UKWELI KUHUSU KIFO: DALILI ZAKE, TUKILALA TUNAENDA WAPI? | HARD TALK With LILIAN MWASHA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 82

  • @yovithaobed5574
    @yovithaobed5574 3 ปีที่แล้ว +17

    Dada yangu kabla hajafa alilala kidogo alivyoamka akasema nimeota nawaona watu wamevaa mavazi meupo afu wanazika mtu lakini na yeye baada ya siku moja akafariki kweli.

    • @karamanazareno1556
      @karamanazareno1556 3 ปีที่แล้ว +3

      mweee 🙌tuombe mwisho mwema tu

    • @Maggie-yx8pw
      @Maggie-yx8pw 3 ปีที่แล้ว +3

      Ni kweli hata Mimi niliuguza na Mgonjwa wangu aliniambia hivihivi na baada ya cku chache alikufa.😭😭😭

    • @anatorikigahe
      @anatorikigahe 3 ปีที่แล้ว +1

      Swali: kwa Dr. Je hii imani kuwa watu wanawatoa kafala ndugu zao ili wakafanye kazi za katika ulimwengu mwingine.

    • @nicksonernest9649
      @nicksonernest9649 2 ปีที่แล้ว +3

      Ayamaisha akunacha kujivunia Cha msingi tutende matendo mema

    • @roqayaro9439
      @roqayaro9439 2 ปีที่แล้ว +3

      KIKUBWA TULUDI KWA ALLAH

  • @chance0709
    @chance0709 3 หลายเดือนก่อน

    Dr.Elli nihatari. Sichoki kusikiliza. Mambo ya Mungu na Science 🧪 Una weza kuvichambua big up 😂 Mungu akuzidishie umri mrefu nizidi jifunza 🎉

  • @mirabelle174
    @mirabelle174 ปีที่แล้ว +2

    Msiwaogope wale wauao mwili, lakini hawawezi kuiua roho. Afadhali zaidi kumwogopa yule awezaye kuuangamiza mwili pamoja na roho katika moto wa Jehanamu.

  • @petermgaya3812
    @petermgaya3812 3 ปีที่แล้ว +6

    Dr you are very true..Mwasha hongera kwa maongezi mazuri,hyu Dr anajua sana aisee,amenifanya nisiogope kifo...duh he is very intellectual

  • @tinalornabcmesmssjh580
    @tinalornabcmesmssjh580 3 ปีที่แล้ว +3

    Sasa siogopi kufa nashkuru Dada angu and the guest speaker is really knowledgeable i wish to see him in person..Thank you soomuch for this i believe many of us needed it..mbarikiwe

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 3 ปีที่แล้ว +3

    Doctor ahsante sana kwa huu ufafanuzi, vitu vingi ulivyoongea ni vitu tulikuwa hatuvijui. Ubarikiwe sana dada na kipindi chenye MAFUNZO MAKUBWA.❣

  • @tinalornabcmesmssjh580
    @tinalornabcmesmssjh580 3 ปีที่แล้ว +5

    I love you back🙂and God bless you too...nice topic please bring the doctor back next time

  • @rehemathoya8754
    @rehemathoya8754 3 ปีที่แล้ว +4

    Ni mwenyezi Mungu tu anayoijua hii siri ya kifo, but it was very interesting topic thanks I'm from Kenya

  • @julianajacksoni4275
    @julianajacksoni4275 3 ปีที่แล้ว +4

    Dr Elli.. Nampenda mno unasaidia Sana kwenye saikoloj... Mungu akubariki

    • @pendolyaruu6787
      @pendolyaruu6787 3 ปีที่แล้ว

      Apa TH-cam anaitwaje ama naeza mfatiliaje mana nimempenda bure

    • @charlesshilla9740
      @charlesshilla9740 3 ปีที่แล้ว

      Kifo ni mwili kutengana na roho. Roho ndani mtu haifi inamrudia Mungu aliyempatia ili aishi duniani

  • @lalianyasa9158
    @lalianyasa9158 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana tumehelimishwa Doctar ana onahongeya kwa ufasaha Thank you very much

  • @isaacmutunga8305
    @isaacmutunga8305 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni Isaac from Kenya,I love the true teachings that u have given to us now how can I become a friend to you, listening being more learning more light and light to the brain and the true wisdom of the heart

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 ปีที่แล้ว +1

    Najiuliza sana watu wanaposema mwili wa Jane! Je Jane ni nani najiuliza sana!!

