"HUYU KANITAPELI KIWANJA / ULIDHANI SITAKUONA/NITAKUUA, MIMI SIO MJINGA" | HIVI NI KWELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ต.ค. 2022
  • "HUYU KANITAPELI KIWANJA / ULIDHANI SITAKUONA/NITAKUUA, MIMI SIO MJINGA" | HIVI NI KWELI
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 56

  • @sadasuleiman2404
    @sadasuleiman2404 ปีที่แล้ว +7

    Nakubali sana hiki kipindi daah nimecheka sana respect to wsafi Tv #Mo town Sanya

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 ปีที่แล้ว +17

    mpaka hapo bado hamjagundua watu hawapendi kuangalia TV alafu mtu akileta tangazo mnadai hela kubwa sijui laki tano kwa wiki yaan watu wote hao hawamjui mo town sanya hivi ni kweli

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 ปีที่แล้ว +1

      Unafkr mpaka kumliki redio n matiti na matako

    • @jumarajab5316
      @jumarajab5316 ปีที่แล้ว +1

      @@afterfull-time1348 tomba nyoko

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 ปีที่แล้ว +1

      @@jumarajab5316 Ghurughunyamuu😁😁🤣🤣🤣

    • @thisboyisgreat
      @thisboyisgreat ปีที่แล้ว +1

      Sio wote wana angalia tv ama channel ya wasafi

    • @maxmiliankephamwaigombe3642
      @maxmiliankephamwaigombe3642 ปีที่แล้ว +1

      oy wewe nawewe utimamu zilo kichwan kwako sikia sikunyingine ukiona chakula akikufai wew achana nacho wapo ambao kinawafaa nawanao kiitaji kama apo umesikia jamaa yeye ni kula kulala kama wewe sio kulakulala unaonaje umtafute mo nakuungana nae ilisikunyingine akikutana nawatu kama awa awasaidie nawew mchango wako utakua umesaidia kwanamna moja au nyingine ilimatatizo yaweze kupungua kwa vijana wazee na akina mama ambao wanakua awajiwez mwanetu mo anapambana sana kutuonyesha nakuwaonyesha watanzania kuamtaan kuna mishe kibao naiyondio maana alisi yanembo ya mtaa naizo unazoziona ndio changa moto ambazo watuwengi wana kutana nazo saidia watu kama wew unauwezo nasikuanza kuongelea abaliyamatangaz wewe nawe ku** yan biashala yako faida zako mwenyewe unataka ufanyiwenin unaujua uchung wakuwekeza wewe ulishawaikufanya biashala wewe mseng* kweli wew umenikela sana nalazima uwambiwe k wew tusikwambie wewe nan tunakuogopa au ingia wewe mtaan nakuanza kuangalia uwezo wa watanzani ukoje na wanaishije una weza kukuta wote awo awana TV kwao sim awana nasilazima waangalie wasaf wewe unaongelea nin brow mim umenikela kichiz kama unataka utangaziwe matangazo nenda kwenye TV yataifa peleka matangazo yako uko watakufanyia bule autotoa ataiyo lakitano

  • @grantonmaganga9474
    @grantonmaganga9474 ปีที่แล้ว +2

    Love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕💕💕💖💖

  • @andrewmushi-gf3yq
    @andrewmushi-gf3yq ปีที่แล้ว

    Dah! Hapa moh twn umetisha nakubali

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah vijana wako naumoja

  • @ladyr.hamsini2311
    @ladyr.hamsini2311 ปีที่แล้ว +2

    Mo town Sanya wewe ni 🔥🔥

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 ปีที่แล้ว +4

    Jamaa mlinzi kaamua kufunguka😭😭

  • @ybmtaakwamtaaofficial3415
    @ybmtaakwamtaaofficial3415 ปีที่แล้ว +1

    Amazing sana

  • @mtukazi4032
    @mtukazi4032 ปีที่แล้ว +1

    umetisha sanya

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 ปีที่แล้ว +1

    Igizo zuri..

