MAOMBI YA KUOMBA NGUVU ZA KUUSHINDA MWILI - Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 2 หลายเดือนก่อน +2

    "Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana."
    Warumi 12:1

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 2 หลายเดือนก่อน +1

    "kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima."
    1 Wathesalonike 4:4

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu nifundishe namna yakuwesa kushinda tamaa za mwili,ajilia nehema yako nifundishe hishima na utakatifu wako

  • @warshatissa7128
    @warshatissa7128 2 หลายเดือนก่อน +2

    Niokoe bwana yesu, Sina mwingine WA kumtegemea, zaidi yako.. Nipe neema na rehema. Yesu nifundishe kushinda tamaa zote za mwili

  • @frolencialupilya6209
    @frolencialupilya6209 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ee Yesu nifundishe kuuweza mwili wangu wa nyama katika heshima na Utakatifu.

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amina na Amina. Nimebarikiwa na kupata kitu kipya kwa maombi haya kupitia Roho Mtakatifu.

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba unweshishe kutoa mwili wangu katika heshima na kuwa utakatifu kuwa dhabihu yko kwa jina la yesu

  • @christineadhiambo3496
    @christineadhiambo3496 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ee yesu nifundishe kuuweza mwili wangu wa nyama katika heshima na utakatifu

  • @daniellamamiro8388
    @daniellamamiro8388 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba uniondolee hasira za karibu na mdomo, bwana yesu nakuomba unibadilishe

  • @JusDreemurr
    @JusDreemurr หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu nifundishe kuuweza mwili huu!

  • @clementinafute2622
    @clementinafute2622 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏.

  • @user-wn4jy8st8f
    @user-wn4jy8st8f 13 วันที่ผ่านมา

    Ee Yesu nisaidie kizishinda hisia zangu

  • @favoredbyJesus
    @favoredbyJesus 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏🙌

  • @cesiliajames2803
    @cesiliajames2803 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen🙏

  • @JohnOkonda-fg4wp
    @JohnOkonda-fg4wp หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 หลายเดือนก่อน

    Amen Ameeeen. Nifinyange vile upendavyo 🙏

  • @user-ey1ws9cb7i
    @user-ey1ws9cb7i หลายเดือนก่อน

    Amen amen🙏🙏🙏🙌

  • @LuluSteven-y9c
    @LuluSteven-y9c หลายเดือนก่อน

    Amen im so blessed with this ministry

  • @mutakoalphonsine3240
    @mutakoalphonsine3240 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ninani atakayrniokoa Mimi na mwili huu wa nyama? Mwili wangu ukapate kuwa dhabihu safi na ya kukupendeza eeeee Yesu wangu mzuri. Mwili wangu huu ukawe dhabihu safi ya kukupendeza.

  • @mutakoalphonsine3240
    @mutakoalphonsine3240 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @verolazaro3375
    @verolazaro3375 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @Jefferson_Gospel
    @Jefferson_Gospel 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @JumanneBendera
    @JumanneBendera หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @marthamichael1617
    @marthamichael1617 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amen