HAWA ALIKUWA MKE WA PILI WA ADAMU| ADAMU ALIANZA KUUMBWA NA LILITH KABLA YA HAWA, HAKUWA MNYENYEKEVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 369

  • @hezronmlwale7416
    @hezronmlwale7416 6 วันที่ผ่านมา +7

    Maswali mazito na majibu mepesi kutoka kwa tapeli wa injili. 😢😢

    • @user-br4hg9tb5c
      @user-br4hg9tb5c 4 วันที่ผ่านมา

      Kweli kaka

    • @victoriousgospels
      @victoriousgospels วันที่ผ่านมา

      tapeli kweli kweli. ukweli anaujua hataki kuweka wazi kwani kashapotoka.

    • @AbrahBuraheze
      @AbrahBuraheze วันที่ผ่านมา

      hawez kujibi hilo swali kwa ufasaha jibu kwa ufupi hana na hawez kutowa jibu lenywe

    • @DottoVales-m7p
      @DottoVales-m7p 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @makaranga997
    @makaranga997 23 วันที่ผ่านมา +22

    'Gnosticism' Hii ndo hatari ya kutokukulitumaini Neno la Mungu (BIBLIA). History of Canonization inajieleza kuhusu Biblia. By the way Yesu alifanya reference ya TENAKH ( HEBREW'S LITERATURE'S) Luke 24: 44.
    Lilith story inatoka kwenye "Gnosticism" roots na wala sio maandishi ya kuambatanishwa na Biblia. Ni maandishi ya jamii za siri kinyume na Biblia ili kuupinga ukweli wa Biblia.
    GOD IS LOVE.

    • @user-ws1bs5sw4c
      @user-ws1bs5sw4c 22 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe ni kipi kinachokufanya uamini Moja Kwa Moja biblia?

    • @makaranga997
      @makaranga997 22 วันที่ผ่านมา

      @@user-ws1bs5sw4c
      Ushuhuda ndani ya Biblia ni dhahiri ukiisoma kwa moyo wa Imani (Kusikiliza Mungu anasema nini nawe). Pia ni kitabu chenye nguvu ya kubadilisha maisha, kimebadilisha ya kwangu. Lakini ili nikusaidie zaidi. Zipo sababu hizi
      1. Biblia ni kitabu cha kale kuliko vitabu vyote na wakati huohuo nikitabu cha kisasa kuliko vitabu vyote.
      2. Biblia ni kitabu kinachopemdwa sana na ni kitabu kinachochukiwa sana pia.
      Chunguza
      - Vita ngapi zimepiganwa dhidi ya Biblia
      - Ni mara ngapi watu wamejaribu kuitokomeza Biblia.
      - Ni watu wangapi wamepoteza maisha kwaajili ya Biblia.
      3. Ni kitabu cha pekee ambacho kimechukua muda mrefu zaidi kukiandika.
      4.Kitabu pekee kilichoandikwa na waandishi wengi (takriban 40), wasomi kwa wasio wasomi kwa wakati tofauti tofauti na kutoka mahali tofauti tofauti lakini ujumbe wao unapatana (Harmonious message)
      Ingawa waandishi hawakujua kama wanaandika Biblia na wala hawakushauriana.
      IKO SIKU UTAKUBALI TU, KUWA BIBLIA NI UJUMBE KUTOKA KWA MUNGU.

    • @sadalahitambujr1863
      @sadalahitambujr1863 22 วันที่ผ่านมา +4

      Kitheologiaaaa Kabisa umemjibu hayo anayoyasema Mzee n maneno ambayo hayavuviwa kutumika so the story of Lilith is not biblical

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 18 วันที่ผ่านมา

      Kuwatoa watu kwenye uongo waliodanganywa miaka mingi ni kazi ngumu sana. Wenye kusema Lilith story isn't biblical wanaweza sema hata story ya kitabu cha Henoko na vingine vilivyoondolewa pia sio biblical just kwa sababu havionekani "banned"

    • @barakalawrence742
      @barakalawrence742 18 วันที่ผ่านมา +3

      Biblia sio kama vitabu vingine vya dini vinavyosaidiwa na Hadithi na vitabu visivyo na uvuvio , mzee wa upako asidanganye watu kwa kutumia kitabu Cha Henoko

  • @AnipherChambo
    @AnipherChambo 20 วันที่ผ่านมา +6

    Jesus said that “a man shall leave his father and mother and be joined to his wife, and the two shall become one flesh.” Jesus spoke of one man and one woman marrying. He said that marriage is made up of one man and one woman. The two make one flesh.

    • @WillsEnterprise
      @WillsEnterprise 3 วันที่ผ่านมา

      Swali logical tu, statistically mbona wanawake ni wengi kuliko wanaume ina maana hao wa ziada hawana haki ya kuwa na mume au hawana haki ya kuzaa wameumbwa kuishi maisha ya upweke miaka yao yote hapa duniani??

  • @tomswai1912
    @tomswai1912 4 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa hiyo binadamu wakikubaliana ushoga ni njia ya mahusiano Mungu atayaheshimu? Kweli heri kijana maskini mcha Mungu kuliko Mzee mfalme mpumbavu. Kweli una kila sababu ya kuangalia ni wapi ulijikwaa ukaanguka ukatubu na kumrudia Mungu, ulianza kwa Roho ila unakoenda kumaliza waenda kumaliza kwa Mwili Mzee.

    • @user-br4hg9tb5c
      @user-br4hg9tb5c 4 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa kaka

    • @eliamtinda7222
      @eliamtinda7222 2 วันที่ผ่านมา

      Huyu Mzee hajawahi hata kuokoka ujue ila ni sasa ndo amejifunua alivyo!

  • @thomassalvatory8303
    @thomassalvatory8303 22 วันที่ผ่านมา +11

    au labda mm sijui ila kama nachosema ni sahihi huyu jamaa atakuwa muongo na mpiga dili
    yesu alisema yoyote amuache mkewe na kuwa na mwanamke mwingine amefanya uzinzi hapo hakusema wake amesema mke sasa hayo anayosema usimwache mke wa kwnza ameyapatia wapi

    • @christianmenas9528
      @christianmenas9528 17 วันที่ผ่านมา +1

      Tena kama Yesu aliwajibu akawaambia "Musa aliwaandikia Taraka Kwasababu ya ugumu wa mioyo yenu lakini tangu hapo mwanzo Mungu aliumba mwanaume na mwamke," Note; mwanaume yaani mmoja na mwanamke yaani mmoja. Tena imeandikwa mwanaume ataachan na wazazi wake na kuambatana na mkewe, elewe neno MKEWE.
      Huyu Mzee wa upako anapotosha sana tuweni sana makini

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@christianmenas9528kwani wanawake ni wangapi duniani na wanaume ni wangapi duniani? Ninyi mnahesabugi wanawake ila mbele ya Mungu mwanamke ni mmoja na mwanaume ni mmoja hata muwe ma Millions ni mtu yule yule uongo umeshawaharibu kichwani😂😂😂😂

    • @sharonyasin7521
      @sharonyasin7521 10 วันที่ผ่านมา

      Ni mtume paulo

  • @Brandpeople
    @Brandpeople 23 วันที่ผ่านมา +13

    Safi sana Mzee wa Upako, Nimeamini kweli unasoma na kutafiti mambo ya Biblia.
    kwa asiyefahamu, haya yameandikwa katika machapisho ya "The Alphabet of Ben Sira" katika tamaduni za kiyahudi kati ya 700-1000CE (Early jewish literature).
    Kwenye Biblia; Mwanzo 1 " Mungu akawafanya mtu Mume na Mtu Mke"....,
    Mwanzo 2 " Mungu akamfanya Eva...".
    Unaona kabisa kuwa kuna kipengele cha taarifa hazipo, na hakuna uhusiano kati ya Mtu Mke na Eva sababu kilichotolewa kwa Adamu ni Ubavu na sio (Mtu Mke).

    • @joshuamassawe2474
      @joshuamassawe2474 22 วันที่ผ่านมา

      Hivi utakua na akili timamu kweli kuamini kitabu kilichoandikwa kati ya mwaka 700 na 1000 AD kuhusu kuumbwa kwa Adamu? Na wala siyo early Jewish literature kwa sababu vitabu vyote vya Agano la Kale vime predate hiki kwa zaidi ya miaka 1,000! Tena kimeandikwa Uarabuni! Haupo serious wewe!😂😂😂😂

    • @HomeboyTZ19
      @HomeboyTZ19 22 วันที่ผ่านมา +2

      No kweli ukisoma biblia yoyote kuna contradiction hapo mwanzo 1.1 kuna maadishi yana miss, uumbaji wa mwanamke umetamkwa Mara 2 kama alivyoeleza jamaa

    • @Brandpeople
      @Brandpeople 22 วันที่ผ่านมา +1

      @@joshuamassawe2474 Ndio. Hapo ni sawa na mimi kukuuliza: Mbona wewe unaenda ibadani kumsikiliza mtumishi aliezaliwa juzi tu hapa, na sio myahudi na unaamini mafundisho yake?? Unaakili yimamu kweli??
      Ndugu, kama wewe unasoma biblia tu, basi unaufaham finyu sana kuhusu biblia yenyewe.
      Mwisho wa yote, utafiti ni jambo la mtu binafsi. kama wewe huamini Baki hivyo. Sio lazima kwako!

    • @Brandpeople
      @Brandpeople 22 วันที่ผ่านมา +1

      @@joshuamassawe2474 Haujaelewa, ndio shida. Ndo maana Mzee kasema "inatakiwa uwe na mawazo huru kuelewa mambo,sio uje na akili ya kimapokeo utabaki gizani".
      Nashauri ni vizuri utafiti mambo kwa kina kwanza kabla hujajibu.
      -Nimemaanisha Chapisho limeandikwa kati ya kipindi hicho lakini ndani yake limerejea mambo ya kale ikiwemo Kipindi cha Adamu.
      -Ni sawa na biblia ilivyorejea mambo ya Uumbaji Lakini haijaandikwa siku Adam anaumbwa.
      Hoja yako ni sawa na kuuliza : Hivi unaendaje ibadani kumsikiliza Mtumishi ambae ambae ni waJuzi tu, wala sio myahudi na hajawahi hata kuwaona waliomo kwenye biblia, alafu unaamini mafundisho yake??? Hivi unaakili timamu kweli?? Haupo Serious wewe!
      Hoja ya Uarabuni haina mantiki. Biblia uliyonayo imetafsiriwa na kuletwa kwako na WAzungu Wamissionari. Haikuletwa na Wayahudi.
      Wayahudi hawakutaka hata umjue Mungu wao.

    • @afropatriot7769
      @afropatriot7769 21 วันที่ผ่านมา +2

      Tatizo mnasoma biblia kwa akili zenu ndogo,uumbaji wa kiroho na mwili , kwa lugha zingine imesema kuumba na kufanya, mwazo aliumba roho na ndio maana aliumba kwa kutamka lakin akaja kuufanya mwili wa adam na akampulizia pumzi ya uhai na akawa hai, kisha akamtoa eva ndani ya adamu na mwili wa eva ulifanyika kwa mbavu moja , acheni kutunga maana kwakua mmekosa maana

  • @abdulikaku5080
    @abdulikaku5080 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tumepigwa sana. Nimelia sana baaada ya kusikiliza😢😢😢

  • @jonathanmwakabuku4714
    @jonathanmwakabuku4714 21 วันที่ผ่านมา +2

    Wasafi huwa tunapenda sana topic za vipindi vyenu vya mahojiano, tatizo lenu ni mnakelele sana yaani hamuachiani namna ya kuongea au kuhoji. Inakuwa kama genge la wahuni. Tungeomba mpeane interval ya kuhoji ninyi waandishi na mgeni mliyemuarika ajieleze kwa uwazi bila kuingiliwa ingiliwa.

  • @Kiganja
    @Kiganja 23 วันที่ผ่านมา +8

    Mahojiano ni mazuri shida iko kwa watangazaji wanashindana kuongea. Muwe mnapeana nafasi na kutenga muda wa kumsikiliza mnae muhoji.

    • @piusjoachim5843
      @piusjoachim5843 21 วันที่ผ่านมา

      Hasa kwny mada makini km hii

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 19 วันที่ผ่านมา +1

      Wengi hawajasomea uandishi wa habari wameletwa hapo sababu ya uchawa

    • @user-ut2uh2om3w
      @user-ut2uh2om3w 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@wemakingdaily1462sahihi kabisaaa

  • @mamawadudu48
    @mamawadudu48 20 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu mzee abatumia ujinga wa watu ili apate wanaume wengi kanisani kwake. Inasikitisha sana.

