Joel we uliletwa duniani kwa makusudi kbsaa jmn na nimekupata katika kipindi sahihi kwangu najisikia mpya tena katika dunia hii najiona mweny thamani tena mungu akuweke jmn
Tangu nianze kumsikiliza kaka Joel Nanauka February 2018 nimekuwa mpya sana naamini nitafanikiwa Mungu atabariki kazi za mikono yangu pia kaka Joel ubarikiwe na Mungu akuongezee miaka mingi ya kuishi
Nakushuru sana,nimeanza kuwa jasiri kutokana na elimu ya maarifa unayonipatia kila siku,na mimi nakuombea kwa mungu akuzidishie elimu ya maarifa ya kuwabadilisha madhaifu kuwa majasiri wa maisha yetu AMIN.
Tatizo la Watanzania wengi wakifeligi jambo flan huwa wanafeli mpka akili ya kuweza kufwatilia watu wa Saikolojia kama wewe maana kwa sisi watanzania mara nyingi watu wanaomba ushauri huwa hawana shida na ushauri bali wanataka kupima pia mawazo ya watu wanaowaomba ushauri kwa sababu pia unakuta washajiwekea Misimamo yaoo... Ila brooh kuna point 1 ya msingi imenibariki sana kuwa kufeli kwetu kwa jambo flani tusipelekee lawama kwa watu wengine..👍👍👍👍 nimekuelewa sana Brother Nanauka umekuja kuwa chakula changu cha ubongo na daily toka nimeanza kukufatilia nimeona mabadiliko chanya Thanks Sana endelea kutufafanulia mambo mengi sana kaka
Asante kwa somo zuri sanaaa unazidi kutupa nguvu ya kupambana ktk maisha,Naona mafanikio mengi sana ktk maisha yangu kuptia masomo yako,Asante sanaa kwa ushauri mzuri
Ukwel kaka nimekujua kwenye wakati sahihi Sana ....nikiwa nimefanya kazi moja kwa miaka 11 bila malengo wala mafanikio baada ya kukubali kuwa nafeil na kuchukua hatua ya kutaka sasa kutimiza ndoto zangu ndio nakutana na matundisho yako kwa Mara ya kanza to nimejifunza na kuchukua hatua na kujiwekea vitu vitakavyo niongoza naamin baada ya mda mfupi natarud hapa kushuhudia... blessed mwana wa MUNGU
Yani kila ninavyo zidi kukufwatila brother Joel nazidi kuupa uwezo ubongo wangu na Mimi mwenyewe najiongezea kujiamini kuwa naweza kufanya kile nilicho kuwa nakiona mlima kwangu thanks god kwa kutuletea MTU kama Joel mungu akutie nguvu usichoke kutupa hamasa kaka asante
Ahsante sana hujawahi kukosea nilianza kukufatilia Tangu siku ile tulipokutana katika event ya wajasiriamali iliyofanywa na TYCC ahsnte bt mm kama mwanao nahitaj kuanza biashara lkn sijui soko likoje la ✌ viungo vya chai na chakula
Mimi kwanzia Leo nitafuata hizo hatua maana hii semester nimeshuka sana kimasomo kwasababu ya uvivu na kukariri masomo bila kuelewa na hii imenifanya nimeshindwa kufanya vizuri katika test zangu zote na nilianza kukata tamaa. hivo kwakuwa nimeona hizi hatua na hakika nitafanya mtihani wa mwisho kwa ufanisi mkubwa. Asante author Joel nanauka
I'm so happy i found your channel over a month ago. Najifunza kiswahili. Naelewa alittle bit lakini I still get the main points. Your points are delivered well. You are doing great. Keep uplifting Tanzanians!! Upload weekly please!! Great work! Kazi nzuri sana kaka
@@joelnanauka yes I shared your video already and will continue to do so.two things will grow your audience fast 1. Consistently uploading videos- you've been uploading daily now which is great.do a minimum of once a week. 2) good lighting. 3) engaging with your audience- you are already good at this since you reply to moments. Make sure you record in daylight next to a dirisha so that you have good lighting or buy lighting equipment from online. Ring lights are really good if you are recording during the night. You are doing amazing. Great work kaka.
