Style aliyoitumia Makongoro Nyerere kuomba kura za ubunge

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • April 4, 2017 ulifanyika uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki ambapo Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifanya uchaguzi huo Bungeni mjini Dodoma.
    Mmoja wa wagombea alikuwa ni Makongoro Nyerere ambaye style yake ya kuomba kura ilisababisha wabunge wengi kuanza kucheza kila muda alivyokuwa akiongea

ความคิดเห็น • 227

  • @julius.m.issame3311
    @julius.m.issame3311 3 ปีที่แล้ว +15

    Kama unacheki hii kitu 2021.mwezi wa 5 upo timamu mno

  • @adelphinusbikonya8534
    @adelphinusbikonya8534 4 ปีที่แล้ว +58

    Namuona Mwalimu kwa mbaaali ndani ya Makongolo, kama na wewe umeona hivyo like

  • @daudipeterstephano4940
    @daudipeterstephano4940 6 ปีที่แล้ว +20

    Kiukweli jamaa kama Baba yake hadi sauti.

  • @angelmwanaidi167
    @angelmwanaidi167 7 ปีที่แล้ว +15

    mtu anapigwa interview ya kingereza hapo, kwakua ni E. Africa. hapo kuzuga watu lakini kikubwa MTU anapimwa uwezo wa lugha ya kigeni

  • @franksylivestar7344
    @franksylivestar7344 7 ปีที่แล้ว +10

    Mimi naona kingereza kiwe kinapewa kipaumbele kwenye hili bunge.😃😃😃😃 hivi kweli shikamoo mzee katisha

  • @Mbingu77
    @Mbingu77 3 ปีที่แล้ว +4

    Waliokuja kuona hii baada ya uteuzi wa Samia tujuane

  • @denicemwitakabwere6770
    @denicemwitakabwere6770 3 ปีที่แล้ว +4

    Leo mjuba ni RC maisha yanaenda kasi

  • @binsultan6981
    @binsultan6981 4 ปีที่แล้ว +2

    Afrca masharli English ya nn katka bunge.huu ndo utumwa wenyew

  • @danielmwaipopo1858
    @danielmwaipopo1858 7 ปีที่แล้ว +12

    daaaah anajua mpaka raha kumsikiliza!!!!!

  • @saeedal-awen2190
    @saeedal-awen2190 4 ปีที่แล้ว +8

    Everyone who read my comment SHIKAMOO

  • @paschaljeremiah4903
    @paschaljeremiah4903 7 ปีที่แล้ว +23

    Hahahaha!! big up makongoro! in real I appreciate on how you took the floor!!

  • @mosesmbosa1275
    @mosesmbosa1275 7 ปีที่แล้ว +12

    asante kwa kuja Mr Makongoro

  • @saidikingwaba2878
    @saidikingwaba2878 7 ปีที่แล้ว +21

    like his father, big up makongoro

  • @salimmrisho8487
    @salimmrisho8487 7 ปีที่แล้ว +9

    musukuma amemuelewa nyerere msaidieni tafsiri

  • @ibrahimmzee3237
    @ibrahimmzee3237 7 ปีที่แล้ว +11

    umetsha makongoro u made a gud speach

  • @marthasilas5669
    @marthasilas5669 7 ปีที่แล้ว +8

    mama mbavu zanguuuuuu uuwi

  • @alexkenny2667
    @alexkenny2667 7 ปีที่แล้ว +8

    Redemption seriously

  • @benedictsanga2560
    @benedictsanga2560 7 ปีที่แล้ว +8

    Nampenda sana huyu jamaa, anajua sana kujieleza, English yake safi

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda kaka angu makongoro una Nidhamu ya kale kuheshimu mdogo na mkubwa huna dharau.

  • @msafirizesafari2077
    @msafirizesafari2077 7 ปีที่แล้ว +17

    very nice Makongoro J.k. Nyerere,, shikamoo mzee!

    • @selemankilawa1589
      @selemankilawa1589 6 ปีที่แล้ว +3

      nimependa aina ya siasa aliotumia hizo ndo siasa zinazotakiwa Tz hongera makongoro kweli umetoka katika nyumba ya wenye hekima na busara

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 7 ปีที่แล้ว +3

    hawa shikamoo ni SHIDA huko EALA HAKUNA JIPYA.

  • @kelvinmella3626
    @kelvinmella3626 7 ปีที่แล้ว +8

    jamaa anajua sana big up makongoro

  • @mashujaatv8023
    @mashujaatv8023 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurah baada ya kuona wabunge wengi wapo kimya nikagundua shida sio maneno hayajawapendeza shida hawaelewi kinachoongelewa

  • @rajab6757
    @rajab6757 6 หลายเดือนก่อน

    Mmmh... English should be taught in Tanzania to avoid...

