au bibilia zio tofaut
Yapo mbona mpemdwa we unatumia Biblia ipi
Amen thank you my Lord
Amen Amen
Ameen
Amen mtumishi ubarikiwe
Amen
Balikiwa sana sana mtumishi
Amen
mim lucy hugo kapinga .Hakika kakaino mungu anazidi kunishuhudia nabarikiwa na mahombi hayaa .yesu anaweza yote nazidi kupokea mvua ya Ushindi na mibaraka
Amen
Amen
Asante Yesu Kwakunikomboa
Amen
Amen Amen Amen
Ubarikiwe sana Mtumishi!
Amen
Amen N Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amina. Mtumishi Ubarikiwe sana
Amen
Amen. Barikiwa sana 🤲
Ameen
Amen! Mungu anatenda
Amen
Barikiwa
Amen
Asante ubarikiwe
Amen
Amen 🙏🙏
Kaka Inno Mungu akubariki
Amen
AMEN
Ameeeeeeen
Amen
Mungu akubariki mtumishi WA Mungu,
Amen
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Ameen
Barikiwa sana mtumishi🙏🙏🙏🙏
Amen
Mungu ni mwema
Wakati wote ni mwema sana
Amen!!!!👐
Ubarikiwe kaka
Amen
Ubarikiwe pia dada Mary
Amina!
Amen.
Amen!
Ubarikiwe kaka lnno
Amen
Mungu akubariki kaka
Amen
Aimen
amen
Ameeeen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Ubarikiwe mtumishi
Amen
blessed
Amen
Ameen
amen
Amen
Amen
Holy Spirit amina
Amen
Amen
Baba innocent morris ni mama justine pale zambia wenda utatukumbuka na maombi aya yote niko namifata ameee
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen