HAYA NDIYO MAKUFURU NDANI YA KANISA |NABII ESTHER MASANJA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
- BADO KUNA USHINDI TV NI TV YA MTANDAONI INAYOJIHUSISHA NA MAMBO YENYE KUJENGA NA KUINUA IMANI YA KIKRISTO KUHUSU MUNGU WA KWELI YEHOVA. INARUSHA SEMINA, MIKUTANO YA INJILI, SHUHUDA ZENYE KUJENGA NA SIMULIZI MBALIMBALI ZA MAISHA YA MASHUJAA WA IMANI.
UNGANA NASI KWA KU-SUBSCRIBE, KU-SHARE NA ILI KUBORESHA HUDUMA HII UNAWEZA KUCHANGIA AU KUTUMA SADAKA YAKO. KWA NAMBA +255 718 600 557, + 255 629 920 640. PIA NAMBA HIZI UNAWEZA KUZITUMIA KWA MAWASILIANO. JINA LITAKALO TOKEA UKITUMA SADAKA YAKO NI DANIEL ANTHONY KITUA. UBARIKIWE
Mtumishi tatizo siyo washirika tatizo ni wachungaji wetu hawakubaliani kabisa kama vyombo vya uzuri ni dhambi. Hata uchunguzi hawataki kufanya. Mama yangu mdogo aliokoka miaka ya themanini anasema hawakuruhusiwa kabisa hivyo vitu mfano kusuka, eleni, mikufu, bangili, nguo fupi, suluali, nguo za kubana nk. Yesu tusaidie
Asante kwa ujumbe nzuri kwetu tutalifanyie kazi Bwana Yesu atusaidie sana
Mungu atusaidie sana
Tunamhitaji Mungu sana sana 13:21
Mbinguni huendi na mtu mpendwa, na hata Biblia inasema usiogope yule anayeweza kuua mwili tu na hana mamlaka juu ya roho bali muogope yule mwenye amri juu ya mwili na roho pia.
Umeusikia ukweli, amua wewe kubadilika uiokoe nafsi yako
Amina mtumishi ubarikiwe kwa ujumbe mzuri ongea tupone
Amina Amina mama
Mtumishi wa Mungu barikiwa
Amina mtumishi
Ubarikiwe mtumishi
Kweli mutumishi wa Mungu ubarikiwe sanaaa nausiasha kutuambeye Mama
AMEN
Halleluya halleluya halleluya
Amen amen amen 🙏🏽
Ameni ameni,Mungu atusaidie
Amen
Amina Mamy,,,,
Ameena balikiwa mtumish
Amen 🙏
Barikiwa dada ,nikweri
Amina ujumbe mzuri kwa kabisa la Sasa!!!
Amina
Hii ni kwel kabsa maana kuna watu hawatoki nyumbani mwao bila kuweka hayo matakataka wanayoyaita urembo
Amen 😔🙏🙌
Hakuna kanisa Sasa kanisa ni mtu aliyekamilika katika cheo na utimilifu wa kristo, majina ya hayo makanisa ni uongo wa shetani,
Mungu atuponye
Nakata ukavu kwa jina la Yesu kristo Mwokozi, bila wewe siwezi Roho mtakatifu naomba uniongoze,amen 🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤
Kufuru ya kwanza inakuhusu pia... Hii hapa 1Kor.14:34..
Watumishi wanathamini pesa hawstoi hukumu ya haki
Mtumishi bw asifiwe nk hapa bado,?
Mimi mwenyewe muhanga
Naungana na wewe wachungaji wanaogopa kuonya dhambi kwa kuogopa waumini kuondoka na kukosa sadaka
Amen
BWANA YESU KRISTO UTUREHEMU