AY - Moja ya Wasanii Matajiri Tanzania? Afunguka... - Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ค. 2024
  • Leo tulikuwa na Ambwene Yessayah, unaweza kumwita AY. AY ni legend wa muziki huu na ametiririka mengi sana kwenye sehemu hii ya kwanza. Usikose!
    #AY #AmbweneYessayah #BongoProject #BongoFleva #EastCoastTeam
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 30

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 หลายเดือนก่อน +5

    Aje ALIKIBA hapo bongo project

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js หลายเดือนก่อน +4

    Ongeraa kakaaaa

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน

      Sijui ni za AY au za kwetu ila tunazipokea. Shukrani

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh หลายเดือนก่อน +8

    Kwanini wasanii wote msiige mfano wa AY? Wasaani wa sasa mnaboo sana kiukweli ila shule pia inachangia. Wamakonde punguzeni ulimbukeni

    • @twaahbrown1042
      @twaahbrown1042 หลายเดือนก่อน

      Ujinga unakuandama sana

    • @DaudiSaid-bj7dh
      @DaudiSaid-bj7dh หลายเดือนก่อน

      @@twaahbrown1042 we mmakonde nini, sasa nikiwa na mtoto kama huyo au wewe kwanini nisimfukie mzima mzima. Kama na wewe umo basi aliyekuzaa anatakiwa kujuta. Na mungu atuepushie kizazi kama chako na wengine wanaokufuata.

    • @twaahbrown1042
      @twaahbrown1042 หลายเดือนก่อน

      Wazazi wako wamefanya makosa sana kukununulia simu wakati bado ni wa 2000

  • @SomoKidawa
    @SomoKidawa หลายเดือนก่อน +4

    Ila maswali ya MTAngazaJi sijapenda mtu kama AY wakuulizwa maswali haya kweli eti mziki ulianza lini seriously

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน +1

      Mwana wewe ulikuwa unajua jamaa amenza muziki lini? Ni kwa faida ya watazamaji wote…Hususani vijana wanaotaka kuingia kwenye muziki…wanaweza kuvutiwa na maswali kama hayo

  • @MorrissSamwer
    @MorrissSamwer หลายเดือนก่อน +2

    MASTA🚀🚀🚀

  • @nehemia397
    @nehemia397 หลายเดือนก่อน +5

    unauliza vitu ambavyo vipo vinajulikana.
    ndio maana jamaa anakwambia vitu vingine vipo wikipedia.. DO THE RESEARCH BEFORE MAN.

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน +1

      Anayejua ni nani braza!? Interview hii ni kwa ajili ya watu wote wale wanaomjua AY na wasiomjua kiundani. Hilo ndio lengo la kipindi.

  • @habari254
    @habari254 หลายเดือนก่อน +1

    SAFI SANA AISEE

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน

      Familia…Tunakuona

    • @habari254
      @habari254 หลายเดือนก่อน +1

      @@bongo_project Nakutafuta hivi karibuni nikija Tanzania.Sisi Tuko Kenya

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน

      @habari254 Karibu sana! Tutakupokea

  • @mustafaameir8186
    @mustafaameir8186 หลายเดือนก่อน +3

    Mutu mukubwa

  • @IgnasJohn-sv4vn
    @IgnasJohn-sv4vn หลายเดือนก่อน +3

    A y anaonekana analohonzuri sana anapenda kufanikiwa nawengine.

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน

      Kabisa kabisa! Ndio maana amefanikiwa pia...wema mara nyingi hurudi

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv หลายเดือนก่อน +2

    huyo siyo ramberambe mchemsho diamond huyo ni Ambwene mikausho mokali, he's not showing offf

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani akishow off kuna ubaya gani? Au wewe inakuumiza nini?

    • @svt3
      @svt3 หลายเดือนก่อน +1

      Jay-z, 50cent, Snoop Dog, Dj kalheed....na wasanii wengi matajiri wana shoo off pia ni moja la sanaa matajiri ambao hawa shoo of ni kama Bill gate, Mark Zuckerberg,..... ni ma corporate

  • @shukranimwamwala8441
    @shukranimwamwala8441 หลายเดือนก่อน +3

    Mwandishi ulitakwa kufanya utafiti kwanza hiyo interview inaboa aisee Yani umepiga interview chini ya kiwango I think the wise is to study the arts before

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน

      Mwamba ulitaka maswali gani yaulizwe?

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 หลายเดือนก่อน

    Diamond Anatisha nyinyi wengine mnatakiwa mtulie tu nyumbani... Mda wenu umeishq

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน

      Punguza jazba bobu

  • @samirmswahili
    @samirmswahili หลายเดือนก่อน +2

    Masta anamwaga madini tujifunze kitu ili tupige hatua