Aina 4 Za Ujuzi Unaohitaji Kwenye Maisha Yako

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 88

  • @dannyerasto137
    @dannyerasto137 3 ปีที่แล้ว +3

    Kazi yako Ni njema Sana ..Mungu akubariki kaka Joel unagusa Maisha ya wengi...

  • @felixjoachim9482
    @felixjoachim9482 3 ปีที่แล้ว +4

    Kaka joel, 2021 nipo na wewe bega kwa bega mpaka December maana najua upo na nguvu kubwa sana ya ushawishi wa mtu kufikia malengo yake👍🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Thanks Felix,twende pamoja🙏🏻

    • @felixjoachim9482
      @felixjoachim9482 3 ปีที่แล้ว

      @@joelnanauka sawa kaka m/mungu atujalie uhai na afya njema

  • @edsonerick8877
    @edsonerick8877 3 ปีที่แล้ว +2

    Thanks again brother Jo. I personally need all of them because am still a start-up.. through these teachings I promise to meet you at the top.

    • @psychtoday7732
      @psychtoday7732 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/PY8aLdvh0CQ/w-d-xo.html Jinsi ya kumlea mtoto na afyaextra

  • @cosmaskiria6779
    @cosmaskiria6779 3 ปีที่แล้ว +3

    Unafundisha vizur sana Bro!! Ure so inspire me ,GOD gives more strength and implement ure needs!!

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Thanks Cosmas, nashukuru sana🙏🏻

  • @fanyfox4218
    @fanyfox4218 3 ปีที่แล้ว +1

    E bwana, wewe ni noma. Mungu akuongezee skills na hamu zaidi ya kutufunza. Nimejifunza mengi sana toka kwako. Nakusoma toka DRCongo.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Thanks mon Frerè, God bless you

  • @bernardmwangosi275
    @bernardmwangosi275 3 ปีที่แล้ว

    Pia umebadirisha Sana maarifa yangu tangu nilivyo anza kukusikiliza duh...Mungu awe pamoja na wewe na ubarikiwe Sana Kaka

  • @nathanielshauri5135
    @nathanielshauri5135 3 ปีที่แล้ว +1

    Bro unanibaliki sana so smart mind Mungu akubaliki sana

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mwalimu Nanauka na hiyo nyimbo ya back ground ndo imezidi kunipa hamasa na kuamini ipo siku mimi nitakuwa pale ninapofikiria leo

  • @anthonyrwaitale110
    @anthonyrwaitale110 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kaka Joel. Mimi nahitaji kukuza Presentation skill.

  • @nicodemustemu3312
    @nicodemustemu3312 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow! It is awesome topic I appreciate brother be blessed

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana coach Joel nimejifunza

  • @vicentshonyela1710
    @vicentshonyela1710 3 ปีที่แล้ว +1

    Networking and presentation skills broo

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Anza kuhsughulikia haya maeneo

  • @cleopatraadolf6492
    @cleopatraadolf6492 3 ปีที่แล้ว

    Asante brother joel kwa ushauri na maelekezo yako

  • @alisiaalex1569
    @alisiaalex1569 3 ปีที่แล้ว

    Asante kaka naendelea kupata ujuzi na kustawi kula ihitwapo Leo be blassed kaka

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana

  • @frankkapinga836
    @frankkapinga836 3 ปีที่แล้ว

    Nanauka barikiwa

  • @nemmymtango3682
    @nemmymtango3682 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mkuu masomo yako yaminibadilisha sana

  • @jasonjastinmatandala3037
    @jasonjastinmatandala3037 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kaka Joel nanauka nimeanza siku kwa kujifunza Mambo muhimu kabisa

    • @psychtoday7732
      @psychtoday7732 3 ปีที่แล้ว

      Jinsi ya kumlea mtoto na afyaExtra th-cam.com/video/PY8aLdvh0CQ/w-d-xo.html

  • @maelezomaelezo9057
    @maelezomaelezo9057 3 ปีที่แล้ว +2

    Nauka naomba uniunge kwenye hiyo coz ya kuuza

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Karibu tuwasiliane 0756-094875

  • @johariphilemon8630
    @johariphilemon8630 3 ปีที่แล้ว

    asantee Sana Kaka angu sijui nikulipe nn nabaki kuku ombea

  • @pastermassawe1903
    @pastermassawe1903 3 ปีที่แล้ว +1

    nahitaji huo ujuzi wa kuuza zaidi kwa kwel

  • @festoantony4673
    @festoantony4673 2 ปีที่แล้ว

    Sawa, asante kaka.

