Rev. Magembe, alipuka tena. KANISA LIMEKUFA. Ni imekuga TAG au anazungumzia kanisa gani??

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 316

  • @theonestrenatus954
    @theonestrenatus954 หลายเดือนก่อน +47

    Tungekuwa na watu kama Hawa watano tu Tanzania ingepona mapema sana,, MUNGU ampe maisha marefu pastor Magembe,,

    • @johnmaganga44
      @johnmaganga44 หลายเดือนก่อน +5

      1.Moses Magembe
      2.Pascal Cassian
      3.Mwakipesile
      4.Amiel Katekela
      5.Wapo wengine wengine ambao hawana access au exposure ya social media kama hawa

    • @GoodDeeds-Jesus
      @GoodDeeds-Jesus หลายเดือนก่อน

      ​@@johnmaganga44 Bishop Dickson Kabigumila pia

    • @K-go1qj
      @K-go1qj หลายเดือนก่อน

      Uchaguzi ni wako yupi unataka kumfuata wa kweli au wa uongo

    • @NeyoBrave
      @NeyoBrave หลายเดือนก่อน

      Wapo wengi hawana hata account za mitandao 😢​@@johnmaganga44

    • @ashamdemeka
      @ashamdemeka หลายเดือนก่อน +1

      Christopher mwakasege

  • @EmmanueliZani-ur9bi
    @EmmanueliZani-ur9bi หลายเดือนก่อน +16

    Iende mbele Injili ee, iende mbeleeee
    Iende mbele Injili ya Yesu, iende mbele.
    Hii ndiyo Injili ya kweli ya kuliokoa Kanisa na Jehanamu ya moto.
    Mungu aendelee kukutia nguvu Mzee.
    Asante.

  • @ShadrackJustin
    @ShadrackJustin หลายเดือนก่อน +17

    Hii ni injili ya kweli hongera sana pastor magembe MWENYEZI MUNGU akubariki sana🙏

  • @aron2346
    @aron2346 หลายเดือนก่อน +26

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭YESU nijaalie kuhubiri injili isiyogoshiwa niko tayari hata kufa mwili wangu kabisaaa

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  หลายเดือนก่อน +5

      Kuhubiri injili isiyoghoshiwa sio kujaliwa kaka. Kama uko tayari kifa, anza kupinga uovu na ubaya kama Yohana Mbatizaji umuone Herode anavyokuja kukukata kichwa popote ulipo.

    • @aron2346
      @aron2346 หลายเดือนก่อน +3

      @@HelbethMlelwa hata sasa ninaihubiri kaka mm ninakuelewa sana
      Injili inahbiriwa popote nilipo

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 28 วันที่ผ่านมา

      Pokea kwa Jina la Yesu

    • @SARAKAMBARAGE
      @SARAKAMBARAGE 28 วันที่ผ่านมา +1

      Na kufikia hapo magembe alipofka amekua ni mtu wa maombi haswaaa. Chakula chake ni maombi sio chips na nyama. Bwana akutie nguvu

    • @BAIZO96
      @BAIZO96 27 วันที่ผ่านมา +1

      I wish one day ntakuja kusimama kama mch. Magembe Ili na mm niseme kitu mbele ya kanisa

  • @richardmessayi9578
    @richardmessayi9578 หลายเดือนก่อน +12

    Kuna nguvu kubwa sana ya Kimungu ndani yako mtumishi wa Mungu!!Endelea kusimama katika kweli ya Mungu hata mwisho wa Dunia hii

  • @user-nz6xy1vs5i
    @user-nz6xy1vs5i หลายเดือนก่อน +8

    Askofu Mungu akupe maisha marefu ili uendelee kutupa kweli ya Mungu

  • @user-bs9zq8lw5x
    @user-bs9zq8lw5x 13 วันที่ผ่านมา +1

    Dah Mungu akutie Nguvu baba wa Imani natamani hii Injili . Amen

  • @wilsonmkumbo3032
    @wilsonmkumbo3032 3 วันที่ผ่านมา +1

    Amen mch MUNGU aibariki injili hii ukweli utalirudisha kanisa

  • @GladTolage
    @GladTolage หลายเดือนก่อน +7

    Amina baba nikweli k abisa %100 mungu atusaidie sana

  • @michaelambangile3632
    @michaelambangile3632 หลายเดือนก่อน +9

    Kukosa au kupoteza uwezo wa kusikia ni mlango wa uovu mbalimbali. BWANA akubariki Mzee Mchg. Magembe. Ni ujumbe sahihi kwa wakati sahihi.

