KAZOA KAANGUKA GHAFLA KATIKATI YA INTERVIEW / WATU WAMKIMBIA | HIVI NI KWELI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 เม.ย. 2022
- KAZOA KAANGUKA GHAFLA KATIKATI YA INTERVIEW / WATU WAMKIMBIA | HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Kama unakipendaaaa hichi kipindi gonga like 👍 hapa
Jamaa anayumba sana
@@tumainialbati6043 puaAEsARA5sSa4EseaS3S4SaTsSAAEESEs4ssaAAAAAatAEEsSaASaASRRAAEARSASArSErarSaSsAsASSsEEsRSSsSAsaSAaSSaaEASSSArsssaAsSARr5ArssSA4aASASssEsSaASAdSaAaÀSSSSSsSsSsSAASSASEA4AaSAASAEsAASsSA4sreESaSeseaAASsaSes aaAAaaESAS5aeaRRTRSSSSAsARaASASaSrrSaASDRSSSSASsRaAetee4tSRa4raASas4SaEAsSrar5waREDaSsSERSrASS5ErSrSSr5aa5ASa5ASSAaSsssasASSr5ARAR4SAsS5sASAASARaAr45SSAReaSste5Starr's sass R's aSaTARSdRAeS5esA5S45tesssSteraRAaTAAA4SSAS rater at at SDRs Ross's as sea ease SMRT
@@tumainialbati6043 SSAS rater at at SDRs Ross's as sea ease Race Yugoslavia SHE SHE SSAS rater at at SDRs Ross's as sea ease Za From SSAS rater at at SDRs Ross's as sea ease ZERO SYSTEM Zero SSAS rater at at SDRs Ross's as sea ease Due Data
@@tumainialbati6043 SAME by and years By This UA Did BY THIS UA DID
Namkubalii sanaa
Huyu mwamba namkubali Sana Mimi na familia yangu hasa mtoto wangu tukimuona huyu professor kazoa hata tukiwa na matatizo tunasahau ni kucheka tu.
Hassan Kazoa nilisoma nae pale SHULE ya MSINGI MUUNGANO TEMEKE
Namkubali Sana tena Sana ❤️❤️.
Mwaka gani hiyo stella?
Mo town apewe accolades zake aise he is so creative with hiki kipindi. Wakati kinaanza sikukielewa kabisa but u can tell the hard work n creativity anajitahidi kueka. Big ups
Bonge la message eti kama hukupata PESA kwenye bongo movie,basi huku kitaani huwezi kupata pesa 🤣😀🙌🙌
Kama unamkubali sanya gonga like tufamiane 🇶🇦
Hiki kipindi nikizuli sanaa Lakini mjihadhali nakupingwa Sanya usikaage mbali sana nawatu wako😂😂😂😂
iki kipind ni unyama mwingi nembo ya mtaaa like kama zote kwa mo town Sanyaaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kazoa ametishaaaaaaaaaaaaaaaaaaa namkubali sana mwamba
Huyu jamaa anakula aisee ! Vipi ? Humo ndani ya Gari mo Hali ya hewa ilikuwa Sawa kweli .
Huyu wamwisho nae alikua anaimba nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Hahahaa daah sema mo town hao jamaa wakuimba huwa unanikosha sana
🤣🤣🤣 hii na ile ya AU BASI IT KILLS ME🙌🙌🙌
Ile au basi😀😀😀 kuna mzee alipaniki kweli
We need JoTi
Uko mwishoni tuna pigwa sana na waimbaji wetu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 aiseeeeee
Kuna wana wangese sana Huyoo jamaaa kashadadia yani watu viherehere wapo kitaani..
Mo town sanya 😀😀😀😀...............respect brother 🙌🙌
Jamaa Ana Kalama Ya kula😄😄😄😄
Best show
Profecha kachoa baba wawatu 😀😀😀😀😀 uyu jamaa anakula kweli
Nishai wangu 🇨🇩
Kazoa kumbe anapakia kweli aah sio wakumkalibisha home
Uyu k.. Anakulaaa khaaaaa
Duh kazoa watu hawamjui😂😂
Moo sanya umefanana sana na beki wa liverpool vandaic
kabsa
Kwel
Sanaaa
show kubwa sana mwanangu sanya but ila editer wenu wa sasa sio yule wakitambo sio
15:08 😂😂😂😂😂😂 kazzzooa mseng sana
Ila watu 🤣🤣🤣watu hawana Imani kama kapoteza pochi kweli
Uyu mshenzi kumbe anakula kweli
We unazani ni uongo
Wow cjachelewa👊🔥🔥🔥💯
#nembo ya mtaa 👍creativity nzur xan kk nakubql💪
Kusah ataua mtu haki Tena 😂 Moh town ulaaniwe 😂😂😂😂😂
Trip tatu hatukusameehi 😂😂😂😂😂
Haya maigizo hatakuja kufa mtu punguzeni usiliasi kwenye kazi za watu
Mtaaalam kazooaa baba wawatyu
Saf sana muko vizur wasafi
KUNA WANA WASENGE SANA WAKUDA SA UYO JAMAA ANAJIKUTA KUSHADADIA NINI
Umeona eeh..
