MUHAMMAD BACHU AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MSIKITI WA FITNA LAMU VISIWANI || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • MUHAMMAD BACHU AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MSIKITI WA FITNA LAMU VISIWANI || SHEIKH MUHSIN ALI BUTE
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 271

  • @RashidJuma-uh8sv
    @RashidJuma-uh8sv 3 หลายเดือนก่อน +4

    Malipo ya Kila mja ajuae ni Allah sisi tusubirie rehma za Alla tu bila Hivyo tupo kwenye mazito Allahu aturemu sote waislam allamma aamiin

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 3 หลายเดือนก่อน +4

    Subhanallah yaaani imefika hapo baada ya kua alipokwenda lamu waomba nafasi ya duruus wakanyimwa baadae unasema msikiti wa Allah subhannahu wa taala ni wa fitna mwogope Allah bana upotoshaji wenu ndo unasababisha kuwe hivi zueni polepole ila mjue kila mnalosema yako kwa rekodi za malaika n mjue kuchafua masheikh wetu watasafisha n naswaha zako baki nayo usimpe bachu

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 3 หลายเดือนก่อน +9

    Waislamu wameona haki ndio wakawa mawahabi, Mawahabi hawataki tena shirki zenu.

  • @abuhassan9552
    @abuhassan9552 3 หลายเดือนก่อน +6

    LAMU YAMEJENGWA MAKINISA NCHUNGU MZIMA HAKUNA ALIESEMA HAKUNA ALIEPINGA LEO KWAJENGWA MSIKITI WA TAWHID NDIO KERO SUBHANALLAH ALLAH ATUONGOZE

    • @abuarifhassan6316
      @abuarifhassan6316 3 หลายเดือนก่อน +1

      Dini si moja kisheria ya kinchi sasa wanakatazwa vp ama tukijenga msikiti kericho tukatazwe tutaona vp lkn hii fitna baina yetu ndio inayopaswa kuongelewa..

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@abuarifhassan6316Kujengwa msikiti ndio mnaona fitna ?
      astaghfirullah

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 3 หลายเดือนก่อน

      Twaangalia Imani zetu SI Imani za watu wengine ....tujiangalie sisi vipi kwanza tutakuwa kitu kimoja

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 3 หลายเดือนก่อน

      @@abuhassan9552 tauhd 3 z bid'aa?na kuwakufurisha wailm wnzenu wkt nyny ndo washirikina wa tawhd 3

    • @abuidifundi2016
      @abuidifundi2016 3 หลายเดือนก่อน

      AFADHALI KANISA KULIKO MSIKITI WA MAWAHABI

  • @user-pi3vj5sn3l
    @user-pi3vj5sn3l 3 หลายเดือนก่อน +12

    Mohamed bachu na wenyeji wake wamefanya jambo zuri

  • @bagalucha
    @bagalucha 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hasbünallah WAN imal wakil,Allah ni ndie mjuzi wa yote,Haifai kuzua na kuhusudu,Allah hayapendi haya,tuziogope nyumba za Allah,Kwa visingizio,tusivyokua na elimu navyo.

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      Hayo yarudi kwenu mawahhabi
      Nyinyi ndio wenye husda kutamani kupora na kuibia mskiti ya watu,acheni husda mawahhabi na mumche Allah

  • @shuaibabdullahi7544
    @shuaibabdullahi7544 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana sheikh kuweka wazi kinacho dhihiri kuwa makini sana na hawa watu

  • @Muislamu
    @Muislamu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Alakh mzungumzaji muogope Allah mimi ni msufi lakin naona kuingilia niya za watu na kufananisha mskiti ni kama masjid dhwiraar...
    Tumuogope Allah wallahi ..kuna hesabu mbele ya Allah ..

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      @@Muislamu hiyo kumuogopa Allah yaenda kwa kila MTU pia yakurudia wewe mwenyewe,eti kuingilia Nia za watu wakati Nia zimewekwa wazi,kilichofananishwa ni nai ya kujenga msikiti kama masjid dhwirar ilikuwa ni kufarakanisha waislamu basi na hiyo ndio Nia ya bachu alioidhihirisha mwenyewe kupitia post zake na maneno yake

  • @nasraswaleh1224
    @nasraswaleh1224 3 หลายเดือนก่อน +1

    Assalam Aleykum.
    Kila mmoja ana fungu lake kwa Mwenyezi Mungu, not in your place kumhukumu kwa Yale aliyofanya ama iwe sababu ya kuukata Msikiti na kuwaambia watu Msikiti ni wa ukafiri wala kumwingilia yeye Muhammad Bachu, hata pia Ali Abubakar kwa yote wafanyayo. Sasa walingania watu kwa Ucha Mungu ama kuwapotosha watu waingie kwa madhambi.
    Jazakallahu Khayr.

