Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI - "NYERERE Asingekuwa MTANZANIA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ค. 2019
  • Waziri KABUDI Amvunja Mbavu MAGUFULI - "NYERERE Asingekuwa MTANZANIA"
    Waziri wa Katiba na sheria Prof. Palamagamba Kabudi leo katika makabidhiano ya pesa pamoja na madini ambayo yaliibiwa Tanzania na Kukamatwa Kenya amesema Tanzania na Kenya ni ndugu akabisa hivyo tuendelee kudumisha upendo na mshikamano...
    Pia ametoa shukrani kwa Rais wa kenya Uhuru Kenyatta kwa kuamua kurejesha mali za Tanzania , hivyo amefanya maamuzi mazuri na anastahili kuwa mfano wa kuigwa , na amelipa jambo hili uzito mkubwa sana..
    Kabudi ametoa rai kwa wananchi wote wa Kenya na Tanzania kutokuwa wahalifu na kuzilinda mali za nchi zote mbili kwa umakini wa hali ya juu..
    #MAWAZIRI
    th-cam.com/users/playlist?list... www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Insta

ความคิดเห็น • 269

  • @chrismutisya
    @chrismutisya 5 ปีที่แล้ว +149

    I am a Kenyan but i tune in to listen to this man. He inspires me to read books. He is a great brain and a blessing to East Africa.

  • @jacoblaiser7634
    @jacoblaiser7634 5 ปีที่แล้ว +52

    Professor Kabudi kongole sana kwa hotuba zako ambazo siku zote hujaa mafundisho na mawaidha ya kisomi na ya kiutu uzima.

  • @angelinasimchimba705
    @angelinasimchimba705 5 ปีที่แล้ว +82

    Moja ya watu ambao ni hazina zetu kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ".....ni huyu professor kabudi,he is very Talented @

    • @science_fact93
      @science_fact93 5 ปีที่แล้ว +1

      More than Talented

    • @khamisibinamu5323
      @khamisibinamu5323 3 ปีที่แล้ว +1

      Ana elimu sana huyu mzee halafu ni mbobezi wa lugha ya kiswahili

    • @devotawaitara2333
      @devotawaitara2333 3 ปีที่แล้ว

      More than

    • @wazirhussein3751
      @wazirhussein3751 3 ปีที่แล้ว +1

      Ningependa awe makamu mpya wa Tanzania, he genius

  • @petermartin7181
    @petermartin7181 5 ปีที่แล้ว +21

    Professor Kabudi thank you for supporting the government of Tanzania. You are well informed and you are a pride of Tanzania. When I listen to people like Zitto Kabwe and Tundu Lissu talking evil about their country, I wonder whose interests they speak for. Professor you are doing a good job for the People of Tanzania and the country, well done and God bless you.

  • @kinigarm8239
    @kinigarm8239 5 ปีที่แล้ว +32

    Tanzania is the father of Politics in Africa/Ka.

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 5 ปีที่แล้ว +24

    Natamani sana Dr Magufuli,,,Prf Kabudi,,,Mh Bashe mjitahidi kusimamia uwezo wenu wa akili ulete matokeo hapa Tz najua huenda tutapitia aina flani ya maisha lakini hata Mwanamke anapojifungua anapatwa na maumivu lakini mwishowe hufurahi nasi tutavumilia lakini matokeo yawepo

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 5 ปีที่แล้ว +53

    Kabudi safi sana..wajukuu zako wana raha sana

    • @ezm
      @ezm 4 ปีที่แล้ว +2

      Kweli Kabisa.

  • @kahibiraphael2902
    @kahibiraphael2902 5 ปีที่แล้ว +28

    your brain is so smart Prof Kabudi

  • @kingj9346
    @kingj9346 5 ปีที่แล้ว +22

    I don't get tired to listen to this prof, especially when is talking about history of great lakes region

  • @maryjohn8785
    @maryjohn8785 5 ปีที่แล้ว +24

    Haiya nmejua leo hadidhi nzuri kweli 🇰🇪

  • @husseinnkenja8149
    @husseinnkenja8149 5 ปีที่แล้ว +24

    Prof. Kabudi wewe ni profesa haswa. Nakupenda sana mkuu najua wapo wanaokubeza na kukuona si kitu lakini hajui hazina kubwa uliyobeba kichwani mwako. Nadhani kwa sasa upo sehemu sahihi kabisa na mkuu wa nchi amekuweka sehemu sahihi ya diplomasia na unaiweza kwa haki. Mkuu Prof. Kabudi endelea hivyo hivyo kama watanzania wa sasa hawaona ubora wako basi wajao wenye akili nyingi watatambua hazina kubwa na watatushangaa sisi ambao tunaishi na wewe na kula na wewe kwa nini hatuthamini hazina hiyo. nampongeza sana rais Magufuli kwa kukuona na kukuteua katika nafasi hiyo.