Asante...Umenifundisha mambo mengi hapo 1. Kuwa malalamiko ni fursa kwa wengine,mana tunapolalamika tunatoa faida/wazo la wengine kufanyia kazi. 2.kujifunza kupitia changamoto ili kuwa bora zaidi. 3.kutokukata tamaa.
umenitia nguvu sana kaka,, niliende interview nikafeli nikaona kama Hakuna tena malango mwingine tena wakutokea lakini kumbe kufeli ni tukio sio Mimi.... hakika nainuka tenAa
Mimi nilifeli mtihani wa chuo kuingia semester ya pili nilikata tamaa kusoma na mamb mengi tena nifeli kuyaendesha kisa kufeli. Sasa nimejifunza mengi na ni amini nitatoka Mimi kama Mimi naanz upya. Tena Ahsante ujumbe mzuri sana
Dear Brother Joel: Kindly just wanted to let you know that your video really changed, and they keep changing my life everyday. My name is Amiri Mnyoti. I do run a door to door direct sales company in multiple locations in Zambia. As a leader in the organisation my job is to recruit people train them to be good sales representative in the field....in to good team leaders leading other new sales representative in to good sales manager managing branches which recruits new people. By so doing I always have to be a teacher as well as a student of the business. I have been in the business for about 17 years now I'm happy and I love what I do. Your channel has been like my mother board. It real helpful for me. I just wants to say thanks a million times. And need more of personal training from you. Your prompt reply will highly be appreciated. My contacts: +2609659000062 Same no# WhatsApp & WeChat.
habari yako brother joel naitwa emmanuela ni binti mwenye miaka ishirini na mbili kiukweli nimefika sehemu sujui nifanyaje natamani kuwa mwandishi wa habari lakini napigwa vita kubwa sana na wazazi ndugu hata majirani naomba ushauri wako wanasema huko hakuna ajira na pesa ni ndogo ila ndani yangu hilo ni jambo kililopo wengi wanasema nikasomee biashara
naona nimefeli baada ya kuingia kwenye ndoa,, tofauti na nilivyokuwa single,,, mambo yalikuwa yamefunguka,, ila nilivyoingia tu kwenye ndoa hadi sasa nikitendawili na changamoto hizi,,, niko katika wakati mgumu
asante kaka Joel Mimi utumwa wangu ni wa kazi naomba msaada wako kaka yangu nifanyeje? nataka nijitegemee niache kazi za kuajiliwa nijiajili binafsi please broo help me,I need your help
Wew ni mwalimu wangu naamini mda sio mlefu nitakuita uje unitembelee uone mafanikio yangu kupitia masomo yako Asante
Joel we uliletwa duniani kwa makusudi kbsaa jmn na nimekupata katika kipindi sahihi kwangu najisikia mpya tena katika dunia hii najiona mweny thamani tena mungu akuweke jmn
Tangu nianze kumsikiliza kaka Joel Nanauka February 2018 nimekuwa mpya sana naamini nitafanikiwa Mungu atabariki kazi za mikono yangu pia kaka Joel ubarikiwe na Mungu akuongezee miaka mingi ya kuishi
Mimi nilimkopea MTU pesa ametiweka na pesa najiona nimefeli pesa zote nalipa madeni kupitia somo hill naanza upya from now
Amen
Thank u bro
Nakushuru sana,nimeanza kuwa jasiri kutokana na elimu ya maarifa unayonipatia kila siku,na mimi nakuombea kwa mungu akuzidishie elimu ya maarifa ya kuwabadilisha madhaifu kuwa majasiri wa maisha yetu AMIN.
Tatizo la Watanzania wengi wakifeligi jambo flan huwa wanafeli mpka akili ya kuweza kufwatilia watu wa Saikolojia kama wewe maana kwa sisi watanzania mara nyingi watu wanaomba ushauri huwa hawana shida na ushauri bali wanataka kupima pia mawazo ya watu wanaowaomba ushauri kwa sababu pia unakuta washajiwekea Misimamo yaoo...