  • @Hunger388
    @Hunger388 3 หลายเดือนก่อน +3

    inshaa Allah masjid sunnah yatakuwa meengi ulimwengu huu kwa kupambana na shirki na mambo ya bid aa

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 3 หลายเดือนก่อน

      Mimi Sisomi maulid hila nili wafwatilya kwa umakini sana nikagundua wao uzna kwa kusoma quran na kumswaliya mtume Mohammad (S.A
      W) na kusomesha ama kuelezea hitoriya yake tu.

  • @soffiscarlett9702
    @soffiscarlett9702 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ya haqi yatabainika n yabatwil yatapotea In Sha Allah.
    Ila hii yenu sheikh naikataa
    Mmejaa fitna
    Mmejaa uongo
    Mmejaa upotovu
    Pka wenzenu wakitaka kujenga msikiti mnapinga
    Hii yenu ndio mnaita dini ?
    Watu wanaswali na matwari msikitini,ala za muziki ndani ya msikiti
    Mfungo sita mnaenda kupigia maiti magoti mkiomba msaada
    Mkiomba cjui awape barka
    Mkiomba awape barka
    Allah awasamehe lkn yenu hapana
    Kujengea makaburi
    Kueka adi mabati ili asipatikane n jua😂😂😂bdo mnajiita hii ndio dini
    Kupamba makaburi

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah shukrani allah ustadhi muhsin❤❤❤❤ huyo mohamed bachu atmpiga mtume s.a.w mpaka lini qiyama 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 3 หลายเดือนก่อน

    Sufi ni Ahlul Twariqah sawwiyya hatutukani watu khaswa ndugu zetu waislamu. Lakini tizama comments za mawahabi matukano na kejeli. Mungu atuongoze na atupe husnil khatima Aamiin. Na shukran ustadh Muhsin ambae ataelewa ataelewa na ambae hataki kuwelewa inshaAllah kheri. جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الأستاذ محسن. تقبل الله طاعتكم وصالح أعمالكم و كل عام وانتم بألف خير وصحة وعافية وستر يارب العالمين. اللهم آمين يارب العالمين.

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah 3 หลายเดือนก่อน +6

    kawaida ya haqqi ikiingia mahali hukubalika kwa uwepesi,sio masala ya agenda wala nn,hii ayah moja tu ni jawabu tosha kwako
    وقل جاء الحق وزهق الباطل إن الباطل كان زهوقا

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      @@GOP-Abdallah mbona haqqi hiyo yenye kukubalika haraka imegonga mwamba mambrui lamu na Mombasa?😅😅😅mwatumia Aya za Allah na vichwa vyenu

  • @Captainome
    @Captainome 3 หลายเดือนก่อน +5

    Chuki na husda zimekumbata kama mlivyo familia mzima hukuanza ww wameanza wakubwa zenu kina watoto wa sharifu Muhammad waliskia uchungu sana sana walipoikosa ardhi iliyoa jengwa masjid TAWHID MAMBRUI.PWIRUUUUU.mumezoea watu wazeeke kwenye ushirikina kumekucha ANKALI TUTAJENGA MISKITI MINGI IN SHAA ALLAH NA BDO.

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      Nani ywaujua huo mskiti bsi,watu hutoka ulimwengu mzima wakija mambrui na wakishukia Riyadh,😂😂😂,na ama kuita waislamu washirikina hamkuanza nyinyi,hiyo ni mienendo walioanzisha makhawarij nyinyi mwayaendeleza

    • @hamzakimaro3764
      @hamzakimaro3764 3 หลายเดือนก่อน +1

      KUFENI KWA CHUKI ZENU,SUNNAH INAZIDI KUNG'AA.....

  • @user-pi3vj5sn3l
    @user-pi3vj5sn3l 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kama lamu kulijengwa makanisa wachukia kujengwa msikiti

  • @RashidJuma-uh8sv
    @RashidJuma-uh8sv 3 หลายเดือนก่อน +3

    Acha misikiti ijengwe watu wamuabudu Allah muogope mungu😅

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wenyeji ndio walimpa ruhusa ama ni yeye mwenyewe acha kupotosha watu ww...