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 18 วันที่ผ่านมา

      Mbona wamama mmemjia juu mzee wa upako jameni😂😂😂 yupo sawa kabisa hapo turuhusiwe tu

    • @abdalahmwendafeysal9093
      @abdalahmwendafeysal9093 18 วันที่ผ่านมา

      Toa andiko lililokataza kuoa zaidi ya mke mmoja, andiko hupingwa kwa andiko

    • @abdalahmwendafeysal9093
      @abdalahmwendafeysal9093 18 วันที่ผ่านมา

      Toa andiko lililokataza kuoa zaidi ya mke mmoja, andiko hupingwa kwa andiko

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 18 วันที่ผ่านมา

      @@abdalahmwendafeysal9093 amdalah unawachokoza dada zako wa kikristo wanakuwa wakali tuliongelea hoja hiyo utawasikia sa si mbadili tu dini muwe waislamu!!!! Ukiwaambia watoe andiko wanakwambia ukileta mke ye anaondoka😂😂😂

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 23 วันที่ผ่านมา +29

    Ufirauni ndiyo dhambi kwa Mungu ila mwanaume anapaswa kuwa na wanawake wengi ili apate uzao mkubwa. Jiulize swali, kwanini ukinunua mifugo mfano ng'ombe unachukua dume 1 na majike 5 ili upate uzao ila kwa binadamu ukweli unapotoshwa?

    • @AmanEskaka-zt5nx
      @AmanEskaka-zt5nx 22 วันที่ผ่านมา

      Nmekuelewa

    • @jaderkyser9389
      @jaderkyser9389 22 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @PAMPHILCHAZO
      @PAMPHILCHAZO 21 วันที่ผ่านมา +2

      Una kitu broo

    • @user-id8ys3lg5d
      @user-id8ys3lg5d 21 วันที่ผ่านมา +2

      sawa sawa mpaka tujue ukweli wote😂😂😂😂

    • @jumaamohamed2815
      @jumaamohamed2815 21 วันที่ผ่านมา +1

      Point sana Mkuu

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 21 วันที่ผ่านมา +5

    Mzee wa upako tuthibitishie kwenye maandiko

  • @thomassalvatory8303
    @thomassalvatory8303 22 วันที่ผ่านมา +1

    so mi napinga naye kwenye issue ya mke wa pili based on new testament not old
    on the issue of lilith he might be right based on Gen 1:27 means God created male and female on his image so it means men and women were created same day on God's image the question is who is that woman because on Gen 2:18 it shows aganin woman was created from Men's ribs so its little contradiction so many might have but i think best people to explain this are Romain Catholic priests

  • @abdallaabdulrahman8319
    @abdallaabdulrahman8319 21 วันที่ผ่านมา +3

    Haya zamu yenu sasa Wakristu kumbe wake 2 sio zambi wala wamjakatazwa kuoa basi tushirikiane kupunguza wimbi la Singo mama.

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 18 วันที่ผ่านมา

      Amdalah 😂😂😂😂

  • @HappyAgilityPuppy-lg8wg
    @HappyAgilityPuppy-lg8wg 23 วันที่ผ่านมา +12

    tunaomba andiko

  • @gracelema2374
    @gracelema2374 23 วันที่ผ่านมา +4

    Hii story naijua na kunamastory mengine mengi amby wanadai et bibilia haijaandika...ni kutoka ancient books

    • @dahero160
      @dahero160 21 วันที่ผ่านมา

      Kuna kitabu cha enock ambaye na babu wa baba ake na nabii nuhu inasemekana hicho ndio kitabu chenye siri nyingi kiasi kwamba walioandaa haya maandiko walikitoa kisiwepo

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 22 วันที่ผ่านมา +7

    Bwana Yesu aliwajibu mafarisayo akiwaambia, hamkusoma yakwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mme na mtu mke, na kwasababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye kisha ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa ni mwili mmoja. Bwana Yesu hakusema mtu ataambatana na wake zake, alisema mke wake, yaani akimaanisha mke mmoja. Na ndo maana hadi leo ndoa ya kikristo ni mke mmoja tu. Mzee wa upako mwambie akasome maandiko kwa upya. Afu siku hizi amekuwa mwongo tu.

    • @user-ws1bs5sw4c
      @user-ws1bs5sw4c 22 วันที่ผ่านมา +2

      Tangia uanze kusoma biblia,umeona wapi Ibrahim aliambiwa kuwa umezini baada ya kuwa na mwanamke mwengine tofauti na Sara? Huo unaitwa utawala wa fikra

    • @user-ws1bs5sw4c
      @user-ws1bs5sw4c 22 วันที่ผ่านมา

      Sisi tunaishi katika tamaduni za kirumi bila kujijua,maana hata ubarikio wa ndoa haukuwa unafanyiwa makanisani ili ionekane yenye baraka bali ilikuwa ni makubaliano kati ya familia na familia

    • @user-ws1bs5sw4c
      @user-ws1bs5sw4c 22 วันที่ผ่านมา

      Rumi ndiyo ilianzisha kufunga ndoa makanisani

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 21 วันที่ผ่านมา +1

      Alisema hivyo kwakuwa mtu anaoa mmoja mmoja huwezi kuoa wengi kwa muda mmoja

    • @Manyoniartsonlinetv6441
      @Manyoniartsonlinetv6441 21 วันที่ผ่านมา +1

      ngu hakumba mwanaume na mwamke bali aliumba mwanaume tu badae akalete msaidizi akuumbwa elewa

  • @carolicarlos8699
    @carolicarlos8699 3 วันที่ผ่านมา

    Ibrahimu hakuwa mkristo.leta nifano ya Kianzia Yesu ndioe kielelezo chetu.chochote kabla ya Yesu kwenye hii mada haituhusi wakristo.

