CASSIAN ALIONYA CANISA LA WASABATO LIMEPOTOKA KUJIUNGA NA MNYAMA 666 EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 720

  • @OtiliaPius-dr1be
    @OtiliaPius-dr1be 2 หลายเดือนก่อน +9

    Wasabato wenzangu simama imara ulipo angunga ukatubu Bwana anakuja natamani wote twende mbingun Asante Mungu kwakumtumia mtumishi wako pastor Kassian naomba endelea kumtumia kama upendavyo Ameen🙏🏾

  • @FrankMchome
    @FrankMchome 2 หลายเดือนก่อน +50

    KANISA LA MUNGU halijaanguka kwasababu linashikiliwa na MUNGU mwenyewe wapo ambao wanalichafua lakin bado limesimama Asante kwa kutukumbusha.

    • @JofryDaud-kc2du
      @JofryDaud-kc2du 2 หลายเดือนก่อน +6

      Eze12:1-2

    • @RehemaMsuha
      @RehemaMsuha 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kanisan la Mungu halijikiti na mahusiano but umeiona tu ni kipati ambacho wanalea vijana ndani ya kanisa . kwanin hauzungumzii kipindi Cha huduma kuu,kwanini hauzungumzii kuhusu afya na vyakula acha kumtukana Mungu

    • @RehemaMsuha
      @RehemaMsuha 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu Hana kigeugeu kama ukigeuza mguu wako usiharifu sabato ya bwana isaya 58:13

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 2 หลายเดือนก่อน +1

      Unakosea kwani unadhani kuanguka ni Nini ?? Ni Dunia na mambo yake kujiingiza kanisana ,unapobisha na ulimwengu unashuhudia na wanaona na macho halafu eti Mungu amelishikilia ilhali unajua Mungu ni Mtakatifu Sana na dhambi zinamtenga mtu na Mungu.

    • @yoelsilas2792
      @yoelsilas2792 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kati ya Kanisa la Mungu na wewe apo nani alie anguka ? Maana kanisa la Mungu Bado lipo ila wewe umelikimbia, nakushauli kurudi nyumbani yatosha jangwani

  • @RobiMirriam-x3y
    @RobiMirriam-x3y หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa kutukumbusha kwamba hatupo pazuri tena ,waombee kwa maana ,kila neno lililo nenwa na manabii lazima yatimie ,basi ni Mungu atusaidie

  • @stevenrange2675
    @stevenrange2675 2 หลายเดือนก่อน +4

    Asante kwa kutukumbusha wajibu wetu, nikutie moyo endelea kulihudumia kanisa la Bwana. Hoja kubwa hapa ni kukumbukwa kwa japo wanapotoka lakini bado Mungu ama watu wake. Hongera kwa ujumbe mzuri

  • @angeldaniel647
    @angeldaniel647 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kanisa la Mungu haliwezi anguka maana Mungu mwenyewe amelishikiliaa Asante kwa ujumbe

  • @JumaJuma-c3i
    @JumaJuma-c3i 3 หลายเดือนก่อน +38

    2:27 ahsante kwa kuona na kutufahamisha dosari zilizopo saivi katika kanisa la MUNGU lakini nikwambie kitu ambacho hujui na usidanganye watu na watu tunapaswa kutambua "KANISA LA MUNGU HALIJAANGUKA NA HALITAANGUKA KAMWE" yaani mpaka YESU anakuja mara ya pili

    • @EsterKindoli
      @EsterKindoli 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @pasiancydavid8029
      @pasiancydavid8029 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kanisa la Mungu ni lipi mpendwa

    • @pasiancydavid8029
      @pasiancydavid8029 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwasababu kama upo unajua kuwa SDA haijaanguka ni tatizo itabidi uwe mwana matengenezo SDA NOMINAL imepotea

    • @JumaJuma-c3i
      @JumaJuma-c3i 3 หลายเดือนก่อน

      Ufunuo 12:17​@@pasiancydavid8029

    • @richardkayanda2317
      @richardkayanda2317 2 หลายเดือนก่อน +3

      Ndugu usiwe mbishi Huyu jamaa kanena kweli, wenyewe tumo sda tunajionea mengi

  • @DotoS12
    @DotoS12 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe pastor ujumbe imefika mwenye sikio na amesikia kazi kwetu

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 3 หลายเดือนก่อน +15

    1. Mavazi
    2.Uhusiano na Makanisa mengine
    3.Kusuka
    4. Kuchonga ndevu
    5. Kucheza
    Sasa rafiki mbona unachanganya maelezo. Ninadhani unapozungumza jambo unatakiwa kuliongea kwa kina na kwa vielelezo na kwa mafungu ya Biblia na kuonesha uelekeo.

    • @FabianJuma-q8s
      @FabianJuma-q8s หลายเดือนก่อน

      ACHA kumpinga pr, hakika kanisan limefata mapokeo na tusipobadilik na kurejea, Mungu atatutapika

    • @mazaramatucha
      @mazaramatucha หลายเดือนก่อน

      @@FabianJuma-q8s sio kweli ila huyu ndiye anafundisha mapokeo

  • @WILLIAMDOMISIO
    @WILLIAMDOMISIO 3 หลายเดือนก่อน +21

    Mungu ana watu wake hata leo, haijalishi kanisa lina moto gani leo bado ndio kanisa la kweli la Mungu, hubiri neno na sio kulichambua kanisa lilivyo, kazi tuliyopewa ni kuutangazia ulimwengu Habari njema za Ufalme wa Mungu....

