Siri ya kuwa mtu wa tofauti

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 363

  • @benjaminjeremia6316
    @benjaminjeremia6316 3 ปีที่แล้ว +306

    Kama unamkubali Joel nanauka gonga like apa

  • @jovithajasson1317
    @jovithajasson1317 3 ปีที่แล้ว +23

    Mimi naishi maisha ya tofauti , mpaka family ainielewi, coz I choose to be positive, hata pale napoambiwa uwezi! Naamini Mungu yupo ndani yangu ataniwezesha

    • @kidongojoseph
      @kidongojoseph 2 หลายเดือนก่อน

      Endelea ivo ivo

  • @twahaally1969
    @twahaally1969 3 ปีที่แล้ว +7

    Kuna muda natamani sana WATANZANIA sote tuwe tunamsikiliza life coach MR NANAUKA.

  • @emmanuelpatrick2969
    @emmanuelpatrick2969 3 ปีที่แล้ว +28

    Hua unaongea vitu vikubwa sana brother mtu ambaye akili yake imebebwa na vitu vya dunia sio rahisi kutambua unacho zungumza unagusa maisha ya watu sana na ndio mafanikio yako MUNGU akubariki

  • @richardmpuya5379
    @richardmpuya5379 3 ปีที่แล้ว +5

    Habari bwana Joel, I'm 40yrs old, na familia yangu lkn wazee wangu wana ning'ang'ania nikaae nao lkn sina uhuru wa kufanya vitu vyangu ushauri tafadhali

  • @edwinwilliam2661
    @edwinwilliam2661 3 ปีที่แล้ว +3

    One day naamini nitakutana na wewe mwalimu wangu wa personal development knowledge 🙏💪💯

  • @monamzonge1398
    @monamzonge1398 3 ปีที่แล้ว +3

    Tangu nimeanza kukufatilia nimejikuta nakuwa wa tofauti sana umenisaidia kuishi vile ninavyotaka Mungu azidi kukubariki kaka

  • @kelvinphillip1048
    @kelvinphillip1048 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakushuru sana kwa sababu wengi wananiona ni wa tofauti ikiwemo marafiki hasahasa kwa lifestyle ninayoishi pia naomba unishauri Namna gani ntaweza kujiongezea dhamani

  • @Hopestone_counselling_point.
    @Hopestone_counselling_point. 3 ปีที่แล้ว +15

    Brother you inspire me a lot, nimefurahi kusikia maelezo mazuri ya hiyo experiment ambayo ni maarufu kwa watu wa psychology including me

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว +3

      Ahsante sana Kelvine, tuendelee kujifunza.

  • @enockedward1783
    @enockedward1783 ปีที่แล้ว

    Kwa Hii nondo,
    Narudi kwenye mstari.. Kilicho ndani yangu ni cha Tofauti ndio maana naambiwa sio hivo make wao wanafanya vya kawaida
    Mimi ni watofauti Dunia itajua tu..
    Muda Utaongea
    Shukrani Bro JoNanauka

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni maisha yangu asante sana leo nimepata jibu, maana watu wengu wa karibu huwa hawaelewi. Asante sana

  • @blazegal3298
    @blazegal3298 2 ปีที่แล้ว +4

    Your lectures it gave lesson also change people in all circumstances in life congratulate

  • @FaizaPhilipo-gg5dm
    @FaizaPhilipo-gg5dm ปีที่แล้ว +1

    Thank you Life Coach Joel. I have learned alot through this na nimekuwa nikiishi informative influence katika maisha yangu due to fake friends around me. Be blessed Joel😊🙌

  • @dailyloyal2420
    @dailyloyal2420 3 ปีที่แล้ว +7

    I find something new every time I listen to your great teachings, mkuu🙏

    • @ambrose_vevo137
      @ambrose_vevo137 2 ปีที่แล้ว

      Nimeshindwa kucomment ndugu .....maan umemaliza kila kitu....pamoj sana

  • @PublicTeacher
    @PublicTeacher ปีที่แล้ว

    Aiseee katika mada nzito..Hii ni moja wapo... Yaaani nashukuru saana najitabidi katika haya!!!