  • @samwelishilabhi6005
    @samwelishilabhi6005 13 วันที่ผ่านมา +2

    Kama unaitwa mkristo chanzo cha maarifa yako LAZIMA KIWE BIBLIA
    Na mkisto ana pata maagizo na kanuni za mungu akiiga mfano na maagizo ya Yesu YOHANA 15:14
    Visa vingi katika Biblia vimeandikwa ili kutu fundisha na viwango vya mungu vya mema na mabaya ni vikamilifu alipanga Biblia iandikwe na hakusahau jambo lolote SASA KWANINI USIULISE KWANINI YESU ALI KOMESHA kanuni iliyo katika
    KUMBUKUMBU LA TORATI 19:21
    Kwahiyo YESU ndiye nuru ya Ulimwengu aliletwa ili kututoa wanadamu katika giza na mizigo mizito hivyo kwa kuibeba nira yake ambayo sio mzigo mzito tutapata uzima wa milele
    MATHAYO 19:5 USOME NA MSTARI WA 8

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 3 วันที่ผ่านมา

      @@samwelishilabhi6005 1 Tim 5:23 SUV
      Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
      Biblia Hiyo yako inakuruhusu unywe pombe utasema Biblia kitabu cha mungu

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 3 วันที่ผ่านมา

      @samwelishilabhi6005 1 Samweli 15:3 SRUV
      Basi sasa nenda ukawapige Waamaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyonavyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, na mtoto anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda,
      Biblia yako inakuruhusu uuwe mpaka mtoto anaye nyonya mpaka ngombe bado tu unatetea kitabu amacho kila siku kinabadilishwa

  • @saadomari7150
    @saadomari7150 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sawa, lakini habari za Lilith chanzo chake sio bible moja kwa moja ila ni machapisho ya wayahudi.

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 19 วันที่ผ่านมา

    Mwanzo 1
    27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
    28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
    29 Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
    30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 18 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa neno hili wale wanaobisha kwamba Lilith hakuumbwa pamoja na Adam watuambie hapo kwenye "mwanaume na mwanamke aliwaumba" huyu mwanamke ni nani aliyeumbwa? Maana tumeambiwa Hawa alitolewa kwenye ubavu wa Adam

  • @user-kz9jo7rm3d
    @user-kz9jo7rm3d 21 วันที่ผ่านมา +4

    Mimi sina tena imani na dini yoyote asaiv 😢😢😢

    • @mpokimwakabuku8471
      @mpokimwakabuku8471 20 วันที่ผ่านมา

      Dini ya kweli ipo!

    • @victorguapo7827
      @victorguapo7827 20 วันที่ผ่านมา

      Sali imani yako itakuponya

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 19 วันที่ผ่านมา

      Wewe kwa Biblia hujui kuisoma na kuielewa? Soma Neno la Mungu likuongoze maisha yako.
      Maana lazima tukue akili tuweze kuchambua neno linaro tufaa tuchukue, lisiro faa tuliweke pembeni ili tuwe salama katika Imani yetu ya Kristo Yesu.

    • @geofreyfrank3149
      @geofreyfrank3149 15 วันที่ผ่านมา

      Kaka dini ni uongo wa shetani mwenyewe. Soma Mwanzo 22:1 Inapingana na Yakob 1:12.

    • @mpokimwakabuku8471
      @mpokimwakabuku8471 14 วันที่ผ่านมา

      @@geofreyfrank3149 Nimepitia hayo maandiko kaka,na kwa kweli Hayapingani.unahitaji tu kufafanuliwa kwa sababu maandiko hayapingani bali yanapatana!

  • @mwankunjatyson
    @mwankunjatyson 23 วันที่ผ่านมา +4

    Muwe mnasema na hivyo vitabu ni vitabu gani au hiyo mistari ya huyo Lilith

    • @Brandpeople
      @Brandpeople 23 วันที่ผ่านมา +3

      Kitabu kinaitwa "The Alphabet of Ben Sira" kiko katika tamaduni za kiyahudi kati ya 700-1000CE (Early jewish literature), ndio haya yameeelezewa.
      Kwenye Biblia; Mwanzo 1 " Mungu akawafanya mtu Mume na Mtu Mke"...., Mwanzo 2 " Mungu akamfanya Eva". unaona wazi kabisa kuwa kuna kipengele cha taarifa hazipo, na hakuna uhusiano kati ya Mtu Mke na Eva sababu kilichotolewa kwa Adamu ni Ubavu.

    • @mwankunjatyson
      @mwankunjatyson 23 วันที่ผ่านมา +2

      @@Brandpeople Ni kwanini hapo Mwanzo 1:26 tunasema ni Adamu akati haijaandikwa Adamu imeandikwa tuu Mume na Mke alafu sisi tunasema mume ni Adamu na huyo Lilith akati Biblia haijasema hivyo.
      Lakini huo ni utangulizi tu katika ufafanuzi wa uumbaji mtu wa kwanza ni Adamu na Hawa.Ukiniambia kama hivyo unavyosema unatakiwa kunambiya pia huyo mume alikua nani hapa pa Mwanzo 1:26 sababu hatuoni majina

    • @jacobnduya798
      @jacobnduya798 23 วันที่ผ่านมา

      Neno Lilith halipo kwenye bibilia lkn ukisoma vzr kitabu cha mwanzo sura ya Kwanza na kuendelea utagundua kuwa Adam aliumbwa kwa udongo na mke. hapo lkn siyo rahisi kujua. Lilith ipo kwenye hadithi ya maandiko ya wahahudi.

    • @mwankunjatyson
      @mwankunjatyson 23 วันที่ผ่านมา +1

      @@jacobnduya798 Kama ni hivyo bas Adamu sio wa kwanza maana Bibilia imesema aliumbwa mtu mume na mke hapa hayakutajwa majina lakini sisi tunaunda huyu mke alikua Lilith na huyu mume alikua nani sasa maana Mwanzo 1:26 haijasema

    • @Brandpeople
      @Brandpeople 23 วันที่ผ่านมา +1

      @@mwankunjatyson Ndio maana nimekupa "Source" ili usome kwa uelewa zaidi Mr. Mwankunja.
      Ukifuatilia utaona hadi majina ya Malaika watatu(3) waliotumwa kumrudisha Lilith Kwa Adamu baada ya kuamua kuondoka.
      Hata chanzo cha Lilith kuonekana amekosa Utii kwa Adamu kimeainishwa.
      Na pia maelezo kuwa Lilith ni nani na yuko wapi sasahivi/Leo hii.
      Kuna mambo mengi, kifupi kuelezea hapa kila kitu itakuwa ngumu maana kila jambo litazaa maswali mengine zaidi.

  • @FrancesJunior-e9f
    @FrancesJunior-e9f 13 วันที่ผ่านมา +1

    Acha uongo mzee babu!