    • @JumaJuma-c3i
      @JumaJuma-c3i 2 หลายเดือนก่อน +2

      @WILLIAMDOMISIO kweli ndugu Kuna watu humu wanadai ni wa -SDA afu na mwenyewe wanasapot kwamba kanisa limeanguka na wengine wanathubutu kuwaambia watu wawe wanamatengenezo. Kanisa la MUNGU halitaanguka kamwe ni ahadi ya MUNGU na lilishapita ktk nyakat ngumu hata kuliko saiv lakini hakikuanguka

    • @ChanceBariziraVital-cv5jx
      @ChanceBariziraVital-cv5jx 2 หลายเดือนก่อน

      Umedanganyika lazima kukemea nakuonya

    • @JumaJuma-c3i
      @JumaJuma-c3i 2 หลายเดือนก่อน

      5jx nitajuaje biblia inasema "uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndio kweli". Nitashngaa km neno la MUNGU leo limekuwa la uongo km unasema limenidanganya

    • @murimijulias2339
      @murimijulias2339 2 หลายเดือนก่อน

      Habiru ipi na hamna dugu

    • @WilliumMbwale
      @WilliumMbwale 2 หลายเดือนก่อน

      Yupo sahihi sisi Adventist tumezidikupotea tusiogope viboko

  • @FabianJuma-q8s
    @FabianJuma-q8s หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni mwadiventista kabisaa, tuachen kukasirik kweny ujumbe huu! Yaan nimeamin kuwa bado mungu anatupenda maana anatukumbusha❤ nalipenda kanisa langu mungu aturehem na aturudi2

    • @petermwega3566
      @petermwega3566 หลายเดือนก่อน

      Mpemde Mungu wachana na kanisa

  • @adeleyonazi8361
    @adeleyonazi8361 2 หลายเดือนก่อน +5

    Pascal tumika sema usiogope hatuwezi kuungana serikali na dini ! Asante kutuwekea wazi na kukemea uovu ndani ya kanisa la Mungu. Wasabato tumepotea tumeiacha nuru tumealika giza. Mungu asante kwa ajili ya Pascal.

  • @ernestgodwin5705
    @ernestgodwin5705 2 หลายเดือนก่อน +12

    Brother wasabato hatufundishi mpenzi ila wasabato wana vipindi vya mahusiano Kwa muda mfupi hususani katika effort linalotolewa Kwa watu wa umri husika,,maana sasa hivi swala Hili la mahusiano linaharibu Sanaa maisha ya watu,,, watu wanaacha kanisa,,watu wanaua wake zao,,migogoro kwenye familia haiishi,,, jifunze Zaidi katika hili ,,,,ila kwenye swala la mavazi wasabato tunazingua kusema kweli,,, tubadilike ,,, ila Mr Pascal jitabidi Sanaa kujifunza kabla hujatoa mafundisho.kama haya,,,umechanganya ukweli na uongo ndugu

    • @GladnessIsaya
      @GladnessIsaya 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tangu zamani alikuwa haendagi kwenye makambi na hakuwa anahudhuria vipindi mgawanyiko wa madarasa....wanaopotoka ni mtu Mmoja mmoja asijumuishe

    • @paulmutuajustus5277
      @paulmutuajustus5277 2 หลายเดือนก่อน

      Hizi ndizo roho za chura yohana anasema.roho zindanyazo ,sababu ya kufauhuru uogo na ukweli wanachanganya .

    • @paulmutuajustus5277
      @paulmutuajustus5277 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ufunuo wa Yohana 16
      13 Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.
      14 Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.

    • @anordnziku9727
      @anordnziku9727 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mbona yeye Pascko kasian huyu alikuwa Mwimbaji mzuri kanisani akaenda kwenye Mashindano ya Bongo stat.je kanisa lilienda au yeye alienda.
      Na ushindi alioupata ni Wimbo wa kidunia ulioibwa na Banana zoro usemao.SUBIRA YANGU ILIYONIPONZA NAONEKANA MJINGA KWA SABABU NILIMPENDA KWELI.??
      je lilienda kanisa au Kwaya? Inamaa wewe ndio ilipotoka sikanisa

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 หลายเดือนก่อน

      Mimi sio msabato ila nifuatiliaji mzuri sana wa ibada zao hasa mikutano Kwa kweli wako vizuri mno kwenye mafundisho Yao
      Watoto
      Afya
      Ndoa na mahusiano
      Na neno ,tuwe watu wa kujifunza kwanza kabla hatujatoa mawazo yetu

  • @LydiaMaregesi
    @LydiaMaregesi 2 หลายเดือนก่อน +17

    Je, haujui kwamba Ndoa ikiwa salama ni Mbingu ndogo? Na mwenza wako ndio anaweza kukufanya uwe karibu na Mungu ama Mbali na Mungu? Ndoa ikiwa haipo salama, hata mambo mengine hayatakuwa salama.
    Ujumbe wa Yesu wa Mara ya Pili bado upo na unafanyika na ifahamike kwamba kama familia haitakuwa njema inaweza kuwa kikwazo cha wanandoa hao kutokuwa karibu na Mungu. Fahamu kwamba tuu, Ujumbe wa Unabii upo sana tuu na unahubiliwa kwa nguvu zote.
    Nakushauri Hudhuria Kanisa la Waadventista Kila Jumamosi, afu baadae njoo ushuhudie hicho usemacho Leo. 🙏
    Ninakuombea Wewe uwe miongoni mwa wasabato siku moja pia 🙏

    • @RittaBryson-co4vp
      @RittaBryson-co4vp 2 หลายเดือนก่อน +2

      Na iwe hivo

    • @ABSHEKIKALINDE
      @ABSHEKIKALINDE 2 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @ABSHEKIKALINDE
      @ABSHEKIKALINDE 2 หลายเดือนก่อน +1

      Asomae na aelewe

    • @magrethsindabaha1851
      @magrethsindabaha1851 2 หลายเดือนก่อน

      Tulishajifunza, kwa hiy tunajua unachokimanisha

    • @philemonemmanuel3167
      @philemonemmanuel3167 2 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa msabato na amezaliwa usabatoni ila yy ametoka amejianzishia kanisa lake

  • @Evharri
    @Evharri 3 หลายเดือนก่อน +26

    Wasabato tunaposkia ujumbe huu nini tunafikiria.mungu atawainua wengine wamalize kazi.tusemeni ukweli dini yetu ilibadilishwa .tirudini katika jia za zamani.

    • @chrispinmdachi551
      @chrispinmdachi551 3 หลายเดือนก่อน

      Kikosi kilishanyanya kinaitwa wahathiri hao ndio walisemekana watamaliza injili maana wachungaji wa SDA wengi hawatamaliza.

