AY alianza kuwa nominated(KORA) nje kabla ya Bongo | Asisitiza Time management

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2024
  • Sehemu ya tatu na ya mwisho ya mahojiano kati ya Bongo Project na AY.
    #ay #bongoproject #bongofleva #tanzania #Kora Awards #kora
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 12

  • @ursulinenyandindi3051
    @ursulinenyandindi3051 หลายเดือนก่อน +1

    Time management bongo sahau...

  • @jilalamaligisa4854
    @jilalamaligisa4854 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndiye msanii ambaye namkubali sana, hana majivuno, hana mashauzi ya Kiingereza kingi kwenye mahojiano, vizuri sana.

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani majivuno yake yanakuhusu nini au yana ubaya gani?

  • @samirmswahili
    @samirmswahili หลายเดือนก่อน +2

    Kipindi safi kuna vingi vya kuchukua

  • @user-ib3sl7wg5u
    @user-ib3sl7wg5u หลายเดือนก่อน +2

    Sauti vipi ?

  • @jaypmunyamaofficial3488
    @jaypmunyamaofficial3488 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wasichojua ni kwamba Jay-Z mke wake ni msanii hivyo public wataonekana kama wafanya biashara

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 หลายเดือนก่อน +2

    Hata huyo Jay Z anayemtolea mfano mbona anamwonesha mkewe na mtoto wao public? Ajibu swali kama yeye na mkewe bado wako sawa?

    • @samirmswahili
      @samirmswahili หลายเดือนก่อน +2

      Maisha binafsi yanahusu nini katka humu

    • @denismwangalaba3802
      @denismwangalaba3802 25 วันที่ผ่านมา +1

      Mke wa huyo jayz nae ni msanii...so automatically lazima umjue