Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Yani nampenda huyu baba mpk mwisho Mungu akutunze sana nafatilia sana mafundisho yako. Hilo jibu umetoa hapo mwishon nimerudisha kama mara 10 Ubarikiwe sana Baba.
Wherever Dr. Ellie appears, I'm tuned! He's full of wisdom and knowledge. His intellectual ability is on another level. God bless you Daktari for your unfailing dedication to awaken humanity.
Asante Dr na Lilian, nimejifunza mengi, mm ni mke na nimeanza kujawa na mashaka na Mr. but now nimejifunza ,nimejichunguza nimejua ni wapi ninekosea ,kwanza sikujua kama mm ni akisi ,so najitengeneza upya kuwa wa mvuto, uvumilivu,busara,hekima,kujiamini ,utulivu wa moyo nk. Thanx
it's easier to understand Dr Elie when he explains his points in English (maybe it's my reflection*just maybe) I appreciate him so much cause whenever i listen to him I gain something new
Dr Elie ni kisima Cha hazina isiyopotea. Napenda kusikiliza busara zake. Lilian soma vitabu zaidi kuhusu producing. Hupaswi kuitikia kwa sauti you can add nodding etc
Nawapongeza watoa maoni ktk mada hii, mimi binafsi namwelewa sana Dr na kimsingi nimejifunza mengi kupitia vipindi vyake. Ninapokikosa kipindi chake j2 kwangu ni hasara. Ni lazima turudi kwenye misingi ya kuwa wanadamu wote tuko kwenye makundi 2 namaanisha extrovet introvert, ukitambua misingi hii hutapata shida kumwelewa.
Nimefurahishwa Sana kujifunza mengi katika kipindi hiki. I just bumped into it. Very educative and interesting. Bado nipo na heka mwenyewe. I have learned a lot in a very short moment. Asante Lilian. Jina la mwanangu. Asante Dr. Hii team kali.😄😄
Dr Elie ubarikiwe wanawake wengi Leo wamekosa mvuto kutokana na kujibadilisha maumbile Yao anavyoonekana nje na anapokuwa ndani sivyo alivyo ni tofauti kabisa kila la kheri.
Mimi nadhani huyo Lilian Mwasha ndio anashindwa kutofautisha. Let me say kwa kiingereza. Ni Attraction versus Chemistry. It's that simple. Na cha ajabu watu aina ya Lilian Mwasha wanakwenda kwa Attraction zaidi rather than Chemistry, which is a very huge component in building up a lasting relationship. Sasa kama wewe Lilian Mwasha uliolewa na Mwanaume kwa kujua you had a Chemistry my friend imekula kwako kwa sababu you didn't have a Chemistry at the first place
@@deejulesdonatha4107 What does chemistry mean in love? " ... Simply put, the feeling of chemistry with another person is that of connection. It's a draw to someone else that makes you want more of them. That doesn't have to be in a romantic relationship context, though that is the way we most often use the word" at some point nitakuwa nimekusaidia hapo. Stay focus!!
@@deejulesdonatha4107 Nenda pale kwenye Spotify halafu search for the Greatest Hits za H.E.R za 2021 and enjoy her music kwa kweli ziko so dope. That's what I am listening now.........
Huyu jamaaa nashindwa kuelewana naye pale anapozungumzia watu ambao ni waongeaji sana. Na nashindwa kumelewa ni kwa nini anashindwa kueleza kuwa uongeaji sana ama ukaaji kimya sana kupitiliza ni madhaifu kama madhaifu mengine ya kibinaadamu. Na kwa kweli at times hayo madhaifu yako beyond our control. Sijui anashindwa wapi kuliona hilo. Kwa jinsi nilivyomsoma is even if watu hufanya makusudi. Kwa hilo hapana namkatalia. Na pia ukaaji kimya unaweza kudhani ni mvuto kumbe sio. Kwani watu wengine wanaokaa kimya huwa ni kweli wako empty head. Hawana mambo variety ya kuongea na hawajui lolote lile and so kukaaa kwao kimya ndio kunakowaokoa
Big No kukaa kimya hamanishi uko empty au hujui kitu No unapokaa kimya Kwanza ñi Ku observed vitu Kwa urahis na kuchukua hatua waongeajo Sana huwa wanakurupuka Sana hata kwenye mamuzi
@@glorynguma3593 Hiyo interview kwa ujumla wake haina mantiki yoyote ile ya maana na hasa ukizingatia wakati tulionao na huko tunakokwenda. Ni uhuni mtupu hapo kwani muuliza maswali na mjibu maswali wote ni vilaza wakubwa hawajui ni kitu gani hasa cha maana cha kuwafikishia wasikilizaji wao. Wameshindwa kusoma alama za nyakati. Mambo wanayoyazungumzia kimsingi yamepitwa na wakati sana yako out of contest. Ni mambo ambayo hatupashwi kuyasikia kwa sasa. Haijulikani hata ni kitu gani hasa walichokuwa wanakisimamia, maelezo yao yametawanyika sana kiasi cha kutompa nafasi ya msikilizaji kujua ashike lipi na kuliacha lipi.