  • @GoodFred-e7s
    @GoodFred-e7s 6 วันที่ผ่านมา +1

    Leo ndio nimesikia kuwa haha ni mke wa pili

  • @GombaRecords
    @GombaRecords 19 วันที่ผ่านมา +1

    Lilith aliweka kiburi coz wote ni quality moja Sasa iweje unitawale Lilith akalaaniwa.then akaumbwa hawa kupitia Adam ndio Adam akasema huyu ni Bora coz ametokana na Mimi atanitii finally mwanamke ni mwanamke tu hawa nae akamtia changalamacho Adam wakala tunda wakafukuzwa kwenye Bata wakaletwa huku tupambane na maisha haya ya uchawi fitna majungu roho mbaya kuuana kusalitiana na kila balaa Yani wanawake Wana shida Toka mbinguni sio hiku duniani tu

    • @methodemmanuel4658
      @methodemmanuel4658 12 วันที่ผ่านมา

      Leta andiko au references zinazoeleweka nami nijifunze.

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 23 วันที่ผ่านมา +3

    kwaiyo kila wanachokubaliana binadamu mungu anakiheshimu. pasta umetupiga apo

    • @Ndenza
      @Ndenza 23 วันที่ผ่านมา

      Wakusanyikapo wawili naye Yuko kat yao ujui?

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 23 วันที่ผ่านมา

      ​@@Ndenza
      Ndugu ni kwa Neno lake ndio Mungu anakuwa katikati yao,sio ujinga wa mwanadamu

    • @thomassalvatory8303
      @thomassalvatory8303 22 วันที่ผ่านมา +1

      kwahiyo watu wakikubali ushoga yy anaheshimu Muongo huyu mpigaji

  • @victoriousgospels
    @victoriousgospels วันที่ผ่านมา

    Hili swala ni rahisi sana kutambua aache uongo. turudi kwenye taratibu za Kikuhani na KUHANI NI NANI LEO?

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 4 วันที่ผ่านมา

    Mmoja anakua mama tu acheni hizo, imani mila za wazungu, hata mababu zetu kabla ukoloni walikuwa hata na 11

  • @GodfreyRichard-v4f
    @GodfreyRichard-v4f 18 วันที่ผ่านมา +1

    Baba Levo eti akuchagulie cha hovyo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ChristantusNyambo
    @ChristantusNyambo 16 วันที่ผ่านมา

    Fundisho hili la eva kuwa mke wa pili wa Adamu ni uwongo mkubwa sana sana na ni elimu ya kufikilika sana,chanzo ni mpinga Kristo na yameenezwa kutumia mitandao tu vitabu vya asiri havisemi hivyo.vimegushiwa .vitabu vyote vya kikatoriki,na kipentekoste ,hilo jina sio kweli

  • @WillsEnterprise
    @WillsEnterprise 3 วันที่ผ่านมา

    Swali logical tu, statistically mbona wanawake ni wengi kuliko wanaume ina maana hao wa ziada hawana haki ya kuwa na mume au hawana haki ya kuzaa wameumbwa kuishi maisha ya upweke miaka yao yote hapa duniani??

  • @davidjustin880
    @davidjustin880 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hata Media anayotumia mzee wa upako ni ya wajenzi huru mnatarajia kuna habari gani hapo? Mzee wa upako unaviashiria vya kwamba mwisho wako umefika, na Mungu hatokuacha uendelee kupotosha tunaomba uzima na maisha marefu tukushuhudie.

  • @abdalakambangwa2074
    @abdalakambangwa2074 19 วันที่ผ่านมา +1

    inaskitisha sana mchungaji hana elimu kuhusu neno la Mungu kiasi hikon😢😢😢

    • @shabanjuma7102
      @shabanjuma7102 18 วันที่ผ่านมา

      Wewe ndio hauna elimu, wewe umekariri, Hilo swala la Lilith lipo kwenye biblia ila wewe ndio hujasoma

    • @user-xd2tg8eq1h
      @user-xd2tg8eq1h 17 วันที่ผ่านมา

      Unatumia jina la kiislamu toa kwanza hilo jina andika la kwako usijifanye mwislamu kumbe ndo nyie walewale

    • @shabanjuma7102
      @shabanjuma7102 17 วันที่ผ่านมา

      @@user-xd2tg8eq1h kwahiyo unataka niitwe nani kama hutaki nitumie jina langu, legeza ubongo upokee maarifa usijifanye unajua Kila kitu kumbe vingi hauvijui

    • @danielpeter8085
      @danielpeter8085 10 วันที่ผ่านมา

      Anachosema mchungaji kunakaukwel .. mana apo mwanzo kuwa na wake wengi iliruhusiwa ..soma again la kale ...mfano Ibrahim tu ..utajua. lakn walirusiwa kwa agizo la kutokuachana

  • @SamwelJoseph-yk3cw
    @SamwelJoseph-yk3cw 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kuoa wake wawili watatu wanne, haikuwa hivyo tangu zamani,, kwani MUNGU aliumba mtu mume na mtu mke.

  • @tabletennis6296
    @tabletennis6296 22 วันที่ผ่านมา +2

    Jaman sio kwa ubaya ila hawa oscar wao ni wachambuzi wa kitu gan?
    Mpira wachambuzi wao
    Matukio ya kijamii wao
    Siasa wao
    Uhalifu wao
    Mbona imekaaje hiii?

    • @barakadugange2156
      @barakadugange2156 22 วันที่ผ่านมา

      We ulitaka wakuchambulie nini kat ya hivyo ulivyotaja

  • @user-hd7vt8fk5t
    @user-hd7vt8fk5t 21 วันที่ผ่านมา +1

    Nyinyi studio mnapiga mikelele swali aulize mmoja mumwache anaejibu ajibu mara mcheke cheke

  • @daudimlamka1239
    @daudimlamka1239 23 วันที่ผ่านมา +2

    mnakera na background music , yaani inakeraaa

  • @zachariangoyo6495
    @zachariangoyo6495 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzeee umeayaroga Sana Rudi Kwa MUNGU ukatubu

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 23 วันที่ผ่านมา +3

    Ila oska malaya sana 😊😊;;(baba wa imani ibrahimi ana wake wawili wewe ni nani)

  • @ZionEmanuel-ne8ob
    @ZionEmanuel-ne8ob 13 วันที่ผ่านมา

    Hapa nimeelewa kumbe uzao wa adamu kwa mwanamke Lilith upo na uzao wa hawa upo ndio maana kuna mambo yapo tofauti sana.