Ila brooh kuna point 1 ya msingi imenibariki sana kuwa kufeli kwetu kwa jambo flani tusipelekee lawama kwa watu wengine..👍👍👍👍 nimekuelewa sana Brother Nanauka umekuja kuwa chakula changu cha ubongo na daily toka nimeanza kukufatilia nimeona mabadiliko chanya Thanks Sana endelea kutufafanulia mambo mengi sana kaka
Asante teacher Joel hakika wewe ni hazina kubwa Tanzania hii 😂 tunakuelewa wanafunz wako god bless you.
Asante sana Joel nakuelewa sana,nimegundua Mimi nilikuwa mgumu kukubali kama nimefail
Nimebarikiwa sana, kwa neema tu ya Mungu hivi karibuni niliamua kutafakari my past success. Nilipata nguvu sana baada ya hapo
Mungu akupe umri mrefu tuzidi kujifunza kutoka kwako... Amen 🙏
Asante kwa somo zuri sanaaa unazidi kutupa nguvu ya kupambana ktk maisha,Naona mafanikio mengi sana ktk maisha yangu kuptia masomo yako,Asante sanaa kwa ushauri mzuri
Ukwel kaka nimekujua kwenye wakati sahihi Sana ....nikiwa nimefanya kazi moja kwa miaka 11 bila malengo wala mafanikio baada ya kukubali kuwa nafeil na kuchukua hatua ya kutaka sasa kutimiza ndoto zangu ndio nakutana na matundisho yako kwa Mara ya kanza to nimejifunza na kuchukua hatua na kujiwekea vitu vitakavyo niongoza naamin baada ya mda mfupi natarud hapa kushuhudia... blessed mwana wa MUNGU
Kweli kabisa big up bora kuanza upya baada ya kufeli sijakata tamaa zidi kutushauri
Nakushukuru sana Joel kila siku unazidi junifanya jasiri bila ya kukata tamaa Mungu akubariki uzidi kutupa elimu
Shukran Sana kaka Allah akujaze kila LA kheri
Yani kila ninavyo zidi kukufwatila brother Joel nazidi kuupa uwezo ubongo wangu na Mimi mwenyewe najiongezea kujiamini kuwa naweza kufanya kile nilicho kuwa nakiona mlima kwangu thanks god kwa kutuletea MTU kama Joel mungu akutie nguvu usichoke kutupa hamasa kaka asante
Nikupongeze kwa kazi nzuri, mafundisho yako ni mazuri.
Ww Jamaa umebadilisha maisha yangu sana na nmepiga hatu 20 zaidi ya pale nlpokuwa God bless You Brother
Tenga Timoth nashukuru sana kusikia hivyo Tenga naamini utafika mbali sana
Ahsante sana kwa masomo yako mazuri katika life choises
Unanifungua sana kaka yng sijutii mb zngu barikiwa sana
Nimefurahi sana kwa elimu yakk kiukwel toka nikufatilie nafurahia mabadiliko ambayo tuali nimeanza kuyaona asateh sana
Asante bro leo nafungua ukurasa mpyaa
Glad Mboya safi sana glad,anza upya 👏👏👏👏
Ahsante sana hujawahi kukosea nilianza kukufatilia Tangu siku ile tulipokutana katika event ya wajasiriamali iliyofanywa na TYCC ahsnte bt mm kama mwanao nahitaj kuanza biashara lkn sijui soko likoje la ✌ viungo vya chai na chakula
Mimi kwanzia Leo nitafuata hizo hatua maana hii semester nimeshuka sana kimasomo kwasababu ya uvivu na kukariri masomo bila kuelewa na hii imenifanya nimeshindwa kufanya vizuri katika test zangu zote na nilianza kukata tamaa. hivo kwakuwa nimeona hizi hatua na hakika nitafanya mtihani wa mwisho kwa ufanisi mkubwa. Asante author Joel nanauka
Asante sana kaka nakkubali mpaka sasa nishaanza kupiga hatua ktk maisha yangu
Nashukuru sana pamoja sana
Ubarikiwe sana brother Joel nimejifunza mengi sana kwenye hii maada
Asante sana kaka,umenipa nguvu ya kwendelea mbele,God bless you
Theresia Bukuku karibu sana Theresia nakutakia mafanikio ,hakuna kukata tamaa
@@joelnanauka Asante kaka
See you at the top
Daima mr mi video zako ninazo kama 300 na zimenisaidia sana I wish nimeamini matatizo yetu ndio sehemu yetu yakwanza yakujivunia