Huyu Mzee huwezi kumwelewa unless Ur are deep vitu anavyoviongea ñi facts na msikilizaga mara nyingi na mambo mengi nimefanyia kazi na yamenisaidia Sana Inahitaji MTU mwenyew akili nying kumwelewa mambo anaongea siyo ya Kila Mtu wachache ndo tunaelewa
@@glorynguma3593 That’s fu…. ckn useless, remember that we’re livin’ in delusional standards, everyone wants that fantasy. Men wants wife who are going to be humble, and women wants a man who is going to treat her like a queen. Both parties have delusional standards now because both parties are afraid of being hurt. People have these kinds of standards as how they want somebody to treat them in which is not going to happen. You have to know how to separate logical thinking to the delusional thinking. We are living in the time where everyone is in the survival mode, especially women. So were speaking in the survival mode point of view. Women are always looking for the sense of security and Men are looking for peace, quiet and love. Men wants love more than women wants to survive, so women are always in the survival mode that’s why the chances to actually find a guy to do that over and over again are so minimal. Is something that you have to look at before you become emotional struck. Stop, looking out of the box and looking at the situation.
@@glorynguma3593 I know that you are obsessed of the nature and want to know more about it. Why why why…………. why you’re not getting married, why you don’t want to be in a relationship, why things are getting worse, and you stress that. C’mon, that’s a psychological defect. It’s time to put more focus on your purpose and trust me if you’re going to sleep thinking about your purpose, I guarantee you’ll wake up early in the morning and start working on it.
Wanawake wanagawa uroda bure ndio maana hao wanaume hawaoi mwanamke huyu akimnyima anajua yule kule lazima atampa ,wanawake wakigoma kugawa hovyo huyo mwanamme Angeoa tu hana jinsi , hata nyumba ndogo akiacha kumpa huyo mume wa mtu akampa changamoto kama kweli anampenda basi amuoe na aeche kabisa kugawa uroda utaona , wanawake wote wa nje wakigoma kuwapa waume za watu uroda ndoa nyingi zingevunjika ili waoe hao wanaofikiri wanawafaa hao wa nje hawaolewi kwa sababu mwanamme anachokikosa kwa mke wake anapata tu kwako wewe mwànmmke wa nje na waume wa watu hawataacha wake zao kwa sababu vipoozeo vipo vingi huko nje vya Bure .
Docta wewe ni mwalimu mzuri akini kinanishangaza sipate picha kivipi umeshindwa ndoa yako, na kushindwa kulea watoto wako, kama unasoma hii comments kalee watoto wako husimutese mama yangu.
@@joleemusic4396 anafudisha vizuri ndio akini kuacha familia bila sababu mke na wa toto siyo poa kesi lake walivo leta makamani sikukubali kuona mke wake analia mbaba ameja uongo huwezi fikiria
Yani huyo Lilian Mwasha sijui ni kabila gani. Ameshindwa kabisaaaaa kumuelewa huyo jamaaa na anashindwa kutofautisha kati ya mwenye mvuto na anayevutia. Check alivyochanganyikiwa 18:02 uuuwiiiiii
wewe unaetwa Dr. acha kudanganya watu mungu ameumba kila mwanamume hua ana sehemu yake ya mwili kwa mwanamke ambayo hvutiwa nayo, hayo macho na nywele ndio mvuto wako wewe don"t be generalize. na kila mwanamke pia anasehemu yake anayovutiwa kwa mwnamume kimaumbile .