    • @chrispinmdachi551
      @chrispinmdachi551 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@Evharri kweli kabisa tulibadilishiwa Imani na misingi yetu tunafaa tufanye matengenezo ya kibinafsi bila kutegemea GC maana nikama wametekwa na munyama

    • @MaryKerush
      @MaryKerush 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu alisha inua watu wake wanamatengenezo wamejitenga n wadventista sasa hivi kisii last week watu walifanya matengenezo watu zaidi 60 walijititoa wakapatizwa upya

    • @GuzuraGuzura
      @GuzuraGuzura 2 หลายเดือนก่อน +1

      Uko sahihi ndg

    • @Dokii-pn2du
      @Dokii-pn2du 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo mungu wa herufi ndogo ulie muandika ata wainua manabii wa uongo

  • @yusuphjackson-r2u
    @yusuphjackson-r2u 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa hili nakushauri
    1. Mungu hawezi kuacha kanisa lake ambalo alilonunua kwa damu yake.
    2. Yawezekana ukakutana na magugu unadhani ni ngano pole sana.
    3. Waa dventista huifata inachosema walio nje sio,Ufunuo wa Yohana 22:15
    [15]Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.
    4. Nakuombea upokee roho mtakatifu nawe ujiunge na njia iendayo uzimani ni nyembamba hutaiona kirahisi,acha kuzurura na maneno bro naona nawe upo nje ya ibada ya Mungu muumba.

  • @OphiryNtirniga
    @OphiryNtirniga 2 หลายเดือนก่อน +3

    MR, karibu ktk Ibada ya Sabato ,ndipo utakapozijua NYAKAT,SHERIA, KANUN & HATIMA YADUNIA KABLA YAUJIO WAYESU,

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 3 หลายเดือนก่อน +21

    Kanisa halijapotoka ,mfumo wake uko sawa na unakemea ila baadhi ya waumini ndio hao wenye vituko; ngano na magugu , viacheni vikue vyote pamoja!

    • @JofryDaud-kc2du
      @JofryDaud-kc2du 2 หลายเดือนก่อน

      Viongo wamekuwa wajinga

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 2 หลายเดือนก่อน

      Acha ushamba Sasa unalosema baadhi ya waumini unamaanisha Nini ? Waumini si ndio kanisa?? Au kwako waumini ni viti na ukuta . Una macho lakini umekua kipofu huoni ,acha tabia ya kutetea dini Tetea YESU na Neno lake .

    • @MariamZakaria-ni1ki
      @MariamZakaria-ni1ki 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu akupe hofu unapo kwa unayoyatoa usipotoshe watu

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 2 หลายเดือนก่อน

      @@MariamZakaria-ni1ki we Mariam ,na Dhani hujasoma Quran 2:97 ukajionea ,kama hicho kitabu Mohamad alipewa na adui wa malaika Jubril ,unategemea kweli kabisa Cha kutegemewa Hadi Mtu aache Imani njema akafuate Hadithi??

  • @felisterpaul1815
    @felisterpaul1815 3 หลายเดือนก่อน +16

    somo la familia halijabadilisha ujumbe wa kulejea Kwa yesu mara ya pili
    achen
    bas

    • @wairanyanoel
      @wairanyanoel 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli unachokisema,,usiposoma Biblia unaweza ukapotezwa ukiwa hai,,,,nayeye mda unaoutumia kulisema kanisa unheutumia kuambia ulimwengu ambacho wasabato wameshindwa kusema na siyo kuwasema

    • @benjaminlawi1400
      @benjaminlawi1400 2 หลายเดือนก่อน

      @@wairanyanoel
      Hayo masomo ya Mahusiano, siyo injili kupitia hayo Ibilisi anatenda kazi sana, maana kwa sehemu kubwa wanatumia maneno yao wenyewe wala si neno la Mungu.
      Hivi mtu anapataje ujasiri wa kusema umuhonge mama yako?? Imenisikitisha Sana, et ulishamaliza kumuhonga mama yako? Mama ni wa kuhongwa??
      Afadhali usome neno moja la Mungu litawatakasa watu, kulliko maneno yako elfu ukidhani unawavuta kumbe unawasukumia mbali sana

    • @tabyjohn1490
      @tabyjohn1490 2 หลายเดือนก่อน

      ​Au angeyafanya yeye kwanza angeanza kwanza kuacha kunyoa denge ​@@wairanyanoel

  • @MakiwaShabanjumaMakiwaSh-zj9bp
    @MakiwaShabanjumaMakiwaSh-zj9bp 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awape kumfamu zaidi, msihukumu bila kujifunza pia mashindano yenu hayatotukatisha tamaa. Muwe na sabato njemaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @NELSONNGUSSA-vk6pp
    @NELSONNGUSSA-vk6pp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana mtumishi kwa kuonya makanisa

  • @amosemmanuel3528
    @amosemmanuel3528 2 หลายเดือนก่อน +3

    Aminaa ni muda wa kutengeneza na Mungu

  • @pkwiyeyacharles2539
    @pkwiyeyacharles2539 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kanisa la kwanza linaanzia katika ngazi ya familia, usipofundisha juu ya uhusiano katika familia au kaya na familia katika ulimwengu huu kanisa linakuwa la mashoga na wasagaji tu, angalia makanisa yasiyofundisha juu ya umhimu wa ndoa na familia utaona utofauti uliopo.
    Kanisa kamwe haliwezi kupokea ujumbe kutoka nje! We sema tu makanisa hayo ila siyo kanisa la Waadventista wa Sabato. Hili kanisa linapata maagizo kutoka kwa Yesu kupitia Roho Mtakatifu.

    • @LeahMalima-o3k
      @LeahMalima-o3k หลายเดือนก่อน

      Karibu kabisa ili ujue unacho kuongea kanisa la Mungu halijaanguka

  • @AnjelMgimwa
    @AnjelMgimwa 2 หลายเดือนก่อน

    Tafadhali mtumishi wa Mungu: Chukua tahadhari kulipaka matope kanisa la Mungu maana ni mboni ya jicho lake mwenyewe, acha kupambana na Mungu, hubiri watu waache dhambi na wamrudie Mungu. Utabarikiwa

  • @jocktankachekolela6202
    @jocktankachekolela6202 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pole shida unaongelea tabia za mtu mmoja kanisa ni la Mungu hakuna wakuliangusha