  • @shariffomar8580
    @shariffomar8580 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mwaskia wivu kwa kuwa watu wataacha kufanya bid'aa zenu

  • @OsmanAli-zb3tu
    @OsmanAli-zb3tu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hata mtume pia aliambiwa agawanya watu haikuanza kwa sheikh muhammad bachu hafidhwahullah

  • @Captainome
    @Captainome 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nakupa homework (kamuulize Muntamani alitakakutoa pesa ngani ili mawahabi wasiupate ardhi iliojengwa Masjid TAWHID.LAKINI ALLAH kwa rehma zake mwenye ardhi mzee wetu ISLAM ALLAH AMPE AFYA NJEMAA AKAWAPA MAWAHABI ARDHI WAJENGE KWA PESA NGAPI.😂😂😂😂😂😂😂

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      @@Captainome na kila mwaka mamilioni ya watu kutoka sehemu mbalimbali za ardhi washuka Riyadh, alhamdulillah 😅😅

    • @khamiisathmaan4362
      @khamiisathmaan4362 3 หลายเดือนก่อน

      Na mbona waliteka madrasa Nuri mawahabi

    • @khamiisathmaan4362
      @khamiisathmaan4362 3 หลายเดือนก่อน

      Mnapenda kujitakasa kana kwamba mlibashiriwa pepo

  • @abdurahmanabdallah2403
    @abdurahmanabdallah2403 3 หลายเดือนก่อน +1

    MASHALLAH shukran ust muhsin kwa kutuilimisha uovu wa mawahabi

  • @shariffomar8580
    @shariffomar8580 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo simisikiti kuwa mingi, Tunacho taka ni sunnah itawale kila mahali

  • @osmanmanbile9327
    @osmanmanbile9327 2 หลายเดือนก่อน

    الحمد لله mm ni dariqa ahlu sunah mawahabii wanagawaa waislnmu

  • @abubakarbakari9372
    @abubakarbakari9372 3 หลายเดือนก่อน

    Masha allah shukran sana sheikh bachu amewagawanya waislamu allah atuongoze

  • @almashally8802
    @almashally8802 3 หลายเดือนก่อน +3

    ماشاءاللہ بارك الله فیك

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 หลายเดือนก่อน

    Dhulumu utakalo, chafulia utakalo, zuia sunnah utakalo, tetea bid'a na ushirikina na upotovu utakalo, paka matope watu wa Sunnah utakalo lakini maisha ya mja ni 63 au hapo vile mtume s.a.w ametuambia na wewe utaenda mbele ya hakimu wa haki na bila shaka utahesabiwa vilivyo.
    عش ماشئت فإنك ميت،واعمل ما شئت فإنك مَجْزِيٌّ به

  • @feiawadhahmed1342
    @feiawadhahmed1342 3 หลายเดือนก่อน +3

    Daaah kweli sasa kujengwa mskiti pia balaa hehehe haya ruhusuni makanisa basi

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 3 หลายเดือนก่อน

      Alafu wanajiita masheikh , Wana elmu wao

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mashia wanajenga misiki kila pembe Lamu na masufi hamneni lolote lakini msikiti ya sunnah ikipatikana mnapinga kila namna...may Allah curse those against the spread of the haq

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sunnah itatambaa biidhnillahi, usufi na bid'a na ushirikina utaisha katika jamii inshallahu taala. Mezeni wembe
    موتوبغيظكم

    • @abdallahassan2080
      @abdallahassan2080 3 หลายเดือนก่อน

      Asli yako ni bidaa na usufi na ushirikina hii ni kama babu yako alikua muislam

  • @soffiscarlett9702
    @soffiscarlett9702 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kutokua n elmu ,fitna ,ujahil ,n chuki ndio zinawepeleka huku ...
    Makanisa yte yanajengwa lamu hakuna anaeingilia kati hili suala,hakuna anaelamika
    Kujengwa msikiti ndio imekua mmeinua maskio yenu?
    Ivi inamaana mnasupport sana ukristo kuliko dini ya kiislamu ?
    ALLAH AWAONGOZE
    AKUPUNGUZIE UNAFKI SHEIKH

    • @shuaibabdullahi7544
      @shuaibabdullahi7544 2 หลายเดือนก่อน

      Sheikh ana ongea ukuweli kabisa

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 2 หลายเดือนก่อน

      @@shuaibabdullahi7544 Ukwely Gani huo? Udhalim tuh Hana lolote

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 3 หลายเดือนก่อน +3

    😅😅😅 Wallahi vituko vya hawa twarika jamaa za matwalaga balaa sana, Shafii Basalim alivyo jitokeza na kumtukana sana mwanachuoni Sheikh ISLAM IBNI TAYMIA walikua kimya sana kama hawapo wala hawamsikii alafu leo Shiekh M.Bachu kawa sababu ya kujengwa msikitini wamejitokeza na Aya kubwa kubwa ili kupinga sunna isijengwe na kuendelea Wallahi balaa sana.