    • @AilenMakaka
      @AilenMakaka 24 วันที่ผ่านมา +1

      Sema Taifa tupone🤌🏼👊🏼

  • @Khadija-f7b
    @Khadija-f7b หลายเดือนก่อน +4

    Asante mchungaji ,ni ukweli usiopingika ,❤ mwenyezi MUNGU afanye wepesi ,

  • @fraidamsemwa5518
    @fraidamsemwa5518 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidi kukutunza daimaa❤

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 22 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera mtumishi wa Mungu. Chapa injili, chapa injili maadamu ni mchana maana usiku waja asipoweza mtu kufanya kazi. Chapa injili, washa moto, washa moto mtumishi usinyamaze!

  • @victorbarnabas2809
    @victorbarnabas2809 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu atusaidie kwa kweli hali ni mbaya mno

  • @bellingtonlyimo1522
    @bellingtonlyimo1522 หลายเดือนก่อน +5

    Rev. Magembe ni sauti ya Mungu katika wakati huu ambao kanisa limepotoka katika kiwango cha kutisha. Ni kawaida ya Mungu kuwainua watumishi wa aina ya Rev. Magembe pale ambapo kanisa linapopotoka na kuanza misingi ya injili ya kweli. Mungu azidi kumbariki mtumishi huyu(Rev. Magembe) na kumpa maisha marefu.

    • @MaryKerush
      @MaryKerush หลายเดือนก่อน

      Eti Reverent hilo n jina la Mungu binadamu astahili kutumia hilo jina😢

  • @saleemsuleiman2220
    @saleemsuleiman2220 หลายเดือนก่อน +9

    KAMA ILE NYOMI YOTE YA MWAMPOSA WATU ZAIDI YA ELFU SABINI IMEPOTEA INAENDA KUZIMU 😢😢😢😢

  • @sarahshalom97
    @sarahshalom97 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu Baba wa Mbinguni tunaomba utusamehe kwa dhambi inayochafua kanisa lako 😢😢😢

  • @barakafredrick9492
    @barakafredrick9492 วันที่ผ่านมา

    Amen haya ni mahubiri muhimu kwa nyakati za mwisho tulizonazo. Kanisa linapoteza radha, ni muhimu mteule kuwa macho

  • @Evangelist-Joseph-sikanyika
    @Evangelist-Joseph-sikanyika 14 วันที่ผ่านมา

    Amina sana May God bless you Servant of our Lord Jesus christ 🙏

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 หลายเดือนก่อน +3

    Yes safi kabisa injili iendelee Amina

  • @MamaDieudonne-mq2sq
    @MamaDieudonne-mq2sq หลายเดือนก่อน +3

    Wako watumishi wa kweli tanzania wakina sumbe elibariki baba magembe

    • @EvaYohana-yr6id
      @EvaYohana-yr6id หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa sumbe na mgembe nawapenda sana wanasema kweli sichoki kuwasikiliza mafundisho yao najifunza mengi kuwao

  • @nicksonmalle8604
    @nicksonmalle8604 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu azidi kukutunza mtumishi wa Mungu

  • @josiahtzchangala3876
    @josiahtzchangala3876 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutunze baba,,ni
    UAMSHO na Matengenezo ndani ya KANISA

  • @user-tg6en2pu7c
    @user-tg6en2pu7c หลายเดือนก่อน

    Aminaa sana pastor be blessed mwenye sikio na askie maaan weng tumejikita ma dini badala kumtfuta Yesu aliye hai

  • @MariaMdemu-xt5cv
    @MariaMdemu-xt5cv หลายเดือนก่อน

    Amina ...natamani wachungaji wote wawe kama wewe ....Baba Ubarikiwe Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juuu

  • @ezekielndaga2756
    @ezekielndaga2756 18 วันที่ผ่านมา

    Upo sahihi mchungaji,matengenezo yanatakiwa kuanzia ndani,Mungu akubariki sana na aendelee kukupa nguvu kwa ajili ya wake wa Mungu

  • @WillsonMtweve
    @WillsonMtweve หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe san kwa ujumbe unaoliponya kanisa nakupata vizuri mchungaji wangu

  • @mwasimakenge5752
    @mwasimakenge5752 หลายเดือนก่อน

    Amen and amen Baba!
    Holy spirit have mercy upon the church of Tanzania ! Mercy oooh Lord.