  • @gerriesilili2703
    @gerriesilili2703 3 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa naendeshwa Sana na informative influence lkn tangu sasa nimefunguliwa macho na masikio.
    I regret why I didn't know about that before.
    Thank you bro

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli kabisa msimamo wako ndio Utakao kusaidia kwenye maisha yako.

  • @nelsonmpolochacha5035
    @nelsonmpolochacha5035 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka. Tokea nianze kukufatilia miezi mitatu ilopita. Nimekuwa mtu wa tofauti sana mwenyewe najiona. So nilivyosikiliza hili somo. Jibu ni RAHISI. Mimi ni Mtu wa tofauti Kabisa. Jibu langu huwa ni moja *Mi si kila Mtu *. Be blessed Brother.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Hongera Sana na nashukuru kwa mrejesho.

  • @christinawallasch5228
    @christinawallasch5228 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni Maisha niliochagua kutokana na ndoto niliokua nayo na safari ya maisha yangu, naomba msaada zaidi.

  • @sportbundletv4510
    @sportbundletv4510 3 ปีที่แล้ว +3

    Congratulations I used to be different from others for along time but now I see the fruits maana mm naamin nachokifanya kuwa nisahihi maana ndokinachonisaidia 🇹🇿🌹

  • @eliasilwimba187
    @eliasilwimba187 2 ปีที่แล้ว +1

    Huo ndio ukweli,wengi tunafanya /kuishi maisha ya kufuata mikumbo.Mungu akubariki

  • @waziriissa7018
    @waziriissa7018 3 ปีที่แล้ว

    Unakitu unanifungua moyoni mwangu hongera sana unanifanya niwe jasir na kujua mengi mungu akubariki namimi pia niombee kwa mungu mwenyez Asante ⛪

  • @williamo.pambila3221
    @williamo.pambila3221 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ni mmoja ya watu wanaoishi maisha ambayo sio normative wala informative

  • @staraabdul4675
    @staraabdul4675 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe umli mrefu kiukweli umenibadilisha sana na nimebdilika sana ira bdo kitu kimoja kinanisumbua sijuw utanisaidiaje maana kuna ndugu wengine bhna wanaludishana nyuma ki maendereo😊

  • @masanjamanija4175
    @masanjamanija4175 3 ปีที่แล้ว +3

    Somo zuri, naomba niendelee kupata somo zaid

  • @richardrassia0013
    @richardrassia0013 2 ปีที่แล้ว

    Nimefarijika sana kwa somo lako kwa kweli maana katika maisha yangu huwa naamini sana jambo ninaloamua kulisimamia hata kama napingwa na asilimia kubwa sana ya watu sikubali kufuata wanavyotaka zaidi ya kile nilichokiamini na kukisimamia, na baadae nichoamini na kukisimamia kinakuwa na tija kubwa sana na watu hushangaa na kunipongeza! Umenitia moyo sana kaka ubarikiwe

  • @almunadhaf
    @almunadhaf ปีที่แล้ว

    kusema mr.joel mimi ndio maisha yangu ninayoishi nikijukuta nikitaka kuiga maisha wanayoishi watu wengine najikuta nashindwa nafsi yangu inakataa nikaamua sasa hivi ni ishi ninavotaka kuishi na kuwa na msimamo wangu pekee.

