Mtumishi omba Kwa ajili yangu, nilipimwa nikaambuwa presha Iko juu sana, ilihali sijawahi ugua , ninakataa hii roho ya magonjwa, nguvu za giza zinazotumwa kupitia magonjwa ninazifuta na kuzikataa Kwa Jina la Yesu.
Mungu akubariki, hakikq nimeshuhudia live namna maombi yalivyo na nguvu haijalishi ni mtandaoni ama kanisani ,nimepona katika Jina la yesu kristo ,hakika maombi ni moto ulao.😇
Ubarikiwe baba yangu nikuwa nasikiya kitu cha nitaba kwenye kichwa nilipo sikiza maombi nilikuwa nasikia moto mwili muzima lakini saa nashukuru nimepona
Ubarikiwe sana hakika umekuwa baraka katika siku ya leo kwangu nilikuwa najickia vibaya kazin lkn baada ya maombi nikatapika mapovu tu nw nipo vzr namshukuru Mungu kwa ajili yako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Maombi haya yamesaidia sana kumponya baba yangu siku ya leo, alichanganyingiwa, hakula chochote tangu majuzi lakini nlipoweka haya maombi nikitaja damu ya Yesu Sasa hivi ametulia hapigi kelele na chakula amekula na usingizi amelala, Mungu ni mwaminifu sana. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Ninafunguliwa Kwa kupitia maombi haya, nimehisi kama Kuna vitu vimetoka usoni, barikiwa mtumishi wa Mungu. Kwani Mungu anakutumia Kwa viwango vya juu sana
Mtumishi leo umjua kunisaidia sijalala vidonda vya tumbo vinitesausiku kucha.Damu ya Yesu iliyomwagiki pale kwa ya kutuokoa sisi wanadamu iniokoa sasa na hata milele AMEN
Ahsante mtumishi wa Mungu tumepokea uponyaji❤
Kwakweli nimepata uponaji Kwa ajili ya maombi yako,mungu akubariki mtumishi
Amen 🙏 🙏 mtumishi nimepokea uponyaji na kufunguliwa kupitia kwa hii maombi
Nguvu za magonjwa zimeshidwa kwa damu ya yesu
Nguvu za magonjwa zimeshindwa
Amen napokea kwa jina la Yesu. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Amen amen amen amen amen amen amen katika jina la yesu ,, kwa damu ya yesu kristo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Najiungamisha na Maombi haya kwajina la YESU 🙏 napokea Amen
Amen. Jina la Bwana lihimidiwe🙏
Damu ya YESU kristo
Ameen
Nimeondolewa kila pando la kichawi ndani yangu
Ameen
Mtumishi omba Kwa ajili yangu, nilipimwa nikaambuwa presha Iko juu sana, ilihali sijawahi ugua , ninakataa hii roho ya magonjwa, nguvu za giza zinazotumwa kupitia magonjwa ninazifuta na kuzikataa Kwa Jina la Yesu.
Pia hii save sara sikiliza ukijisikia ivyo th-cam.com/video/S1MH6O5R2R4/w-d-xo.htmlsi=nOI7-eFFc9bYeOyJ
😊😊😊😊😊😊
Hakika ww ni mtumishi unamaombi makali sana mungu akupe maisha marefub
Ameen. Mungu akubariki pia
Asante sana mutumishi wa mungu tumepona kwa damu ya yesus kristo minasema amen amen
Amen
Nguvu z mangonjwa zimevunjwa kw damu y yesu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki, hakikq nimeshuhudia live namna maombi yalivyo na nguvu haijalishi ni mtandaoni ama kanisani ,nimepona katika Jina la yesu kristo ,hakika maombi ni moto ulao.😇
AMEN AMEN
Ubarikiwe baba yangu nimetapika leo mpaka nguvu zikaniishia na tumbo likawaka moto, hakika YESU ni mzuri🙏🙏
Siwezi kulala bila kusikiliza maombi Mungu akulinde asante baba umejifunga vingi nimejifunza kuomba kupitia wewe asant
Ubarikiwe baba yangu nikuwa nasikiya kitu cha nitaba kwenye kichwa nilipo sikiza maombi nilikuwa nasikia moto mwili muzima lakini saa nashukuru nimepona
Damu ya yesu damu ya yesu damu ya yesu kristo inifungue na iniponye magonjwa. Amen.