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Yani nampenda huyu baba mpk mwisho Mungu akutunze sana nafatilia sana mafundisho yako. Hilo jibu umetoa hapo mwishon nimerudisha kama mara 10 Ubarikiwe sana Baba.
Wherever Dr. Ellie appears, I'm tuned! He's full of wisdom and knowledge. His intellectual ability is on another level. God bless you Daktari for your unfailing dedication to awaken humanity.
Dr .Elie , the voice of wisdom , this is a divine intelligence, be blessed and protected by Our Heaven Father.
Akili kubwa, mambo makubwa. Mungu azidi kuwabariki sana
One of the best interviews ever!!!!!!!!!!!!! Thank u Lily and Daktari for a 💣 interview
Asante Dr na Lilian, nimejifunza mengi, mm ni mke na nimeanza kujawa na mashaka na Mr. but now nimejifunza ,nimejichunguza nimejua ni wapi ninekosea ,kwanza sikujua kama mm ni akisi ,so najitengeneza upya kuwa wa mvuto, uvumilivu,busara,hekima,kujiamini ,utulivu wa moyo nk.
Thanx
Dr.Ellie🥰...haki maisha yangu kupitia wewe yamekua marahisi sana👏👏
Dr ell Ubarikiwe saana since 2019 umebadilisha mtazamo wangu kifkra
Doctor namshukuru Mungu kwaajili yako,you're truly changing lives.
Kama una akili ndogo na za mazoea huwezi kumuelewa huyu baba...he is levels haki
Wangapi wanaona huyu baba anafanana na Jb
Sauti tu
Hawafanani
it's easier to understand Dr Elie when he explains his points in English (maybe it's my reflection*just maybe) I appreciate him so much cause whenever i listen to him I gain something new
Mwasha anamkosea sana doctor coz anamuhoji sana kuhusu yeye hataki kuhoji kuhusu jamii yake
Dah, namshukuru Mungu sana kwa hiki kibali cha kujifunza haya yote toka kwenu. Mungu azidi kuwaimarisha
Dr Ellie hongera najifunza vitu Vizuri sana kupitia wewe.
"the less destructive you are the more magnetic you become."
Mkuu...maana aliyotumia hapa ni, distractive!!!! Sawa?
Thank you Doctor & sister Lili may God bless you 🙏💪
Sante sana dada Lilian mungu aku bariki, doctor pia asente kutupa ujasiri tena be blessed 😇❤️
Ilikumeelewa Dr wa aina hii ni lazima uwe na umakini na utulivu wa akili, vinginevyo unaweza kuwa bubu kwenye ndoa ukidhani ndio mvuto
😂
Thanks Dr Elly and Lilian, I got something, mmeniongezea maarifa. Be blessed profusely!
Dr Elie ni kisima Cha hazina isiyopotea. Napenda kusikiliza busara zake. Lilian soma vitabu zaidi kuhusu producing. Hupaswi kuitikia kwa sauti you can add nodding etc
Nawapongeza watoa maoni ktk mada hii, mimi binafsi namwelewa sana Dr na kimsingi nimejifunza mengi kupitia vipindi vyake.
Ninapokikosa kipindi chake j2 kwangu ni hasara.
Ni lazima turudi kwenye misingi ya kuwa wanadamu wote tuko kwenye makundi 2 namaanisha extrovet introvert, ukitambua misingi hii hutapata shida kumwelewa.
Happy new year Dr .. highly intellectual human being thank you God 🙏🙏🙏🇬🇧🇬🇧🇬🇧❤️❤️❤️
Amen and amen hakika nimezidi kubarikiwa sana Mungu azidi kuwabariki nawapenda❤
Nimefurahishwa Sana kujifunza mengi katika kipindi hiki. I just bumped into it. Very educative and interesting. Bado nipo na heka mwenyewe. I have learned a lot in a very short moment. Asante Lilian. Jina la mwanangu. Asante Dr. Hii team kali.😄😄
This is soo deep, thank you sis Lilian and doc.
Mubarikiwe sana da Lillian tunahitaji maswali mengine tofauti kiasi my dear,grate job one love
I agree. It's about presence and innocence not physical appearance!