Many thanks to kaka Joel Nanauka now nazingatia mafundisho yako and naona tofauti ya mienendo yangu ya nyuma na sasa
Vizuri saana na umenifungua macho ningeomba pia kaka unielekeze namna ya kufanya presentation ya kibiashara
Asante sana kaka kwa hii hatua kwani ilishawahi nikuta nilikaa mwenyewe sitaki kabisa kukaa karibu lkn nilipochua hatua now najiona napiga hatua
I'm so happy i found your channel over a month ago. Najifunza kiswahili. Naelewa alittle bit lakini I still get the main points. Your points are delivered well. You are doing great. Keep uplifting Tanzanians!! Upload weekly please!! Great work! Kazi nzuri sana kaka
Thanks for encouraging words,I will keep it going.Help me to spread and share
@@joelnanauka yes I shared your video already and will continue to do so.two things will grow your audience fast
1. Consistently uploading videos- you've been uploading daily now which is great.do a minimum of once a week.
2) good lighting.
3) engaging with your audience- you are already good at this since you reply to moments.
Make sure you record in daylight next to a dirisha so that you have good lighting or buy lighting equipment from online. Ring lights are really good if you are recording during the night.
You are doing amazing. Great work kaka.
Napo fer mm, napotaka kupiga atua,,,, ya kumiliki biashala yangu,,,najikuta nabaki palepale,,,2 mipango aitimiiii
Allah akuzidishie afya đúņíæñ ñâ áķhęřā
ahsante kwa maneno yenye nguvu ambayo ni dawa kwetu.
Failing doesn't stop u to achieve in life,it's a challenge we need to accept thankx for that stay blessed
Sara Ondieki well said it,let’s move on
@@joelnanauka yea together we can 👏👏👏👏
asante sana brother sababu umeweza kuiamsha akili yangu na kuendelea mbele
nimetabasamu baada ya hii video. asante
Asante, Ubarikiwe. Natamani kuanza upya
umezingatiwa br
Asante sana mungu akubariki
Brother asante nimefanikiwa kutumia njia hizi naendelea na maisha ya furaha sasa
Asante...Umenifundisha mambo mengi hapo 1. Kuwa malalamiko ni fursa kwa wengine,mana tunapolalamika tunatoa faida/wazo la wengine kufanyia kazi.
2.kujifunza kupitia changamoto ili kuwa bora zaidi.
3.kutokukata tamaa.
Kila nikikuskiliza huwa unanigusa Mungu akubaliki sana my brother🙏
Nmeelewa saana mkuu
Asanteeee Kaka Joel kwa ujumbe mzuri, Mungu akubarikii,,
Sadick- FOUNDER TIEDF Ameen Sadick nashukuru sana let’s keep on sharing
good morning mr joel hiyo ndio changamoto ninayo ipitia sasa kazi zangu nilikuwa nafanya vizuri ila kipindi hiki mambo sio mazuri
Thanks for your advice bro much love to you, God bless you
Asante sana kwakunpa nguvu zakusonga mbele
Thanks a lot for the session! !
NAOMBA MUNGU AKUONGEZEE KUKUTUMIA ZAIDI NA ZAIDI , MY COACHER
Ahsant san bro God bless u
umenitia nguvu sana kaka,, niliende interview nikafeli nikaona kama Hakuna tena malango mwingine tena wakutokea lakini kumbe kufeli ni tukio sio Mimi.... hakika nainuka tenAa
Mimi nilifeli mtihani wa chuo kuingia semester ya pili nilikata tamaa kusoma na mamb mengi tena nifeli kuyaendesha kisa kufeli. Sasa nimejifunza mengi na ni amini nitatoka Mimi kama Mimi naanz upya. Tena Ahsante ujumbe mzuri sana
Asante sana kaka I really blessed by U lessons
Acceptance of situation iz the first stage of solvng pronlemz
Andrey Festo kabisaaa
God bless you bro, much respect
Ahsante kaka
Khadija Juma karibu sana Khadija,See You At The Top
Ahsante kaka umeniponya moyo
Asante brother
Hii ni zaidi ya protini...!!
