MTOTO ASMA ALIVYOWACHANGANYA WATU WAZIMA KWENYE HIVI NI KWELI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ย. 2021
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Kama umemuona jamaa wa mkokoteni aliyebeba mbao gonga like
12:18 😂😂 "tukimpeleka police pia mi watanibeba" uyu mze bana 😂
Nchii yenyewe ii ukimpelekaa police umelibebaa 😂🤣😂😂🤣😂🤣😂😂😂
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
Katoto kadogo harafu kakaushi kwenye kipindi nimekapenda bure 😍😍😍😍
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
Mzee: huyu dawa yake kumpeleka msikitini tu!
Mo Town Sanya: Akaswali au...?😂😂😂😂
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nice jifunza kuwa jeshi letu la polisi lina ogopewa hakuna wa kumpeleka mtoto polisi.
Nilicho jifunza kuwa kwenda polisi ni kujitafutia matatizo
Hapo sasa....
Ukijitolea tu we ndo shahidi namba moja na upelelezi utaanzia kwako yani
@@azizamohd5728 🤣🤣🤣🤣🤣🤣uisaidie polis
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
Umeonaee
Manshallah wallah nampenda mno mwanangu asmah
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
Mola amkuze salama ammyn
Mashuti ya mbali PhD hapa WASAFI FOR LIFE 🔥🔥🔥🔥🔥
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
Asma /Zuchu kauzu kweli yaani dogo yupo serious kinoma eti Mama kaniambia wewe ndiyo Baba yangu 🤣🤣🤣
♥️wasafi n chombo kikubwa kila mtu Ana watch pale makofi plz👏👏👏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💟💟💟💟🙏🙏🙏
Mtoto kauzu
Sanya kauzu+
Mzee wa msikiti baharia zaidi.
Nimecheka mpaka nikaona bandama lina flot 😂😂😂😂
Weee achaa2😂😂😂😂😂
Asmah nakupenda sanaa Allah akujaaliye kipaji chako kizidi kukua.
Wasafi media number one Africa
Not Africa, but is number one tz
Sanya nakubali sana katika pindi ili nimecheka sana hongera kwa idea kaliiiiii😁😁😁
Dah! Bongo watu wanaomani Sana Asma" Ankwenda twaliwa Vitumbua" kisha yuko Serious kabisa Dah! SANYA Mungu yuwawaona🤣🤣🤣🤣
Hii safi
Nembo ya mtaa Motown Sanya🔥🔥🔥🔥
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
😂😂😂asma kavuruga watu wazima dk chache ❤️🇹🇿🔥 😂
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
Dah huu mtihani 😂😂😂😂😂 nimecheka kifala Yani 😭😭😭😭
Nimecha Sana 😂😂😂😂 🙌🙌 wasafi kiboko
Wasafiiiiiii bhana ila we Mo town Saaanya
😂😂😂😂😂😂😂mtt kula vitumbua kwanza halafu juic utaikuta mbele kule sawa 😂😂😂😂😂safi sana
Mzee Ana Akili nyingi uyu asije akalibeba na nywele zake nyeupe izo 😂😂😂😂
🔥🔥🔥
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
What a creativity I like it so funny kwa kweli
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
Wangapi leo stress zimekwisha kwa kumtazama asma?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😆🙌🏻mm nimecheka snaa
Mzeee aaaahhh ukimpeleka polisi umelibeba😂😂😂😂🇹🇿❤️😂
Hahahahaa
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
Yani huu mzee nomaa😀😀
Yani huu mzee nomaa😀😀
Mzee alikuwa anawaza jisi yakwenda kuingia kwamke wake namtoto mkubwa hivyo alitaka nakulia mzee wawatu.
Yaani nimecheka kwakweli mzee huu mtihani kwakweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
Jamani jamani mbavu zangu namuona Asma mbali sana
Yule mshikaji ana mambo ya kishamba😃
Jmn😂😂😂😂😂 anawahi chuo mtoto kaanza juzi mzee kabaha
Mo Town Sanya... Akili kubwa.🔥🔥
Nimependa😅😅😅
Umetisha Leo motown 🔥👍😂😂😂😂😂
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
Uongo huu sio mzuri kbisa
Umetisha sana
Issa tunakukubali sana kwediboma mwanao anakipaj kikubwa kiendeleze
Wasaaaaaafiiii
😂😂😂😂😂😂nmecheka had cjielew😂😂😂
Kwenye beat nimecheka sana aisee!