This is just incredible and marvelous...
So insightful..💫💫
na wee Dr. Ellie, hebu kipange vizuri hicho kiswahili chako, kila nikikusiliza napatwaga na khofu kwamba eti kiswahili siku hizi sikijuwi tena.
ABSOLUTLY WRIGHT"👍 ITS VERY TRUE👌"
Doctor honestly am learning from what you are saying though am a man and married it's a good lesson for both of us.Thanks Lilian
huyu doctor kumuelewa kunaitaji weledi wahali yajuu sana,ukiwa hujapita shule kumuelewa utaona kama anapoteza mda2
Leo nimeongeza kitu kikubwa sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙌
Daaaah natizamaga mafunzo ili somo daaaah kwangu limekuwa ligumu ila nimejifunza kituuu🙏🙏🙏🙏🙏
Dr nakuelewa sana uwezo unao bigup
Wewe baba Mimi unanibariki sana Kwa majibu yako
SUPER GREAT👍" VERY TRUE😆👌"
Dr,ubarikiwe
Huyu hawezi kufanana na JB ila anaongea sauti kama ya JB na JB hana akili ya huyu Dr.huyu jamaa ana madini mengi sana zaidi ya director wa JB
Asante Sana nimejifunza mengi
Ubarikiwe dada lili na dr.
Leo nimejifunza kitu kikubwa sana kumbe tunahangaika sana na kuwavutia na wao wanhitaji mvuto ili watulie.
Kweli kabisa doctor 💯
Kweli kbs dct nimekuelewa sana km lilian 👌👌👌
JUST love psychology nine enjoy kipind Na mada coz mwasha Na eiud wote ni wajuzi nami pia naelewa vilevile
Dr Ellie na mtangazaji mukosawa kabisa
Nimemuelewa Sana huyu baba
the less people know, the better
Doct unaongeya kweli
Very very fact,100%
Kumbeee ndomana beby wangu alinisisitiza nisuke mweee kumbe nywele inavutia
Mm wang anapenda kusema hem nione nywele zako kumbeee haha
Lilian huyu daktari anakuzumia ile mbaya cuidao!!!😀
Shetani anazuliwa tu ni makusudi tu wanafanya kutoka na mwengine huko nje
Nimefurahia kukuona lilyan mwasha nilikuwa tu nakuskia kwenye clauds redio
hahaha😃😃 nimecheka Doc. alipouliza Pisi kali ni nini , what's that😃
Intelligence talk, listen and care. Ignorance laugh, shout and forget
Asante sana
Dr Elie ubarikiwe wanawake wengi Leo wamekosa mvuto kutokana na kujibadilisha maumbile Yao anavyoonekana nje na anapokuwa ndani sivyo alivyo ni tofauti kabisa kila la kheri.
Nimekupata. Smart
Hili tinaomba mpe doctor mwaka atusaidie vizur huyu inaitaji umakini sana
This is deep
Dr Eli nakuelewa sana
Akili nyingi Lilian
Asante sana kwa mafundisho!
Good tolk nimejifunza kitu
Hapa nimegundua akili kubwa inaongea na akili ndogo lily anajalibu kucope lakini haelewi
Mbn nishapigwa na kitu kizito kichwani 😂😂😂😂🙆
Maneno yako haujikute umo? Katengeneze kwako kabla uje kufundisha uanze kuwa mfano mimi sifiche usu unitafute, bongisa ndako nayo papa
Hata mm nimechdkaa😅😅
Mimi nadhani huyo Lilian Mwasha ndio anashindwa kutofautisha. Let me say kwa kiingereza. Ni Attraction versus Chemistry. It's that simple. Na cha ajabu watu aina ya Lilian Mwasha wanakwenda kwa Attraction zaidi rather than Chemistry, which is a very huge component in building up a lasting relationship. Sasa kama wewe Lilian Mwasha uliolewa na Mwanaume kwa kujua you had a Chemistry my friend imekula kwako kwa sababu you didn't have a Chemistry at the first place
Theodore milenzo u are smart
Khaaa we ndo umepuyanga kabisa! Hamna subject ya chemistry apo in this whole interview! Seems like u coming in with a formed mind HUTAKI KUJIFUNZA
@@deejulesdonatha4107 Haya sasa eti hakuna subject ya chemistry hapo. It seems like I'm coming with the formed mind??? OMG 😲
@@deejulesdonatha4107 What does chemistry mean in love?
