Dr. Chris Mauki: Hizi hapa sababu za mahusiano/ndoa yako kupoteza mvuto

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Mahusiano au ndoa yakipoteza ladha furaha hutoweka na wapenzi huwa katika hali mbaya. Mara nyingi sisi wenyewe ndio sababu ya mvuto kupotea. Hizi hapa sababu za huo mvuto kupotea.

ความคิดเห็น • 19

  • @bennykagozi7000
    @bennykagozi7000 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa dr, kila nikisikiliza mafunddisho yako najifunza kitu kipya Mungu azidi kukuinua nabarikiwa mno kupitia ww

  • @faridapetro
    @faridapetro หลายเดือนก่อน

    1:mmoja kuwa serious muda wote ( hakuna utani)
    2:kuwa na negative thoughts
    3:kurekebishana kwenye kila kitu
    4: kukosa quality time ( face to face communication)

  • @aishamwandau917
    @aishamwandau917 11 หลายเดือนก่อน +1

    🇰🇪 nimekufatilia sana na nimejifunza.

  • @OdetteKahambu
    @OdetteKahambu 4 หลายเดือนก่อน

    C'est édifiant vraiment.
    Dasa Dr, tufanye je wakati, izi événements inapo tu fikia?

  • @ZikandondelezaSadick-vk7vt
    @ZikandondelezaSadick-vk7vt 8 หลายเดือนก่อน

    Mim Mme wangu sikuizi amebadilika amenisevu family

  • @catherinedaniel2265
    @catherinedaniel2265 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kbc me mumewangu jmn amebadilika ndo kwanza tun miezi 5 tu yne nachanganyikiwa kbcaa

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana unatufunza maambo mengi

  • @marthalucas5912
    @marthalucas5912 10 หลายเดือนก่อน

    God bless you, nimejifunza kitu

  • @nassirkhalfan3166
    @nassirkhalfan3166 11 หลายเดือนก่อน +1

    Fact 100%

  • @alfayotumaini
    @alfayotumaini 11 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtupu

  • @vailethjames1934
    @vailethjames1934 11 หลายเดือนก่อน

    The Lord be with you my mentor

  • @gloryjimson9831
    @gloryjimson9831 10 หลายเดือนก่อน

    Jamani yule anaandikaga huku kwenye comment leo yuko wapi

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn 11 หลายเดือนก่อน

    Fact 👍 👍

  • @user-dn8gk8kr2l
    @user-dn8gk8kr2l 11 หลายเดือนก่อน

    Fact💯

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 11 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @MPL_Media
    @MPL_Media 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mr.
    Nipatie WhatsApp no ako.

  • @ZikandondelezaSadick-vk7vt
    @ZikandondelezaSadick-vk7vt 8 หลายเดือนก่อน

    Mbna mmenigusa

  • @evanciahkisanga2806
    @evanciahkisanga2806 11 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 11 หลายเดือนก่อน

    Mindo nakosolewa mpaka !