  • @isayamwidete6420
    @isayamwidete6420 5 ปีที่แล้ว +23

    The comming president after KING MAGUFULI!!!i wish to see you in MAGOGONI in further days even though we know your not politician , and that makes you stronger!🇹🇿!!!i wish you can take even other ministry specifically ministry of internal affairs where we see huge loop holes for a long tym!!!We luv you MAFUFULI💕,we luv you HON KABUDI!!💕

  • @science_fact93
    @science_fact93 5 ปีที่แล้ว +30

    This Man has great Gift of leadership I think within few years to come he might be great leader within this country

  • @jerichoseth4188
    @jerichoseth4188 5 ปีที่แล้ว +27

    Duh!huyu mzee yyko vizuri kihistoria anaijua nchi vizuri sana

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 5 ปีที่แล้ว +45

    Prof mwl ni mwalimu usimpe jukwaa hata masaa 3 hachoki ,Ila kwa ukweli wakenya ni ndugu zetu Wa damu kama ambavyo Waganda ,Warundi,Wanyrwanda ,Wakongo ,Wa Malawi na Wazambia ni ndugu Wa damu, na tunamahusuano ya miaka mingi, japo wazungu walizigawa nchi zetu ili watutawale vizuri na kunyonya rasilimali za bara letu LA Africa.
    Tudumishe udugu huu kwa vitendo na siyo kwa maneno.
    Tujifunze kusameheana huku tukijadiliana kila tunapoona kasoro .
    Mungu zibariki Tanzania na Kenya .tuishi kwa Amani ...Amen.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 ปีที่แล้ว +1

      Jumbe Ojaso amen

    • @jumbeojaso5767
      @jumbeojaso5767 5 ปีที่แล้ว

      @@MsAggie5 .AMEEN

    • @sapduke8691
      @sapduke8691 4 ปีที่แล้ว +1

      Wakigawa kwa minaajili sis ndio waiburu.... wahibiraniha (Hebrews in English) It is why we suffered so much with slavery and slave trade... But our people don't know who we are.. Wazungu wameficha siri, but we are the chosen people of the most high! Wake up and stand up against the gentile's (barbarian (beberu)

    • @williamlumbasia7110
      @williamlumbasia7110 4 ปีที่แล้ว

      Ameen!

    • @lennyalega1559
      @lennyalega1559 3 ปีที่แล้ว

      Umenena ukweli nami nasema Amina. Love from kenya

  • @danielbugwema6969
    @danielbugwema6969 5 ปีที่แล้ว +53

    Naomba ukabidhiwe nchi baada ya Magufuli unajua mengi Sana

    • @abdulatifmoxamed8047
      @abdulatifmoxamed8047 5 ปีที่แล้ว +2

      Absolutely

    • @kiatu
      @kiatu 4 ปีที่แล้ว +1

      4 months later - Magufuli will take us to 2030. No chance for Kabudi. But really a learned guy. Love him

  • @abdallahhassan6055
    @abdallahhassan6055 5 ปีที่แล้ว +91

    Kwakweli mm huwa naumia sana ninapoona kabudi eti anakosolewa na lema au mbowe kwa uwelewa upi walionao au sugu jamani wasikilize haya mafundisha ya History ndo wajue kama nchi hii inawalimu wanaojua kufundisha lapili wajuwe huyu jamaa kasoma na akina nani na wapi mashaidi wake ni wakenya na ninadhani hawazidi watanzania watano wenye kutowa spich za namna hii tumpongeze jamani prof kabudi mwaaaaaa

    • @andreajeremia436
      @andreajeremia436 4 ปีที่แล้ว +1

      Shida yetu nyingine ni wivu wa kijinga,watu kama hawa ni tunu kwa Nchi za wenzetu,wanaheshimika na kujaliwa sana,lakini kwetu,utakuta mjinga mmoja anaropoka ujinga mtupu na wajinga wenzake wanamsapoti anajiona ni mtu anayejua kitu kumbe hamna lolote.!!

