UTACHEKA VITUKO VYA RC MAKONGORO, AWAVUNJA MBAVU WADAU NANENANE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ค. 2023
- VITUKO VYA RC MAKONGORO NYERERE AWAVUNJA MBAVU WADAU WA NANENANE
RC MOKONGORO NYERERE ALIVYO WAVUNJA MBAVU WADAU WA NANENANE RPC AMPIGIA SALUT
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Uongozi sio lazma uende na mikwara, unaweza kuwa win watu kwa ucheshi na kindness, hongera sana mh. Makongoro 🙌🙌
Makongoro to the world🤣🙏🙏🙏
Huyu Mwamba ukikaa nae karibu sijui kama unaweza boreka aiseh Hahahahaha
Makongoro Nyerere Kwa sehemu kubwa kachukua baadhi ya tabia za Baba yake Julius Nyerere
Nikama Nyerere vile😂😂
Stress free.
Mhe rais huyu Rc safi sana pamoja na vichekesho vyake watu tunampenda sana maana tunamkumbuka baba wa taifa
Waoooo
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Mama na sisi uje utuletee huyu RC 😀😀😀😀
Huyu Mh.charles makongoro Nyerere ni mshekeshaji wala hachoshi hotuba zake zilizojaa hamasha. hofu yangu ni muda anaotumia anaweza haribu ratiba
😊
Yaani kipaji na ucheshi yaani mtu sana anakufanya uwe huru pia kufanya nae kazi inakua nyepesi 😅
Nchi zingine anapigwa makofi kwamanenoyake.yakutakana.
Kichwa bangi
Tena za kuzidi
Mama fanya umlete na kwetu huyu Rc
😅❤
Xenda
😁😁😁
Na wewe sasa ni mzee punguza. Hizo mpaka. Una. Boa. ii
Ucheshi ni kama baba wa taifa kweli nimeamani maji hufuata mkondo
😂😂😂😂
huyu rc yaani vituko vyake ni nyerere kabisa
Yupo mkoa gani saiv
Yupo RUKWA
Uko good
😂😂😂
Safi makongoro upon vizuri
Bandari oyo😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