  • @kelvinstephano8
    @kelvinstephano8 7 ปีที่แล้ว +5

    good Mr you makongoro Nyerere

  • @kinubiking2873
    @kinubiking2873 7 ปีที่แล้ว +18

    he speaks like nyerere

  • @abdulmarickjuma1514
    @abdulmarickjuma1514 7 ปีที่แล้ว +5

    Makongoro anajua kuongea vzr

  • @nagekitunga8714
    @nagekitunga8714 7 ปีที่แล้ว +6

    Una akili ww

  • @alexandermutakha882
    @alexandermutakha882 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu hajui kitu chochote

    • @felistamshiu1879
      @felistamshiu1879 3 ปีที่แล้ว

      Mmmmh jamani mbona kama wewe ndio hujui?

  • @festodangote1458
    @festodangote1458 7 ปีที่แล้ว +7

    Good speach

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 4 ปีที่แล้ว +2

    😀😀😀😀😀😀😀unazeeka na utani wako ,shikamoh

  • @azahally9216
    @azahally9216 7 ปีที่แล้ว +6

    hahaaaaa

  • @emmanuelmasoko1013
    @emmanuelmasoko1013 6 ปีที่แล้ว +1

    Sijaelewa kinacho ongelewa hapo coz baba angu alikua hana hela za kuniendeleza na elimu ya secondary

  • @mustyboymaalim2070
    @mustyboymaalim2070 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani tz mulibarikiwa tangu ukoloni..jamani huyu angepewa raisi

  • @kilumbiengineering914
    @kilumbiengineering914 2 ปีที่แล้ว +1

    Mh makongoro wewe unafaa kuongoza hata kwa malkia uingereza ! Your very talenting and confidently! Saafi saana

  • @jamalmnema8334
    @jamalmnema8334 ปีที่แล้ว

    Alafu wakamnyima kura

  • @mundhirabubakar9065
    @mundhirabubakar9065 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumamake hapa ndoninapokosana na vichogo maana hutaka kukopi mpaka yulewanaemkopi wampite

  • @jadenmsafi
    @jadenmsafi 7 ปีที่แล้ว +9

    Milard mungu akuongoz kweny kazi yako

  • @jacksonbaranda8165
    @jacksonbaranda8165 ปีที่แล้ว

    Wabunge wengine wanaulizaa kwa kukomoa kwa kuona et hajuii,anajua bhana political federation

  • @stephanomnyakiju6798
    @stephanomnyakiju6798 3 ปีที่แล้ว +1

    Mr.makongolo is very fantastic😄😄😄

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว

    Bongo Politics ni kuwachekesha watu na watakufueahia kwelikweli but ukiingia Madarakani mmmh....!

  • @sisterdivvana8770
    @sisterdivvana8770 7 ปีที่แล้ว +3

    kwani kingereza kinausu jamaniii bungeni mbona watanzania hamueshimu lugha yetu tunapenda kukopiii khaaaa oyoo aibu tupuuu

    • @charlesnipala1905
      @charlesnipala1905 6 ปีที่แล้ว

      Divvana Johnson hujielew????

    • @innocentjohnson3880
      @innocentjohnson3880 4 ปีที่แล้ว

      Divvana Johnson Nanikaleta aibu mbona kinaeleweka Anachokizungumuzia niwapi alipokosea

  • @ngwipagymayenga4995
    @ngwipagymayenga4995 7 ปีที่แล้ว +5

    uncle hahahaa u made me laugh

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 3 ปีที่แล้ว +1

    Marahabaaaaaaa... hujambo MTOTO wa Baba YETU wa TAIFA

  • @princebuganzilut2047
    @princebuganzilut2047 3 ปีที่แล้ว +1

    Today am doing revisions. Big Up Makongoro JK Nyerere

  • @mwemezinnosentrwamafa6088
    @mwemezinnosentrwamafa6088 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahaha! Tanzania English problems!! Mrudi shule

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 4 ปีที่แล้ว +1

      Is it english an education? For me it is a language
      Wewe ndo ukasome ujue kutofautisha vitu bwege we

  • @omarhasan1761
    @omarhasan1761 2 ปีที่แล้ว

    MH. Makongoro hotuba uliotoa Kwa lugha ya kiingereza ilikua nzuri sana nimekuelewa na hapo wabunge walibaki kunyamaza baadhi Yao walikua hawaelewi lolote ulichoongelea Kwa kua baadhi Yao hawaelewi au lugha hio ilikua inawachenga niligundua Spika ilikua anakupima kama ulikua unajua kuongea lugha ya kiingereza lakini Spika alibaki kuduwaa tu hongera makongoro tumekuelewa

  • @japhetmalahuleokilangi9872
    @japhetmalahuleokilangi9872 6 ปีที่แล้ว +1

    I Really Admire Ur English. It's Fantasy And Good. But Mheshimiwa Umenivunja Mbavu...Eti Shikamooo Hahahahaaaaa

  • @erickelias9167
    @erickelias9167 7 ปีที่แล้ว +4

    Bashite jamani analeta vyeti au

  • @chazmushi.bigbrother7860
    @chazmushi.bigbrother7860 7 ปีที่แล้ว +9

    hhhh you made us to remember our first president, Big Up

  • @ephraimmwaijumba3984
    @ephraimmwaijumba3984 7 ปีที่แล้ว +7

    hata mm ningekueepo bungeni, ningempa Kura huyu jamaa.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 ปีที่แล้ว +3

    Kenyan are thinking only them they can speak English but now we proofed to them even us we can speak this colonial language.