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani nyinyi mawahabilikua wapi alivyotukanwa Imamu BARZANJI

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      Acha urongo Wahhabi mmoja ww,matwariqa twawaheshimu watu wote!!UST said shirazi aliefanya mjadala na bachu alimtolea video shafii basalim zaidi ya video tatu akimkanya shafii basalim asimtukane Ibnu Taymiyyah,UST fakhruddin Ibn Muhsin Jamalulleyl pia alimtolea UST Shafii basalim asimtukane Ibnu Taymiyyah,Sisi ni watu wenye inswaaf na wenye kusimama kwa haqqi,mwenye shafii basalim amekataa haskii

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      Haya njoo kwenu sasa mawahhabi Yule bachu hakumtukana barzanji,hakumtuna Habib jufri,kuna sheikh yeyote wa mawahhabi aliejitokeza na kumkanya?hamna inswaaf na urongo juu pia mwasema

    • @iddimutua420
      @iddimutua420 3 หลายเดือนก่อน

      @@answarmohamed4564 Please nitumie video moja alio mtukana Barzanji au huo jufri alie ridhi kilemba cha Mtume mpaka sasa anacho tuma ushaidi wa Bachu kumtukana mwanawazuoni.

    • @iddimutua420
      @iddimutua420 3 หลายเดือนก่อน

      @@MuhidiniNassor Tuma ushaidi wa Bachu kumtukana Barzanji tuma sio kuongea bila ushaidi tumeni ushaidi.

  • @shamsushaffikassim-fe4ul
    @shamsushaffikassim-fe4ul 3 หลายเดือนก่อน +3

    Chuki tu na USHOGA na ukhabithi khabithi mkubwaaaa weweee

  • @abdinoornyanga2117
    @abdinoornyanga2117 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah,lakn msitumie mimbari kubondana,twawaonyeshani mfano upo wasokuwa na ilmu ya dini au hata wasokuwa waislamu??

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 3 หลายเดือนก่อน

    MOLA atulinde na sharii ya mawahabi

  • @kasimubangu1875
    @kasimubangu1875 2 หลายเดือนก่อน

    Umekosa kazi ww sheikh vitu vingine hata havikuhusu ungekaa tu kimya kwasababu wewe nayeye mko tofauti yeye katika misimamo

  • @hadibjumbe
    @hadibjumbe 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dawa imefika. maashallah.

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 3 หลายเดือนก่อน +3

    Acheni husda,roho mbaya,na choyo.Sheikh Muhammad Bachu anawapotosha watu kwa kipi?hemu elezea hayo anayopotosha,huu ubaya hausaidii,na ndo mnazidi kumpandisha Darja,watu kumfwatilia zaid,maana M Mungu ndo ashataka kumpandisha mja wake.sasa hata mukijaribu kumchafua ni bure,acheni hizi husda,ubaya na choyo

    • @HamdiHamdiAbdi
      @HamdiHamdiAbdi 3 หลายเดือนก่อน

      Imeuma 😅

    • @abuarifhassan6316
      @abuarifhassan6316 3 หลายเดือนก่อน

      Lkn johari ina haja gani kua na miskiti kumi eneo moja wakati waswaliji hakuna kwann wasijenge madaris kubwa ya kiislam bure watu wasome

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@abuarifhassan6316tatizo hujui kinachoendelea
      Msikiti unajengwa kijijini ofcz
      N msikiti uliopo hapo n mmoja
      Msikiti huo wenzenu wamekatazwa kuingia ndani
      I think Kuna kitu hujaelewa
      Ndiposa wakiamua wajenge msikiti wao
      Mlikua mnataka waswali nyumbani ?

    • @KomoraMohamed
      @KomoraMohamed 2 หลายเดือนก่อน

      Ni firauni fitna zke bachu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa taaifa yenu!
    Watu sasa wanaelewa Sunna ni nini!??
    Mtaswali kipekeeenu ktk misikiti yenu !

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mkitaka wafanye nn baada ya kuwakataza wasitoe daawa. Kufeni kwa chuki zenu متوا بغيظكم

  • @ABUUUTHEYMINMADEGHE
    @ABUUUTHEYMINMADEGHE 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hamuwezi kuzuiya haqi ishadhihiri ndug huwezi zuiya msikiti utasimama inshaallah huwezi zuiya

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      @@ABUUUTHEYMINMADEGHE haqqi gani?kama mlivyoingia mambrui na lamu kwa vishindo mambrui ni ileile na lamu ni ileile,mlikuja na makina na vishindo,makina ni ileile,hamna haqqi katika kuwagawanya waislamu ispokuwa ni ukhawarij tu

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 3 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 mumejuta kuwakataza watu misikiti ya Allah, na pia wamesemwa vibaya ktk kuran wale wanaokataza misikiti ya Allah lisitajwe jina lake humo 😂😂😂😂😂