  • @adelaidanyange5896
    @adelaidanyange5896 3 ปีที่แล้ว

    jinsi ya kujibrand ma bro..huwa nauza mafuta mazuri sana halisi ya nanzi...

  • @emmanuelmtambachuo4427
    @emmanuelmtambachuo4427 2 ปีที่แล้ว

    Mbinu ya kuuza zaidi

  • @goodluckmringo2450
    @goodluckmringo2450 3 ปีที่แล้ว

    Presentation skills ndio changamoto.nipo na mawazo yanayo tekelezeka naona hofu kuwasilisha mawazo hayo. 2021 nijifunza nitabadilika pia kutokana na exposure ya elim unazotoa. Tuwe wakweli elim hii leo unayo toa ina msaada mkubwa sana kwa wajasria Mali.now tafut means ikiwezkana u organise tour kweny field ambako hata hata ambae hana smart phone apate elim hii.

  • @tendwaabdul9825
    @tendwaabdul9825 3 ปีที่แล้ว

    Uwezo wa kuuza zaidi.

  • @gatekabel-benit827
    @gatekabel-benit827 3 ปีที่แล้ว

    Nahitajii presentation na hiyo ya mwishoo

  • @allymwasaria8801
    @allymwasaria8801 3 ปีที่แล้ว

    Skill sales

  • @coletashirima2193
    @coletashirima2193 3 ปีที่แล้ว

    Asante kk Joel

  • @nathanielshauri5135
    @nathanielshauri5135 3 ปีที่แล้ว

    See you at the top

  • @fastonngatulile6628
    @fastonngatulile6628 2 ปีที่แล้ว

    Namna ya kuuza

  • @johnsonmarick45
    @johnsonmarick45 3 ปีที่แล้ว

    Thnaks

  • @pawnyakyeelwa
    @pawnyakyeelwa 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa elimu yako, nimependa sanahii kak but kuna mtu niliwahi kumsikia akisema "tunapata kile tunachostaili sio tunachokiomba(kwa Mungu)"
    Sasa utofauti wako na yey ndo unanichanganya mkuu🤔🤔

  • @merryhussen2775
    @merryhussen2775 3 ปีที่แล้ว

    Je kwa geita vitabu vinapatikanaje!! au mpaka niagize, namshukulu kwa ushauri kaka mafanikio nayaona

  • @jenynaafya
    @jenynaafya 3 ปีที่แล้ว

    Sales skill & Networking

  • @anethwilson1884
    @anethwilson1884 3 ปีที่แล้ว

    Najisikia kusema asante

  • @zabronsuleiman664
    @zabronsuleiman664 3 ปีที่แล้ว

    see u at the top

  • @bernardmwangosi275
    @bernardmwangosi275 3 ปีที่แล้ว

    Kaka shikamoo naomba kujinga na iyo course

  • @piellee1915
    @piellee1915 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawezaje kupata vitabu vyako kwamaana niko mbali

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Tuwasiliane 0756-094875

  • @zuberymaeda2431
    @zuberymaeda2431 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka joeli mm nimfaya biashara ya michele ila bado wateja hawajachangamka nishauri

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Jifunze mbinu za kuuza zaidi na Saikolojia ya mteja. Check 0756-094875 utapata hayo masomo.

  • @samwelngabuji224
    @samwelngabuji224 3 ปีที่แล้ว

    barikiwa sana

  • @kelvinmollel5079
    @kelvinmollel5079 3 ปีที่แล้ว

    Natamani kujua zaidi jinsi ya kustawisha ndoto yangu

    • @psychtoday7732
      @psychtoday7732 3 ปีที่แล้ว

      Jinsi ya kumlea mtoto na afyaExtra th-cam.com/video/PY8aLdvh0CQ/w-d-xo.html

  • @anordbyamungu
    @anordbyamungu 3 ปีที่แล้ว

    ASANTE SANA mkuu

  • @franknachimbinya7688
    @franknachimbinya7688 3 ปีที่แล้ว +1

    Nahutaji sana sales skill's but hizo zingine nipo vizuri

  • @moseskayanda2739
    @moseskayanda2739 3 ปีที่แล้ว

    Mbinu za kuuza zaid

  • @issacmwambire675
    @issacmwambire675 2 ปีที่แล้ว

    Moyo wangu unaburudika ninapotazama videos zako,nahitaji kujiunga na course hiyo ya mauzo

  • @alextega4134
    @alextega4134 2 ปีที่แล้ว

    Asante nahitaji hiyo kozi namna ya kuuza nafanya je?