Aiseee hii ni noma sana
Jamani Leo wazee wamechoswa Leo 😂😂😂😂😂😂
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
Yaani nimecheka na tumbo inauma jamani 😂😂😂😂😂😂😂
Waooo anatisha sana asma
Et we ndio baba yangu 😂😂😂 nmecheka kise****
Hii kali sana
Ukimpeleka police umelibeba hahahahahaha
Baba yuko wapi🤣🤣🤣
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
Nimejifunza kitu,ni muhimu mtoto kujua pahala anapotokea,kujua namba za mzazi wake pia..
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
Mo town kaka nakukubali sanaaa
Asante njooo zanziba
Asmaa❤️❤️❤️
Mambo
Hi
🤣🤣🤣🤣🤣Sanya ww 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸♂️🤸♂️🤸♂️Ila huyu mtoto noma
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
Nakapenda haka ka asma
Hahahahaa kipindi kizuri kweri nikucheka tu 😂😂😂
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
☑️☑️☑️☑️☑️☑️💥💥💥💥💥💥Asmaha bichwa kizazi star
Sanya unasababisha mbavu zipasuke🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏nakubalisanaa
nmecheka mnoooo mzee kachanganyikiwa
Jamani wasafi mbona mo apewi gari mmmm maana sio kwa kutisha uku
Ally aliongwa
team #Kilindi piga like hapa
Hii nmeipenda
Show imetish sana🤣🤣🤣☺️
Nimecheeeka kifaala Daaah😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyuu mtoto anakipajii sio chakitotoo aiseee apewee tozoo
Sanyaaaaa......daaaaah unajua kaka so poaa
Khaaa huyu mtoto 🤣🤣🤣🤣🤣 more dance
Shoo nzuri Sana hii😆raha ya kuwa na kipindi chako ulichobuni ukihama unahama nacho 🤗😂Asma katisha sana wazee wa zamani bhana kitanda hakizai haramu mzee kabeba mtoto 😆wanawak tunajua Sana wasanii kuliko wanaume
Bibi kawashitukia
Ukipeleka police umelibebq😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂daah Sanya so talented
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
🙄🙄🙄Awesome asim😍
Uyu mzee kanichekesha wallah 😁😁😁 ati huu mtihani uyu dawa yake kumpeleka msikitini
😄😄😄😄
Nakubali
Babuu wa dagaa kanichekesha😄😄😄😀😅🤭
Nice kipindi
Dhu! Mbavu zangu 😂kweli hasma kanichekesha ila hapo kwa wasanii sasa aise wametisha please mtangazaj naomba uwajulishe Kama BSS yaendelea vipaj hivo jamani 😂😂🤣🥲
Haka katoto nimetokea kukapenda😂😂
22:03 ..mdoli kavaa kigodoro
Yaaani 😂😂😂😂😂
Ila motown pia unakipaji cha kuigiza yaani upo serious hahahahah
Kavamia ,hajaalikwa😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 safi sana, Mzee kaogopa kupeleka mwana polisi
Esma jamani pole
😂😂😂Mnamchanganya mzee wawatu 😀😀
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
Jmn wazee wa watu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Gonga like za asma hapa 🤣🤣🤣🤣
Ila jamani esma nimjanja wallahi😀
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jamanii asima ww alafu mbona watu hawa mjui asima
Sanya ela show iyo y kweli ama ndio nlikua mumetupangia ayo
Cjpnfa kipind ch leo kwkusumbua wazee😂😂
Mbavu zangu mimi😂😂😂
Police umeribeba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daaaaa noma sana
😂😂😂wallah mumeniweza leo
Baba kaloa jasho🤣🤣🤣🤣
❤❤
th-cam.com/video/YJX_iBspCeo/w-d-xo.html
👇 *TIZAMA STORI HII UPATE...* 💝
th-cam.com/video/9xy-Ih-D33I/w-d-xo.html
njoo njoo esma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 angalia apo 👏👏👏👏👏👏👏💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Wasafi juu kabisa 😄😄😄😄
N hatareeee
😁😁😁😁 Moçambique ntunakupenda sana
ivi sanya unabandama kweli 🤣🤣🤣🤣🤣💋