  • @chrispinegervas1681
    @chrispinegervas1681 3 ปีที่แล้ว +3

    Safisana brother, kiukweli kwasasa nimemaliza diploma ya pharmacy, wazazi wao wanapenda sana me niweze juajiliwa na kazi mbili pia zikaja ili niweze kuajiliwa lani me nilicho wambia sitaji kuajiliwa kwakua me inatakiwa nipambane kwakufanya kazi zangu mwenyewe kisha na me nitengeneze ajira kwa watu waje kuajiliwa katika office zangu, na nikizibgatia nilipo kua chuo kuanzia mwaka wapili nilianza shuguri ya ukopeshaji wa pesa kwa wafanya biashara wadogo wadogo kisha wakinilipa kwa riba,kiukweli mpaka sasa nimwaka wapili umeisha tangu kuanza kwa kazi hii na biashara hii inakua kwa speed sana, kwakua nakifanya ninachokipenda zaidi

  • @ezekielpanga7599
    @ezekielpanga7599 3 ปีที่แล้ว +3

    Umenijenga mkuu niko kwenye nomative influence hence nilicho somea ni kingine but inside of me I feel moto ambao so wakawaida tangu nilipogundua gifts au talent yangu ineed more help from you see you blessed kaka

  • @saidiseph1777
    @saidiseph1777 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana
    Brother mafunzo yako yanakua serious na yanatoa uhalisia wa watu wengi kwann maisha haya tunashindwa KUFIKIA hatua ya mafanikio hiki kitu kimenifanya nikawa wa tofauti sana na hapa nimeongeza knowledge

  • @victadaud9519
    @victadaud9519 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbinguni aendelee kukutumia zaidi na zaidi katika masomo yako mengi tunajifunza 🙏🙏🙏

  • @valencirwehumbiza1579
    @valencirwehumbiza1579 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa kaka kuishi unachokiamin siyo waengine wanacho kuaminisha Asante sana kwa Elimu hiyo🙏🏽🙏🏽

  • @annejackondera3659
    @annejackondera3659 2 ปีที่แล้ว

    Hey Mimi naitwa Anne, Nimeokoka YESU ni Bwana na mwokozi wa maisha yangu,
    Nimesikia ushauli wako na nimeipenda,
    Na Mimi naishi maisha yangu,
    Na huwa tatofautiana na watu sana wakitaka ni ishi maisha Yao, lkn kwangu ilinishinda,
    Na huwa naishi maisha tofauti sana na wengine,
    Wakati mwingine nakuta nafanikiwa sana kuliko hao wengine

  • @mtamilanyambalo9261
    @mtamilanyambalo9261 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa watu wengi tumeshindwa kutambua namna sahihi ktk Mbinu sahihi za fukia Mafanikio chanya ktk Maisha. Asante sana Ndg Joel kwa Masomo Mazuri.

  • @dadatenga8415
    @dadatenga8415 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana brother kwa ujumbe mzuri. Unagusa sana maisha ya watu. Mungu Akubariki sana

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akujaalie kaka unahususisha maisha ya wengi mno , toka nilivoanza kukujuwa 2017 ninajifunza mengi mno , na hicho ulichosema kusahau yaliyo pita japo ni magumu mno , nikishayatupilia mbali saizi naangalia kesho yangu tu.

  • @sylvestermgimba5483
    @sylvestermgimba5483 ปีที่แล้ว

    Asante sana lecture ubarikiwe sana hakika masomo yako yamekua funguo

  • @RobbytheTrainer
    @RobbytheTrainer 3 ปีที่แล้ว +1

    Nafanya mambo yangu tena kwa kupenda. Thank u for inspiration nadhani nilichelewa kupata maarifa haya nmejkuta nmepoteza muda mwingi sana.

  • @shukranjulius5910
    @shukranjulius5910 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa zaidi kaka Joel hakika Bwana anisaidie niwe wa tofauti

  • @juliuxmachum2772
    @juliuxmachum2772 3 ปีที่แล้ว +5

    Sina cha kusema bro u really enspire me a lot... I really appreciate this well done.... Keep it up.✊🏿✊🏿✊🏿

  • @AmriSuleimani-we1xi
    @AmriSuleimani-we1xi ปีที่แล้ว

    Nashukuru MUNGU me kwa upande wangu maisha ninayoishi ndio maisha nilochagua japo familia yangu haikuweza kunielewa juu Ya maisha nilochagua kuishi coz my family iliamini sana ktk elimu nami niliamini sana ktk biashara