  • @samsonnzisabira768
    @samsonnzisabira768 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana mtumishi,wahuni wamevamia kanisa

  • @ClaireMakotswi
    @ClaireMakotswi หลายเดือนก่อน

    Amen pasa Saudi mtumishi wa mungu tangaza Neno la mungu na alie na masikio na asikie mungu akutie nguvu unapoendelea kufundisha Neno 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf หลายเดือนก่อน +8

    Dunia imeingia kanisani waziwazi wala haijifichi

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 หลายเดือนก่อน

      Siyo dunia imengiea kanisani, bali kabisa limejisahau, hakuna nguvu ya Mungu ndani ya kanisa ya kubadilisha watu

  • @user-xf8yo1od4n
    @user-xf8yo1od4n หลายเดือนก่อน +1

    Naipenda sana Injiri ya huyu Mchungaji na wachungaji wengine wenye Injiri kama hii,,na nikweli kabisa kanisa liko kwenye hali mbaya sana na Mungu atusaidie tushituke

  • @RahelSalumu-pm9qx
    @RahelSalumu-pm9qx หลายเดือนก่อน

    Sema kweli mtumishi wa Mungu, taji yako n kubwa mbinguni , Mungu akujalie sana uendelee na moyo huo

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele หลายเดือนก่อน +4

    Huyu apewe uaskofu mkuu, Safi Sana mungu atabaki na watu wenye kupiga kelele

    • @johnmaganga44
      @johnmaganga44 หลายเดือนก่อน

      Kabisa
      Kiongozi huiona njia, huonyesha njia na kuendea njia na Wachungaji na maaskofu wajifunze Kwa Mzee Magembe
      Awe Askofu wa Wakristo wote Tz na azidi kuwaonya viongozi na waumini Kwa ujumla bila kumung'unya mameno

    • @michaelambangile3632
      @michaelambangile3632 หลายเดือนก่อน

      Utamwongezea nguvu ya kuhubiri Injili?

    • @DaimonMwapelele
      @DaimonMwapelele หลายเดือนก่อน

      @@michaelambangile3632 mungu Alie ndani yake anatosha yeye ndie mwanzo na mwisho kwa wote wanaomwamin

  • @annajackson5245
    @annajackson5245 14 วันที่ผ่านมา

    Eeee Mungu wangu nifundishe kui ishi kweli yako. Nime kutenda dhambi mimi nirehemu eee Yesu wangu 😢😢😢😢. Niwe na mwisho mwema nika ione ile Mbingu mpya.

  • @JojiJMadale
    @JojiJMadale 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubaliki

  • @user-fp9cz4nr1l
    @user-fp9cz4nr1l หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi Kwa kuisema kweli ya Mungu

  • @BoniphaceMachibya
    @BoniphaceMachibya 23 วันที่ผ่านมา

    I appreciate pr God Bless you.

  • @LeoniaShoo
    @LeoniaShoo หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa mtumishii injili isongee mbele

  • @NeemaSimon-ik2uj
    @NeemaSimon-ik2uj วันที่ผ่านมา

    Amina baba sema tupone maana ukweli ndo uponyaji
    "Mtaijua ile kweli, nayo kweli itawaweka huru"

  • @marthabenard3723
    @marthabenard3723 4 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe baba

  • @user-ro2fl1py6m
    @user-ro2fl1py6m หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nisaidie nihubiri kweli yako .nikweli baba kanisa liko icu

  • @SifaelMpagike-gt1gz
    @SifaelMpagike-gt1gz หลายเดือนก่อน

    Mimi binafsi nimebarikiwa sana na hili Neno la Leo.... Kama wachungaji wote wangekuwa hivi hakika na maovu yangepungua sana.. pr. Magebe Ubarikiwe sana.🙏🙏🙏

  • @ABDULKARIM-sx1tb
    @ABDULKARIM-sx1tb หลายเดือนก่อน

    Hua nakuaelewa sana pasta Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu sana

  • @FarijiEdson
    @FarijiEdson หลายเดือนก่อน

    Injili kama hii naipenda sana mimi Fariji Edson

  • @giovannir.restone182
    @giovannir.restone182 หลายเดือนก่อน +2

    Umeongea Ukweli Mtupu Mtumishi wa Mungu. Siku hizi wapo wachungaji wanavunja hadi nyungu kanisani. Eti wanavunja laana...wengine wanasema tutoe kafara..au sadaka ngumu ili tubarikiwe..kuna mwengine anasema kwamba ni Ruksa maaskofu kuoa wake zaidi ya mmoja..To be honest, the Chuch is in a critical condition, we Must repent that the times of spiritual awakening may come to us.

