MH nilimisi sana hotuba zako,kazi imeanza kwa mara nyengine tena,kila la kheri insha'Allah M/Mungu akupe afya njema ili utimize ndoto zako kwetu wananchi Aaamiin
Kuna kitu umeongea Mhe Rais wangu, kweli nimekuelewa. Kwamba watoto wetu wafundishwe historia ya nchi yetu na sio historia ya nchi za wenzetu. Hapo upo sawa
Mimi sina la kusema Mungu wa Mbinguni hawezi kukuacha uangamie yaani nitafunga maombi mfululizo ili afya yako isinyongee iwe imara wakati wote wa utawala wako. Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Mr President John Pombe Magufuli.
Raisi wetu umeongea km bb na familia yake nyumbani kiukweli mawaziri mkifanyia kazi tutafanikiwa Tanzania yenu .mola wetu mlinde Rais wetu ni zawadi tumebarikiwa na mungu
Rais wa Tanzani nchi yetu kwa hakika una fanya kwaajili ya familia yako kwani unavyoitetea nchi yetu kwa umoja tunaweza ubarikiwe sana MUNGU akubariki maadui watapambana na mungu baba tutetee
Mungu abariki historia ya nchi yetu na uzalendo utaimarika sasa. Pigilia msumari ujio wa ukoloni. Tena ifundishwe kwa kiswahili chetu ili ipendwe na watoto wakitanzania.
Sahihi kabisa Kulwa, "No matter what Jpm you're true reformer." hata Ulaya kwa speed ya maendeleo na uongozi bora wanamwogopa anaweza kuzipita nchi nyingi tu kule.
Jembe kutoka chato unasikia miba izo choma sana, alafu kuna watu walipiga kura kwa lisu, mmhh! Uyu lazima aongezwe miaka mingine, raisi kama uyu ni ngumu kumpata
Mimi naona tungempa King Magufuli 10 years more atakapomaliza 2025 atawale mpaka 2035 yaani tungekuwa na watu kama hawa hata watatu Tz tungekuwa mbali sana
Anko Magu wee n jembe fanya Kaz nakupenda bureee BABA wa Taifa awamu ya tanoo na Mungu akupe hitaji la moyo wako ktk kuriongoza Taifa le2 nanyi Mawaziri na manaibu waziri mkashirikiane vyema.Mungu awaongoze ktk kazi zenu
Mhe. Hongera sana. Inaonesha mchakato ulikuwa mgumu sana mpaka umeshindwa kuchaguwa. Katika uteuzi wa Mawaziri (Serikali) Wazanzibar lazima wawemo hii ni Serikali ya Tanzania inayoundwa na Tanganyika na Zanzibar. Sasa hiyo itakuwaje Serikali ya Muungano? Hapa Mhe. Rais umekosea kidogo kama unapokea ushauri hili ulione. Utupatie nafasi za uteuzi Wazanzibar.
Jua kwamba mawizara haya, sio. Wizara hizo ni uzushi wa wakoloni. Wizara hizi ni mradi wa wazungu. Miaka 58 baada ya Uhuru kijiti cha kutoa uchafu kwenye meno tuna agiza kutokana uchina. Miaka 58 baada ya uhuru wizara ni zile zile- 1- ustawi wa jamii na wanawake 2- elimu 3- madini 4- fedha 5- usafirishaji 6- kilimo 7- mifugo 8- biashara 9- nyumba Q3:14; 9:24 Hii ni miradi ya wazungu. Idara za manunuzi kutumika kuhamisha mali zetu zisizoliwa na kutu naenda ulaya na marikani kununua vifaa. Hapana: Wizara ni hizi~ 1- Mafakiri 2- Masikini 3- Mambo ya ndani 4- Mila 5- Malezi 6- Ujasiria mali 7- Njia ya Mwenuezi Mungu 8- Watu wa Majiani 9- Dini yetu Waafrika,- uaminifu heshima na utii. Q9:60; 2:273 Hizi ndio wizara stahiki tuweze kujenga nchi.
Haya yamfikie kaka Magufuli. Ajue kuwa alipoapa kuilinda katibu ya nchi yetu, ndio wazungu waliweza kulinyoshea taifa letu kidole. Hapo tumedokoa kidogo, suala LA wizara. Mungu awe MBELE.