  • @moloimetinanjarati752
    @moloimetinanjarati752 3 ปีที่แล้ว +2

    Thanks brother joel god bless you

  • @rosemuhazi9542
    @rosemuhazi9542 3 ปีที่แล้ว

    I live my life kitambo sana nilikua na ishe maisha ya watu walinipoteza sana hadi ni kajuta

  • @georgemarwa2306
    @georgemarwa2306 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh Kaka Joel nimekua nikifatilia Sana mambo yako mengi na Sasa umekua mentor kwangu hakika kwa hili uko sahihi Mimi Ni mmoja wa watu wanaotaka kua tofauti na wengine lakin environment influence naona inan influence kufanana na wengine

  • @getrudahmwakasege5443
    @getrudahmwakasege5443 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa ushauri mzuri Joel.umenifanya nijiamini zaidi.mimi naishi vile nionavyo mimi.si Kama waonavyo watu wengine au wasemavyo.

  • @ramagwama2246
    @ramagwama2246 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal mwalimu Yani umenigusa mm nko Ivo naishi kulingna na uwezo wangu spendi kuiga bas mda mwngi nilkua najiona kambae nimeptwa na wakti bt nashkuru umenijnga tna

  • @officialmtiamoyo6922
    @officialmtiamoyo6922 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka nina talent yangu, I want to be there na tukakaa meza moja siku moja, nakusikiliza sana ebony fm

  • @heriethnyaki4816
    @heriethnyaki4816 3 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa kaz nzur ya kubadili taifa na dunia kwa ujumla. Najitahid sana kaka kukusikiliza lakni mpk sasa cjajua kipaji changu ni nini.

  • @amanarts255
    @amanarts255 3 ปีที่แล้ว +2

    Much respect bro nimesoma vitabu vyako vipo poa sana.

  • @kasambikabwelile7553
    @kasambikabwelile7553 3 ปีที่แล้ว +4

    i learn a lot when ever i watch or read your books

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Thanks Kasambi 🙏

    • @rafidhaally9857
      @rafidhaally9857 3 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka naomba namba yko kaka kuna kitu nataka kukuulidha

  • @bundalafrancis4262
    @bundalafrancis4262 3 ปีที่แล้ว +8

    Somo zuri Sana brother na tamani watanzania wengi wangepata Wasaha wakukitazama hiki kipindi by the way huwa nasambaza video zako pia endelea kutoa elim kwa jamii big up

  • @neemasaidisaid1791
    @neemasaidisaid1791 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwakutujuza mambo megimengi .kwahayo twapata.ufahamu mpya.barikiwa sana

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna kitabu flani aliandika don miguel '' the four agreements '' kuna subtitle inasema domestication pia amezungumzia kwanini ulimwengu wa sasa umekua hautaki kwenda tofauti, shukrani sana mr Joel

  • @samwelimakweta3310
    @samwelimakweta3310 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks much we learn more

  • @jacotv337
    @jacotv337 3 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaah!! Hapo ndipo wengi tunapochemka, asante saana kwa elimu, ningependa kunifunza mengi zaid

  • @hassanalbashir2891
    @hassanalbashir2891 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka nimekupata vizuri kabisa hizo tabia mbili ziko sana uswahili,hata mimi nimo lakini umeniamsha Mungu akubariki na akuongezee elimu zaidi.

  • @alphoncetyoza1543
    @alphoncetyoza1543 3 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed so and so

  • @matrugnawangaeli4815
    @matrugnawangaeli4815 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli lakini siyo rahisi. Ni kama na mtu anaeye tembea backwards. Unaona vile watu watakavyo kuwa makini. Lakini naamini kwamba, Hakuna kinacho shindikana. Wote yanawezekana tunapo mtengea Mungu. Inahitavika msaada waki pekee kabisa. Ahsante kwa habari njema. Wewe ni msaada kwetu. Uzidi kubarikiwa. Tupate faida.