    • @agreymsalilwa7804
      @agreymsalilwa7804 2 หลายเดือนก่อน

      Kanisa ni watu sio jengo tumeanguka sana tunahitaji uamsho

    • @DaudMaginga
      @DaudMaginga หลายเดือนก่อน

      Mwenyewe tu alikuwa msabato na ameasi

  • @RachelMoses-b3c
    @RachelMoses-b3c 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana we Baba piga tarumbeta uwahubiri nyumba ya Yakobo dhambi zao Mungu akubariki sana

  • @marthanzayimana8448
    @marthanzayimana8448 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hata lionekane kanisa la Mungu Lina yumbishwa Bwana MUNGU atalifikisha salama jee swali langu kwako unapo towa maonyo haya kwa kanisa la Mungu alie hai jee wewe kaka yangu umechuwa hatuwa gani? neno la Mungu linasema waende kwa sheriya na ushuhuda kama hawaendi kwa sheria na ushuhuda bila Shaka hawana Asubui ISAYA 8:20 kitabu cha 1yohana 4:1:2 inasema wapenzi musiamini kila roho bali zijaribuni izo roho kwamba zimetoka kwa Mungu maana manabii wauwongo niwengi

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atukuzwe kweli nimeamin mungu hataishiwa wajumbe Asante Sana cassian Hawa wasabato wameingiliwa na ufreemason ni wapotofu Kama wapotofu wengine, ubarikiwe Sana sana

    • @descendantstz2867
      @descendantstz2867 2 หลายเดือนก่อน

      We naye ni mpuuzi eeh😂😂😂 hao freemason ulikutana nao wapi ndugu😂

    • @adeleyonazi8361
      @adeleyonazi8361 2 หลายเดือนก่อน

      Tuwe na sikio la kusikia tuache kumtafsiri vibaya, anaonya , Mungu ana njia nyingi za kutuokoa, anaongea ukweli kataa haya anayosema hayapo kanisani ??Roho Mtkf atusaidie kubadilika. Tumshukuru kutumika kutuonya. Tupo mwisho wa wakati .

    • @DaimonMwapelele
      @DaimonMwapelele 2 หลายเดือนก่อน

      @@descendantstz2867 siku zikifika ndipo utajua yuda alichukua saa ngapi vipande vya fedha il kumsalit yesu tuliambiwa tujihadhal na manabii wa uongo

    • @DaimonMwapelele
      @DaimonMwapelele 2 หลายเดือนก่อน

      @@descendantstz2867 ni ajabu mtu kuuliza Freemason kaulize Nan anaharibu maadil, Iman, tamaduni ninani anaeleta ushoga? Ni Nani anaeharibu din? Ninan anaeleta Maisha ya sodoma na gomora jiulize mapema kabla hujachelewa

  • @KamiliusPius
    @KamiliusPius 2 หลายเดือนก่อน

    Sema kabisa Ev Hawa wasabato siyo,
    Alafu Maana halisi ya Sabato siyo hiyo,
    Sabato ni pumziko,
    Ambapo mpaka Leo tuko kwenye UJ 2 wa Yesu,
    Yaani siku ya Saba,
    Mwisho wa kazi ya uumbaji wa Mungu,
    Sasana kupumzika hii Ndiyo Sabato,
    Sabato siyo msabato wa Ij mos ,
    By Pasta K Pius Athanas,
    From Buhongwa Mwanza,
    Amina.

  • @batistakigava5309
    @batistakigava5309 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, ukweli lazima uhubiriwe. Mungu akusimamie udumu kusema ukweli kuliinua kanisa la Mungu.

  • @FelisterJames-z8u
    @FelisterJames-z8u 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu akuinue kwa kusema ukweli kwa watu wa mungu hakika wasabato tuangalie tumeanguka hii nisauti ya mungu tusizalau.

    • @bensontongi5062
      @bensontongi5062 2 หลายเดือนก่อน

      Umeenda kweli tumeanguka kama kanisa.

    • @rosewanjiru9913
      @rosewanjiru9913 2 หลายเดือนก่อน

      Hapo hakuna sauti ya Mungu n shetani

    • @LaisaQueen-yb1uk
      @LaisaQueen-yb1uk หลายเดือนก่อน

      @@rosewanjiru9913you need some prayers

  • @victorkwemboi3725
    @victorkwemboi3725 2 หลายเดือนก่อน +1

    “Here is the patience of the saints: here are they that keep the commandments of God, and the faith of Jesus.”
    - Revelation 14:12 (KJV)

  • @peterkatete4008
    @peterkatete4008 หลายเดือนก่อน

    Hatarii sana kweli sabato inahitaji kujichunguza.

  • @PendoLubua
    @PendoLubua 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ooo😢 kanisa haliwezi kuanguka hakika litasimama milele ,,, acheni ngano na magugu yazaliane Hadi yesu arudipo na kuyapepeta,,, ndugu unapotosha watu ,,kuhusu ndoa na familia haijakatazwa maana Mungu pia alimuumba mwanadamu tens mke na mume,,, sikiliza manabii wa uongo watatokea kila mahali Acha kuchafua kanisa ,au biblia hubiri watu waokoke nasio kukosoa kanisa ,,, pole

    • @SelijusMalambo
      @SelijusMalambo 2 หลายเดือนก่อน

      Kasema kweli tubadilike

  • @kithinjikaremu-jw1ke
    @kithinjikaremu-jw1ke 2 หลายเดือนก่อน

    Mhubiri, you are saying the truth and truth only. Spirit of prophecy is also a testimony.

  • @LeahMchome-ek5bw
    @LeahMchome-ek5bw 2 หลายเดือนก่อน +5

    Wanaoanguka ni mtu mmoja mmoja kanisa la Mungu halitaanguka hata Yesu arudipo mara ya pili. Roho wa Mungu akukumbishe hilo.

