naamini watu kama huyu Prof. bado wapo wengi tu hapa tz historia ya nchi ingeandikwa ila ifundishwe na iishi katika mioyo ya wananchi. viva prof viva mtangazaji
Dr Mohamed said ,anafundisha sana mambo hayo na mimi humfuatilia sana makala zake you tube,hajawahi sema Nyerere aliibadilisha TAA kuwa chama cha siasa kazi yake ni kumlaumu na kuzigeuza juhudi zionekane za kidini.Hapa tuna shuhuda aliye wahi afanya kazi na wakati huo,amjibu sasa prof hapa.
vyovyote vile, but I think kina Kambona walikua na hoja ya msingi....tanzania ya leo imetokana na siasa za ajabu-ajabu za kijamaa. Look at our fellow Kenyans, Zimbabwean, Zambians, Ghanaians, Nigerians etc...
Ujamaa kama Nyerere alivyo uandika ndiyo nadharia bora (tenable) ya Serikali Kwenye falsafa zingine kitaaluma. Kwa vipimo vyovyote, Tanzania ni bora kuliko nchi nyingi duniani.
Ufike wakati historia Kama hii itumike mashuleni. Ile ya ukoloni na kutawaliwa na utumwa ibaki kwenye vitabu library maana kizazi chetu kinaathirika na historia hii na kujisikia inferior sana kulinganisha na kizazi cha waliotutawala na kututumikisha
Huyu mwandishi yuko vizuri sana na ndiyo maana yeye ndiye aliyemhoji mavazi sio kosa lake tuanzie huko kwenye familia zetu na kwenye Imani zetu.... Chamsingi aongezee tu Juhudi
Naikumbuka hadithi ya mtu wa kale ndani yetu.. na hapa nimemfikiria mtikila, huku kuogopa wafu kwakuamini mizimu hubaki hai ndio itazidi kutuondolea maana halisi ya kujuwa history halisi. Leo watu hawajuwi waasisi wa chama cha TAA. Wala TANU. Aliye stahili azungumzwe ndio history haita badili rangi za bendera ya nchi ila itatufanya tujuwe wajibu wake katika taifa lake. Tukianza kwa uwongo hakika tutamalizia katika ukweli. Lkn kwakuwa iko hivyo kwa killa nchi tufundisheni tu ila ikifika kipindi cha maswali na mjibu😊😊
Nikweli wana historia wa Tanzania hawaelezei viongozi wengine from primary to sec. Ninyerere tu anaelezewa kamavile yeye ndiye mpigagitaa yeye ndo mwimbaji, yy ndo mchezaji
mlimhoji mzee kwa muda mfupi na kutunyima uwezekano wa tusiowaandishi wa habari kuyajua mengi yanayozunguka mgogogoro wa Hayati Mwl Nyerere na Hayati Kambona ni vyema mkaweka muendelezo wa mahojiano yote
Kuna wazee wengi wazamani waliojiunga kwenye hii taa wengi Sana tena mikoan wakina Mzee fundikira, Yule babu watabora ndi ana historia zote mpaka Nyerere kumkaribisha tabora wakina azizi Ally mtuy nakaka take Mzee saksi fatilien wale wazee wakina mkapa WA juzi Tu hawo wazee hamna hata mmoja anae takes wala vyeo hawana ni mafukarakupindukua Baba wataifa kama aliwafunika vile hawatajwi mpaka Kesho hata historia hawa po
Hawa ni hazina kuu ya Taifa. Tunapo kuwa tunawahoji, tutumie mafundi wa kuhoji maana macho mengi hutegemea asali kutoka kwao. Nashauri mahojiano yarudiwe na watangazaji makini.
Mmh watu wengine km hamjui theory za interview msikoment. Taratibu za interview zinamtaka mtangazaji anapomhoji mtu, amchukulie km wanalingana ndiyo atamhoji vizuri, sasa wanaomkosoa huyu dada naona hawajui science ya interview
Kipindi kilikuwa kizuri ila mtangazaji amekiaribu. Ametukosesha point za msingi..mwandish maswali yake hayakuwa na utaratibu..amekuwa akimuondoa mzee masha kwenye truck.. Hasa kwenye habar ya Kambona na Nyerere
HUYU DADA ANAHITAJI SHULE ZAIDI YA KUHOJI MTU,SABABU KWANZA HAANGALII NA UMRI WAMTU, AKIJANGE VIPI KATIKA KUHOJI.SASA UNAMUULIZA BABU YAKO,HUKU UNAMMINYIA PUA! HII SI HESHIMA KABISA
Amepoteza nafasi kubwa ya kuelimisha watazamaji na unna kwa ujumla kwa kutojua namna ya kuuliza maswali na kuunganisha points zaidi kwa kuuliza follow up questions. Hmm!
So unprofessional and under-qualified to interview such a person; there is a substantial intellectual gap between the interviewer and interviewee. Global TV, can you do better to prep your staff? Are they trained Journalists? If so, how come they cannot even ask follow up questions? What a waste of an opportunity? Too scripted!