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 17 วันที่ผ่านมา

    Safi kabisa anaebisha aje atuoneshe wapi BIBLIA inasema usiowe mke mwengine😂😂😂

  • @pharesmitarya4892
    @pharesmitarya4892 23 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa ameshakengeuka,yafaa atubu.Kwa sasa anatumiwa na adui kwa kujua au kwa kutokujua

  • @samuelmwaipopo1302
    @samuelmwaipopo1302 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu mnyakyusa mwenzangu leo namvua vyeo.
    Mwanzo sura ya kwanza inaelezea kwa mukhtasar juu ya uumbwaji wa ulimwengu na mwanadamu mwanzo 1:27 ... Alimuumba mtu mume na mwanamke.... Lakini ukija mwanzo 2:7 inaelezea kwa undani jinsi binadamu/Adam alivyoumbwa. So mwanzo 1 ni synopsis ya siku za mwanzo. Hakuna sehemu. Au unataka kutuambia adam aliumbwa mwanzo 1:27 kisha akaumbwa na adam mwengine mwanzo 2:7. 😂😂😂😂 Sadaka zenu letu kwangu nilie chips naona huyu mzee mshamuungisha sana.😂😂😂😂

  • @bensonelisa3225
    @bensonelisa3225 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hvo vitabu vingine vimepatia wapi hzo habari ambazo hata kwenye bibilia hazipo!!?

  • @MapenziMalanda
    @MapenziMalanda 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee wa uwongo kitabu Cha bibilia hakina mbadala kime jitosheleza, nasio kusoma kwa akili unavyo sema, bibilia huwezi kuielewa bila ya msaada wa Roho wa Kristo. Sasa wewe Roho wa Kristo huna.

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 21 วันที่ผ่านมา

      hapo ndipo wakristo mnapoigwa yaani bibilia ili usome uwe na roho, roho manake malaika hv nynyi malaika haji tu atakipindi icho cha manabii wlikuwa hawaji tu mpaka watumwe na aliye waumba na siokila mtu ilikuwa kwa baadhi tu ya walengwa leo hii usome uwe na roho tkt dunia hii ya leo ya ushetani hakuna wakuongzwa au kutokewa na malaika kwa uchamungu gani mliokuwa nao mtu anaweza kupata ishara na hii inatokana na kiwango cha juu cha uchaMungu lkn sio malaika hamkeni hakuna cha roho wala nn

  • @KelvinJackson-xq5eu
    @KelvinJackson-xq5eu 12 วันที่ผ่านมา

    Mungu akusamehe maana hata hao unao waongoza utawapeleka motoni

  • @Kimwaga-b8p
    @Kimwaga-b8p 19 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni tamaaa za wanawake

  • @user-hd7vt8fk5t
    @user-hd7vt8fk5t 21 วันที่ผ่านมา

    Na Hilo li baba levo halijui kutangaza saiti lake Lina rafuzi ya ki muha muha,limetoka mda mrefu kigoma lakin bado linasound kimuha

  • @OscarDongo
    @OscarDongo 20 วันที่ผ่านมา

    Dah! Watu mna siri!? Hivi kumbe mwamba (Adam) alikuwa na EX wake kabla ya hawa!?
    Mnatukoroga kwa kweli........

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 18 วันที่ผ่านมา +2

    Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia.
    2 Petro 2:1

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 23 วันที่ผ่านมา +11

    Anajua sanaaa huyu mzeee🎉🎉

  • @hamisinano4709
    @hamisinano4709 22 วันที่ผ่านมา

    Ukiangalia kwenye move ya deval kingdom ya Steven kanumba Lilith ametajwa saana kama msaliti kwenye vitabu vya roho ya unabii

  • @Tundumaboyhumble_95
    @Tundumaboyhumble_95 11 วันที่ผ่านมา

    Naomba unisaidie kitabu kinachoongerea kuhusu Adam na wake zake

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mathayo 5
    31 Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka;
    32 lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 21 วันที่ผ่านมา

    Natamani siku moja wasafi wamualike bishop ngonyani fundi wa maandiko , alielezee hili sio hawa wachungaji njaa wasiojielewa afu bible ishaweka wazi na kusema tuzipime roho zidanganyazo na mafundisho ya kishetani

  • @costantinochimwaga4467
    @costantinochimwaga4467 23 วันที่ผ่านมา

    MWANZO 1:26 HADI 28 NI HABARI KW UFUPI KUHUSU KUUMBA WANADAMU NA JUKUMU LAO.
    LAKINI KWENYE MWANZO SURA YA 2, MUNGU ANATAJA HATUA ZA KUWAUMBA,NA MENGINE MACHACHE. MSTARI WA 7 ADAMU ANAUMBWA,BAADA YA KUANDAA BUSTANI,
    MSTARI WA 15 ANAMWEKA ADAMU HUMO.
    MSTARI WA 18 ANAMWAMBIA MPANGO WAKE YULE ALIYEKUWA ANAMSAIDIA KAZI KWAMBA ANAKUSUDIA KUMPA ADAM MSAIDIZI(Adam hakuwa anajua hilo)
    MSTARI WA 21 HADI 24 NI MCHAKATO WA KUUMBWA KWA HAWA.
    NA KUHUSU MUNGU ANA MAONI GANI KUHUSU NDOA,TAFADHALI,SOMA MATHAYO 19:4 HADI 9 (KUMBUKA ANAYESEMA MANENO HAYO NI YESU KRISTO)

  • @ednantabalwa1118
    @ednantabalwa1118 8 วันที่ผ่านมา

    Wanaume wanapenda ngono cheki yanavoshabikia umalaya tu kuoga aaah...😂

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 23 วันที่ผ่านมา +2

    Mmmh sio kweli

  • @user-vf9li5go1g
    @user-vf9li5go1g 5 วันที่ผ่านมา

    Anaweza kuwa tapeli lakoni wakristo wenzangu huo niukweli lilith ndyowakwanza kabla ya hawa

  • @draffael1
    @draffael1 17 วันที่ผ่านมา

    Uncharted waters!!!