    • @SafielMsuya-d2k
      @SafielMsuya-d2k 2 หลายเดือนก่อน

      Kanisa sio majengo ndugu yangu,ni mwili wa kirsto yaani watu wake,kuwa na sikio la kujifunza upone

    • @charlesfrancisthomas4898
      @charlesfrancisthomas4898 2 หลายเดือนก่อน

      Amekosa namna ya kufikisha ujumbe kwa watu wake, njia anayoiyona n kutafuta umaarufu kupitia wasabato,

    • @pasibalichako3736
      @pasibalichako3736 หลายเดือนก่อน

      Sijaelewa anaonya kanisa la wasabato au anawaonya wasabato?????? Mimi nadhan awaeleze wasabato waliotoka katika misingi ya kanisa kwa sababu hakuna sehemu kanisa lilisema ttwende kinyume na biblia mimi ni msabato naamin katika biblia na bilbia pekeeeeee

  • @DrJosephNyakigali
    @DrJosephNyakigali 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ninakushukuru mtumishi, kumbe wasabato Wana UJUMBE wa kweli UJUMBE wa familia ni muhimu sana na UJUMBE wa marejeo uko pale pale, kwa sababu wasabato Wana ujumbe wa kweli, ninashauri madhehebu mengine twende kwa wasabato tukaulize ujumbe huo wa kweli ni upi?

  • @JohnOuya-w7j
    @JohnOuya-w7j 3 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji kweli mungu amekuteuwa katika hizi nyakati za mwisho,ili ulirejeshe lirudi mwanzo,maaana kanisa za said mingi kweli yamepotea,napenda maùbiri yako mungu akutie nguvu na hekima zaidi barkiwa,

  • @Mjsanron7607
    @Mjsanron7607 2 หลายเดือนก่อน

    Point"Kanisa la wasabato ndio kanisa la Mungu"Ahsante kwa kutukumbusha Rafiki ila elewa kanisa la Mungu halina mipaka maana nila Mungu mwenyewe hivyo kama makanisa watatuhitaji hatuwezi Sita kwenda Ili wajifunze japo mamb machache yatakayo waamsha hapo walipo lala nakumrudia Muumba wao.

  • @AndreaChilasa
    @AndreaChilasa 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kanisa la Mungu liko vizuri kabisa ila kwenye msafara wa MAMBA NA KENGE WAMO.

    • @FabianJuma-q8s
      @FabianJuma-q8s หลายเดือนก่อน

      Kanisan la Mungu haliko vzuri, bali limeungana na ulimwengu, ni kwel tabia zetu na baadh ya mafundisho hayafai

    • @AndreaChilasa
      @AndreaChilasa หลายเดือนก่อน

      @Fkama fundisho lipi halifai

  • @StareheNgabo-uj8br
    @StareheNgabo-uj8br 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kanisa la mungu limeje gwa juu ya msingi imara nae ni Yesu kristo, halita anguka ,litasimama imara mpaka yesu aje kulichukua,
    Nakualika karibu nawewe ujiunge katika kanisa la kweli

  • @RachelJosiah-x1u
    @RachelJosiah-x1u 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kama unajua Mungu anatumiaa sabato wewe uko wapiiii kaka
    Alafu Mungu ni mwanzilishi wa kanisa ndiye atakaye lisimamia hadi mwisho mtu mmoja asijee akakufanya ukaona kanisa limekufaa

  • @rosekemunto660
    @rosekemunto660 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mnyoge mpunguvu ,mwenye dhambi ,niombee mungu anifanye kiumbe kipya pamoja na jamii yangu akatuandae kwa haji ya ufalme wake.

  • @Happy-wg7ex
    @Happy-wg7ex 3 หลายเดือนก่อน +1

    Very true pastor be blessed always

    • @yusuphjackson-r2u
      @yusuphjackson-r2u 2 หลายเดือนก่อน

      @@Happy-wg7ex how he is true

    • @elishadai-fv6ui
      @elishadai-fv6ui 2 หลายเดือนก่อน

      Kanisa liko sahihi kabisa ila wachache waliopo ndani ndo wanakosea hivo haimaanishi si kanisa la kweli

  • @AlufayoKyejo
    @AlufayoKyejo 24 วันที่ผ่านมา

    Unakosea sana Mungu anakuangalia uyasemayo Kanisa la Mungu linatunzwa na Mungu wakati huu ni wako kuondoka huko uliko kwasababu umekwisha kujua ukweli, wito ni kwako sasa

  • @MariamMwazembe
    @MariamMwazembe 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa kutukumbusha

  • @ngendamenyabenard
    @ngendamenyabenard 2 หลายเดือนก่อน

    Karibu tuungane kurekebisha hayo mapungufu uliyoyaona ktk kanisa la Mungu Kwa maana pamoja na kasoro hizo hizo ulizobaonisha Kwa waumini wa SABATO bado ni kanisa alilolichagua MUNGU kutufikisha mbingini,barikiwa.

  • @sayunisdachoirnyashimbakad5646
    @sayunisdachoirnyashimbakad5646 2 หลายเดือนก่อน +1

    Paschal Cassian alikuwa mwalimu wangu nikiwa Adventurer na Pathfinder pale kanisa la SDA Kadashi! Ujumbe wako Mwl. unaukweli ndani yake, maadili yameshuka ndani ya kanisa, lakini hii ni dalili ya siku za mwisho ambayo ilitabiriwa juu ya kanisa la Mungu, lakini pamoja na kuyumba huko, unabii unasema halitaanguka kamwe! Kwahiyo kuna sentensi moja naisahihisha hapo ambayo haijaendana na unabii "Kanisa la Mungu katika kupoa na kusukwasukwa halitaanguka kamwe"
    Wako, Iman Elisha James Chananja.

  • @barakamboj.17
    @barakamboj.17 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂 Dah! very interesting,.. kumbe watu kama hawa wapo,. ROHO wa BWANA na akukanye.. Pia kuweni makn watu wa MUNGU msizcklze roho zdanganyazo,..

