AY - Kushinda Kesi Ya Mabilioni | Biashara Nje ya Muziki | Kufanya Movie USA - Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 พ.ค. 2024
  • Tunaendelea mazungumzo na AY, humu ndani amefunguka Mengi ikiwemo biashara zake nje ya muziki, kushinda kwao kesi ya mabilioni na mishemishe zake nyingi za USA
    #AY #bongofleva #bongoproject
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 13

  • @samirmswahili
    @samirmswahili หลายเดือนก่อน +5

    Nakubal bro shukran kwa kunifikishia swali langu wachatusubirie

  • @user-ff2es2tf1p
    @user-ff2es2tf1p หลายเดือนก่อน +3

    The way he answered he looks very humble respect legend

  • @munjy11tutorials
    @munjy11tutorials 28 วันที่ผ่านมา +1

    Hebu mtangazaji next time muulize AY nini kilimsukuma kuandika ule mstari Take money money, get money money, make money money, weka mkwanja mezani ndio kisha nichane......

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 หลายเดือนก่อน +3

    Zile pesa ziliwabeba sana

  • @user-nn3py9nj8l
    @user-nn3py9nj8l หลายเดือนก่อน +1

    As Y msiri Sana..... Kuna swali kaulizwa nje ya muziki nn anafanya.... Amejibu vichache Sana..... Ila ana vyanzo vingi vya mapato... Mf: ana mshamba makubwa Sana nje ya nchi analima Chai....😅

  • @abuuawalina2625
    @abuuawalina2625 หลายเดือนก่อน +3

    Nathani wameelewa sasa. Maana ukiwaambia watu, mtu wakwanza kufungua milango nje ya nchi, sio Diamond. Bali ni A.Y Nathani wameelewa, Mondi kujinadi tu, wakati hata yy huko nje Connection yake aliipata kupitia AY

  • @Nuru-zr2yv
    @Nuru-zr2yv หลายเดือนก่อน +3

    Ambwene yessaya mtu na nusu

  • @dullymanso3069
    @dullymanso3069 หลายเดือนก่อน +1

    Jinsi ulivyomuhoji AY kwa heshima zote, vivyo hivyo pia iwe kwa Malegend wote hata wale ambao wanaonekana hawajajipata. Kuna aina ya maswali na uundaji wa maswali yenyewe haukuwa wa kimiyeyusho.

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน

      Kaka tuna heshima kwa wasanii wote…na kila msanii ana vibe lake. Haziwezi interview kufanana…
      Anyway, shukrani kwa support

    • @dullymanso3069
      @dullymanso3069 หลายเดือนก่อน +1

      @@bongo_project point noted Kaka. All in all kazi nzuri. Interview hizi kwa Wakongwe zinasaidia kuweka record vizuri ya wapi Muziki wa Bongo Fleva umetoka.

    • @bongo_project
      @bongo_project  หลายเดือนก่อน

      @@dullymanso3069 Swadakta. Na hilo ndio lengo kubwa la Bongo Project