  • @pauloshusha
    @pauloshusha 6 วันที่ผ่านมา

    Ukitafuta watu 2 duniani wasio mjua MUNGU. Wasiojua neno mzee wa upako nanba (1)

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pombe sio chai

  • @superbillionairea5987
    @superbillionairea5987 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ibrahim alioa mke mwingine akiitwa katula soma mwanzo 1.25

  • @mrkakamdg9852
    @mrkakamdg9852 22 วันที่ผ่านมา +1

    Tunaangamia kwa kukosa maarifa. Tusomeni biblia jamani

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 17 วันที่ผ่านมา

    Lilith kwenye bible Hilo jina halipo , na anacho kizungumza nii vitabu vya mediavel, wameandika hvyo vitabu , kwenye bible hakuna kisa chaa kusema Lilith hakumtii Adam😂

  • @BIGGIEMANN47
    @BIGGIEMANN47 22 วันที่ผ่านมา

    Et hakuna kichochoro chochote 😂🙌🔥🔥

  • @floraashery224
    @floraashery224 15 วันที่ผ่านมา

    Mzee anajua sana apewe maua yake angali hai

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 7 วันที่ผ่านมา

      Haya ndio maua yake _ asipotubu atakufa katika uangamivu na upotofu WA kile alichokiumbs kwa fikra zake!

  • @velxempire8995
    @velxempire8995 23 วันที่ผ่านมา +1

    asee mze wa upak acha kudanganya watu huy lilith ulimuona wapi upuuzi unazingua dhambi haikuwako kipind hik

  • @ibrahimabdallah4858
    @ibrahimabdallah4858 23 วันที่ผ่านมา

    A prominent idea within secular culture is that the Bible has been edited and portions of text were taken out. One such example cited by feminists is the character of Lilith.
    According to the story, Lilith was the first wife of Adam and was made from the dust of the earth like him. She claimed equal status with him and refused to lie under him because of it. Lilith fled the garden of Eden and refused to come back when three angels tried to persuade her to do so. She was then cursed to be the mother of demons and would seek to kill Adam’s sons. Adam, now having no wife, was given the more submissive Eve who would listen to and obey him.😊

    • @thomassalvatory8303
      @thomassalvatory8303 22 วันที่ผ่านมา

      so ifs true alikuwa na watoto na watoto wake ndio mademons au

    • @sheilaally9490
      @sheilaally9490 22 วันที่ผ่านมา

      this is not biblical view,

    • @victorguapo7827
      @victorguapo7827 20 วันที่ผ่านมา

      @@thomassalvatory8303yes alkua na watoto na waliuwawa na methuselah

    • @thomassalvatory8303
      @thomassalvatory8303 20 วันที่ผ่านมา

      @@victorguapo7827 where do you get this share refences

    • @thomassalvatory8303
      @thomassalvatory8303 20 วันที่ผ่านมา

      proof

  • @Assay-gn1wv
    @Assay-gn1wv 20 วันที่ผ่านมา

    Yaani huyu baba bwana, huyo lilith ameandikwa wapi????mbona mnapenda sana kuonekana mnajua kuliko Mungu sasa???kwaio mnaenda beyond alicho andika Mungu?kwamba vingine amesahau kuatuambia au??mzee mzima km huyu lusekelo hata busara hamna, hajui hata kwanini Mkristo anaoa mwanamke mmoja hajui???eti ndio viongozi wetu ptuuuuuuu

  • @franciscaleb5444
    @franciscaleb5444 10 วันที่ผ่านมา

    Vitabu gani ivo si tunaangalia neno la Mungu ndo linatuongoza saiz 😂😂😂

    • @hassanbukambu931
      @hassanbukambu931 9 วันที่ผ่านมา

      Ilo Neno limeandikwa kutoka kwenye vitabu hivyo anavyosema lusekelo ila walichambua TU wakaandika Biblia hii.halafu ikaaninishwa hivyo vitabu vingine ni ila za ibilisi na watu wakaanini hivyo Ndio maana mnampinga.

    • @franciscaleb5444
      @franciscaleb5444 9 วันที่ผ่านมา +1

      Vitabu vingine ndo vitabu gan?🤣😂

  • @bahatimassawe1502
    @bahatimassawe1502 23 วันที่ผ่านมา +2

    Aseee Uongo mtupu Sjui kanisa lake Lina hali gan? Hilo Andiko linatoka wap? Daaah very sad

    • @thomassalvatory8303
      @thomassalvatory8303 22 วันที่ผ่านมา

      na kuna watu wanaenda kusali kwake ni hatari heshimuni sana Roman Catholic coz wao wanastick kwenye bible hayo mengine hatuyajui

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 22 วันที่ผ่านมา

      ​@@thomassalvatory8303sawa kwasababu ya imani yako lkn sisi tuko na Bwana Yesu sio dini

    • @georgedalton2021
      @georgedalton2021 22 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa yesu mwenyewe alisema mtu kwenye ndoa akitoka nje anefanya uzinzi

  • @alanmwijarubi
    @alanmwijarubi 15 วันที่ผ่านมา

    Mwanaume akiwa na wake wawili au zaid, je kunakuwa na miili mingapi? Maana tumeambiwa mke na mume wanakuwa mwili mmoja.

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 21 วันที่ผ่านมา

    Akuna kitabu kinacho sema mtu awe na mmoja hiyo ni mipango tu ya watu furani kuupotosha ukweri hata sayansi ina kataa mke kua na zaid ya mume mmoja ila ina kubari mme kua na wake wengi zaidi maana yake mungu ndie alie amua piga ua na hata wewe unae pinga vil vimada vya nin baada ya mkeo fuata haqi acha kufata mbinu za wahuni waliozo panga

  • @danielphilipo9088
    @danielphilipo9088 23 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee wa upako amesoma dini ni kweli ninewahi kusikia hii habari

  • @Luckychap-dk9kb
    @Luckychap-dk9kb 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa anapotosha hakukuwa na mwanamke mwingne kabla ya hawa

    • @menastiem8637
      @menastiem8637 21 วันที่ผ่านมา

      Mwisho wa ufahamu wako ISIWE mwisho wa Watu kujua

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 22 วันที่ผ่านมา

    Huo ndio ukweli badala yakupigana na ushoga tunapingana kuhusu kuowa

  • @legrandmsangi8405
    @legrandmsangi8405 22 วันที่ผ่านมา

    Mzee wa upako ana kamba sana

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 23 วันที่ผ่านมา +1

    Hamna voice procedure makelele tupu

  • @dlfam1510
    @dlfam1510 17 วันที่ผ่านมา

    Mim sijui tu mbona watu huamini hawa watu wanajiita wachungaji.
    Mnadanganywa kabisa na wote mnachukulia kama mchezo.
    Wew mwenye unajiita mzee wa upako it's better utubu kitu unapotosha watu hapo otherwise the LORD will deal and rebuke you..