  • @DavidMuikia-l7w
    @DavidMuikia-l7w 8 หลายเดือนก่อน

    Speaking kiswahili in English.

  • @rahmahersi2116
    @rahmahersi2116 3 ปีที่แล้ว +1

    Well done..the son of
    Baba wa Taifa...I admired
    How you handle the floor. Congratulation.

  • @adsonmbosso1202
    @adsonmbosso1202 7 ปีที่แล้ว +4

    millady ayo !Good job keep it up

  • @danynjau3840
    @danynjau3840 6 ปีที่แล้ว +2

    Aisee ata nyerere ajawai ongea kingereza bungeni ebu ongea kiswahili lugha yetu

    • @rosemaryngowo2327
      @rosemaryngowo2327 3 ปีที่แล้ว

      Anaomba kuchaguliwa bunge la EAC sio la Tanzania kaka

    • @adamfundikira1073
      @adamfundikira1073 3 ปีที่แล้ว

      @@rosemaryngowo2327 acha kumuelewesha

  • @edwardpyeko7834
    @edwardpyeko7834 4 ปีที่แล้ว +3

    Makongoro you are my hero...big up !

  • @sisterdivvana8770
    @sisterdivvana8770 7 ปีที่แล้ว +9

    kingereza hakiusu mana kuna wazee wetu wengine hawajuwa na sis ni watanzania tuna lugha yetu

    • @matindemasaka4165
      @matindemasaka4165 7 ปีที่แล้ว

      Divvana Johnson

    • @giztony2009
      @giztony2009 5 หลายเดือนก่อน

      Halafu anajua kujieleza kuliko viongozi wengi wakuu waliopita cna haja yakuwataja mnawajua

  • @binbaya923
    @binbaya923 4 ปีที่แล้ว

    Hii mnajaribu tu au ndio mpango uliopo kuongea kidhungu bungeni? Tunawaomba Waheshimiwa muendelee tu na lugha yetu 🇹🇿🇦🇷

  • @eddieleo911
    @eddieleo911 6 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania still needs a Good Politicians... That Nyerere didn't sell him self very Good to his fellow members of the Palament.....

  • @fredrickmalunde3426
    @fredrickmalunde3426 4 ปีที่แล้ว +1

    Natafurahi sana siku huyu jamaa akiwa hata waziri ,tutajua uwezo wake vizuri

  • @stediusbernado2053
    @stediusbernado2053 7 ปีที่แล้ว +3

    alikuwa na mengi ya kuzungumza. na ile shikamoo bila kujali ukubwa au udogo wa mtu alikuwa na maana yake pia. kamwamkia waziri mkuu kamwacha spika wa bunge!!! siasa bana!!! uongozi una siri nyingi sana. napita jamani. asante spika wa bunge na makongoro nyerere pia

    • @rasvegas8991
      @rasvegas8991 5 ปีที่แล้ว

      Stedius Bernado kasalimia wote

  • @patrickymakoye1373
    @patrickymakoye1373 7 ปีที่แล้ว +2

    regardless of your age shikamoo.....hah hah hah

  • @Joseph-tm1ri
    @Joseph-tm1ri 4 หลายเดือนก่อน

    Marahabaaa

  • @josephmwita7288
    @josephmwita7288 7 ปีที่แล้ว +1

    yuko sawa anamanisha yuko chini yao,, na ndoo maana harisi ya shikamoo

  • @moseskazungu9270
    @moseskazungu9270 6 ปีที่แล้ว +3

    Nice

  • @denismatthew3247
    @denismatthew3247 7 ปีที่แล้ว +2

    mamaaaa iyo lv kiswahili kwa kingereza kinaitwaje nauliza tuu jaman

  • @benjaminmishashi3642
    @benjaminmishashi3642 5 ปีที่แล้ว +2

    Very interesting like his father.

  • @sethrudovick5593
    @sethrudovick5593 7 ปีที่แล้ว +1

    kiswahili na kingereza inaitwa codemixing

  • @mahmoudukusso4488
    @mahmoudukusso4488 7 ปีที่แล้ว +3

    Hon Makongoro MARAHABAAA

  • @gidiongidy9252
    @gidiongidy9252 4 ปีที่แล้ว +1

    Makongoro nyerere shikamooo

  • @christianahia2680
    @christianahia2680 3 ปีที่แล้ว

    Shkamoo.
    Ukitaka kufanikiwa jishushe.ilipendeza sana.