  • @aidanalex1785
    @aidanalex1785 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana sir Joel mimi niliwahi kuishi kulingana na normative influence

  • @lukamaloda1385
    @lukamaloda1385 ปีที่แล้ว

    Its strong massage, i am always believe in my vision

  • @patrickjoseph5304
    @patrickjoseph5304 3 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri sana Mwl Joel. Ila ninahitaji private talk maana ninakumbwa na shida ya namna hii.

  • @alikibardc9229
    @alikibardc9229 3 ปีที่แล้ว

    Ile ndio kipaji chako nielimishe mkufunzi wangu je t'aime beaucoup 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @asnaabububu2297
    @asnaabububu2297 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm katika maisha ninaona nibora niishi tofaut na wengine ni bora kwangu mana pia inanisaidia kufanya vitu vingi kwangu kwa wakat

  • @MubarakKhatib
    @MubarakKhatib 8 หลายเดือนก่อน

    Dah mm sina chakusema zaid yakusema nmekuelewa na uposash👍

  • @ndoakikristo7777
    @ndoakikristo7777 4 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed by GOD

  • @JulieAmos-to5po
    @JulieAmos-to5po 2 หลายเดือนก่อน

    Najifunza vitu vingi sana ndugu barikiwa sana

  • @ney7c479
    @ney7c479 3 ปีที่แล้ว

    Somo zuri sana kaka Mungu akubariki
    Kwa upande wangu nahitaji ushauri zaidi. Asante 🙏🙏

  • @yasintajosephtungu329
    @yasintajosephtungu329 2 ปีที่แล้ว

    Namshukuru Mungu naishi kulingana na kile ninachokiamini

  • @mussamussa3630
    @mussamussa3630 2 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana umenifanya kuwa jasiri kwenye kusimamia msimamo wangu ubarikiwe.☺☺☺

  • @lukamaloda1385
    @lukamaloda1385 ปีที่แล้ว

    Your very important than our syllabus

  • @chrissmo9198
    @chrissmo9198 ปีที่แล้ว

    Dhaaa broo sjui nikwambiej yn nimjingundua kuw mm nitofauti dhaa sana shukran broo

  • @khamisyasin3276
    @khamisyasin3276 3 ปีที่แล้ว

    Asant sana kwa mafunzo yako kweli tunafeli kwakuwa tunaishi kwa kuogopa kuacha mambo kwa kuofia watu watasema

  • @victoriamerura9382
    @victoriamerura9382 ปีที่แล้ว +1

    Amina barikiwa Sana Kaka mkubwa

  • @SaluIssa-me1lq
    @SaluIssa-me1lq 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa kunionyesha njia nimeikubali sana

  • @kalasonowenya5610
    @kalasonowenya5610 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama ndivyo Basi pasi na shaka Mimi Ni watofauti Sana japo napingwa Sana na watu wakati mwingine hata na familia, achilia mbali kazini Wanasema eti NAJIFANYA NAJUA SANA wakitarajia kuwa KUNA SEHEMU naenda kuanguka Basi Mungu hunisimamia Sana kwa kile ninacho Amini Ni sahihi maana KILA wasemalo baya ama ZURI KWA mfumo wa swali nawapaga majibu sahihi HUENDA Yana kera Ila ndio HALISI

  • @ahlstromsgatan519
    @ahlstromsgatan519 3 ปีที่แล้ว +1

    I really appreciate for your lessons that teaches good journey of all entire life

  • @angelatillya9174
    @angelatillya9174 3 ปีที่แล้ว +2

    Your so creative ,,, coz u deal with the need of people 💪👏👏🤝🤝🤝

  • @vailethjames8826
    @vailethjames8826 3 ปีที่แล้ว

    Ninajitahidi kuishi maisha yangu lakni n ngumu sababu y watu wanaonizunguka

  • @happynesskasanda7275
    @happynesskasanda7275 3 ปีที่แล้ว

    Ni kwel watu tunapenda Sana kuangalia watu wanasema nn

  • @israelmgata7725
    @israelmgata7725 3 ปีที่แล้ว +1

    Brother naendelea kufumbuliwa macho ahsante sana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Karibu sana, tuendelee kushare na wengine pia.