  • @DotoS12
    @DotoS12 หลายเดือนก่อน

    Mungu ana watu wake ,hubiri marejeo ya kristo

  • @BONGO581
    @BONGO581 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kilicho nifurahisha kumbe anajua wasabato ndo wakweli alafu yy n wakupita tuh aah mpuuz tu kumbe

    • @shalomtv1803
      @shalomtv1803 2 หลายเดือนก่อน

      Polee mtumishi, unahitaji kunyenyekea sana kwa MUNGU

    • @barakamediatz5022
      @barakamediatz5022 2 หลายเดือนก่อน +2

      Muulizeni jina lake halisi kabla ya Hilo la kubatizwa na watu Anaitwa nani na kilichomtoa SDA ni nini

  • @CharlesGabriel-jc2sy
    @CharlesGabriel-jc2sy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ww usipomrudia mungu tutakupoteza Neno la mungu linasema mwenzako akikosa nenda umuonye na akikubali umempata ndugu yako Sasa sijui umetumia andiko Gani kuropoka ovyo mtandaoni acha ujinga wakala wa shetani na ww ni shetani

    • @barakamediatz5022
      @barakamediatz5022 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu Bwana mdogo anatak kuvuka mipaka maana anajisahau kwamba alikuwa SDA na nimemfundisha Idara ya Vijana Hadi anaingia BSS ni Mimi na kaka yangu tulikuwa tunamtengenezea Bit Tena ucku,Alijichanganya kwa kudanganya makanisa na ahadi za uongo baadae akafilisika hata pesa za BSS hatukuona Cha pekee tofaut na kudhulumiwa.Aliahid makanisa mengi ya kisabato kuwa wampigie kura,akishinda BSS atawanunulia vyombo,wengine Keyboard n.k.
      Sasa anasahau kuwa tunamfahamu kwa jina la MWAMEDI MALIATABU jina lake halisi kabla ya kubatizwa jina la kizungu.Mwenzake Peter Msechu tunaona anaendelea japo anaimba nyimbo za kijamii n.k.
      Ngoja tukichoka tumuweke wazi.

    • @HezekiaJosephat
      @HezekiaJosephat 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@barakamediatz5022anataka apoteze na wengine

  • @AbelNtogwa
    @AbelNtogwa 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Mtumishi Wa Mungu Kiukweli Unaongea Iliyo kweli kabisa..Mimi poa ni Mwadventista kabisa kabisa lakin kanisa Limeyumba Kweli ila Kwa Vile li Mikononi mwa Kirsto Naiman Litakua Salama Kama Tukirejea Kunyoosha Mapito yetu

  • @PelesKazoya
    @PelesKazoya 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulide babaangu nakuombea kwamungu mema zaidi
    Napenda sana ukweli

  • @emmanuelMaduhu-rt3sz
    @emmanuelMaduhu-rt3sz 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kanisa ni chombo cha Mungu naomba wafanyabishara kupitia jina laYesu fanyenyeni biashara yenu mliyotumwa na mkuu giza kugusa neno SDA

  • @magotimagessa821
    @magotimagessa821 หลายเดือนก่อน

    Sema njaa inatusumbua sana

  • @MeshakKaogo
    @MeshakKaogo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Niuerewa wake msamehe Neno Lita simama milele Nahodha wetu Yuko imala KRISTO Pekee Ndowa zitafundishwa watu waokolewe familia pia lazima zikemewe zinapo kengeuka kwenye mpango wa Mungu, Malaika wa3 ujumbe unawagusa bado tuko imala🙏

  • @bensonmachora841
    @bensonmachora841 หลายเดือนก่อน

    Hapo mtumishi unaongea ukweli na uongo. Kanisa la SDA halijaanguka lakini ni watu walio ndani wamepotoka. Kikundi cha uimbaji cha msanii si cha wasabato bali ni kundi la waimbaji wa makanisa mbali mbali waoimba pamoja. Sababu ya hilo, walichua wao. Asante kwa maonyo na tuzidi sana kwa hi ilo

  • @barakamediatz5022
    @barakamediatz5022 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi siku nikiona umeandika jina lako halisi na ukaongea kwa nukuu za Biblia ntasema kitu...ILA
    MIE NAKUKUMBUSHA KURUDI NYUMBANI MDOGO WANGU NAFASI INGALIPO.
    Yapo ya kweli usemayo lakini mengi ni utashi wa kibinadamu.
    Mungu atusaidie kumjua na kujitathmini sisi kwanza kabla ya wengine.

  • @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
    @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wamungu ubalikiwe sana uko sahii sana unatupenda sana wote injili Yako Haina ubaguzi songaa mbele

  • @josephnyandusi6616
    @josephnyandusi6616 3 หลายเดือนก่อน +2

    Every bit of the message is a truth, as an adventist I just feel ashamed.

  • @trizahmmbone
    @trizahmmbone 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu anasema acheni ngano na magugu vikue pamoja yeye mwenyewe atakuja kutenganisha.usichambue tu kanisa brother,elekeza nini kifanyike maana ulimwengu saizi umechanganyikiwa.wakati tulipo ni wa hatari sana kila mtu ajichunguze na kufnya. Matengenezo

  • @theevidenceofchristchoir
    @theevidenceofchristchoir 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe uko wapi sasa, kama unajua sabato ni dini iliyopendwkezwa na Mungu bas njoo uwambie vizuri Pr

  • @laliaelulu1815
    @laliaelulu1815 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutie nguvu mtu wa Mungu.

  • @maryvictor7112
    @maryvictor7112 2 หลายเดือนก่อน

    Kinachokusumbua ni wivu nahuo uasi umeasi sabato hatushangai jitihada zako za kulichafua kanisa..Bila shaka huna hubiri la kuongoa wengine ,pole sana.Rudi nyumbani mwananguMungu atakurehemu.

  • @ZephaniaWilly
    @ZephaniaWilly 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe pst wanaokupinga wewe sio watu wa injili au wanaomtegemea Mungu

  • @LatifaMnzava
    @LatifaMnzava 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi ni muadventist hakika, huu ukweli na utuweke huru kubadilikaa naturudi katika njia iliyosahihiii,, Mungu atusaidiee kwa kweli hii🙏🙏🙏

    • @BONGO581
      @BONGO581 2 หลายเดือนก่อน

      Tumia akili ww huo ni uongo izo video sio za kweli n muongo

    • @kubojajoseph3226
      @kubojajoseph3226 2 หลายเดือนก่อน

      Nakupa pole Latifa na sidhani kama umeiva kiimani.

    • @williammakali1759
      @williammakali1759 2 หลายเดือนก่อน

      Mtumishi usihukumu. Hubiri injili tu.

    • @Joycembwambo-x2q
      @Joycembwambo-x2q 2 หลายเดือนก่อน

      Alafu tunapo comment tuangalie hoja ya huyu mtu, ni swala la ndoa kufundishwa knxan, kitu ambacho hakipngani na maandko bali kinaungwa mkono na maandiko

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 หลายเดือนก่อน

      Halafu kama watu hawatafundishwa kanisani je wakajifunze wapi?