@@peterandrea9504 Hapana labda kajishitukia tu kupotezea yule dada hatokei Zanzibar na pia ni Naibu Waziri. Naibu Waziri si mjumbe Baraza la Mawaziri. Hivyo hii ya sasa inapoteza sifa kuwa Serikali (Mawaziri) ya Jamhuri ya Muungano. Hata zile Wizara typically za Muungano kama fedha, Mambo ya Ndani, Nje, Ulinzi nk hakuna hata Naibu Waziri. Viongozi waliomtanguli walihiari Wizara iwe na Nanaibu wawili lakini uwakilishi wa Zanzibar uwepo kwa sababu kutokuwepo Wazanzibar amejiondoshea sifa ya kuwa Rais wa Tanzania. Rais ana mamlaka tatu Mkuu wa nchi, Mkuu wa Serikali (bila kuwemo Wazanzibar Serikalini sifa hii inapotea) na Amiri Jeshi Mkuu. Kujizimua Waziri aliyeshindwa kuapa hiyo nafasi atupe sisi Wazanzibar. Kaoneshwa na Mungu kuwa uteuzi sio sawa haijawahi kutokea Kiongozi kushindwa kuapa nafasi yoyote.
Our father we miss you,kwa sasa hatuna kiongozi!
MH nilimisi sana hotuba zako,kazi imeanza kwa mara nyengine tena,kila la kheri insha'Allah M/Mungu akupe afya njema ili utimize ndoto zako kwetu wananchi
Aaamiin
Kuna kitu umeongea Mhe Rais wangu, kweli nimekuelewa. Kwamba watoto wetu wafundishwe historia ya nchi yetu na sio historia ya nchi za wenzetu. Hapo upo sawa
Tuzidi kumwomba Mungu, watoto kama Hawa wazidi kuzaliwa katika Ardhi yao Tanzania.... Mungu bariki matumbo ya akina Mama....
Amen
@@modesterlucas6504 Ubarikiwe Sana Ndugu yangu
Mimi sina la kusema Mungu wa Mbinguni hawezi kukuacha uangamie yaani nitafunga maombi mfululizo ili afya yako isinyongee iwe imara wakati wote wa utawala wako. Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Mr President John Pombe Magufuli.
Raisi wetu umeongea km bb na familia yake nyumbani kiukweli mawaziri mkifanyia kazi tutafanikiwa Tanzania yenu .mola wetu mlinde Rais wetu ni zawadi tumebarikiwa na mungu
😭😭😭😭😭
Wewe ndie rais mwenye uchungu na Tanzania mungu akuweke kwa afaya njema
Yani leo umeongea maneno mazito kiukweli km wasaidizi wako wakiyatii na kuyatekeleza Tanzania itapiga hatua sana
naanza kukumbuka maneno yako ( ipo siku mtanikumbuka ) yes we do Mr President 😢😢😭😭😭😭
Mzee wetu we si rais bari ni mfalume wa dunia tunakumbea kwa morah akujalie afiya yenye baraka
Mkurugenzi kumekucha alibishana na King leo top kagongelea msumari
Msukuma ali piga kelele kwa hili watoto hawana mada wati .Mkurugenziaka jibu mapigo kwa dharau kweli leo kazi hama Msukuma Oyeeeeeeeh 🤣🤣🤣
Unacheza na msukuma
Mungu akulinde sana na akutie nguvu sana raisi wangu jpm, naipenda nchi yangu🇹🇿
Mungu akuongoze na akupe afya njema na akupe maisha marefu na akufamishe haki na akupushe na maadui wakila aina
Mh,ubarikiwe sana, tena sana,Yesu akupe maisha marefu.
Ashaarudi tenaaaaaaa hapa kazi tu💪💪💪👍👍
😀😀😀
Tunaomba tukuongezee mda hta 20 tu
Rais wa Tanzani nchi yetu kwa hakika una fanya kwaajili ya familia yako kwani unavyoitetea nchi yetu kwa umoja tunaweza ubarikiwe sana MUNGU akubariki maadui watapambana na mungu baba tutetee
Mungu akutanguliee baba
Nimeguswa sana hisia kali alizo zionyesha waziri mpya wa afya mungu akusimamie mama
Watakuelewa tu.