Nataka kitabu brother nitakipataje
Nimejifunza kitu hapo,big up bro
Salehali Saleh thanks pamoja sna
Dear Brother Joel:
Kindly just wanted to let you know that your video really changed, and they keep changing my life everyday.
My name is Amiri Mnyoti. I do run a door to door direct sales company in multiple locations in Zambia.
As a leader in the organisation my job is to recruit people train them to be good sales representative in the field....in to good team leaders leading other new sales representative in to good sales manager managing branches which recruits new people.
By so doing I always have to be a teacher as well as a student of the business.
I have been in the business for about 17 years now I'm happy and I love what I do.
Your channel has been like my mother board. It real helpful for me.
I just wants to say thanks a million times.
And need more of personal training from you.
Your prompt reply will highly be appreciated.
My contacts: +2609659000062
Same no# WhatsApp & WeChat.
Asante sana
Nashukuru, sana kaka
Sounds good.
Nice asante
kaka npo ughaibun uku
lakn nimekuwa nikibadilika siku baada ya siku na kuwa mpya zaidi sabab ya kufatilia video zako
ubarikiwe sana sana
Nothing to tell you my brother Joel
Allah bless you and your family
nimekuelewaa brzaa
Barikiwa brother
Samo zuri bro
habari yako brother joel naitwa emmanuela ni binti mwenye miaka ishirini na mbili kiukweli nimefika sehemu sujui nifanyaje natamani kuwa mwandishi wa habari lakini napigwa vita kubwa sana na wazazi ndugu hata majirani naomba ushauri wako wanasema huko hakuna ajira na pesa ni ndogo ila ndani yangu hilo ni jambo kililopo wengi wanasema nikasomee biashara
Nasumbuliwa sana na issue 2
1.ku accept fail and own its..
Rama Shemliwa itabidi uzifanyie kazi mapema ili usibakie kwneye tatizo kwa Muda mrefu zaidi
Bro nakufatilia vingi unavyo viongea vipo katika maisha yangu kweli nimefeli ila nimekubali kuwa nimefeli acha nibambane
Asante sana. Hili somo huwa ninalisoma kila siku.
I appreciated you brother
Be blessed brother
asante Sana kaka
naona nimefeli baada ya kuingia kwenye ndoa,, tofauti na nilivyokuwa single,,, mambo yalikuwa yamefunguka,, ila nilivyoingia tu kwenye ndoa hadi sasa nikitendawili na changamoto hizi,,, niko katika wakati mgumu
safi mnoo
Your amaizing kaka, you feed our brain with such a delicious food. We real appriciate br. Be blessed much
mwanza tunaomba darasa mkuu!!!! nakuerewa sn
If you want to be successful faster, you must double your rate of failure. Success lies on the far side of failure.
thanks broo
paulina Hugolini karibu sana,pamoja
Mm nahitaji kujifunza zaidi
God bless you
Thanks
Fact bro
Nice
Shukran
Joel naomba unifundishe namna ya kuanza maisha ya kujitegemea please nimechokaa kukaa nyumbani
Asante kaka,but naomba kuuliza nawezaje kupata nafasi ya kuwa mwanafunzi wako ktk darasa lako privacy.
Amina
Fact my
Nataman niion clip yako ya Kwanza kabsaaaa
Hapo kwenye haraka na watu ninakuwa nao karibu
KAKA, MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU
🙏🙏🙏 brother
bro unanipa chakula cha ubongo..... yan unanifanya nikufatilie sana kila mda
👂👏
asante kaka Joel Mimi utumwa wangu ni wa kazi naomba msaada wako kaka yangu nifanyeje? nataka nijitegemee niache kazi za kuajiliwa nijiajili binafsi please broo help me,I need your help
Unayoeleza bro yameshanitokea nili fail nikawa mtu wakukaa nyumbani
nikukubali kwamba nimefeli