    • @ambrosemilinga1395
      @ambrosemilinga1395 3 ปีที่แล้ว

      (99999999999)99999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999)999999999999999999999999999999999999))9999999999999999999999999999999999)99999)9999999)99999999999999999999999999999999999999999

    • @deusrobert1343
      @deusrobert1343 3 ปีที่แล้ว

      @@andreajeremia436 wambie

    • @devotawaitara2333
      @devotawaitara2333 3 ปีที่แล้ว

      Ananivutia huyu baba, Yuko vizuri

  • @josephinemitamba3399
    @josephinemitamba3399 5 ปีที่แล้ว +16

    Asante sana kwamaneno ya hekima na busara tunacho omba kama wa Afrika nikwamba wale ambao wanajuwa sisi wote ni ndungu wawe wanaelimisha watu mauwaji ubaguzi na matengano vinatokeya wengi wetu hawajuwi undungu wetu kaeni chini mukafunze watoto wetu Afrika tuwe kitu kimoja

  • @allykivike7228
    @allykivike7228 5 ปีที่แล้ว +47

    Magufuli anaakili sana hata anapo cheka anamaanisha sikama wengine wanacheka hata msibani.

    • @prospermakela7791
      @prospermakela7791 5 ปีที่แล้ว +2

      Ally Kivike ,upo vizuri mkuu umeliona hilo jamaa anacheka kwa kwa timing

    • @andreajeremia436
      @andreajeremia436 4 ปีที่แล้ว +1

      Wale jamaa,walikuwa wanacheka hata msibani duuh.

  • @clementkithinji7091
    @clementkithinji7091 5 ปีที่แล้ว +17

    Prof is a gem in EA such history is the minds of very few if any,he has made me feel very proud that we have such brains with eloquence,succinct and unravelled orator, please Prof write book on this, rich history which many citizens of both countries don't have

  • @robertmwakavi1266
    @robertmwakavi1266 4 ปีที่แล้ว +4

    This man should be the next Tanzanian president after DrJ P Maghufuli.Very brilliant,articulate,sense of humor and bold.

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 5 ปีที่แล้ว +9

    Profesaaa!!! I do appreciate you.

  • @jamhuricity
    @jamhuricity 4 ปีที่แล้ว +2

    Am a Kenyan and I never tire to listen to professor.. Full of wisdom and knowledge

  • @msemwawalter837
    @msemwawalter837 5 ปีที่แล้ว +75

    Watu wanakula lecture kwa ikulu.
    Take notes......
    Free academic input.

  • @josephharri9015
    @josephharri9015 5 ปีที่แล้ว +51

    Ingekuwa awamu zilizopita, hizo zingepigwa na wala Taarifa msingezisikia. Big up to our Lovely President Dr. J.J.P
    Magufuli.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 ปีที่แล้ว

      Joseph Harri yaani usiseme hizo zingepigwa juu kwa juu

  • @djatm1319
    @djatm1319 5 ปีที่แล้ว +56

    Mwana historia huyu ....nimempenda sana kutoka Kenya

  • @fediruben5009
    @fediruben5009 5 ปีที่แล้ว +10

    Duu mh Kabudi nimekukubali unaijua historia vizuri

  • @omarykaita43
    @omarykaita43 5 ปีที่แล้ว +13

    Pro: John Aidani Mwiyange Palamagamba Kabudi. the Minister of External Affairs, East Africa and Zone at Large, You deserved to be on the current position, Please, in faith, assist our Beloved JPM. I am admiring your presentation.

  • @Kushpoll
    @Kushpoll 4 ปีที่แล้ว +57

    Kenyan's who are here after the BBI report launch chapeni like.

    • @lennyalega1559
      @lennyalega1559 3 ปีที่แล้ว +2

      Remember when he talked of magniloquence?

  • @remmychuma1313
    @remmychuma1313 5 ปีที่แล้ว +11

    It was a great and an excellent presentation. Well done Prof. Palamagamba Aidan Kabudi.