    • @yasinrasheed5743
      @yasinrasheed5743 16 วันที่ผ่านมา

      Soma wewe biblia vizuri usimuite MTU muongo bila ushahidi wewe mwenyewe ukristo umeukuta babu zako walikuwa wapagani

  • @muhinabakali7377
    @muhinabakali7377 17 วันที่ผ่านมา

    Upagani ndio wanao ufata wakilixto kwaxa babu wana muamini nabii xwelemani alikuwa na wake wangap

  • @willmjuma5354
    @willmjuma5354 4 วันที่ผ่านมา

    Sasa Lilith alifukuzwa akaenda wapi..???

  • @ommymehmed8880
    @ommymehmed8880 2 วันที่ผ่านมา

    Acheni kupotosha

  • @wadauwasizoni
    @wadauwasizoni 23 วันที่ผ่านมา +3

    Mpuuzi huyu anadanganya watu harafu anajisifu anajua biblia. Wajanja niwengi sana dunia hii ya leo kuwa macho mkristo Yesu anarudi

  • @kelvinmushubiro8187
    @kelvinmushubiro8187 20 วันที่ผ่านมา

    studio mnapiga sana makelele kwakwel,,kuna mda inabidi mkiuliza maswal mtulie kwnza mtu ajibu,, sio mnakuwa kama walevi walevi, hakuna utulivu kabisa,, au mnadhan ndo mnanogesha,,
    yan mfano had mzee wa watu anajitajd kuwatuliza

  • @AndrewJr-v5o
    @AndrewJr-v5o 11 วันที่ผ่านมา

    Sipati picha kama mahojian hayo angekuwepo mch Hananja nahis ningemuelewa.

  • @hamoudayoub2049
    @hamoudayoub2049 22 วันที่ผ่านมา

    Waongo hao Adam mke wake ni Hawa hakuna mwanamke mwingine

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 13 วันที่ผ่านมา

    Hii story niliwahi kuisikia mahali.

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee wa upako kweli muongo 😂😂😂

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 23 วันที่ผ่านมา

    Alipofukuzwa akaelekea wapi😂😂😂 dah mzee wa upako anawaokota

  • @maryammussa2835
    @maryammussa2835 19 วันที่ผ่านมา

    Huyo Mzee cjui wa upako mjinga Adam na Hawa ndiyo binadam wa kwanza kuumbwa,, yeye km anataka kuzini azini,, laaa km anataka mke zaidi ya mmoja mwambieni asilim

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 18 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 yaani nilipoona tu hii comment nikapata taswira ya kuwa huyu lazima ni mwanamke hata kabla sijasoma jina lako yet nakuta waitwa Maryam😂😂😂 mwacheni bhana mzee wa upako hapo yupo sawa kabisa nasi inabidi tuandamane turuhusiwe bhana hii mke mmoja ni ya akina Costantino walipotaka kuzuwia wingi wa wakristo

    • @user-ws1bs5sw4c
      @user-ws1bs5sw4c 17 วันที่ผ่านมา

      @@maryammussa2835 Sheria ya mke mmoja ilianzia wap?

  • @ChristantusNyambo
    @ChristantusNyambo 16 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee anayo hatari sana sana ,na ndugu zangu wakristo msifute haya mafundisho ni hatari sana

  • @IsaiahThomas-zf2gn
    @IsaiahThomas-zf2gn 21 วันที่ผ่านมา

    Umeona adera 😂😅 ila baba levo

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses 21 วันที่ผ่านมา

    Hao wazungu hapo mmewaweka wa nn wakati yesu sio mzungu ni mweusi

  • @maulidimpili698
    @maulidimpili698 19 วันที่ผ่านมา

    Kwa ilo mzee wa upako ni uongo kitabu gan kinasema hawa sio mke wa kwanza na tufuate bibilia au tufuate kitabu gan maana mamb yote yapo Kwenye kitab cha mwanzo

  • @joshuamassawe2474
    @joshuamassawe2474 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee ni mjinga! Anachanganya hadithi za kutunga na maandiko ya kweli! Huyu Lilith ni pepo, tena ameanza kuonekana kwenye literature za Wayahudi miaka 500 baada ya YESU na ni folklore, kwamba ni fasihi tu.
    MUNGU huwaaibisha manabii wa uongo siku zote. Huyu ni mmoja wao. Anataka kujifanya anajua kuliko Biblia ila kadhihirisha hajui chochote, na kama hajui hata hayo kuhusu hilo pepo analodai lilikua mke wa kwanza wa Adam basi hastahili hata kusimama madhabauni, anapotosha watu!

  • @martinjohn7854
    @martinjohn7854 8 วันที่ผ่านมา

    KUMBE MZEE WA UPAKO ANA WAKE WENGI SASA?

  • @silverman6930
    @silverman6930 23 วันที่ผ่านมา +6

    This guy is not a priest… janja janja tu …

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 23 วันที่ผ่านมา +1

      Amenyooka huyu mwamba ndio maana hamtaki kumuelewa

    • @dor9224
      @dor9224 23 วันที่ผ่านมา

      @@muksinimbaruku1233 tatizo kuna vitu tumekalilishwa sana.. n hatusomi..
      hilo la hawa kuwa mke wa pili ukisoma mtu atakuwa ameshapita

  • @luthermajoji7300
    @luthermajoji7300 22 วันที่ผ่านมา

    WASAFI MEDIA, MSIISHIE KWA MZEE WA UPAKO TU KWA SABABU HUYO SIYO MKRISTO TENA, ALISHAJICHANGANYA KWA KUTAFUTA UUNGWAJI MKONO KWA KUHALALISHA UOVU WAKE ASIOTAKA KUUTUBIA....! TAFUTENI WATU WENYE MAADILI YA KIKRISTO KAMA KINA GAMANYWA etc. ILI KUBALANCE STORY!

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 21 วันที่ผ่านมา

      Acha gwamanya bishop ngonyani ata gwamanya anasubiri pale