  • @shamsushaffikassim-fe4ul
    @shamsushaffikassim-fe4ul 3 หลายเดือนก่อน +2

    Miskiti mingapi basi wewe wataja mzukaaa ni msikiti (Au) miskiti hata hujui unachosema mzukaaa na kibaraka wa mabwana zako wa kikhurafi

  • @hassanmohamedabdalla4108
    @hassanmohamedabdalla4108 3 หลายเดือนก่อน +3

    مسجد التوحيد

  • @abduljabbaarswaleh1160
    @abduljabbaarswaleh1160 3 หลายเดือนก่อน

    شكرا أستاذ محسن ❤❤❤

  • @SalimHsn-Omar
    @SalimHsn-Omar 3 หลายเดือนก่อน

    Acheni uchawi/ushirikina na bi-daah za maulidi Acheni kuwapoteza watu na imaani za mizimu uislamu wa Matambiko na uganga wa kishirikina na majini

  • @user-pi3vj5sn3l
    @user-pi3vj5sn3l 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh hauna stori

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hata mtume saw aliambiwa anapotosha na anafitinisha. Tatizo masufi ni wapumbavu kama alivyosema imaam Shafy

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 3 หลายเดือนก่อน +1

    جزاك الله خيرا

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@sheikhyusufdiwan2489 shekhe yusufu hawa si walikuruka baada kushindwa mjadala?😂

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini 3 หลายเดือนก่อน

      nimpambe huyu sheikhe mdiho

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 3 หลายเดือนก่อน

      Hahahhahaa!

    • @iddimutua420
      @iddimutua420 3 หลายเดือนก่อน

      @@sheikhyusufdiwan2489 MashaAllah Yusuf Diwani ndugu yake Shafii Basalim mtu wakupiga vita watu wasunna na kuwaacha Mashia InshaAllah Allah akufungue macho na moyo ilimu ulio nayo isikushtaki kesho mbele ya Allah.

    • @MBAROUKSAADHUSSEIN
      @MBAROUKSAADHUSSEIN 2 หลายเดือนก่อน

      We kila kwenye fitna lazima turbo uonekane ila kwenye hakki wala haukomment

  • @famaufarmajo9665
    @famaufarmajo9665 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa Nyinyi Mulofunga msikiti Huko Sio Kugawanya waumini Hatakama hao Mawahabi Niwanafik Lakini mtume hakuwafungia wala hakuwafukuza Nyinyi pia mwafarikisha umma nanisifa ya unafiq

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      hakufukuzwa mwanzo hiyo ni tabia ya mawahhabi kufkuza watu miskitini...wenye kusimamia msikiti na mikakati yao na mipangilio yao walikataa ASIZUNGUMZE,lakini hakufukuzwa huchi kusema urongo?

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@answarmohamed4564ww ndio unasema uongo
      Hujui lolote yaliojiri watu wametolewa msikitini
      N wakitaka kujenga wao bdo mnayumba yumba
      Hivi hamujiskii aibu ?
      Ni laana ya mungu imewafuata ndio mana mnapiga makelele yasiokua n maana

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 หลายเดือนก่อน +7

    ukıona hivi ujue kuwa Hii ni dalili ya
    1- UOGA
    2- Ni upungufu wa TAWHEED
    Tutaıtangaza sunna kwa hali na maliiii
    Watqariqa mmeiharibu dni kwa mda sanaaa !
    Ata AbdulWahab alipigwa vita sana !

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      Uoga?yaani wewe kwa akili zako waislamu kugawanywa na watu kutoa tahadhari ni uoga 😂😂😂halafu wamaanisha kutaingia Tawheed,wamaanisha kule lamu mpaka Saa hii hamna waislamu wote ni washirikina?yaani nyinyi mawahhabi hamjielewi hii dini hamuwezi kutumia,acheni ukhawarij kukufurisha waislamu

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 3 หลายเดือนก่อน

      Ww unaijuwa historia Abdulwahab....ama unaifahamu historia ya masuudi walioko huko walitoka wapi

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 3 หลายเดือนก่อน

      Ulikua umalize TATU

    • @ShabanNyange
      @ShabanNyange 3 หลายเดือนก่อน

      Tawheed ya kupora miskiti???

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 3 หลายเดือนก่อน

      Uyu ni hasidi Hana lolote nyoooo...atakae fanya mema analifanyia na atakae fanya maovu analifanyia mwenyewe...

  • @HamidiYusuph
    @HamidiYusuph 2 หลายเดือนก่อน

    Jielewe wewe acha kukera watu kwa kuwasema vibaya mashekh wetu koma wewe

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 3 หลายเดือนก่อน

    Inshaallah makusudio Yao hayatakuwa kw uwezo wa Allah

  • @bilaligona5478
    @bilaligona5478 2 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @NuzlaBunu
    @NuzlaBunu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa ww umekereka? Kuekwa msingi wa msikiti wa sunnah? Kwani waislamu kwa ujumla watafaidika kwa kiasi kikubwa sana.