" ... Simply put, the feeling of chemistry with another person is that of connection. It's a draw to someone else that makes you want more of them. That doesn't have to be in a romantic relationship context, though that is the way we most often use the word" at some point nitakuwa nimekusaidia hapo. Stay focus!!
@@deejulesdonatha4107 Nenda pale kwenye Spotify halafu search for the Greatest Hits za H.E.R za 2021 and enjoy her music kwa kweli ziko so dope. That's what I am listening now.........
Soooo deeeep🙏
Wapemzi naombeni account ya Dr.Elie
LILIAN HUNA MVUTO WALA HUVUTII
It's really hard!
Kuchepuka au kutochepuka hiyo ni tabia ya mtu, inabidi mtu kuamua kuishi maisha sahihi na si vinginevyo
Nakubaliana na wewe
Jamn🙄🙄👌❣️
Mimi kusema nimuelewe napaswa kusikiriza mara mingi
Hi
Presence ni neno la kike sijamuelewa !
Ni ivo...ki faransa icho....
La presence njo presence : kwenye kifaransa ni neno la kike 🇧🇮🇧🇮
Sijaelewa ata
Sikiliza tena na tena mpaka uelewe
Kimeumana
Huyu jamaaa nashindwa kuelewana naye pale anapozungumzia watu ambao ni waongeaji sana. Na nashindwa kumelewa ni kwa nini anashindwa kueleza kuwa uongeaji sana ama ukaaji kimya sana kupitiliza ni madhaifu kama madhaifu mengine ya kibinaadamu. Na kwa kweli at times hayo madhaifu yako beyond our control. Sijui anashindwa wapi kuliona hilo. Kwa jinsi nilivyomsoma is even if watu hufanya makusudi. Kwa hilo hapana namkatalia. Na pia ukaaji kimya unaweza kudhani ni mvuto kumbe sio. Kwani watu wengine wanaokaa kimya huwa ni kweli wako empty head. Hawana mambo variety ya kuongea na hawajui lolote lile and so kukaaa kwao kimya ndio kunakowaokoa
Big No kukaa kimya hamanishi uko empty au hujui kitu No unapokaa kimya Kwanza ñi Ku observed vitu Kwa urahis na kuchukua hatua waongeajo Sana huwa wanakurupuka Sana hata kwenye mamuzi
@@glorynguma3593 Hiyo interview kwa ujumla wake haina mantiki yoyote ile ya maana na hasa ukizingatia wakati tulionao na huko tunakokwenda. Ni uhuni mtupu hapo kwani muuliza maswali na mjibu maswali wote ni vilaza wakubwa hawajui ni kitu gani hasa cha maana cha kuwafikishia wasikilizaji wao. Wameshindwa kusoma alama za nyakati. Mambo wanayoyazungumzia kimsingi yamepitwa na wakati sana yako out of contest. Ni mambo ambayo hatupashwi kuyasikia kwa sasa. Haijulikani hata ni kitu gani hasa walichokuwa wanakisimamia, maelezo yao yametawanyika sana kiasi cha kutompa nafasi ya msikilizaji kujua ashike lipi na kuliacha lipi.
Huyu Mzee huwezi kumwelewa unless Ur are deep vitu anavyoviongea ñi facts na msikilizaga mara nyingi na mambo mengi nimefanyia kazi na yamenisaidia Sana Inahitaji MTU mwenyew akili nying kumwelewa mambo anaongea siyo ya Kila Mtu wachache ndo tunaelewa
@@glorynguma3593 That’s fu…. ckn useless, remember that we’re livin’ in delusional standards, everyone wants that fantasy. Men wants wife who are going to be humble, and women wants a man who is going to treat her like a queen. Both parties have delusional standards now because both parties are afraid of being hurt. People have these kinds of standards as how they want somebody to treat them in which is not going to happen.
You have to know how to separate logical thinking to the delusional thinking. We are living in the time where everyone is in the survival mode, especially women. So were speaking in the survival mode point of view.
Women are always looking for the sense of security and Men are looking for peace, quiet and love.