  • @agnesslyimo5677
    @agnesslyimo5677 3 ปีที่แล้ว +1

    🤝

  • @ciristinadanieli7521
    @ciristinadanieli7521 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka joeli katika vitu naviomba kwa Mungu nipate nafasi yakuongea na wewe binafs Mana ninamengi yakuyaombea ushaur kwako.

  • @abdulmgeni4523
    @abdulmgeni4523 3 ปีที่แล้ว

    Kuuza zaid

  • @irenemwanri3023
    @irenemwanri3023 3 ปีที่แล้ว +1

    I need to improve my presentation skills.

  • @omarsalum4052
    @omarsalum4052 3 ปีที่แล้ว

    Mr how are you

  • @praysonmmbaga8301
    @praysonmmbaga8301 3 ปีที่แล้ว +1

    Video ya namna tano za kuwa mzungumzaji bora siipati online

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Inaitwa “Siri Tano (5) za kuwa Mzungumzaji Mzuri” , itafute ipo

  • @zukrabuethi5068
    @zukrabuethi5068 3 ปีที่แล้ว

    Je unatamani kupata fursa ya biashara ya karne ya 21?
    .
    Karne ya 21 tuliopo ipo katika uchumi wa Connected economy, Je unatamani nawe kufanikiwa au kutengeneza kipato endelevu?
    .
    Tengeneza tabia mpya na kipato endelevu WhatsApp number 0683138300 . Nikupe elimu, tuma neno 'kipato endelevu' WhatsApp number 0683138300 nikuonyeshe.
    .
    Tumetoka uchumi wa viwada tupo uchumi wa Connected economy.

  • @pastorgodsonjohn8562
    @pastorgodsonjohn8562 3 ปีที่แล้ว

    Huo ujuzi tuandalie kitabu

  • @_benytz1573
    @_benytz1573 3 ปีที่แล้ว

    Uncle i need to improve in presentation skills and negotiation skills....💪💪💪

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว

      Keep learning 👍🏻

  • @charlesjisangiyi9148
    @charlesjisangiyi9148 3 ปีที่แล้ว

    Sales skills ndo nahitajia kukifanyia kazi kwa kina zaidi

  • @bongoconnection4395
    @bongoconnection4395 3 ปีที่แล้ว

    Nalizima nikutafute mkuu

  • @gracekitundu8560
    @gracekitundu8560 3 ปีที่แล้ว

    Mm nahitaji zote pia natamai sana kuongea na ww

  • @sixmundlungu8827
    @sixmundlungu8827 3 ปีที่แล้ว

    Networking + salee

  • @amboleejunior9118
    @amboleejunior9118 3 ปีที่แล้ว

    sales

  • @praysonmmbaga8301
    @praysonmmbaga8301 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipata

    • @emmanuelthomas7125
      @emmanuelthomas7125 3 ปีที่แล้ว

      Samahan mkuu, naomba nisaidie na mm jinsi ulivoipata hiyo video.

  • @doreenfrancis6977
    @doreenfrancis6977 3 ปีที่แล้ว

    Kaka Joel unaganya canceling?

  • @mosesfrancis8495
    @mosesfrancis8495 ปีที่แล้ว

    Mkn

  • @ADMAN.TZ27
    @ADMAN.TZ27 3 ปีที่แล้ว

    Asee me ni zote nahitaji

  • @mecksonmayala6783
    @mecksonmayala6783 3 ปีที่แล้ว

    Mbinu ya kuuza

  • @iddajenesy7025
    @iddajenesy7025 3 ปีที่แล้ว

    Kaka nimetuma hela hamja nitumiab kitabu Siku ya tatu loe

  • @bundukitv1322
    @bundukitv1322 3 ปีที่แล้ว

    Makosa 10 endelevu wanayoyafanya sana watu wenye youtube channels
    www.mrbunduki.com/2021/01/makosa-10-usiyafanye-kama-una-unataka.html