  • @Abubakarnaaman001
    @Abubakarnaaman001 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah shukran sana habib mpe vidonge vyakeee

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 3 หลายเดือนก่อน

    MASHA ALLAH 💚

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ujasiri gani huo ulionao kuzitolea hukmu miskiti ya Allah kwenye ardhi hii?ikiwa mtume mwenyewe hakujua malengo ya mskiti wa dhiraar mpaka alipotereemshiwa wahi?lakini wewe watoa hukmu moja kwa moja
    Chuki zako na za babako kwa watu wa sunnah zitawapelekea pabaya kaka

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      @@GOP-Abdallah huyo Baba ya MTU marehemu hizo chuki zake unzitoa wapi,wamlaumu MTU ywahukumu kisha we mwenyewe ndio wa Kwanza mwenye maradhi hayo!bachu ameyaweka wazi mwenyewe wale wanafik waliyaficha
      Bachu ameyatangaza!!!kila kitu kiko wazi na post zake tumeziona!!!mwenye chuki ni wewe na bachu

  • @SaidAbdalla-gl2dp
    @SaidAbdalla-gl2dp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ww shekhe unaumizwa na nini.kuna miskiti mingi ya kishia ambao wanawatukana maswahaba na wakeze Mtume s.a.w.hujapatapo kuisema miskiti hiyo.chuki haifai utaenda kuulizwa.tatzo hamtaki kufuata sunna ndio imekuwa ugomvi mkubwa mushazoea kupiga ngoma tu.

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 3 หลายเดือนก่อน

    Siku zote hakki ni mchujo. ليميز الله الخبيث من الطيب...

  • @bukhariznz
    @bukhariznz 2 หลายเดือนก่อน

    HEBU TUSOMESHE JAMII TUSICHUNGUZANE!!

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hivo msikiti wa maka na wamadina ni misikiti ya fitna.

  • @AbuuRayyan-j8x
    @AbuuRayyan-j8x 3 หลายเดือนก่อน +1

    ACHA UPUMBAVU UWO WEWEE : INABIDI UNATAKA KUSEMA KWAMBA WATU WALIO KINYUME NA UWO UPUMBAVU WENU WAKIJENGA MSIKITI NDO UNA UFANANANISHA NA UWO AMBAO ALLAH AMEUZUNGUMZA KTK QUR AN ? ACHA UPUMBAVU NA UJINGA UWOO.

  • @abutirmidhi
    @abutirmidhi 2 หลายเดือนก่อน

    حسبنا الله ونعم الوكيل

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official 2 หลายเดือนก่อน

    watu wa sunnah lazima tuwe na miaikiti yetu hatuwezi kuswali misikiti yenu masufi kwa sababu baadhi ya misikiti yenu ina makaburi
    jambo hilo ni kinyume na itikadi yetu masunni

  • @babuumohd4290
    @babuumohd4290 3 หลายเดือนก่อน

    Kiufupu mashekhe wengi sasa hivi wameacha kuioigania Qur'an na sunna kurudi katika heshima yake wanafatana wenyewe kwa wenyewe wakilumbana hivi mnafkiri kwa style hii tutachukua ilmu kutoka kwenu wakati nyinyi wenyewe haiwanifaishi na chochote mumekua kama makundi ya kiyahudi na manaswara

  • @MBAROUKSAADHUSSEIN
    @MBAROUKSAADHUSSEIN 2 หลายเดือนก่อน

    Shekhe kama hauna kazi bora kaa kimya na ukae nyumban na ulie watoto uko nyumban acha vitna shekhe wangu.
    mbona kwenye Miskiti yetu kuna viotezo, vya nn kama sio ya aya unaoisoma na mahatibu wanaumwa kila siku na kukataa mawaidha!

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 3 หลายเดือนก่อน +2

    Haruna geni kwa haya hata Mtume wakati wake aliambiwa anawagawanya watu nyinyi mabidaa atawatesa sana bachoo ila haki itasimama tu

    • @HamdiHamdiAbdi
      @HamdiHamdiAbdi 3 หลายเดือนก่อน

      Inakuuma

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      Usilie basi😂

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman 3 หลายเดือนก่อน

      Unajua kuwa hata Rasuulullah alipokuwa analingania dini alikuwa anasimangwa na kudharaulia mpk kupigwa mawe akawa anaambia analeta dini ngeni sio ya baba zake. Lkn hakuchoka kulingania na ndo mpk sasa tunaisoma. Bayana ikikufikia usije ukasema sikujua au sikuambiwa. Kufuata au kuacha kufuata ni wewe na nafsi yako.
      Allah atuongoze

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      @@AbdillahSOthman yaani wamfananisha bachu na mtumi Swallallahu Alayhi wasallam,mawahhabi hamna mipaka,halafu kwani lamu hamna dini miaka yote?hamna la zaidi hata mkajaribu kuteteana ispokuwa ni kutaka kuleta mgongano Bana ya waislamu

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 3 หลายเดือนก่อน +1

    A/a ee sheikh ogopa mwenyezimgu usitafsiri aya za mwenyezimgu in your own opinion, sasa wewe alkaaba na msikiti wa madina unaendeshwa na dhehebu gani ambao misikiti hiyo miwili mitakatifu ulimwenguni una endeshwa na wahabi.