Wa tanzania tujivunie ƙua na raisi magufuri tuzinɗi ƙumuomɓea ƙwa mungu amujarie afƴa jema
Kwenye HISTORIA hapo baba NIMEKUKUBALI SAANAAA. ASANTE BABA
Mungu abariki historia ya nchi yetu na uzalendo utaimarika sasa. Pigilia msumari ujio wa ukoloni. Tena ifundishwe kwa kiswahili chetu ili ipendwe na watoto wakitanzania.
No matter what Jpm you're true reformer..
"Mkamtangulize Mungu mbele". "Watz wana matumaini makubwa juu yenu. " Maneno mazito yanayotia moyo. Mungu ibariki Tz.
Aameen
Sahihi kabisa Kulwa, "No matter what Jpm you're true reformer." hata Ulaya kwa speed ya maendeleo na uongozi bora wanamwogopa anaweza kuzipita nchi nyingi tu kule.
Mimi niteuliwe katika uandishi wa kitabu kipya cha historia mh rais
Jpm akiongea naoata goose bumps
Nakuelewa maana anaongea kwa hisia na msisitizo sana , Yote ni upendo kwa Taifa letu Tanzania .
Tumebarikiwa sana na Mungu kwakweli
Good Deeds anaongea kwa hisia mno
Baba yetu raisi wetu tunakuomba utuongoze 20 years
Asante mzee nachokupendea hupepesi macho
Rais wetu safiii sana
Levo ya Halmashauri ni TXL ,D4D, n'k
Tulikumiss
Sanaaa
Huyo Mkurungenzi akatwe nganja mbili kabla ya kuondolewa. Na nilijua Tu Magufuri hatomuacha salama. Big up Mr. President
Ongela sana baba
Dah agriculture economic
Nimeamini tuna raisi wa uƙweri
Rais kuna watu,wanakula hela,ile yawazee(sako's)wasiojiweza.washuulikie haoharaka.Tunakuaminia,
Jembe kutoka chato unasikia miba izo choma sana, alafu kuna watu walipiga kura kwa lisu, mmhh! Uyu lazima aongezwe miaka mingine, raisi kama uyu ni ngumu kumpata
HAKUNA AMBAPO NITAKUKOSOA MAGUFULI LABDA NIPU GUKIWE AKILI
Mimi naona tungempa King Magufuli 10 years more atakapomaliza 2025 atawale mpaka 2035 yaani tungekuwa na watu kama hawa hata watatu Tz tungekuwa mbali sana
Sasaiv tunasikiliza maludio tuu nataman ungekuwepo jamn ww ndo ulikuwa Rais wa Tanzania
Good morning
Big up
Hahahahahaaaaa eti kwenye wizara ya maji hukufanya vizuri kabisa😁
Adui hatoki mbali
😀😀😀😀🤣🤣Nimecheka Sana kwenye kunyonga
JPM umenifuraisha kupita maelezo kiongoz wangu🇹🇿Kwanza mengine badae
Kweli
Kiukweli ukisikia mkosi ndo huo unashindwa kuapa mbele ya joker
Mh, Raisi uƙu ƙƴerwa tuna tatizo ra fesi matajiri wamefunga ariɗhi ƴetu
Mpya
100
Wewe nikweli
Kweli usiwanyonge baba utapata zambi nyingi wewe umeshtukia iyoo
Jpm aongezewe muda
Anaonyesha jinsi gani ana uchungu na nchi hii
Dah Kwa aliyeshindwa kuapa mpaka haibu jamn família nzma iko hapo kukusapot halfu unashindwa kusoma
🔥🔥
Vyama vya ushilika vinatunyonya wakulima Amkos
Anko Magu wee n jembe fanya Kaz nakupenda bureee BABA wa Taifa awamu ya tanoo na Mungu akupe hitaji la moyo wako ktk kuriongoza Taifa le2 nanyi Mawaziri na manaibu waziri mkashirikiane vyema.Mungu awaongoze ktk kazi zenu
Hiyo ya selfie ni kigwangala kabisa
☺
Msukuma ashamlaza mtu na viatu
Anaƴe mupinga raisi umutazameara mɓiri zaindi anawenza ƙua na aƙiri nɗongo
Mhe. Hongera sana. Inaonesha mchakato ulikuwa mgumu sana mpaka umeshindwa kuchaguwa. Katika uteuzi wa Mawaziri (Serikali) Wazanzibar lazima wawemo hii ni Serikali ya Tanzania inayoundwa na Tanganyika na Zanzibar. Sasa hiyo itakuwaje Serikali ya Muungano? Hapa Mhe. Rais umekosea kidogo kama unapokea ushauri hili ulione. Utupatie nafasi za uteuzi Wazanzibar.