  • @ntibanahum8113
    @ntibanahum8113 5 ปีที่แล้ว +5

    Nampongeza Rais magufuli kwa kutamka hadharani kua Tanzania sio masikini ni nchi Tajiri Sana Asante sana mh Rais. Umetuonyesha kwa vitendo Hawa watu walikua wamefungiwa tu University pale dar. Now I feel proud to be a Tanzania

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 5 ปีที่แล้ว +17

    I always lean some when Prof. Kabudi chant
    One love Itinualy

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 5 ปีที่แล้ว +10

    Kabudi safii upo makini sanaaa

  • @williamray7751
    @williamray7751 3 ปีที่แล้ว +2

    Professor Kabudi, An intelligent man ,your gift of understanding and grasping information is outstanding 👏 👌

  • @nichkakumbi7657
    @nichkakumbi7657 5 ปีที่แล้ว +10

    Kabudi uko vzr uncle..

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 5 ปีที่แล้ว +40

    sijawahi kuchoka hutuba za kabudi na mzee magufuri hakika kinavitu vinainhia ndani yake

  • @lucieserero7475
    @lucieserero7475 4 ปีที่แล้ว +1

    I felt like I was in class learning Swahili again... Loved it👍👌

  • @shaffimwakz1413
    @shaffimwakz1413 4 ปีที่แล้ว +6

    This is why watu wanasema Mombasa sio Kenya.... Now I understand

  • @abdulatifmoxamed8047
    @abdulatifmoxamed8047 5 ปีที่แล้ว +23

    My next president honestly kama nguvu zitaruhusu akimaliza mchapakazi Magufuli

  • @athumanomary1171
    @athumanomary1171 5 ปีที่แล้ว +19

    Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoza vyema raisi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @masanjemuyenjwa2434
    @masanjemuyenjwa2434 5 ปีที่แล้ว +4

    u'r a really prof. unajua mambo meng sana, mara nying unapozungumza na kuwa karbu kukusiklza il nijifunze mengi kutoka kwako

  • @mariamnimbo8394
    @mariamnimbo8394 3 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kutoka kwako waziri Kabudi, kumbe wengi wetu ni Africa ni ndugu.
    Asante kwa historia hii.
    Tku!!!

  • @johnpesambili4806
    @johnpesambili4806 5 ปีที่แล้ว +21

    Watu kama hawa tulikuwa tunawaweka mfukoni wakati wanamadini kiasi hiki.. Mungu akubariki Rais wetu hukoseagi kuteua kabisa.

  • @TheB920
    @TheB920 4 ปีที่แล้ว +8

    Watanzania huwa wanashukuru Mungu kwa vile wako na viongozi wema ama huwa wanadhani ni jambo la kawaida? 🤔

  • @johnjaphet9548
    @johnjaphet9548 5 ปีที่แล้ว +15

    HAKI HUINUA TAIFA SAFI SANA

  • @williamlumbasia7110
    @williamlumbasia7110 4 ปีที่แล้ว +3

    Am being inspired by this man. After BBI....I landed here to do some follow-up

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 4 ปีที่แล้ว +1

    Indeed you are professor kabudi

  • @davidgithiomi4021
    @davidgithiomi4021 4 ปีที่แล้ว +1

    I Honestly salute prof Kabundi. I have learned a lot from him. Great Historian of this century.

  • @davidmatoka5203
    @davidmatoka5203 4 ปีที่แล้ว +1

    Hon. Kabudi you deserve being a great leader thank you for making effort of trying to create good relationship between Kenya and Tanzania, , , akubariki sana Maulana

  • @jeremymakokha4797
    @jeremymakokha4797 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Kabudi ningependa kumfahamu sana...aliniguza sana tukizindua BBI Kenya....from 254

  • @saidbarawa9096
    @saidbarawa9096 9 หลายเดือนก่อน

    Kabudi iadmire.your leadership, keep up,next president of Tanzania

  • @shadrackkwemoi5604
    @shadrackkwemoi5604 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana bwa. Prof. Kabudi kwa hotuba zako haswa kwa kutujuza historian nyingi tusizozijua

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว +29

    Tusome vitabu, tusome magazeti, tuache ujinga.