Huyu Mzee haelezi. Vizuri kama anafukia matuta. Mimi simuelewi kabisa Yule Mzee wa tabora anaeleza open alihojiwa ntampata huyu babu kama smenti na mchangaa hanacho
Mtangazaji anarukiarukia matukio kabla Mzee Masha hajamaliza hoja anayoielezea! . Nlimatamani nifahamu kisa cha mtafaruki kati ya JKN na Kambona ila mtangazaji kamvuruga Masha na akaniondolea usikivu kabisa. Mtangazaji anazungumza kwa kupasapasa macho kama vile anaongea na boyfriend wake!
nilitamani Sana kuujua ubora wa Nyerere na kambona mtangazaji umenitoa kwenye focus.
Hongera kwa Mzee wetu. Ila kwa huyu Host hapana
Hongera sana dada kwa kipindi hiki, hivi ndivyo vipindi tunavyotaka
naamini watu kama huyu Prof. bado wapo wengi tu hapa tz historia ya nchi ingeandikwa ila ifundishwe na iishi katika mioyo ya wananchi. viva prof viva mtangazaji
niwakina nani hao
Historian yetu inakanyagwa sana, poleni wazee wote mliopoteza Maisha na kufilisika kwa ajili ya Uhuru hewa mlioupigania ktk Nchi hii.
Good history let every one love our country CCM keep peace for lever
Dr Mohamed said ,anafundisha sana mambo hayo na mimi humfuatilia sana makala zake you tube,hajawahi sema Nyerere aliibadilisha TAA kuwa chama cha siasa kazi yake ni kumlaumu na kuzigeuza juhudi zionekane za kidini.Hapa tuna shuhuda aliye wahi afanya kazi na wakati huo,amjibu sasa prof hapa.
vyovyote vile, but I think kina Kambona walikua na hoja ya msingi....tanzania ya leo imetokana na siasa za ajabu-ajabu za kijamaa. Look at our fellow Kenyans, Zimbabwean, Zambians, Ghanaians, Nigerians etc...
Ujamaa kama Nyerere alivyo uandika ndiyo nadharia bora (tenable) ya Serikali Kwenye falsafa zingine kitaaluma. Kwa vipimo vyovyote, Tanzania ni bora kuliko nchi nyingi duniani.
Ufike wakati historia Kama hii itumike mashuleni. Ile ya ukoloni na kutawaliwa na utumwa ibaki kwenye vitabu library maana kizazi chetu kinaathirika na historia hii na kujisikia inferior sana kulinganisha na kizazi cha waliotutawala na kututumikisha
Law Marcus Mwakagenda kweli
Huyu mwandishi yuko vizuri sana na ndiyo maana yeye ndiye aliyemhoji mavazi sio kosa lake tuanzie huko kwenye familia zetu na kwenye Imani zetu.... Chamsingi aongezee tu Juhudi
Huyu dada kazingua, you can't interrupt mtu akiwa anazngumza listen first then utajua your next question.
Nyerere hakutaka mtu yeyote Ainue kichwa.Azimio la Arusha liliua nchi, nyerere aipotoka na lenyewe likafa
Naikumbuka hadithi ya mtu wa kale ndani yetu.. na hapa nimemfikiria mtikila, huku kuogopa wafu kwakuamini mizimu hubaki hai ndio itazidi kutuondolea maana halisi ya kujuwa history halisi. Leo watu hawajuwi waasisi wa chama cha TAA. Wala TANU. Aliye stahili azungumzwe ndio history haita badili rangi za bendera ya nchi ila itatufanya tujuwe wajibu wake katika taifa lake. Tukianza kwa uwongo hakika tutamalizia katika ukweli. Lkn kwakuwa iko hivyo kwa killa nchi tufundisheni tu ila ikifika kipindi cha maswali na mjibu😊😊
Nikweli wana historia wa Tanzania hawaelezei viongozi wengine from primary to sec. Ninyerere tu anaelezewa kamavile yeye ndiye mpigagitaa yeye ndo mwimbaji, yy ndo mchezaji
Wewe dada please mwaechie Mzee aeleze historia kwa utulifu unamzonga na maswali yako
Kambona mungu amrehemu sana,
mlimhoji mzee kwa muda mfupi na kutunyima uwezekano wa tusiowaandishi wa habari kuyajua mengi yanayozunguka mgogogoro wa Hayati Mwl Nyerere na Hayati Kambona ni vyema mkaweka muendelezo wa mahojiano yote
Histori ya Tanganyika ,
huyu mzee ana mambo mengi ya kuzungumza, sema sasa huyu mtangazaji ndo mpuuz...anakera balaa
Vijiji vya ujamaa .. hatar sana
Dada ongeza juhud
Kambona was for multi party politics nyerere refused and kambona fled to UK mzee is not sincere
usione kusita kuongea hvy mzee akuzoea kuona mavazi ya ajabu kama hayo vaa mavazi kulingana na yule unaeenda kukutana nae
Host ameharibu hii interview muhimu kwa historia ya Taifa. Intervation yake was unnecessary.
