Uzuri WA Eliudi ni ana Uwezo WA kueleweka na Watu WA MJINI na Vijijini pia. Anatumia Visa halisia kwenye jamii kuwachekesha Watu. Such a wonderful talent. Walionielewa TUJUANE
Uzuri wa huyu jamaa anachekeaha bila kutumia nguvu afu story zake zimejipanga kwa mtiririko mzuri na vichekesho vyake havina matusi wala matamshi mabaya pia hana uchama wala utimu big up tunakupenda sana🙏🇹🇿💪
Uzuri WA Eliudi ni ana Uwezo WA kueleweka na Watu WA MJINI na Vijijini pia. Anatumia Visa halisia kwenye jamii kuwachekesha Watu. Such a wonderful talent. Walionielewa TUJUANE
Uzuri wa huyu jamaa anachekeaha bila kutumia nguvu afu story zake zimejipanga kwa mtiririko mzuri na vichekesho vyake havina matusi wala matamshi mabaya pia hana uchama wala utimu big up tunakupenda sana🙏🇹🇿💪
Huwez muelewa Eliud kama hujaishi kusini mwa Tz🎉😂😂jmaa anajua saana🙌🏾🙌🏾
Nakuombeya Eliud mungu akuzidishiye nemaa sana tena sana
Wa kwanza kutoka Dr Congo, jamani naomba likes zenu
𝕎𝕒𝕥𝕦 𝕨𝕒 𝕝𝕦𝕓𝕦𝕞𝕓𝕒𝕤𝕙 𝕥𝕦𝕛𝕦𝕒𝕟𝕖
😂😂😂😂sema huyu jamaa ndo maan harudiagi maana anatunga story kutokana na watu hapohapo
Jamaa umenikumbusha kaka yangu akiachiwa kutuangalia anajikuta Baba mwenye nyumba 🤣🤣🤣
😂😂
Yuko vzr ata ukiwa na familia unaangalia tu
Upo sawa
Mungu awe nawe kaka ...kutoka uyole
Good job bruu
Dah w jamaaa unajuaa sanaaa kak
Nakubali brother 😂🎉
Unajua sana homie
Huo wimbo wa Matching aisee,Walionizalisha wamenikimbia😂😂😂😂
😅😅😅
Big up My Brother
Upendo wa hali ya juu kabisaaaa
😂😂😂😂😂😂😂 umetisha
😂😂😂😂😂😂
Dah weee mwamba noma et kama ndoto
Umetisha sana
Fundi sana broooh
😂😂😂 wabandue cement
Unatisha home boy
Upo vizurii kaka
😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kubandua siment
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nliskia kweeee
Big up bro..
😂😂😂😂labda wabandue cement
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu mtu anakitu sana na Kama hatumii nguvu sana 😂😂😂😂😂 I do appreciate him
😂😂😂😂😂
Jamani eliudi kabla haujaongea me naanza kucheka
🤓🤓🤓
namshukur Mungu kwa ajili yako hakuna kitu rahis Mungu asikuache aongoze hatua zako
😂😂😂 nimecheka mpaka nimelia, af nipo karib na watu wameanza kunishangaa tu. Mungu akuinue Zaid ka Eliud, akuketishe na wakuu
Mungu akupandishe Viwango vingine kaka angu ❤
Eliud jamani unajitahidi sana.
Ndagha wakukaja ❤❤❤❤
😂😂😂😂 comedy yako nzuri sana mtu unainjoiiii unarelax
Mungu akupe maisha mlf🎉🎉🎉
Jamaaa arudiag contents ndo ninachomkubal anaangalia audience t anaruk nayo
Amekuja Rose wa mtaani kwao, tayari akaruka na wizi wa kuku kitaa chao. Ni mbunifu sana.
Mungu akubaliki
Ila eliud mungu akuzidishie sanaaaaaaaaaa
😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Eliudi is the best comedian in Tanzania
Huyu jamaa ni namba moja
😂eliud umeokoka kweli au mbona kama past kweli
Kweli
Yani atumii nguvu ili mtu acheke,ila utachekatu mwenyewe
Nilikuwepo hapa Mbeya Tughimbe hotel live nilibarikiwa mno
Mngu akubaliki mkuu eliud unyenyekevu wako
ELIUD MDOGO WANGU UPO VIZURI ENDELEA HIVYO USIJARIBU KUCHANGANYA NA MATUSI KAMA WACHESHAJI WENGINE. BAKI NA YESU TU
Nakubali sana
Jamaa noma sana😊😊
Lily tena jmn😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Amen
Umetisha
😂😂
Nyieeeee elika wangu umepitia vingi 😂😂😂😂
Homeboy bhana 😁😁😁😁
anajua
Eliud sokapu hapaaaa
Umetisha sana
Opo unyama sana kaka
noma
Ur Kikuyu boy from Kenya
Uko vizur kaka songa mbele.
Ety watu waitua
Eliudi ama tukuchoka😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂nlskia kweee 😂😂😂
Slam kutoka kahama Tanzania
❤❤❤ Eliud you are extraordinary , cjaona tena kama Eliud
Good❤
Mulifuuuu mkubwaa wewew🤣🤣🤣 eriud nyoooko wewe
❤❤
😂😂😂Eliud mungu akubariki kwakweli, sijawahi kuangalia Crip yako na nisicheke ❤ congratulation brother
Mungu aendelee kukubariki kaka
😂😂😂😂😂 daaaah very talented..
Amen hakika
Lazima ufanikiwe, we kuombewa na watu wote wa mkoani kwenu mchezo, be blessed bro
😀😁😁 home boy umetisha
Big up My Brother
Big up My Brother
Big up My Brother
Daah we mwamba kwa kweli
Good job MC eliud
Aminaaa kubwa
Amen!
Ndaghaaa fhijhoooo
😂
😂😂😂😂nacheka watu wananishangaa ila eliud watoto wa 90mmeshindikanaa
Natamani nicheke kwa sauti ila naishi kwa wenyewe nawanajuwa nimelala😅😅😅😅😅
Nimepunga mkono kwa mbali, nzovwe Moja.
Neema mwaipopo❤❤
Eliudi ulimkonyofu eti wangebandua cementi
Kitendo chakupiga Magoti kuombewa kizuri sana
Kijana mnyenyekevu atafika mbali sana
Amina
bless up sana kaka Mungu akutunze
Du unachekesha
Nimecheka mpaka kulia
Umetisha sana bro.
Jomon mungu ukutunze
My best comedian
Somo wangu
😂😂😂😂😂😂😂