  • @robertkipkoech008
    @robertkipkoech008 4 ปีที่แล้ว +2

    He came to Kenya and surely united us a country...he is a gentleman

  • @muhamoha5038
    @muhamoha5038 4 ปีที่แล้ว

    It's a joy always to listen to this great man talking

  • @AliMvingira-ls2vm
    @AliMvingira-ls2vm ปีที่แล้ว

    Mungu akutangulie mzee wangu

  • @cyrilologe
    @cyrilologe 4 ปีที่แล้ว +1

    Naienzi sana hekima na busara ya Bwana Kabudi...hongera

  • @mhojamsafiri2273
    @mhojamsafiri2273 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Kabudi🙏🏻🙏🏻

  • @moudymchemia6598
    @moudymchemia6598 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante kiongozi wangu nimetokea kukukubali toka umetoa speech Kenya

  • @Djaiicool2012
    @Djaiicool2012 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu buda alitu mix Nairobi na kiswahili remixes.

  • @okothdido3827
    @okothdido3827 4 ปีที่แล้ว +1

    Great man. Kenyans honour you

  • @omarymohammed2880
    @omarymohammed2880 4 ปีที่แล้ว

    genius and intelgent man prof kabudi

  • @tobynasheimani7969
    @tobynasheimani7969 5 ปีที่แล้ว +7

    Ilike this guy ithink he should be the next president of Tanzania

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 5 ปีที่แล้ว +4

    Profesa Kabudi!!!

  • @hipu755
    @hipu755 4 ปีที่แล้ว +3

    This is a lesson to those who reasoned that if your neighbour's chicken strays to your backyard you have a right to slaughter and eat it.

  • @kipkemoiisaac5326
    @kipkemoiisaac5326 4 ปีที่แล้ว +1

    Who's this guy. Brilliance galore

  • @issamsomba7219
    @issamsomba7219 5 ปีที่แล้ว +3

    big up

  • @wbabu6155
    @wbabu6155 4 ปีที่แล้ว

    Prof Kabudi, what a great speech!

  • @rasnjogu
    @rasnjogu 4 ปีที่แล้ว +2

    I believe what he is saying, colonial boundaries are just mental boundaries.

  • @franciscomasungulwa3575
    @franciscomasungulwa3575 5 ปีที่แล้ว +10

    Tunazidi kujifunza mengi ya kale

  • @jacksonzakayo6759
    @jacksonzakayo6759 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama unamkubali waziri kabudi weka like yako hapo.

  • @oslominiconcerts3538
    @oslominiconcerts3538 4 ปีที่แล้ว

    Prof Kabudi the next President of Tanzania. This man is smart and has a deep sense of detail and knowledge of the region.
    Hongera mtoto wa kasisi.

  • @andreajeremia436
    @andreajeremia436 4 ปีที่แล้ว

    Una sifa zote za kuwa kiongozi,maana kiongozi hanuni wakati wore pia hachekicheki wakati wote,vizuri sana Mungu akufikishe alikokukusudia.

  • @fredricklemiso6191
    @fredricklemiso6191 4 ปีที่แล้ว +10

    When he attended bbi launch we almost died because of laughter . Kiswahili tulitafuta kamusi

  • @samjohn583
    @samjohn583 4 ปีที่แล้ว +1

    Pround to be East Africana.

  • @officialmsigwa5069
    @officialmsigwa5069 3 ปีที่แล้ว

    Good History very Interestive

  • @johnzephania8549
    @johnzephania8549 5 ปีที่แล้ว +3

    historia za kuhusu nchi hii nazitamani Sana kuzisikiliza, na hata sipati uchovu, nakukumba uandike kitabu cha historia kiuzwe madukani nitakuwa wa kwanza kukinunua

  • @TheMrisho
    @TheMrisho 4 ปีที่แล้ว

    Professor Kabudi sio wa mchezo mchezo aisee. Yuko vizuri sana.

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 4 ปีที่แล้ว +1

    We kabudi ni prof Ur real ticha

  • @adeltusbashara9720
    @adeltusbashara9720 5 ปีที่แล้ว +18

    Kabudi anafaa kuwa rais baada ya JPM!