  • @ramarite4841
    @ramarite4841 ปีที่แล้ว

    Dah nomasana nimekubal🙌

  • @robsonwisdom1994
    @robsonwisdom1994 ปีที่แล้ว +1

    Leo motoooooooo sanyaaaaaaaaa

  • @robsonwisdom1994
    @robsonwisdom1994 ปีที่แล้ว +2

    Umeuwaaaaa leooooo nimeipendaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 ปีที่แล้ว +2

    Cheni watu wanaitamaniii kweli kweli

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa ushirikiano wao hawaja kubali mwenzao achukulie kiholela 😂😂😂

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 ปีที่แล้ว +1

    Pindi limesimama san❤️

  • @maquemkondela
    @maquemkondela ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anae daí siku ingine awe na bastola ya plastic wakimzingua sana anapandisha flana

  • @adamngoma3372
    @adamngoma3372 ปีที่แล้ว

    Umetisha😂😂😂

  • @mariamsaidi1681
    @mariamsaidi1681 ปีที่แล้ว

    Uyu kaka wa shoka katisha sana uyo ata mkewe haonewi kizembe

  • @mrmangetown4323
    @mrmangetown4323 ปีที่แล้ว +1

    Ipo siku zitafika 40 zenu, tena hiyo style yenu ya kwenda bila security mtakuja pigwa wote

  • @starpammy6020
    @starpammy6020 ปีที่แล้ว

    Dah kula kulala 😂😂🙌

  • @charlesesigira5418
    @charlesesigira5418 ปีที่แล้ว +1

    Hiki kipindi ni kizuri lakini nahisi kuna siku kitamwaga damu ya mtu maana watu hatufanani.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +1

    Eti nitakubomoaa🤣🤣🤣🤣. Ipo siku mtaboomolewaa hoo.

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 ปีที่แล้ว

    Kulakulala

  • @erickmahona5357
    @erickmahona5357 ปีที่แล้ว

    Naondoka na cheni

  • @kanikionlineTV
    @kanikionlineTV ปีที่แล้ว +2

    th-cam.com/video/1qmALBryamk/w-d-xo.html
    WALIOMBADILISHIA namba ya mtihani wala adhabu hii
    th-cam.com/video/1qmALBryamk/w-d-xo.html

  • @zaharamlau8817
    @zaharamlau8817 ปีที่แล้ว +1

    Sanya unajua kuzingua, Ipo siku nitakutana na wewe

  • @ibraheemiddy8612
    @ibraheemiddy8612 ปีที่แล้ว +3

    Madale moko hiyo mivumoni

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 ปีที่แล้ว +1

    sasa huyo alitapeliwa hakupewa mkataba SI AENDE POLICE??

  • @muzlyzam
    @muzlyzam ปีที่แล้ว

    Icho kitendo cha kumpa mtu mice aongee ndo watapata kujua km wanarikodi. Hapo mice ziwe zile ndogo za kuficha ndo pindi litakua tamu

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 ปีที่แล้ว +1

    Lakini hapa ni kipimo tosha kuwa watu hawafatilii tv

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 ปีที่แล้ว +1

    hii muvi ama ?????

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 ปีที่แล้ว +1

    ni matangazo au nini

  • @nduwimanaaisha8734
    @nduwimanaaisha8734 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂

  • @athumaniomari4636
    @athumaniomari4636 ปีที่แล้ว

    Jamaa mbn wamechelewesh kumpiga huyo mshkaji

  • @isakagobreo4410
    @isakagobreo4410 ปีที่แล้ว +1

    Moto town sanya nakubli Sanaa moto wako we ni moto kweli kweli

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 ปีที่แล้ว +2

    Wanautopolo wanajaa mapema sana🤣🤣🤣

  • @maxmiliankephamwaigombe3642
    @maxmiliankephamwaigombe3642 ปีที่แล้ว

    😂😂😂aondoki mtu labuda uondoke na maganda ya miwa

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 ปีที่แล้ว

    Uto

  • @tashmaorg4734
    @tashmaorg4734 ปีที่แล้ว

    Nimeechek san

  • @khasamentertainment4269
    @khasamentertainment4269 ปีที่แล้ว +1

    Dogo kula kulala hahaaa

  • @Msambyamashingwe
    @Msambyamashingwe ปีที่แล้ว

    😅😂

  • @joycesimon760
    @joycesimon760 ปีที่แล้ว

    Denis na baba bray mivumon hapo

  • @MoMo-pv2qc
    @MoMo-pv2qc ปีที่แล้ว

    Shabiki wa Yanga ni mkorofi sana Ahahah

  • @zafarmohamedy3013
    @zafarmohamedy3013 ปีที่แล้ว

    Mazoezi yamekuwa mechi

  • @robsonwisdom1994
    @robsonwisdom1994 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhhhhhhh mtakuja kupigwa mbwa nyie

  • @harunamroboto2635
    @harunamroboto2635 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @ErickMasudi-tp6gr
    @ErickMasudi-tp6gr 11 หลายเดือนก่อน

    😂