Mwana snitch knoma
Ahahahahahah naomba na ndizi Niger mbili
Aisee nimecheka sana
Iyi show apo mwisho mbon y moto😂😂😂😂😂uyo kaka mfupi uwiiii😅😅😅
😂😂😂😂😂hichi kipindi hata kama huna mudi yakucheka utacheka tu
Yaan nimecheka ile mbaya wallah🤣🤣🤣🤣
I was miss you motasanya
Baba wawatu 😂😂😂
"Tonge Staki Demu" 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
watu wabaya sana!
😅😅et awez kumuogopa mungu kwasababu amjui jmn mo town sanya unajua kutuchekesha
Kabisaaaaaaaa
Message
Kazoa umetisha ,bonge la kipindi aisee
Good
Mm napenda sana vdeo zko
Nakubal
Nomaaaa
Hiki n moja ya kipindi kizuri san TZ
Nakushusha mda sio mrefu hapa... kesi mkononi
🔥🔥🔥🔥
Daaah
Dah uyu jmaa anapenda sna kula aisee
Kazoa acha kucheza na watoto wa Temeke watakudunda
Kazoa hiyo ndo temeke umetisha
Dahhhh
Hii Ni no2 baada ya ile ya ndaro aliua sana
Ingekuwa sahani moja sawa ila kala sahani Tatu Weeh!!
Nomaaaa sana2 jmn
KWA HIYO ATA ELFU 5 HUNA ??😂😂😂😂
Hassan Kazoa fundi
Sio kweli katoa elfu tatu msikilize huyo dada
kwaiyo leo ujafunga swaum hahaha 😂 🤣 kazoa ya leo kali nusu upigwe?..
Kazoa Eti kwanini usinilipie hapa😂😂😂😂😂
Lkn mtu unakula chakula chote icho live una tumbo gn jamani na unalipa ela ile ile sio poa wala nn
Aya ni maisha yetu kabisa ya uswahilini 😂😂😂
Damn
Ushauri wangu hiki kipindi muache mara mtakuja kuzibuliwa .
Kwer
😂😂😂leo tulew mpk tumwage mwa nywaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂 Apo kwenye kuimba sasa
Jamani kazowa
Sanya we ñoma mwanangu daaah
Aaaaa kazoaaa
Watatu leo nijibuni nivimbe basi
Utapasuka
Umuka😀
Vimba
Imeipenda😂😂😂
,😂😂wabongo wanafki sana😂😂et ilibak kdg nimuharibu...akt Hana issue yoyote
TMK wanaume halisi,temeke gereji iyo
Gonga beat heheheheeee
Ila Sanya kweny nyimba watu watatutukana kha sijui wanaimba kimasai😅😅😅😅
Baba wa watyuu
Oya ktk zote 😂😂😂 kali nyingi ila hii noumaa sanaaaaaa
Hiki kipindi atakuja kupigwa msanii siku moja shiken maneno yangu #nkisema nimesema na sifuti😂
Kwel kabisa
Utajuwa hujala chakula siku nzima eeh??
DAAAAAAH 🤣🤣🤣🤣
mnahitaji camera yenye uwezo mkubwa zaidi kwenye kuzoom
Kwa ujinga wenu huu siku atafirwa mtu
Wa mwanzo mwanzo mie
Vipindi vyangu pendwa youtobe ! Ivi ni kweri... mo town sanya... Arafu chizi langu #ndaro Au basi
Oyaaah uyo mwamba alikuwa anaimba au
Mtapigwa siku moja🤣
Pindi la kijanja sanh,,sema kuna siku atapasuka mtu😂
hakuna kifafa mtu ananyanyuka mzima mzima kama hivo na ana akili zote
😂😂😂ila bonge et katika akili yako unafikili Mimi ninan ...🤣🤣...daaa
Ata nilivyomuona nimecheka sana😂😂
Ila usipende kujitia kifafa siugonjwa wakuomba kabisa wala kujifanyisha
😂😂HIki kipind atakuja kuvuja mtu dam😂😂