Kuna wazee wengi wazamani waliojiunga kwenye hii taa wengi Sana tena mikoan wakina Mzee fundikira, Yule babu watabora ndi ana historia zote mpaka Nyerere kumkaribisha tabora wakina azizi Ally mtuy nakaka take Mzee saksi fatilien wale wazee wakina mkapa WA juzi Tu hawo wazee hamna hata mmoja anae takes wala vyeo hawana ni mafukarakupindukua Baba wataifa kama aliwafunika vile hawatajwi mpaka Kesho hata historia hawa po
Nikweli huyu ndie the hero of social justice aliona mbali, aliona mengi, wapo wakumubadili lakin nyerer atabaki kuwa nyerer
Siku nyengine unapokwenda kuwahoji watu wazima ujue kuvaa nguo za heshima
Maalim mombo na mirangi ya mdomo ka kahaba linamtege mzee
Jisam José sojakuelewa
kwani kavaa nn cha ajabu
sawa kabisa
we huoni ama! ni vazi la heshima hilo?
Hawa ni hazina kuu ya Taifa. Tunapo kuwa tunawahoji, tutumie mafundi wa kuhoji maana macho mengi hutegemea asali kutoka kwao. Nashauri mahojiano yarudiwe na watangazaji makini.
uko sahihi kabisa
Hongera binti you have a bright future ahead of you.
Huyo host hafahi kabisa
Mtangazaji ovyoooo
Mmh watu wengine km hamjui theory za interview msikoment. Taratibu za interview zinamtaka mtangazaji anapomhoji mtu, amchukulie km wanalingana ndiyo atamhoji vizuri, sasa wanaomkosoa huyu dada naona hawajui science ya interview
Kipindi kilikuwa kizuri ila mtangazaji amekiaribu. Ametukosesha point za msingi..mwandish maswali yake hayakuwa na utaratibu..amekuwa akimuondoa mzee masha kwenye truck.. Hasa kwenye habar ya Kambona na Nyerere
Thank, felt the same way; she missed the opportunity to get more info from such a golden source,
Danyr ich Ojoro
Huy Dada siyo kipaji chake amegushi coz anatok nje ya mada husika jamani
Dkt Shika tu ndo unamuweza dada, hujajipanga kwenye siasa.
she is hopeless! Just wasted a golden opportunity to educate the public.
HUYU DADA ANAHITAJI SHULE ZAIDI YA KUHOJI MTU,SABABU KWANZA HAANGALII NA UMRI WAMTU, AKIJANGE VIPI KATIKA KUHOJI.SASA UNAMUULIZA BABU YAKO,HUKU UNAMMINYIA PUA! HII SI HESHIMA KABISA
Amepoteza nafasi kubwa ya kuelimisha watazamaji na unna kwa ujumla kwa kutojua namna ya kuuliza maswali na kuunganisha points zaidi kwa kuuliza follow up questions. Hmm!
poor dressing code to you Dada..Mzee wetu huyo
So unprofessional and under-qualified to interview such a person; there is a substantial intellectual gap between the interviewer and interviewee. Global TV, can you do better to prep your staff? Are they trained Journalists? If so, how come they cannot even ask follow up questions? What a waste of an opportunity? Too scripted!
Poor Journalist indeed- Please hire qualified journalists- what a missed opportunity!
Global 📺, Please don't repeat again to waste this Opportunity.
Channel makini,,mrembo ni mzuriii sanaa bright in mind as well
dada yuko vizuri kwa kuhoji...hongera sasa!
Mm sifuatilii hay mahojiano naangalia huuu mdomo wa huyu mtangazaji nimeupenda sanaaa😀😀😀😀
We dada hujasomea uandishi wa habar
Kipindi ni kizuri ila Huyu msichana hafai kwa nafasi hii
Pamoja
So unprofessional journerlist
Muulizwaji naona amevumlia xana kwa sababu n mtu mkubwa na muhimu kwenye nchi,ila huyu dada nadhan anahtji elimu zaid
huyu mdada aisee apewe msaada wa nguo make naona mshahara hautoshi kununulia mavazi,kanunulia rangi za midomo na kucha,kasahau mavazi
unatumia lugha za kihuni hata kwa wazee? mfano unaposema unaweza ukafunguka mzee
Amepoteza nafasi nzuri ya kufundisha taifa.
kufunguka siyo lugha ya kihuni yuko sahihi
Amen
Inasikitisha nchi haina historia
Hata waulizaji hawajui wanauliza nini na wafuatilie na swali gani.
wivu unatusumbua sn watz
Huyu Mzee haelezi. Vizuri kama anafukia matuta. Mimi simuelewi kabisa Yule Mzee wa tabora anaeleza open alihojiwa ntampata huyu babu kama smenti na mchangaa hanacho
waislam tu ndo wanajistiri ujue...