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 3 ปีที่แล้ว

    Ukweli ni kwamba mimi si mtu wa kufuata matakwa ya wengine ila shida kubwa niliyonayo na nimeigundua ni uthubutu. Kwa kukusikiliza tu umenipa hatua kubwa Joel. Mungu wa mbingu na nchi akubariki mno

  • @amaaissa9713
    @amaaissa9713 2 ปีที่แล้ว

    Naitaji kuwa tofauti nawengine hakika Joel nanaukq

  • @staneyboy9848
    @staneyboy9848 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka kwa elimu unayotupatia natuamini vijana tutaamka sasa

  • @nshimirimanadjamilla7270
    @nshimirimanadjamilla7270 3 ปีที่แล้ว

    Naam kabisa kweli mutu ukiheshimu fitra zako mwenye nisaw

  • @mudathirothman3400
    @mudathirothman3400 3 ปีที่แล้ว +2

    It's incredible

  • @iddrisallyson7940
    @iddrisallyson7940 2 ปีที่แล้ว

    Watu wengi sana hawawezi kufanya mambo hadi watu wengine wafanye hivyo imewafanya wasiwe watu wa tofauti maishani

  • @twalibusalum6084
    @twalibusalum6084 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana kaka kila mada unayozungumza inanigusa

  • @ommysiriaz5205
    @ommysiriaz5205 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha IFM,Ndoto yangu nikuwa mwanamziki mkubwa na nimeianza safari ya muziki ila Problem inayonikuta ni financial,na connection naomba ushauri wako mana kufuatilia speech zako kulinifanya nikapambana nisome ili nifike chuo

  • @officialraymond4532
    @officialraymond4532 3 ปีที่แล้ว

    Vizuri Sana kaka kwasomo nzuri

  • @mtumishiwambwana5564
    @mtumishiwambwana5564 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi nimeona hata kwenye biashara tunafanya kwa sababu umeona furani anafanya biashara hiyo. nami nimejigundua kuwa ninafuata watu siyo mtazamo wangu naomba ushauli

  • @Costantine93
    @Costantine93 หลายเดือนก่อน

    Kwa sasa kaka ni ngumu sana kuishi maisha unayo yapenda mwenyewe maan utapigwa vita sana

  • @jescaedwardkurumela4333
    @jescaedwardkurumela4333 2 ปีที่แล้ว

    🙏🇹🇿👍
    Yangu mwenyewe na ninaenjoy ingawa wananishangaa na kusema hawanielewi🤣

  • @nyakunga
    @nyakunga 3 ปีที่แล้ว +2

    Genius himself

  • @LizabethAloyce-lq2pb
    @LizabethAloyce-lq2pb ปีที่แล้ว

    Mimi nawaza sana nicreate kitu gan Kipya cha kwangu na kila ninachotaka kufanya naona kishafanyika tayari heb nisaidie katika hili Master!

  • @luttaTz
    @luttaTz 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa elimu

  • @Roym97
    @Roym97 2 ปีที่แล้ว

    Nimeishi maisha haya ya kusikiliza watu Mara huyu Soma hichi utapata kazi... Saivi nimejutia nilichosoma nimefeli kwasababu sikipendi na kigumu nimechanganyikiwa

  • @josephmagavilo7609
    @josephmagavilo7609 3 ปีที่แล้ว +3

    I like this lesson

  • @victorianindi3618
    @victorianindi3618 3 ปีที่แล้ว

    Brother Joel nimejifunza kitu hapo God bless u

  • @hugoumbella5420
    @hugoumbella5420 3 ปีที่แล้ว

    Kiukweli tunaishi kwenye maisha ya watu kwasababu hatujiamini

  • @mundesmokesen9314
    @mundesmokesen9314 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana mtumishi katika masomo yako Kaka