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb 3 หลายเดือนก่อน +1

    HUELEWIKI WEWE

  • @AdnanMohammed-l6i
    @AdnanMohammed-l6i 3 หลายเดือนก่อน +1

    Iyo nichuki yenu maghurafi msingi unaporwa bl maghurafi mnaogopa sasaivi watu hawataki tena maulidi kwani ndani ya msikiti wanaletwa wageni sindohaohao maamumawenu iyo ndo dalili ya kwamba watu wamechoshwa nayinyi maghurafi wakata viuno

  • @jamalishoo3802
    @jamalishoo3802 3 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah

  • @AshrafBunu
    @AshrafBunu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wataka view

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      @@AshrafBunu shukran kwa kuwapa😅

  • @khalfaanjeilaan3922
    @khalfaanjeilaan3922 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamuzungumzii kuhusu misikiti ya kishia lamu na makanisa?

  • @abdulqadirmasuo1550
    @abdulqadirmasuo1550 3 หลายเดือนก่อน +1

    MANENO MENGI NA MSIKITI WAENDELEA KUJENGWA.
    INGEKUWA VIZURI KAMA UNGEMTAFUTA ALIETOA ARDHI ABADILI NIA YAKE.
    LAKINI UMEKAA WAREKODI VIDEO JISAA ZIMA BILA YA FAIDA YOYOTE NA MSIKITI WASIMAMA.
    AMA LABDA WATAFUTA UMAARUFU KUPITIA MOHAMED BACHU?

  • @osmanmanbile9327
    @osmanmanbile9327 2 หลายเดือนก่อน

    ,صدقت استاد mawahabii wa poraa liko wazi😂😂😂

  • @RajabAbdallaah
    @RajabAbdallaah 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ina maana makhuraafi mmezoea kukata viuno hadi mmekuwa mazuzu mnaporwa miskiti na mawahabi

  • @shamsushaffikassim-fe4ul
    @shamsushaffikassim-fe4ul 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wala hujui yaliojiri hukoo Fala mkubwaaa

  • @salimobeid1470
    @salimobeid1470 3 หลายเดือนก่อน

    Wanakosea sana hawa ndugu wahabiy hii si kuwaleta waislam bali ni kuwagawa waislam wasipojitafakari watakufa vibaya

  • @shariffomar8580
    @shariffomar8580 3 หลายเดือนก่อน +1

    Fitna yake iko wapi Wacheni chuki, wamuonea mwenzako wivu
    Sunnah itaingia kila pembe ya dunia

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani shida kubwa ni nini kwetu waislamu?? Kweli tunashindwa kukaa sehemu moja tukaelewana na kuepusha mambo kama haya ya kusimama kwenye mitandao kusemana vibaya.. Cha ajabu ni kuwa hakuna mtu anaejua nini kilichopo katika moyo wa mtu mwengine.. Kila mmoja anajiona yupo sawa na kujitukuza wakati Allah anasema msizitukuze nafsi zenu yeye ndie anaejua nani mchamungu.. Ah sawa endeleeni

  • @MudhyMudhy-s8n
    @MudhyMudhy-s8n 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shekhe sema ukweli acheni chuki sema shekhe kakataliwa kwa sababu pale wanakula maulidi.

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa imekuaje msikiti WA kifitna why misikiti ni ya ALLAH

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo mwataka misitlkiti yote iwe ya kusoma barzanji na.hamtaki kabisa msikiti wa sunna? Kweli nyie vichaa in shaa Allah haqqi itasimama2

  • @soffiscarlett9702
    @soffiscarlett9702 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ety sheikh imekuuma. Eeeh😂😂😂😂

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hawajasema "tutaweka msikiti wetu" bali msikiti wa Sunnah.....acha uongo ya ahlu bid'a

    • @abuarifhassan6316
      @abuarifhassan6316 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani sahiv haifatwi sunnah unaposema masjid sunni fungua macho na masikio kaka na kama una swali mtafute muhsin yupo bamburi mutaelewana zaidi kidini..