  • @hansnyenza1194
    @hansnyenza1194 6 ปีที่แล้ว +3

    Salute Makongoro

  • @lucyleopold3324
    @lucyleopold3324 7 ปีที่แล้ว +2

    jamani ccm mnatuletea watu gani mnatuharibia chama

    • @dadileonard2392
      @dadileonard2392 7 ปีที่แล้ว

      Unachama na Ww kula Ugali kwako tu!

    • @innocentjohnson3880
      @innocentjohnson3880 4 ปีที่แล้ว

      Lucy Leopold Wewe unachama wanawajuwa waanzilishi au Unaropoka

  • @davidnyambuche352
    @davidnyambuche352 5 ปีที่แล้ว +1

    Makongoro unajua sana asee mpaka kero hahaha

  • @kinangasusengasu4990
    @kinangasusengasu4990 7 ปีที่แล้ว +3

    makongoro this is ccm braza ,, merely shikamooooo

  • @cassymasululi1280
    @cassymasululi1280 7 ปีที่แล้ว +2

    very nice mr makongoro

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 7 ปีที่แล้ว +2

    Ahahaha hata mm nimecheka

  • @daudhenry913
    @daudhenry913 7 ปีที่แล้ว +2

    Upo vizuri sana kakaangu

  • @brianbasela1160
    @brianbasela1160 6 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe mwalimu alimfundisha kijana kiingereza,safi sana.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 6 ปีที่แล้ว

      Brian Basela ila wengine hajawafundisha..!

  • @eddieleo911
    @eddieleo911 6 ปีที่แล้ว +1

    All that time you have been in East African Palament.. And All you done for Tanzania is Petroleum pipe...

  • @smataluqwertyu1i624
    @smataluqwertyu1i624 6 ปีที่แล้ว +4

    He is good and bright!

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaahaa mbunge msukuma yuko wapi mazee wa la saba Sijui hapo anatafasiriwa na nani makogoro

  • @sethseth6562
    @sethseth6562 7 ปีที่แล้ว +3

    good ma dad

  • @georgetanzania3296
    @georgetanzania3296 3 ปีที่แล้ว +1

    I appreciate

  • @machinesintanzaniatv3909
    @machinesintanzaniatv3909 3 ปีที่แล้ว

    Hahaha kweli bungeni kuna wasomi kweli kweli

  • @essykate7869
    @essykate7869 6 ปีที่แล้ว

    Why,' honourable candidate,' hana jina ? Wa TZ mtatushangaza sana !

  • @jacksonbaranda8165
    @jacksonbaranda8165 ปีที่แล้ว

    Kiingerezaa sio cha kubabahishaa

  • @petromwinyi4955
    @petromwinyi4955 6 ปีที่แล้ว +1

    hahahaaaaa most of politicians in tz.they don't know English .hihihihiiiii

    • @thomaspeter6278
      @thomaspeter6278 5 ปีที่แล้ว +1

      English is not a really measure of someone education my friend.

    • @amonamos8278
      @amonamos8278 4 ปีที่แล้ว

      You must one

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa ni bonge la kiongozi

  • @barakaramadhani4813
    @barakaramadhani4813 4 ปีที่แล้ว

    wengine atujaelewa ndio maana atucheki ila SHIKAMOO

  • @nyabulah_tz3726
    @nyabulah_tz3726 7 ปีที่แล้ว +2

    et shikamoo

  • @samwelmwinyi7879
    @samwelmwinyi7879 7 ปีที่แล้ว

    Km unanfurahsha hv!!!!! Nmekpenda kngereza chako! Kko vzr Mr.

  • @yohanadeusi5660
    @yohanadeusi5660 3 ปีที่แล้ว

    Mpo kwenye kichekesho au bungeni shikamo

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 6 ปีที่แล้ว +1

    Katisha kijuukuu

  • @ibrahimngoboka7524
    @ibrahimngoboka7524 7 ปีที่แล้ว +1

    HahahA ndalola amang'Ana ni mazomu ku kingeleza kwazo mwetu. .......big up

  • @NyamakaChacha
    @NyamakaChacha 7 หลายเดือนก่อน

    Makongoro karibu manyaratena

  • @ttinuga
    @ttinuga 7 ปีที่แล้ว +3

    A man is smart.

  • @bernardotieno1
    @bernardotieno1 4 ปีที่แล้ว

    Tanzania should stick to debating in Kiswahili, English kwao ni mlima

  • @matundablooded8652
    @matundablooded8652 7 ปีที่แล้ว +2

    duh! hii style👍