USIFANYE BIASHARA HII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2021
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 32

  • @richardvalson4313
    @richardvalson4313 3 ปีที่แล้ว +7

    Somo zuri kwa kwa sisi tunaotaka kuanza ßiashara asante kwa somo zuri

  • @bombokojunior7479
    @bombokojunior7479 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

  • @nshimirimanadjamilla7270
    @nshimirimanadjamilla7270 2 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @stiveerasto1683
    @stiveerasto1683 3 ปีที่แล้ว +1

    Kabla mh. Joel nanauka hajawa mwalimu wangu nilijua kwamba mtu ukiwa na pesa unaweza ukafanya chochote Na ukafanikiwa. lakini baada ya kujifunza mambo mengi kutoka kwa huyu mwalimu wangu wa maisha.
    Nimegundua kwamba mambo mengi nilikuwa najidanganya. Na saizi naishi maisha yenye furaha na yasiyo stress kwamaana kila kinacho tokea tayari kunakuwa na nondo za kutosha kichwani mwangu.

  • @citymaxbookshoptanzania2924
    @citymaxbookshoptanzania2924 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana umenitoa mbali sana

  • @ezironvyats433
    @ezironvyats433 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante kwa somo zuli

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay 3 ปีที่แล้ว +1

    asante sana Joel

  • @dodokindamba
    @dodokindamba 3 ปีที่แล้ว

    Dah nimekumbuka mbali sana DECI

  • @anastasiamainaministries2700
    @anastasiamainaministries2700 3 ปีที่แล้ว +2

    Asanti nafurahia mafunzo yako hapa Kenya 💃♥️

  • @fatimamtoo9288
    @fatimamtoo9288 3 ปีที่แล้ว

    Nc

  • @ussiussi3413
    @ussiussi3413 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kwa mafunzo yako.

  • @mariamayoob8734
    @mariamayoob8734 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa Bro Joel

  • @mfaumehassani4934
    @mfaumehassani4934 3 ปีที่แล้ว +1

    nmekuelewa hata kabla ya kuskia

  • @josephboniface7506
    @josephboniface7506 3 ปีที่แล้ว

    Thanks brother

  • @farajahkibona9022
    @farajahkibona9022 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kaka kwa somo zuri, je nitajuaje kama biashara ninayo Fanya inanifaa ,

  • @perpetuagodfrey4301
    @perpetuagodfrey4301 3 ปีที่แล้ว

    Asante kaka

  • @andrewmwitika8487
    @andrewmwitika8487 3 ปีที่แล้ว +1

    See

  • @agnesslyimo5677
    @agnesslyimo5677 3 ปีที่แล้ว

    🤝

  • @halifaiddy8497
    @halifaiddy8497 3 ปีที่แล้ว

    Shukrani

  • @lilianmbodze8272
    @lilianmbodze8272 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante saana kaka Joel, haki tangu nikufatilue mafundisho yako najiona kubadilika.... Mungu akubariki Sai nko Saudia.... Nmkenya.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Ameen, ahsante Sana Lilian.Nashukuru kwa kunipa mrejesho wa namna mafundisho yalivyokusaidia.Nakutakia mafanikio makubwa zaidi

    • @lilianmbodze8272
      @lilianmbodze8272 3 ปีที่แล้ว

      Amina.... Mungu akubariki

  • @nurdinchilambo1486
    @nurdinchilambo1486 3 ปีที่แล้ว

    kweli brother na sio biashara tu hata maswala ya course yapo hvyo hvyo utaskia course flan hailipi' pia kingne nmejifunza ku take risk kunahitaj mchakato sio kukurupuka tu

  • @njiletungu7988
    @njiletungu7988 3 ปีที่แล้ว

    Kaka natamani angalau kupata mawazo yako zaid ktk maisha haya

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 3 ปีที่แล้ว +1

    Pesa sio mbegu hahahaha business networking embu elewen hii

  • @rashidiissa4044
    @rashidiissa4044 3 ปีที่แล้ว

    Mtaji wa kuanza biashara ni changamoto sana lakini wazo la biashara tunalo

  • @nevagasmsamba5060
    @nevagasmsamba5060 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante mr. joel

  • @joackimwilfred8624
    @joackimwilfred8624 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante Kaka. Uitaji wa kitabu hicho ninao, lkn ningeomba kupata kwanza cha STRATEGY 2021 ambacho nimekwisha lipia toka trh 19/1/2021 lkn mpk mda huu bado cjakipata na nikatuma na sms whatsap Jina Namnyaki Mollel. Asante.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Pole sana.Kama BADO haujakipata Hadi leo tuma neno BADO kwenda 0756-094875

    • @joackimwilfred8624
      @joackimwilfred8624 3 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka Nimekwisha kipata toka trh 21, Asante.