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 3 หลายเดือนก่อน

      @@abuarifhassan6316 bila shaka bid'a na ushirikina na ushia umekita mzizi katika jamii zetu

  • @RashidJuma-uh8sv
    @RashidJuma-uh8sv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mfano huo hauendani hata kidogo

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama kueneza sunnah ndio mbaya basi mkae na bid'a zenu

  • @GOP-Abdallah
    @GOP-Abdallah 3 หลายเดือนก่อน +3

    una chuki na mawahabi lakini msomaji kwa mwanzo wa clip ni wahabi,hivi nyie watu wa bidaa hamna msomaji mzuri wa qurani?ama nyote mmezoea kuimba tu?

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      Ushamskia huyo anaezungumza akiswalisha?ama wataka awe kama bachu akiingia kiblani ajirekodi halafu aandike ma Sha Allah sikia sauti mzuri iyo😂😂😂watu na ikhlaas zao

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 3 หลายเดือนก่อน

      nimemskia tu akiimba😂

    • @GOP-Abdallah
      @GOP-Abdallah 3 หลายเดือนก่อน

      ​@answarmohamed4564 ati watu na ikhlasi zao😂mbona al ihsaan media mwajieka mkiswalisha?😂

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      @@GOP-Abdallah basi hiyo ni shida yako si yake 😅🤣

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      @@GOP-Abdallah hao wajua yalio kwenye mioyo Yao wenyewe hawatudhihirishii kama bachu kutuambia sikiza sauti mzuri 😅😅,usioambia watu wazingatie maneno ya Allah watuambia tuzingatie sauti mzuri, 😅🤣🤣 Riyaa za wazi

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi mashekhe munawaelekeza na kuwapeleka wapi waislam!! Kaeni muzungumze kwa busara leo kila shekh ana TH-cam yake apambane na mwezake, kweli tutafika wapi

  • @shamsushaffikassim-fe4ul
    @shamsushaffikassim-fe4ul 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna Siri ambayo twaeza kuitaja ya huyu muhsin Ali bute kwa ushahidi lakini Wacha tunyamaze WEWE LETENI UKHABITHI WENU TU WA KUTIWA MAJI NA MABWAN ZENU Mbwaa weweee

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lengo lako nn hasa cjui shekh km umeumia kujengw miskit ya sunna au vip povu Shia wajenga population yao inakua kimya wa sunna shida kalale uko

  • @masoud744
    @masoud744 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huu msikiti uliowazuia masheikh wasiigie wakatoa daawa.. vipi hauwagawi waislamu?

    • @answarmohamed4564
      @answarmohamed4564 3 หลายเดือนก่อน

      @@masoud744 kwa ivyo kila MTU akidai yy ni sheikh akija aiktaka kupishwa apishwe?😅😅😅

  • @AbdullahiHussein-ik4eo
    @AbdullahiHussein-ik4eo 3 หลายเดือนก่อน

    Jiga ya mwisho shida yko ni miskiti iliyojengwa n m bachu ama ni misikiti yote y kenya

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bachu ni Tahira

    • @MussaYasini
      @MussaYasini 3 หลายเดือนก่อน

      Kama umeandika manen hayo ili kufurahisha watu bas tambua kaburin utakua mwenyew ukiulizwa juu ya manen hayo allah akulipe unayostahiqi

  • @abdurazakdaud9364
    @abdurazakdaud9364 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh kumbe ww pimbi watumia lisa lizima kuongea porojo kuna makanisa huku mbn hujawahi ongea

  • @AllyHozza
    @AllyHozza 2 หลายเดือนก่อน

    Naona hata kinyaa kumsikiliza binafsi yangu

  • @abuarifhassan6316
    @abuarifhassan6316 3 หลายเดือนก่อน

    Chambilecho misikiti tunayo mingi kwann msijenge islamic institute ili vijana wakiislam wajifunze ujuzi wa kikazi na mambo mengineo ama mujenge madaris kubwa ya kisasa wanafunzi wasome bila malipo..

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 3 หลายเดือนก่อน

      Unaongea tuh hujui unachoongea .
      Hivi unajua huo msikiti unajengwa wapi ?

    • @soffiscarlett9702
      @soffiscarlett9702 3 หลายเดือนก่อน

      Miskiti ipo mingi kwenu huko

  • @Player1_666
    @Player1_666 2 หลายเดือนก่อน

    Mm pia nishawahi kwenda hapo msikiti wa pwani wa kiwahabi,,,, sheikh umesema kweli 2007 nilikuwa nasoma riadha

  • @salafy3566
    @salafy3566 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanzia hio vdeo time 12:00 huyo abu aamir al-khazrajy ndo ww wamuonea bachu wivu ndo maana wakaa kwenye vdeo kumchafulia.