    • @boniphacetabu2903
      @boniphacetabu2903 5 ปีที่แล้ว +1

      Kumbuka prof hii level ni mtu anayeamini sana mawazo yake na hakosolowi na anapaswa kuwa lecture tu

  • @kanyaugatiejagwo
    @kanyaugatiejagwo 4 ปีที่แล้ว +1

    This will be the next Tanzania president

  • @e.jack.47
    @e.jack.47 3 ปีที่แล้ว

    Kabudi we love you here in Kenya. Kwa kweli tz na Kenya ni mandugu

  • @jamesohayo5329
    @jamesohayo5329 4 ปีที่แล้ว +1

    This man IS brilliant.

  • @alexfrancis2278
    @alexfrancis2278 4 ปีที่แล้ว

    Waziri kabudi yuko vizuri sana sana nimeipenda hiyo

  • @robertngwagala5939
    @robertngwagala5939 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana hyu mwmba

  • @josephkiliko7114
    @josephkiliko7114 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania tumebarikiwa kuwa na viongozi mahiri sana Mungu awatunze msogeze taifa ili mbele

  • @enocklugora4331
    @enocklugora4331 หลายเดือนก่อน

    Gud gud sana

  • @schoolboy1614
    @schoolboy1614 4 ปีที่แล้ว

    Prof. Kabudi respect kwako

  • @salvatorykipyoka1567
    @salvatorykipyoka1567 5 ปีที่แล้ว +4

    Kweli huu ubongo ni dunia aisee

  • @sallykalya9023
    @sallykalya9023 4 ปีที่แล้ว +5

    Woie Nyerere alikuwa wetu😂🇰🇪

    • @kingnicky2568
      @kingnicky2568 3 ปีที่แล้ว

      Sanna Kruger kenya akili hamnaga kabisaa😂😂😂😂😂

  • @aginiweyessayakyando9855
    @aginiweyessayakyando9855 5 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂😂😂😂😂 Unaijua mipaka na historia vzr

  • @cosmasmapesa
    @cosmasmapesa 4 ปีที่แล้ว

    Tumekuelewa sana mwalimu wa walimu, uwepo wako ni mhimu sana nchi endelea kutufungua vichwa

  • @peteg9921
    @peteg9921 3 ปีที่แล้ว

    Palamalamba Kabudi...what a name?
    I like this guy, he's a lawyer with oratory skills, a historian per excellence, has a commanding voice and presence 👌..I don't know much about Tanzania CCM politics but his star is shining so bright I think he should be the next big thing in Tz politically.
    Now that Magu is gone, he is the man to watch.

    • @peteg9921
      @peteg9921 3 ปีที่แล้ว

      I hope some day he ascends to the highest office in Tz...the foreign ministry is a too small office for such a potential guy.
      For us in Kenya, the political landscape is heavily polluted, saturated, full,mixed,chocked by the same same people for the last 25 years.
      They don't want to leave the political stage yet they stifle,strangle and shove aside new promising political voices who they view as enemies.
      The Kenyan curse in one stanza!

  • @davidmatoka5203
    @davidmatoka5203 4 ปีที่แล้ว +1

    Please make trips to Kenya, educate kenyan ministers to stop tribalism and corruption

  • @samuelotura5883
    @samuelotura5883 4 ปีที่แล้ว +1

    I compare this man just with Amollo Raila,I wish we have this like person in Kenya

  • @josephkinyanjui8399
    @josephkinyanjui8399 4 ปีที่แล้ว

    Very smart man...

  • @eutychusthiongo1335
    @eutychusthiongo1335 3 ปีที่แล้ว

    Profesa Kabudi is all tym best foreign affairs minister in TZ

  • @MJ-ye7dd
    @MJ-ye7dd 4 ปีที่แล้ว

    Nilimpenda huyo Prof Kabudi bure tu🌷

  • @samgesaka4203
    @samgesaka4203 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi in mkenya nampigia upatu kabudi kuwa rais wa Tanzania baada ya jjm

  • @AliMvingira-ls2vm
    @AliMvingira-ls2vm ปีที่แล้ว +1

    Jamani nchi yangu nikifikilianatoa machozi mungu atupe nini nchi hii viongozi wazuli ndo hawadumu duh. Mabaya yana ishi mzee, wewe unafaa kuwa rais, anaebisha nimnafiki