  • @stellakins3770
    @stellakins3770 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah Bado sijaelewa ntarudia tena na tena ...Ahsanteh sana Dr

  • @donaldndesaiya6587
    @donaldndesaiya6587 3 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kizuri sana dada Lily;nashauri badili jina liwe ‘Tough talk’ itofautiane na ile ya BBC....

    • @ricostar4242
      @ricostar4242 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa, unajua lazima ufikirie sana na kufanya utafiti kabla ya kurusha media program kwa jina fulani, kama hapo

  • @dottocharles1636
    @dottocharles1636 3 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana Dada kwa masawali mazuri sna

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 3 ปีที่แล้ว +5

    Dr huyu ni zaid ya mtaalam na pia ni muelezaji mzuri sn

  • @shijalameckmpemba4529
    @shijalameckmpemba4529 3 ปีที่แล้ว +1

    That what you believe Dr. But no one who knows but we are trying think may be ?

  • @gretagonga2966
    @gretagonga2966 3 ปีที่แล้ว +4

    Next topic muulize kuhusu incarnation theory.

  • @yusraally6732
    @yusraally6732 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks

  • @thefantasyworld6292
    @thefantasyworld6292 2 ปีที่แล้ว

    It's a good teaching

  • @malk8152
    @malk8152 3 ปีที่แล้ว

    Vizuri sana kwa kutushauri

  • @everlightngowi1126
    @everlightngowi1126 ปีที่แล้ว

    Anachosema ni kweli nimekiona Kwa mwanangu

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 3 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu dah asante dr

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 ปีที่แล้ว

    😅😅 Da rily ulivoambiwa apo malipo mnakufa ukapumua kwangu u 😅😅😅

  • @mwakamtungirehi4773
    @mwakamtungirehi4773 3 ปีที่แล้ว

    Reality

  • @AnithaRiwa
    @AnithaRiwa 7 หลายเดือนก่อน

    Hivyo tusilieeee

  • @husseinnuru7544
    @husseinnuru7544 8 หลายเดือนก่อน

    Abisa dokta mm npo ktandan naumwa ila nakiona kfo sina mahusiano nadunia wala sina ham tena yadunia asate dkt

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm sijamwelewa vzr kuhusu mtu akifa nn next ....

    • @henrymushi8340
      @henrymushi8340 3 ปีที่แล้ว +1

      Mtu afi mwili ndio unakufa na wewe unakuwa kwenye space Kama wimbi yaani pumzi

    • @hisanmwakijungu10
      @hisanmwakijungu10 3 ปีที่แล้ว

      We kajamaa kaongo

  • @firdausfofofirdausfirdaus4040
    @firdausfofofirdausfirdaus4040 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwashi unashangaa ka mimi

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh! Hatari sana

  • @deilylifechanel8775
    @deilylifechanel8775 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh hatari

  • @aminafweke2810
    @aminafweke2810 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @jenniferbarongo6431
    @jenniferbarongo6431 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @Kitenge12061981
    @Kitenge12061981 3 ปีที่แล้ว +5

    Kipindi chako ni kizuri ila badilisha jina lake, sio kila kitu unakopi tu kwa wazungu, hakuna maana yoyote ya kuwakopi BBC jina la kipindi chao.

  • @gretagonga2966
    @gretagonga2966 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani dada kwani umehama Wasafi tv...vipi kuhusu women matters ?