  • @user-zd6tt2dq3k
    @user-zd6tt2dq3k หลายเดือนก่อน

    Pastor magembe BWANA YESU AKUTUNZE SANA PASTOR

  • @yohanayakobo2154
    @yohanayakobo2154 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha mpaka utakapoona Mungu ametusaidia

  • @angelmsuya7423
    @angelmsuya7423 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutunze sana Mtumishi wa Mungu

  • @simonjnrmabula3785
    @simonjnrmabula3785 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed ❤

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 3 วันที่ผ่านมา

    Nasikia utiisho wa Mungu.

  • @godfreysudi7264
    @godfreysudi7264 หลายเดือนก่อน +3

    Watu awataki injili kavu watu tuna taka isha na majabu Mungu yeye mara zote utembea katika uweza na nguvu haiwekani watu waje kanisani na magonjwa na warudi nayo hapana watumishi nguvu za Mungu ziko wapi washirika nguvu za Mungu ziko wapi tusiwalau watu kwenda kwa mitume ikiwa Mungu uko ana tembea mtabaki kuwanyoshea vidole bure hatutaki story za biblia tunataka injili yenye madhilisho ya Mungu

  • @ChadrackTshunza
    @ChadrackTshunza 3 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤

  • @DaJemimah62
    @DaJemimah62 18 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli Pentekoste ya leo sio ile ya zamani.. Hakika Imekufa. Imekwisha,
    Lakini asifiwe Mungu aliyelijua hili akatupa ahadi katika siku hizi za mwisho ya kuturejesha katika Imani ya Pentekoste ya Asili(Malaki 4:5-6)
    Hallelujah.

  • @EzekielCharles-j8x
    @EzekielCharles-j8x 10 วันที่ผ่านมา

    Amina tunafutilia sana

  • @elishamwakihaba942
    @elishamwakihaba942 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana ❤

  • @judithminja770
    @judithminja770 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli kabisa..hizo nyomi hazina maana kwamba kanisa lipo hai..spiritually kanisa lipo ICU....

  • @PatrickSebastian-w3u
    @PatrickSebastian-w3u หลายเดือนก่อน

    Amen baba, tunaumia baba yetu siku zinazidi kuwa mbaya zaidi, mungu atusaidie sana😂

  • @mickalonemichael4716
    @mickalonemichael4716 22 วันที่ผ่านมา

    Well said baba

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 หลายเดือนก่อน +4

    Kabisa mtumish tumehama katika kusudii la MUNGU

  • @OctavinaTarimo
    @OctavinaTarimo หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi Kwa huduma

  • @RaymondMhelela-ef9uh
    @RaymondMhelela-ef9uh 20 วันที่ผ่านมา

    mungu akubaliki sana baba

  • @enockkilatu41
    @enockkilatu41 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika mungu akutie nguvu

  • @leonardamon1445
    @leonardamon1445 หลายเดือนก่อน

    Amina baba ubarikiwe sana

  • @jacksonbarnaba9088
    @jacksonbarnaba9088 หลายเดือนก่อน +8

    WACHUNGAJI WOTE WAWE NA LUGHA MOJA. MAASKOFU WA KUU, MAASKOFU WA MAJIMBO, NA WACHUNGAJI WAKE WOTE, AKIONGEA ASKOFU MKUU, MAAGIZO YASHUKE MPAKA CHINI KWA WACHUNGAJI, MPAKA IWAFIKIE WAUMINI. EEH MUNGU UTUOKOE NA YA ULINWENGU😢

    • @K-go1qj
      @K-go1qj หลายเดือนก่อน

      Hao maaskofu wenu wengi ni wanachama wa kile chama mfano yule mwa ametumika kuvuruga

  • @user-dp3fv2kh4l
    @user-dp3fv2kh4l หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuongezee siku zakuishi babangu uzidi kutufungua masikio nime kubali hii injili ubarikiwe sana🙏🙏🙏🙏

  • @user-kk6bf6bt6f
    @user-kk6bf6bt6f หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumish

  • @user-lf3cc3xq1j
    @user-lf3cc3xq1j หลายเดือนก่อน

    Ebwana nipenami njeema ya kuhubir injiriyako yakwer kamahii ya magembe😢😢😢😢😢❤❤❤

  • @estafuraha
    @estafuraha 15 วันที่ผ่านมา

    Ameeen sana

  • @AsiaMercy-ft4se
    @AsiaMercy-ft4se 23 วันที่ผ่านมา

    Amina baba

  • @doricemarko7998
    @doricemarko7998 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie ubarikiwe mno

  • @mathaZingwa
    @mathaZingwa 26 วันที่ผ่านมา +1

    Amina

    • @mathaZingwa
      @mathaZingwa 26 วันที่ผ่านมา

      🙏🙏 mungu atusaidiee

  • @LylianeBaumaLyly
    @LylianeBaumaLyly หลายเดือนก่อน

    Amen Mutumishi wa Mungu

  • @user-xq5os3pn9d
    @user-xq5os3pn9d 15 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe mpendwa upendwaye na bwana

