PRANK NIPELEKE POLISI, MIMI SIJAOKOTA POCHI, WE UNANIJUA - HIVI NI KWELI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2022
- PRANK NIPELEKE POLISI, MIMI SIJAOKOTA POCHI, WE UNANIJUA - HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Asee mzee baba unanimalizia bando nakufatilia atali mungu akuweke dam yangu
Sikuzote wezi Ndo walivo anataka asimulie watu Ili wamteteee🤣🤣🤣
Kwa kwel mnaweza kuharibiya mtu siku ilaaa mmejuw kuzinguw watu🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣
daaah ila sio poaa mlivyomfanya huyo jamaa wa icrem 🤣🤣🤣🤣
Mo Town Sanya nembo ya mtaa 😄 msalimie sana diamond 💎 mwanetu sana 😄❤️,Eti watakuwa wameniroga 😂😂
🤣🤣 nikiokota mimi napanda boda unipati tenah
banaa sikuizi more town anakaa sana kutoa kazi Kwan shida nn tumezea kila juma nne usiku tunaona kazi mpya but not like this day can take even two months what going on there 🎉more town we appreciate your work bro keep on going bro kazi yko tunaifatilia from Kenya Mombasa
Labda hufwatilii kila j4 antoa
@@aronsparta1858 ww unakumbuka ivi ni kweli ya the last time ilikua lini..?
Maskin wa ice cream jmn😢sanya sio pow🤣🤣🤣🤣🤣mana mpaka kaona bora nihame kijiwe uwenza wakurungwa wamisha fanya mambo yao🤣🤣
😂😂😂😂hzi mambo mziacheee..mtakuja kuua watu
Jichanganye chuga itachukuliwa kipigo utapata naela utaongezea
Masha Allah watanzania siku hizi wamenyooka tangu alipoingia madarakan Rais Magufuli hadi leo ile hofu ya mungu bado ip mioyon mwa watu ila huyo wa shati ya kaki mhhhhhh bado hajaerevuka
sanya akili kubwa sna🙌🏿🙌🏿🙌🏿 aisee Simba aongeze mshahara kwako daaaah🙆🏿♀️✊🏿👊🏿
Watanzania ni wawazi Sana wamenyooka
Mo utapigwa watu wananjaa ww unawaringishiya pesa
Ichi kipindi nakipenda sanaa moosanya unahakili paka unapitiriza Mimi huku hua unaniua mbavu
More talented
Nilicho chunguza apo ugumu wamaisha ndotabu aseeeee
Mwenye kanzu jekundu kama sengaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Show kali🔥🔥
#shorts
th-cam.com/users/shortsOsCxljjms9g?feature=share
Sasa sikiliza washikazi tuchukulie kuka nusu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Noma sana
Hatari mzee babaaah
braza achana namambo yakituoni 😂😂😂😂😂😂
Uislam raha san..yan jamaa wanasem ukweli
Sikia kanichukulie kuka nusu aliyesikia Kama mm agonge like🤣🤣🤣
Dingi jau sana eti kuka nusu
Mzeee anataka kuka nusu
Haki ya Mungu na mtume🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂Mo Mungu anakuona😅😅😅😅😅😅
Kaka mbona gonga beat hamna siku hizi
Eti dada anajua 🤣🤣🤣🤣🤣
Tuchukulie kuka nusu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
hhahhha hyu wa ice cream dah hhahha
Mapemaaaaaaa
Hahahaha jamaa anasema karogwa
Noma sana 😂😂😂😂😂😂😂😂
Dahhh mwanangu hata sijawahi kukosa
Hahahaha et sijui washaniroga
Hii mmetisha kinoma noma
😀😀😀😀
babu anataka nini nusu??
Wasafi mpeni mo Town Sanya yuko juu
iv nikwel sikuping mo town sanyaaa 😁😁😁😂😂😂😂🙌🙌🙌 like kwenye pind la kijanja
Sanya wew no konyoooo
mwanangu kazi unaipigaa..maliza bando languu mzeee
Hongra kpnd kzr😂😂😂😂😂😂
Jamaa wa juice kifuatacho angekimbia biashara
Huyo babuuu😂😂😂😂
Naiyona hiyooo
Haa
💥💥💥🔥🔥🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 prank ya kuruka nzuri
Acha tu dowload mbona mnafunga
Jueni jinsi ya kujipanga
Sanyaa
Ila fanya
Kama vile kaishiwa
Mchaga nae kaingia mkengee
Ubunifu wa leo sifuri
Mo town Sanyaa
Kigambon location jiran na navy
Nembo ya mtaa ivi ni kweri!!!!
Kweri?😂😂😂 utakua ni msukuma tu
@@chanjamabilo3963 we koma msukuma Baba ako!!!!!
@@neemazee1864 .
😂😂😂
hio ya kuruka aseee
HAHAHAHA atali
🤣🤣🤣🤣🤣
Mo sanyaaa
muuuza ascrim anasema atakuwa karogwa
🔥🔥🔥😍🇷🇼
😂😂😂😂
Mmeamua mje kibada hahaha
tunaiga tiktok sasa hii sio kali buni vyengine dogo
Choko ww Siku amtafune mamaako ndio utajua kabuni yk
Acha wivu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sema kuhusu camera bado sana
Waaazime yakoo
Wape mchina wako unaotumia
Wanarecod wakiwa ndani ya gari
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😆😆😆😆da
Zote unacopy
😅😅😅😅😅😅🇹🇿🇺🇸
Masikini muuza askrim
KARIBU SANA KUTIZAMA SEASON ZA LOVE STORY KWA KISWAHILI GUSA HAPA KUTIZAMA th-cam.com/video/eHCdyMnWcQc/w-d-xo.html
Poor organized
Aletwe FRANK WA KAOLE SANAA GROUP BHANAA
😂😂😂😂😂😂😁😁😀
th-cam.com/video/Lk1Cl6biVCA/w-d-xo.html
MFAHAMU SARA BAARTMAN BINTI MWAFRICA ALIYEWAVUTIA WAZUNGU KWA SHEPU YAKE
Bahati Yako Usikutane Na Mimi
😆😆😆😆
Hii ni Baraka sana 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥🔥🔥🔥👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼
th-cam.com/video/CTKEv7VUpRc/w-d-xo.html
Pata free internet kwa mitanda yako uinjoy kustream vitu online
th-cam.com/video/6dNN1E6sApU/w-d-xo.html
Hahahahahah njoo mbagara ukutane na watoto wa mbwa😂😂😂😂 wanaokota na hawaludishi
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
KARIBU SANA KUTIZAMA SEASON ZA LOVE STORY KWA KISWAHILI GUSA HAPA KUTIZAMA th-cam.com/video/eHCdyMnWcQc/w-d-xo.html
😂😂😂
KARIBU SANA KUTIZAMA SEASON ZA LOVE STORY KWA KISWAHILI GUSA HAPA KUTIZAMA th-cam.com/video/eHCdyMnWcQc/w-d-xo.html