Asant Kwa kutuombea mtumish eeh naikamiz siku yangu ya Leo mikononi mwako naomba unilinde na ukailinde familia yangu amen
Ameen
Amen nime funguliwa kwa jina la YESU kristo barikiwa mtumishi
Ubarikiwe sana hakika umekuwa baraka katika siku ya leo kwangu nilikuwa najickia vibaya kazin lkn baada ya maombi nikatapika mapovu tu nw nipo vzr namshukuru Mungu kwa ajili yako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hallelujah hallelujah Yesu naomba unikomboe na familia yangu
Ameen ameen mtumishi wa mungu nimebalikiwaa na maomb yako endelea kutuombea hasa wajawazitoo wamama sisi
Amen nimefungwa mpka bwanangu akachukuliwa na mwanamke mwengine 😭😭
Mungu atafanya njia
Amina I receive in Jesus name
Mungu ni mwaminifu nimeona nguvu yake na kupokea uponyaji. Mungu akulinde mtumishi
Asante sana mungu wangu
ASANTE YESU,NAMWONA MUNGU KUPITIA MAOMBI HAYA,MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI WA MUNGU
Akisanti mutu mishi wa mungu ubarikiwe sana mungu akukubuke kwa hi kazi Uko na fanya
I receive
Nguvu zaGiza simeshidwa kwa Damu yesu ubarikiwe Mnoooo kujitoa sadaka kwa Ajili ya wengine
Ameni nimefunguliwa Endelea kuniombea Tu Mtumishi wa Mungu
Nimepona ugonjwa yote iliyo sugundani ya mwili yangu amen
Amen damu ya yesu imefanya ukombozivjuu ya nafsi yangu na mwili wangu jina la bwana lihimidiwe milele na milele aminaa ❤
Asante sana mchungaji hakika damu ya yes inatenda
Ameen
Asante kwa kutuombea, Mtumishi wa Mungu. Mungu azidi kukutia nguvu utembee na Yesu Kristo siku zote za maisha yako.
Asanteee mtumishi wa mungu
Amieeee
I connect my brother espoir on the player !! In Jesus name ❤
Ameen
AMEEEN MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU nimebarikiwa sana
Amina,napokea uponyaji kwa jina la Yesu kristo.
Nashukuru Mnoooo kwa Maombi yakumani Nimefunguliwa kupitia haya Maomb
Na Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Mimi ni mkenya sikujui lakin ulinisaidi
Ameen
Am always blessed when I listen to pastor
Hasante,mutumishi wa mungu,🙏🙏👋👋ubarikiwe sana.
Ameen
Nmeona kiu kinatoka mwilini mwangu kimeanza miguun ad kichwan nmekuwa mwepesi ubarikiwe sana ahsante sana mtumishi hakika nimeona miujiza Amen🙏🏻
🎉Amina Mtumishi was Mungu nimepona na kufungulia nguvu za kichawi Damu yaYesu imenikomboa barikiwa Sana Mtumishi
Aksante mtumishi nilikuwa naumwa vichomi kwa nimepona kabsaaa thanks God❤️🙏
Amen 🙏
Ameen
Maombi haya yamesaidia sana kumponya baba yangu siku ya leo, alichanganyingiwa, hakula chochote tangu majuzi lakini nlipoweka haya maombi nikitaja damu ya Yesu Sasa hivi ametulia hapigi kelele na chakula amekula na usingizi amelala, Mungu ni mwaminifu sana. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
Nimemuomba mungu Nikisachi ombi litalo kuwa la pili ndio niombe nalo Mungu kaniletea hili asant Dana YESU
Ameen ameeen
Damu yayesu inanguvu kubwa amina mtumish
Amen nilikua naumwa xna kichwa Yesu amenitendea ahsante mtumishi wa MUNGU 🙏 ubarikiwe
Ameen
Nimepona nilikuwa n'a kitu mgongoni n'a kichefuchefu baada ya kurudia rudia maombi nimepona kabisa asante bwana yesu kwa kumtumia mtumishi wako amina
Asante Bwana Yesu kwa kunieka huru!!Barikiwa mno mno mtumishi wa Mungu,!!!
Ninafunguliwa Kwa kupitia maombi haya, nimehisi kama Kuna vitu vimetoka usoni, barikiwa mtumishi wa Mungu. Kwani Mungu anakutumia Kwa viwango vya juu sana
Ubarikiwe mno,,,namshukuru MUNGU nilikuwa na Hali isiyoelezeka MUNGU ni mkuu nmepokea upongaji.
Amen Nimeuona Mkono wa yesu amefunguliwa mke Wangu Alikuwa kafungwa na majini kwa miezi 6 ubalikiwe mtumishi
Nguvu za giza zikeshindwa kwa jina la YESU KRISTO
Asante mtumishi kwa maombi .mungu akubariki
Ameen Asante Mtumishi Kwa Maombi wakati unaomba nilijawa na nguvu kuanza kunena kwa Lugha hakika ilikaa mdomoni mwangu Kwa mda mrefu bila kukoma
Ubarikiwe mtumishi wa mungu Kwa maombi nimebarikiwa🙏🙏🙏
Asante Yesu, mimi nilianza kutapika wakati umesema koo, nimepona Katika Jina la Yesu Kristo.