Men wants love more than women wants to survive, so women are always in the survival mode that’s why the chances to actually find a guy to do that over and over again are so minimal. Is something that you have to look at before you become emotional struck. Stop, looking out of the box and looking at the situation.
@@glorynguma3593 I know that you are obsessed of the nature and want to know more about it. Why why why…………. why you’re not getting married, why you don’t want to be in a relationship, why things are getting worse, and you stress that. C’mon, that’s a psychological defect. It’s time to put more focus on your purpose and trust me if you’re going to sleep thinking about your purpose, I guarantee you’ll wake up early in the morning and start working on it.
Tatizo mzee anachanganya lugha hii ndio maana Magufuli aliikataa kabisa
Magufuli kaingiaje hapa na ww unakuwa km choko
Magufuli akikataa kitu haimanishi ni sheria engelish ni internationl
Kwani wazazi wako hawakukulipia ada
BI HARUSI ANAKUWA SHEPU YA NGUVA.
Yaa
Kama unaongeaa kiingereza hicho tu il tue'ewehicho
Angalia swali analoliuliza kwenye 20:00 - 20:02 hapo yani ni full kuchanganyikiwa
Mbna mda huo ni doctor anijibu
Wanawake wanagawa uroda bure ndio maana hao wanaume hawaoi mwanamke huyu akimnyima anajua yule kule lazima atampa ,wanawake wakigoma kugawa hovyo huyo mwanamme Angeoa tu hana jinsi , hata nyumba ndogo akiacha kumpa huyo mume wa mtu akampa changamoto kama kweli anampenda basi amuoe na aeche kabisa kugawa uroda utaona , wanawake wote wa nje wakigoma kuwapa waume za watu uroda ndoa nyingi zingevunjika ili waoe hao wanaofikiri wanawafaa hao wa nje hawaolewi kwa sababu mwanamme anachokikosa kwa mke wake anapata tu kwako wewe mwànmmke wa nje na waume wa watu hawataacha wake zao kwa sababu vipoozeo vipo vingi huko nje vya Bure .
😅😂😂🤣😅LOOL😁
Dr Ellie wew ni gwiji wa sycologia..
Docta wewe ni mwalimu mzuri akini kinanishangaza sipate picha kivipi umeshindwa ndoa yako, na kushindwa kulea watoto wako, kama unasoma hii comments kalee watoto wako husimutese mama yangu.
Hlw, hiyo message inamuhusu dk? Yeye ameshindwa fanya hilo?
@@evansbuninange7125 ndio yeye ameshindwa muhulize watoto wake wako wapi?
Nyie achen dhambi usijifanye unamjua mtu sana kumchafua
@@joleemusic4396 dada muhulize mke wake yuko wapi? Ni mu farisayo anajuwa neno akini hasi ifanie kazi watu kama awa niwakutoa azarani.
@@joleemusic4396 anafudisha vizuri ndio akini kuacha familia bila sababu mke na wa toto siyo poa kesi lake walivo leta makamani sikukubali kuona mke wake analia mbaba ameja uongo huwezi fikiria
Wewe Liliana Mwasha una vutia huna mvuto sauti yako imekaaa kiwizi wiziiiii
We kaka😂😂
@@rayanndizeyes3161 umeona eeehhhh lol 😆 😂 🤣 😄 😅 😜
Et kiwizi wizi
😀😀😀
Bimwasha, mie naona ''sensational talk'' is what you tryin to come with, nothing hard about it, come on.
Yani huyo Lilian Mwasha sijui ni kabila gani. Ameshindwa kabisaaaaa kumuelewa huyo jamaaa na anashindwa kutofautisha kati ya mwenye mvuto na anayevutia. Check alivyochanganyikiwa 18:02 uuuwiiiiii
Inaonekana unajua sana,hebu anzisha kipindi chako tukione utakavyo kuwa perfect.
This is like Greek ..amevutiwa na mvuto😩what is the purpose of this interview???
💗🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Weèe liliane unadawa gani yakumuweka mwanaume dani???wala asichepuke haaa unaona uzuri wa Zari😮😮ila Diamond kachepuka zari muzuri musafi shida ni mwanamuke hao ???
Shida sio uzuri
Huwa nakuelewa sanaa my Mentor Kuna v2 umenivusha Sanaa daddy