  • @JohnSamwelMakolo
    @JohnSamwelMakolo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli huu ni mchungu,, ni UKWELI USIOPINGIKA, HAKIKA WASABATO HAPA TUMEAMBIWA, TUMESEMWA, TUMEONYWA, na tusiposikia tutaangamia mmoja baada ya mwingine.

  • @PaulRichard-w6q
    @PaulRichard-w6q 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hakika hizi ndizo siku za mwisho zilizoandikwa ndani ya biblia, Mungu akuzidishie mafunuo ya kutufunulia kile Mungu kasema nawe

    • @dannyking8908
      @dannyking8908 3 หลายเดือนก่อน

      Ndo siku za mwsho ndio na Ukiona ndo za mwisho Pambana sana maana yapo mengi ya siri yakujua...😂

    • @Sophiebilshan
      @Sophiebilshan 2 หลายเดือนก่อน

      Kuhusu kucheza na hako ka wimbo sio kweli, lakini ndoa ilikuwepo tangu edeni na sio kila wakikutana sio kwamba wanafundisha ndoa tuu

  • @FabienMuteba-fv6nu
    @FabienMuteba-fv6nu 3 หลายเดือนก่อน +4

    Endeleya kupiga kelele kwa kwambiya makosa yao na nyumba ya yakobo (isaya 58:1)

  • @MichaelMlimilwa
    @MichaelMlimilwa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kanisa la Mungu halijapotoka we kijana,, masuala ya familia ndo kanisa huanzia huko,,familia ikiimalika na kanisa linaimalika,,halafu usiseme tunafundisha hayo tuuu fatilia vizuriii usije ukakufuru Mungu akakushughulikia

  • @rabeccakwekwemungumi6441
    @rabeccakwekwemungumi6441 3 หลายเดือนก่อน

    Pastor ach mungu azid kukufunulia ukweli n unene ukweli watu wapat kipona maan kiukweli hakun injili ya yesu n injili ya ndoa tu bibilia linasem nirudien mm mkaokolewa

  • @ElizaphanKamando
    @ElizaphanKamando 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yawez kuw kwer ila tambua kuw injili yoyote inayohubiliwa kwa kuponda kanisa au Dini flan ni injili ya kigeni, hubir kile biblia inasema, pili kanisa linawez kuyumba kana kwamb linatak kuanguka lkn halitaanguka, na Yesu mwenyewe ndie kiongoz, hatukatai shetan yumo kanisani maana anayo kaz ya kuwaangusha watu, lkn yule anayevumilia hadi mwisho ndiye atakayeokoka, na unabii unasema siku za mwisho kanisa la Mungu litarudia hali yake ya awali na hakuna kanisa lingine analolishambulia shetani km kanisa la sabatho

    • @elinamussaally
      @elinamussaally 3 หลายเดือนก่อน

      Umenena vyemaaa mtumishi

    • @henrymwenda4743
      @henrymwenda4743 3 หลายเดือนก่อน

      Kanisa la sabato ndio kanisa la Mungu?

    • @paulomtweve3819
      @paulomtweve3819 2 หลายเดือนก่อน

      Jipeni moyo ila itajulikana

  • @SimonBaran-q4n
    @SimonBaran-q4n หลายเดือนก่อน

    Yesu alikuwa na wanafunzi kumi na wawili mmoja akajitofautisha na wale 11

  • @JaneNduku-k9s
    @JaneNduku-k9s หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa Yale unayosema lakini wokovu ni WA mtu binafsi mahali tumefika. Muhuri wa Mungu ni sabato na Mungu ana watu wake ambao ni waaminifu..biblia inasema kuwa Kuna makundi mawili: ngano na magugu

  • @SeifJuma-yt1pk
    @SeifJuma-yt1pk 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kka casian sikunyingi uendi kanisani hakuna kanisa linalofundisha khs kurudi Kwa yesu na kujiandaa SSI atujitapi ila sabato limesheheni mafundisho yoooote ukitaka package karibu kanisani njoo ushuhudie kanisa la wasabato lilivyo na mafundisho mazuri njooo kijana hujui lolote

    • @BONGO581
      @BONGO581 2 หลายเดือนก่อน

      Mwambie huyo mpuuz

  • @nkurunziza55
    @nkurunziza55 3 หลายเดือนก่อน

    Endelea Mtumishi na usichoke..Asante sana..

  • @GFM_Business_academy
    @GFM_Business_academy หลายเดือนก่อน

    hongera umeweza kuonyesha udhaifu wa makanisa ya wasabato nje ya Tanzania lakini cha ajabu unayasema makanisa ya kisabato nchini Tanzania. watu wangependa kuona mifano ya makanisa ya wasabato Tanzania yaliyo asii. Ukweli ni kwamba Tanzania wasabato licha ya makosa yao hawana shida kama mataifa mengine ndio maana umeshindwa kutoa mfano wa makanisa ya wasabato Tanzania.

  • @estherMhina-oq8we
    @estherMhina-oq8we 2 หลายเดือนก่อน

    Jitafakari utubu hujaongea kwa hekima ya Mungu bila kujali wote ni wanadamu na nadhani hujamjua Mungu vzr yy ndie ahukumuye ananijua mm na anakujua wewe Mungu atusaidie tujiandae kwa ujio wake mara ya pili.

  • @chrisshonga
    @chrisshonga 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mathayo 13:27-30
    [27]Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?
    [28]Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye?
    [29]Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing’oa ngano pamoja nayo.
    [30]Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu.

  • @FarajaSabai
    @FarajaSabai 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu anawaona

  • @LawiLeo
    @LawiLeo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika Mtu wa Mungu unayosema ni kweli kabisa,akupe heri kwa kupaza sauti kwa kazi njema unayoifanya

  • @GFM_Business_academy
    @GFM_Business_academy หลายเดือนก่อน

    halafu umekosea sana mtumishi, hiyo video inaonyesha watu wakicheza kanisani katika ile dakika ya 55, hao sio wasabato. Hamna kanisa la wasabato duniani linaloitwa South West Region na halina hata nembo ya kanisa. Rekebisha hiyo video mtumishi na Mungu atakubariki

  • @barikimaluli6107
    @barikimaluli6107 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumish mungu akusimamie hiyo ndio kweli tunayohitaji ulimwengu wa leo

  • @kamwelagospelmusic9231
    @kamwelagospelmusic9231 2 หลายเดือนก่อน

    Kanisa halijaanguka ila wewe umekosa ujumbe na huna ujumbe wa kuwaambia watu ndo unahangaika kutafuta maneno kutoka kwenye kanisa la Mungu na kanisa la Mungu likifanya maombi kwaajili yako utajutia maisha yako,tafuta ujumbe wa kuwaambia watu wako.