Asante mtumishi Wa mngu Mahali ulipopunguza Mungu akujazie nimeshkuru Kwa maombi yamenifungua ssa nko guru ubarkiwe
Ameen najiunganisha na maombi haya, tangu nimeanza kusikiliza yametoka mapepo mengi Sana mwilini mwangu damu ya yesu imeniacha huru,
Mtumishi leo umjua kunisaidia sijalala vidonda vya tumbo vinitesausiku kucha.Damu ya Yesu iliyomwagiki pale kwa ya kutuokoa sisi wanadamu iniokoa sasa na hata milele AMEN
Vidonda vya tumbo tafuta ndizi mzuzu zile za kijanani chemsha maganda yke kunywa kam chai iansadia
Amen may God bless you nasikia moto mwili wote
Mungu akubarik sana mtumish nmebarikiwa mno
Ameen
Barikiwa sana mtumishi wa mungu,na ninahitaji uniombee sasa kwenye familiar yetu na watoto pamoja na pepo za kukataliwa
Ameen
Nitakuombea
@@holyspiritconnect Asante
Ubarikiwe sana mtumishiakika kwa maombia haya nimefunguliwa
Mungu atusaidie
Ameen
Baba ninakuitaji katika usiku huuu naomba ukawe pamoja na Familia yangu
Naomba babayangu apone Kia jina ya yesu Cristo amém
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏 napokeya Kwa jina la YESU kristo amen
Bwana Yesu tenda leo Amina
Ameen
Amen barikiwa sana mtumishi
Ameen
Amen 🙏 i receive in Jesus name this message is ready to me that everyone hear this message is blessed today forever amen 🙏 thanks so much for this pay
Asante kwa maombezi yako mungu naakatende Zaid na kuondoa nguvu zote za giza
Nimebarkiw sana mutumishi wamungu mungu awe nawe zaidi amen
Mtumishi naomba umwombee mtoto wangu,analia sana usiku na pia tumbo linamsumbua
Amen Amen barikiwa sana nimepona
Ubarikiwe baba mungu akuogezeye upako papa
Ameen
Asante mtumsh nilikuwa kama nimebeba mzigo mgogon sasa nashukulu nimepon kwa damu ya yesu🙏
Ubarikiwe Kwan maombi mtumishi wa Mungu naamin ntajifungua salama Ameen
Asante nilikuwa naumwa na kichwa yoka jana asubuhi nmekosa usingiz usiku wote tulipo omba kimeniachia gafla nashukuru sana mtumishi Ameen
Mungu akubariki mtumisi wa mungu nimeoña uwepo wa mungu Leo na kunguliwa kwangu
MUNGU akubariki Sana mtumshi maombi haya yananisaidia sana nimetupiwa roho ya ukichaa lakini naona yananisaidia sana MUNGU akubariki zaidi
Asante leo kufunguliwa kupitia maombi aya ulipoomba ukasema roho za kuto orewa nimeona kitu cha tofauti
Naamini nimefunguliwa mtumishi,nimepiga miayo sana sana ubarikiwe mtumishi
Asante mtumishi was Mungu nimepokea uponyaji
Nimefunguliwa mungu akubariki
Amen nitapona kwa jina last yesu
Kwa damu ya Yesu Nafunguka huyu mtu anayetesa maisha yangu ashindwe kwa jina la Yesu
Amina nimefunguliwa kwa dam ya yesu,kuna nguvu ya ajabu ktk haya maombi,Mungu akubariki mtumishi.
Mungu akubariki mtumishi wa mungu...Amen
Mungu akubariki mtumishi nlikuwa hoi baada ya maombi nimepona ..hello from Norway 🇳🇴🇳🇴
Ameeeeen yo
Amen
Ameeen
Ameni niko na shida na mkono bt najua mungu ashaniponya ameni glory be to God be blessed
Mungu akubaki mtumishi Glory Comoro vorovoro
Amina ubalikiwe baba asante mungu
Asante kwakutuombea nipo hospital nimelazwa nimeota ndoto yaajabu hadi imeniamsha ubarikiwe sana ❤
Ameen. Nitakuombea
Roho yakukataliwa iniondokee kwanzia leo amen
Naamini na napokea uponyaji na kutoka kwenye vifungo vya adui kwa Jina lipitalo majina yotee Mtumishi Mungu wa mbinguni akubariki
Pastor God bless you so much endless na kuniombea juu niliingia kazi 17th na had saa ii sijalipwa
Ameen
Amen,,Asante Bwana kwa kunifungua na kuniweka huru kwa Jina la Yesu kristo na Kwa Damu ya Yesu kristo Amen
Ameen
Amen🙏🙏
Asante mtumishi nimeona mkono was mungu
Ameen ameeen
Amen Asante mtumishi wa Mungu kwa maombi haya nimeona muujiza🙏🙏
Amen pastor mm nilikuwa sijuwi kuomba hakini unafanya nimehase kujiwa kidogo kidogo najua Mungu hatafanya kitu juu yangu nijuwa kuomba
Ameen