Hujaskiliza vizuri alipoelezea kuhusu mapinduzi matukufu??? Ameteua
Jua kwamba mawizara haya, sio. Wizara hizo ni uzushi wa wakoloni. Wizara hizi ni mradi wa wazungu. Miaka 58 baada ya Uhuru kijiti cha kutoa uchafu kwenye meno tuna agiza kutokana uchina.
Miaka 58 baada ya uhuru wizara ni zile zile-
1- ustawi wa jamii na wanawake
2- elimu
3- madini
4- fedha
5- usafirishaji
6- kilimo
7- mifugo
8- biashara
9- nyumba
Q3:14; 9:24
Hii ni miradi ya wazungu. Idara za manunuzi kutumika kuhamisha mali zetu zisizoliwa na kutu naenda ulaya na marikani kununua vifaa.
Hapana:
Wizara ni hizi~
1- Mafakiri
2- Masikini
3- Mambo ya ndani
4- Mila
5- Malezi
6- Ujasiria mali
7- Njia ya Mwenuezi Mungu
8- Watu wa Majiani
9- Dini yetu Waafrika,- uaminifu heshima na utii.
Q9:60; 2:273
Hizi ndio wizara stahiki tuweze kujenga nchi.
Tunaposema njia ya Mwenyezi Mungu itajumuisha UONGOZI WAKE NA UTAWALA WETU.
Haya yamfikie kaka Magufuli. Ajue kuwa alipoapa kuilinda katibu ya nchi yetu, ndio wazungu waliweza kulinyoshea taifa letu kidole. Hapo tumedokoa kidogo, suala LA wizara. Mungu awe MBELE.
@@peterandrea9504 Hapana labda kajishitukia tu kupotezea yule dada hatokei Zanzibar na pia ni Naibu Waziri. Naibu Waziri si mjumbe Baraza la Mawaziri. Hivyo hii ya sasa inapoteza sifa kuwa Serikali (Mawaziri) ya Jamhuri ya Muungano. Hata zile Wizara typically za Muungano kama fedha, Mambo ya Ndani, Nje, Ulinzi nk hakuna hata Naibu Waziri. Viongozi waliomtanguli walihiari Wizara iwe na Nanaibu wawili lakini uwakilishi wa Zanzibar uwepo kwa sababu kutokuwepo Wazanzibar amejiondoshea sifa ya kuwa Rais wa Tanzania. Rais ana mamlaka tatu Mkuu wa nchi, Mkuu wa Serikali (bila kuwemo Wazanzibar Serikalini sifa hii inapotea) na Amiri Jeshi Mkuu. Kujizimua Waziri aliyeshindwa kuapa hiyo nafasi atupe sisi Wazanzibar. Kaoneshwa na Mungu kuwa uteuzi sio sawa haijawahi kutokea Kiongozi kushindwa kuapa nafasi yoyote.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂selfie mtaacha sasa
R
Kama wote ni wazuri iweje waislamu wawe 3 na manaibu 2 si bure ponda analo jambo
Usipate ndg huu mfumo cristo
Wewe ni shetani! Unaidini! Nchi yetu haina dini! Acha uchochezi wa kijinga
Nadhani wewe sio mtanzania... NCHI YETU HAINA UDINI
Waziri mkuu wakamu wa rais ni dini gani tuache mambo ya udini jmn ukitizama zanzibar utasemajee
@@makulaikuku6909 achananae mjinga m1 uyo