  • @DenisOmar-ni7lm
    @DenisOmar-ni7lm 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana akubariki mtumishi kwa ujumbe wa ukweli wa sasa

  • @JelasNtima
    @JelasNtima 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sikiliza wewe, umesahau unabii ulivyo tabili, kuhusu siku za mwisho,
    Sawa sikukatazi mtazamo wako, asante kwa kutoa hubil kama hili mtandaon

  • @JOELYGODWIN
    @JOELYGODWIN 2 หลายเดือนก่อน

    Hata litachafuliwa kwa namna Gani Bado litasimama imara mana MUNGU mwenyewe analilinda kanisa lake, siku atakapokuja ataweka ngano ghalani na makapi kuyachoma Moto, Mungu akusamehe bure na akulete zizini mwake, mana ni kondoo aliyepotea anatafuta walipo wenzake,

  • @JacquelineJoseph-hw8uh
    @JacquelineJoseph-hw8uh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Siku ya hukumu kila neno alilolinena mwanadam litaletwa hukumuni naye atatoa hesabu ya maneno yake siku ya hukumu, pole Mhubiri rudi uchunguze Maandiko kabla ya Siku ile. May Lord have mercy upon thee.🙏🙏🙏

  • @ShijaNgassa
    @ShijaNgassa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mtumishi wa mungu

  • @FrolaManya
    @FrolaManya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Muonapo hayo changamkeni mkaviinue vichwa vyenu,,,,neno la mungu lipo na litadumu milele na milele na unabii utatimizwa..

  • @ELISHDeus
    @ELISHDeus 2 หลายเดือนก่อน

    Amina tukumbushe mtumishi

  • @dannyallysmgonja
    @dannyallysmgonja 2 หลายเดือนก่อน

    huduma yako haina mibaraka huna jambo la kuhubiri ueanza kuyagusa akanisaaaa pambaniaaa huduma yakooo kaka wokovu wako na familiaaa yako mjinga mmoja wewe paschal cassian tumia hakili yakooo hapooo umenichukiza sana sana kama ningeweza hata kuifunga kaziii ya mikono yako ningeizuiaaa

  • @BONGO581
    @BONGO581 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukwel cassian umekua tahira kwan kanisani kwake siwanavaa hivoo hivoo tu sasa mavazi ndo yanaangusha kanisa alafu hicho kilefu cha sda mbona kakibadilisha yeye ili kupotosha watu cassian mm n muumin wako lkn kwa wasabato apo umesema uongo tuh hawapo hivo ulivo sema

    • @ChanceBariziraVital-cv5jx
      @ChanceBariziraVital-cv5jx 2 หลายเดือนก่อน

      Haunamcho polesana

    • @johnzacharia
      @johnzacharia 2 หลายเดือนก่อน

      Huogopi kumtukana mtumishi wa Mungu, punguza ukali wa maneno ndugu

    • @BONGO581
      @BONGO581 2 หลายเดือนก่อน

      Cjamtukana lkn huyo sio mtumishi wa mungu angalia anavo ongea ​@@johnzacharia

    • @BONGO581
      @BONGO581 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@ChanceBariziraVital-cv5jxkama kwel huyo n mtumish abadilishe uongeaji wake anaongea kwa kupayuka

    • @HezekiaJosephat
      @HezekiaJosephat 2 หลายเดือนก่อน

      Awe anaweka ushahidi kwamba ni kanisa la wasabato sehem gan ili tujifunze Kama ni kweli au ndo anatafta waumini

  • @Elias-Levelian-Rubanza
    @Elias-Levelian-Rubanza 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtoto wa BWANA

  • @LujaLukalanga
    @LujaLukalanga 2 หลายเดือนก่อน

    Unadanganya vipofu wasijua nembo halisi ya kanisa maana hata kirefu cha SDA umekosea sana ,,,Naamini Mungu atakushughulikia maana hata hiyo pumzi ni ya kwake unayoitumia vibaya ,,acha kulingia hiyo sauti ,,jamani hao wanaoimba wameigiza tu maana kunivitu wanapwaya

  • @AnethBryson-c8s
    @AnethBryson-c8s 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiweeeee mwalimu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tusome maandiko

  • @JuliaLumande-r4p
    @JuliaLumande-r4p 3 หลายเดือนก่อน

    Pôle kabisa kakaetu🤝💖🧎‍♀️baba mungu usaidie tusiaibike milele 🙏

  • @mercyleendaughter
    @mercyleendaughter 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaaiiiih shindwe!!! Katika jina la Yesu! God is not happy with this man fighting God's church!!

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob 2 หลายเดือนก่อน

    Sema baba nipone😭😭😭 na Yesu anitazame kwa jicho la huruma!

  • @MagrethSimon-h1y
    @MagrethSimon-h1y 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbuka dhehebu halipeleki mtu Mbinguni, zingatia hilo.
    Ijue kweli nayo itakuweka huru na njia utaijua.
    Asante

    • @DaimonMwapelele
      @DaimonMwapelele 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe umefiliska yesu alianzisha kanisa la Kwanza la mitume lengo likiwa ni kuwaandaa watu kwa ajil ya ufalme wa mungu

    • @zakazakazi-fn6zy
      @zakazakazi-fn6zy 3 หลายเดือนก่อน

      Kama si dhehebubu utaabudia wapi

    • @LujaLukalanga
      @LujaLukalanga 2 หลายเดือนก่อน

      Usianzie mbali je,wewe watoto wako wanavaaje

    • @LujaLukalanga
      @LujaLukalanga 2 หลายเดือนก่อน

      Sema tu unavota watu wakutolee pesa ,Kama Ni mahubiri umefirisika

    • @LujaLukalanga
      @LujaLukalanga 2 หลายเดือนก่อน

      Tofautisha Kati ya wasabato na waadventisa ,,maana kanisa halijaungana kwenye umoja huo