  • @jembe34
    @jembe34 3 ปีที่แล้ว

    dada hili bonge la topic usichukue mda kuendelea na hii mada tunaisubiri kwa ham

  • @DANMPUGA
    @DANMPUGA ปีที่แล้ว

    Mwongo sana wewe acha upagani na kudanganya watu, uongo wako una mwisho jisalimishe kwa Mungu wewe

  • @asiaiddi2539
    @asiaiddi2539 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii n kwel

  • @aboubakar4793
    @aboubakar4793 3 ปีที่แล้ว +3

    Ila mnatudanganya wasomi🤣🤣🤣🤣we kifo ulikiona wapiiii unajijuaje unakufa😄😄😄

    • @aloycemacha9894
      @aloycemacha9894 3 ปีที่แล้ว

      Dr yuko sahihi

    • @donc6317
      @donc6317 3 ปีที่แล้ว +1

      Yapo maandiko mengi mno we tafuta maarifa ata wewe utajua

    • @topzone238
      @topzone238 2 ปีที่แล้ว

      Sayansi uvumbua mambo unayoyajua na usioyajua.

  • @ole_larusai587
    @ole_larusai587 3 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kizuri, ila jina sii poa kabisa maana umeiga lile la bbc ht?

  • @The_cbrtz
    @The_cbrtz 3 ปีที่แล้ว

    🥰🥰🥰🥰

  • @williamkavuta8066
    @williamkavuta8066 3 ปีที่แล้ว +2

    Ivi huyu alishaondoka wasafi?

  • @bakariamour6024
    @bakariamour6024 3 ปีที่แล้ว +2

    Waongo wakubwa nyie, naona mnafanya kufru tuu

    • @hassanhancha1413
      @hassanhancha1413 3 ปีที่แล้ว +4

      hilo ndio tatizo la kutokwenda shule hekima huna dini ndo kabisaa hujasoma umekariri tu sasa mwisho wa siku unatuletea mihemko yako binafsi tu hapa sasa wanakufuru nini hapo wewe

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 ปีที่แล้ว

      Nimeogopa Sana hayo Mambo yanatisha

  • @HansBwoi
    @HansBwoi 3 ปีที่แล้ว +2

    Hamna binaadam anae kijua kifo acha uongo mpaka ufe ndio utajua kifo kakojoe ukalale

    • @lilianphilemon907
      @lilianphilemon907 3 ปีที่แล้ว +1

      Mmm Kaka kauli izo🙄

    • @nannakhamis5350
      @nannakhamis5350 3 ปีที่แล้ว +1

      @@lilianphilemon907 😆eti kauli izo

    • @eaglecrown1101
      @eaglecrown1101 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndio maana Dada hapo ameuliza swali wale wazee wazamani walikuwawanajaje unakuta anaita watoto wake na wajukuu na kuwaaga anakuwa anajuaje?

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha

    • @hisanmwakijungu10
      @hisanmwakijungu10 3 ปีที่แล้ว

      Mbona mimi niliwahi kufa ,,
      Nikweli kabisa asemayo

  • @cgiftcaroline8576
    @cgiftcaroline8576 3 ปีที่แล้ว

    Haki

  • @siahminja1129
    @siahminja1129 3 ปีที่แล้ว +1

    0

  • @erickmachua8829
    @erickmachua8829 3 ปีที่แล้ว

    Sina uhakika kama Maswali yalikuwa yanajibiwa inavyotakiwa. 🤦‍♂️

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 3 ปีที่แล้ว +2

      Upeo wako na ufahamu ni mdogo hivyo siyo rahisi kuelewa ukweli juu ya ulichokiongea!

    • @erickmachua8829
      @erickmachua8829 3 ปีที่แล้ว

      @@wazirmlogi7532 Yeah, inawezekana 😔

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 3 ปีที่แล้ว

      @@erickmachua8829 😂😂pole bana

    • @erickmachua8829
      @erickmachua8829 3 ปีที่แล้ว

      @@wazirmlogi7532 Asante sana. Nausikitikia upeo wangu huu.😢

    • @wazirmlogi7532
      @wazirmlogi7532 3 ปีที่แล้ว

      @@erickmachua8829 hapana bana usisikitike mzee ujue humu na utani upo kimtindo hivyo sikuwa serious na kauli yangu