Mashekhe Kama shehe wetu ilunga hakuna tena Tanzania hakuikumbatia dunia ktk maisha take aliitendea haki ilimu aliyomjalia Allah aliitetea dini bila woga Wala hakujali lawama Allah mlaze pema kaburi lake liwe jengo Kayla majengo ya peponi amiiina
Sheikh Ilunga Allah Amrehemu amefanya juhudi kubwa ya kuamsha Ummah wa Kiislamu uliokuwa umelala kwa sasa ametuacha na dhima kubwa juu yetu sijui Masheikh wa sasa wataliendeleza gurudumu hilo yaa Rabb tupe Nusra katika dini yetu hii iliyozingirwa na Maadui kila kona ya dunia...
sorry to be so offtopic but does anyone know a tool to get back into an Instagram account..? I was stupid forgot the login password. I would love any tips you can give me.
Mungu muweza wa kila kitu hatakaa akusamehe dhambi ufike Motoni Ukachomwe, Ukweli Hakuna Potoshaji na wala haitatokea Kama ilunga, Haki ya Mungu najuwa unachomeka sana, Nyie munaomsikiliza mkiri kwa moyo na mtamke kwa ulimi kuwa Yesu ni Mungu, muokoke
Hakuna muislam aliyenyook katika hak akachomwa wew ukifa haliyakuw ni Kafir utachomwa. .....lakin Lait ungejua ilunga alipo ungetaman uwe wew. ......nakupa homework funga sana Muombe Mungu akuonyeshe dini ya haki kabla haujawa mait
Mwenyezi mungu akulinde.uko.uliko kwa Yale ulioyafanya hapa duniani ni mazuri
Amn amin
Naweka comment hii mwaka 2023. Kiukweli ilunga ni baba wa haki za waislam Tanzania, Allah amrehem amstareheshe kwenye kaburi lake.
Amin.
Amiin
July 2024 inshaAllah amiin
Amiin 2024
Mwenyezi mungu mlaze pema peponi shekhe wetu ilunga ameen
Kweli Tanzania na Africa kwa ujumla wamepoteza Simba mtu/dume Inna Lillahi wainna ileihi rajiun,Mungu amurehemu Sheikh wetu
mashekhe weñgi ni vibàràka wa bàkwata. ña bakwatà imeuñdwa na ñyerere kuudhofisha uislam
ALLAH nijalie nguvu,ujasili,maarifa,imani ya kumcha ALLAH kama sheikh ilunga,ALLAH akulipe Kila la kheri.
KWELI, ALLAH MARA NYINGI KASEMA WACHACHE KATIKA NYIE WENYE KUJUA ,KUAMINI, UCHAMUNGU.NAOMBA ALLAH AKUWEKE KTK HAO WACHACHE .
Wallah laadhwimu hakuna aliye nipa elimu Kama shekh ilunga ,waisilam natanzania namuundo WA inchi hii ,ilunga Allah amrehem ishaalah
hiki kilikuwa kichwa
Umesema kweli
Mashekhe Kama shehe wetu ilunga hakuna tena Tanzania hakuikumbatia dunia ktk maisha take aliitendea haki ilimu aliyomjalia Allah aliitetea dini bila woga Wala hakujali lawama Allah mlaze pema kaburi lake liwe jengo Kayla majengo ya peponi amiiina
Nyota iliyozimika na kuniachia simanzi moyoni Ya Rabbi mjalie mema anayostahili shehe Illunga. amiiin
Watu Kama hawa niwachache sana katika ulimwengu mnguamjalie pepo ya juu
Shekhe ilunga Allah akulaze pema peponi
Akuhifadhi mwenyezi mungu mahala pema peponi
Tutakukumbuka sana kwa jitihada zako
Sheikh amefari?
YA ALLAH TUSIMAMISHIE KIONGOZI MWINGINE ASIYEKUWA NA NIZAMU YA UWOGA KAMA, KAMA SHEKH ILUNGA, Aamin.
Asadick islamu irunga yuko juu
Sheikh Ilunga Allah Amrehemu amefanya juhudi kubwa ya kuamsha Ummah wa Kiislamu uliokuwa umelala kwa sasa ametuacha na dhima kubwa juu yetu sijui Masheikh wa sasa wataliendeleza gurudumu hilo yaa Rabb tupe Nusra katika dini yetu hii iliyozingirwa na Maadui kila kona ya dunia...
MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI AMEEN YA RABI ALLAMEEN IN SHAA ALLAH
Allah akuinjgize ktk jannatul firdawsi aminn
the great man sheikh ilunga! hukuwa muoga ulisema Haki.allah akurehemu naomba waislamu tuchukue elimu na maarifa na maneno ya busara ya mtu huyu.
Allah akubariki. Mashehe wengi wanaogopa kusema ukweli. Allah akulipe pepo .
Allah akupuzishe Kwa amani ishaalah
M/mungu amlipe kira la kheri sheikh wetu pendwa Hassan Ilunga
mungu amuweke sehemu iliyo nzur ustadh ilunga uko aliko
Abubakary Abdalah allahumma aaamiin
Mashallah tunamuomba mungu akulipe pepo
ALLAH akupethamani kubwa AKHERA
Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh sheikh hassani ilunga pokea salam yangu ukouko ikufikie maana na mimi inshaaallah nitakuja nawe ndio mwenyeji wangu
I love this great man for what he stood for. May HE WHO HE IS enlighten all those who look at situations as mortals cannot see.
sorry to be so offtopic but does anyone know a tool to get back into an Instagram account..?