  • @REBEKAMBONGE
    @REBEKAMBONGE 19 วันที่ผ่านมา

    Ooooooooo baba pasta mungu atusaidie tulipo panatisha jamani😢😢😢😢

  • @StellaCharles-zk4kb
    @StellaCharles-zk4kb 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mi ni mluther natabaki kua hivo lakin huyu mchungaji siju ni wakanisa gani lakini ana mahubiri ya kweli Mungu na ukubarik

  • @mwawaw9899
    @mwawaw9899 19 วันที่ผ่านมา

    Very true.

  • @Yohanamasunga-h5j
    @Yohanamasunga-h5j 2 วันที่ผ่านมา

    Haleluya

  • @RuthiMbise
    @RuthiMbise หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azindi kukupa ujasiri na mungu akulinde huko ulipo

  • @Matungwamatungwa
    @Matungwamatungwa 24 วันที่ผ่านมา

    Kweli much Mungu akubariki watu wanashuudia mafuta na maji Yesu wamemsahau

  • @teodorinachengula9728
    @teodorinachengula9728 24 วันที่ผ่านมา

    Kweli Baba Mungu atusaidie

  • @user-gw7pf4jq4c
    @user-gw7pf4jq4c 27 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa xana mtumish

  • @scorpionswahilicinema4555
    @scorpionswahilicinema4555 หลายเดือนก่อน

    Amen pastor umeongea kweli kabisa

  • @WillsonMtweve
    @WillsonMtweve หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa pastor ujumbe wa matengenezo jumbe kama hizi chache baba

  • @NeemaMateleka
    @NeemaMateleka 28 วันที่ผ่านมา

    Baba mungu akubariki

  • @MamaDieudonne-mq2sq
    @MamaDieudonne-mq2sq หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki

  • @SimonBinde
    @SimonBinde หลายเดือนก่อน +1

    Amen baba 🙏

  • @tuliayotham7311
    @tuliayotham7311 23 วันที่ผ่านมา

    Eee Mungu naomba tusaidie sana turudi katika mstari wako 😢😢😢😢😢

  • @user-ry7sc4bn9r
    @user-ry7sc4bn9r หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie

  • @happyedward5635
    @happyedward5635 21 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa MUNGU atusaidie

  • @NeemaMateleka
    @NeemaMateleka 28 วันที่ผ่านมา

    Mungu tusamehe jamani tuonyeshe njia ya kweli tunaangamia jamani hatujui tiende wapi naomba usiku wa leo mungu nikumbuke

  • @bonifacemwansasu6638
    @bonifacemwansasu6638 หลายเดือนก่อน +1

    Utashangaa anaibuka mtumishi mwingine anaanza kumpinga Maghembe,Mungu atusaidie

    • @K-go1qj
      @K-go1qj หลายเดือนก่อน

      Isaya Benson, IPM,Masisi wataibuka

  • @Meshack777-c3m
    @Meshack777-c3m 22 วันที่ผ่านมา

    Hi ni sawa kabisa

  • @Joelchalale
    @Joelchalale หลายเดือนก่อน

    Amina baba nasikia kulia

  • @PriscaKatonga
    @PriscaKatonga 9 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @naomilouisepraise4973
    @naomilouisepraise4973 23 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa Mungu tusaidiye

  • @alexisaya8857
    @alexisaya8857 25 วันที่ผ่านมา

    Mungu anawajua walio wake, naaamini kanisa litasimama hadi ukamilifu wa dahari...

  • @MhinaLwassa
    @MhinaLwassa หลายเดือนก่อน

    The power of Jesus Christ is what changed the world.
    You to day have only noises.
    Manifest power of Jesus. It's this power which brings surrendering in the hearts of the people.
    Hearing comes from the word of God, if you preach laws you always won't see manifestation of power.
    Key point isaya 61:1- with Luke 4:18.
    Kweli inadhihirika wazi kutibu matatizo ya watu. Haiwi kweli hadi udhihirisho umeonekana.

    • @peterrichard9644
      @peterrichard9644 หลายเดือนก่อน

      Not every where you demonstrate power, this is a rebuking sermon

  • @JulianaNdashikwaMsonga
    @JulianaNdashikwaMsonga หลายเดือนก่อน

    MUNGU Aliye hai Akubariki Sana Askofu

  • @johnmpemba3057
    @johnmpemba3057 22 วันที่ผ่านมา

    Noted