I was stupid forgot the login password. I would love any tips you can give me.
@Blake Kaleb instablaster =)
allah akupe janat firdaus
ALLAH ana hekma kuwaondoa mashekhee wa maana na kuyaacha majitu maoga .
Duh,yan we acha tu ndg yng.
RAHMAHU LLAH
Mwenyezimungu Ajaalie kheri na baraka Tele Huko uliko sheikh wangu jazaakallahu Khaira🙏
mwenyezi mungu ampe lehema uko aliko .
kwa kizazi cha leo sio rahisi atokee mtu kama shekh ilunga! old is gold mungu amuweke mahala pema pepon amin!
mi toka mwanzo nalia mpaka mwisho ametutoka shekhe ilunga pepo imemnukia ameifata alhamdullilah
Allah akulipe jannat firdaus
Akuna elimu tena waislamu was sasa elimu amna
Allah mrehemu sheikh wetu, na tujaaliye mbadala wake yaa rabbil alamiin
Mungu amchome moto shehe huyu shetani mkubwa sana bora katangulia
yuko peponi kwa taarifa yako
Rest in peace ust,. Ilunga najifunza mengi sana kutoka mihadhara yako mungu akulipe pepo
Very educative speech Allah amrehemu sheikh
Mungo akujalie
Allahu Yaarhamu
Allah akubark shekh wang
Shikh Ilunga Elimuuliyo Jaaliwana Alah Uliitumiavizuri Alah Akulipe Kilalakheri
Simba ameenda
Hakika Shekh Ilunga Nilikuanamkubalisana
اللهم اغفر له و رحمه
Allah amrehem shekh Hassan Ilunga na amswamehe madhambi yake ishaallah
imamu mponda
Tumempoteza mtu muhimu kiongozi wa aina yake mwenye elimu na upeo wa pekee sana
yaaaa rabbi mpe makazi yaliyokuwa mazuli peponi
Ah jamani mnatuliza Jama.
Waislamu tuna dhima kubwa.
Huyu ustaadhi alikufa mwenyewe kwa maradhi au aliuawa? Bila shaka kwa msimamo wake lazima atakuwa aliuawa, Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Ndugu huyu kama hujui alikuwa katika system Ila akaikana na kuipa kipaombele dini yake wakaona anawageuka kilichotokea wote tumebaki na simanzi
Allah akuhifadhi Mwalim wangu
Ya Allah mpe maarifa kassim mafuta awe na mawazo kama haya
Amin
Unganeni pamoja
sheikh ilunga Allah akuhifadh insha Allah
2024
Really he deserves alot of respect
Duh
Ust llunga alikuwa jasiri wa mawazo yake hata kama yalikuwa ya kiuchochezi kuamsha chuki kwa ukristo!
R.i.p ilunga
Una audio ya hii qunut inayoanza?
Umeplay part yako namungu akupe pepo
WAKIRISTO WANAKULA MKATE WA MAVI YA FIRAUNI
Huna akili weee ni kama hayawani!
Mimi sio muislam ila huyu kaka nilikuwa nina mkubali sana kwa misimamo yake ya kudai haki za waislamu
Mungu muweza wa kila kitu hatakaa akusamehe dhambi ufike Motoni Ukachomwe, Ukweli Hakuna Potoshaji na wala haitatokea Kama ilunga, Haki ya Mungu najuwa unachomeka sana, Nyie munaomsikiliza mkiri kwa moyo na mtamke kwa ulimi kuwa Yesu ni Mungu, muokoke
Akil huna ww
Ww ni kuni tu motoni ikiwa hutaacha ujinga ulouvaa hutauvua na kuufukia
Mwenyezi Mungu hana mshirika, issa bin maryam ni mtume wa mwenyezi Mungu.,,,acha ujinga wewe kafiri mkubwa wewe na jahanam makao yako
Yecu c mungu wewe acha ujinga
Hakuna muislam aliyenyook katika hak akachomwa wew ukifa haliyakuw ni Kafir utachomwa. .....lakin Lait ungejua ilunga alipo ungetaman uwe wew. ......nakupa homework funga sana Muombe Mungu akuonyeshe dini ya haki kabla haujawa mait
matishari
JAMENI MSAADA WENU NATAKA HAYA MAWAIZA KU WASTS UP PLEASE..MY NAME IS MOHAMMED MUJAHIDINA IN FACEBOOK ..MY INSTAGRAM NAME IS M.M.MNYAMWEZI.TZ
walio baki waoga
Tumepoteźa mtu muhim sana
Huyu dingi atakuwa anachomeka tu saa hizi
Biidhin llah utachomeka wew
Kafiri bhana!!!😨😨😨
Saumu Hamic amin
ulaaniwe na mwenyezimungu Duniani na Akhera ( laanatu llah alayka)
anaongea ujinga sana.
Gaidi mkubwa wewe
sheikh ilunga Allah akuhifadh insha Allah
walio baki waoga
sheikh ilunga Allah akuhifadh insha Allah
walio baki waoga