MWIJAKU AFUNGUKA SABABU YA KUONDOKA CLOUDS NA KUAMIA CROWN FM/ALIKIBA ALINIFUATA MPAKA NYUMBANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 144

  • @patriciovicente2891
    @patriciovicente2891 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mwikaju akili nyingi, this is a time to make money. Big up👍

  • @RahmaRaa-vz5jn
    @RahmaRaa-vz5jn 7 หลายเดือนก่อน +13

    Umetisha familia crown

  • @swahili2worldtv
    @swahili2worldtv 7 หลายเดือนก่อน +5

    Asante DC

  • @saudashani5981
    @saudashani5981 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu awatangulie crown nawapenda

  • @NasibuHaji
    @NasibuHaji 7 หลายเดือนก่อน +7

    Mwijaku yupo sahihi.maisha ni kazi.naanafanya kazi.imala bora.nenda kapige kazi brother pambana Maisha kutafuta😅

  • @UwamuregeyeSamuel-rq7jz
    @UwamuregeyeSamuel-rq7jz 7 หลายเดือนก่อน +9

    🙏🙏🙏🙏King Kiba👑👑

  • @louxonmedia
    @louxonmedia 7 หลายเดือนก่อน

    Kigoma say yeeeeeah!

  • @maratvonline
    @maratvonline 7 หลายเดือนก่อน +11

    Hapa sasa mfanye kitu na baba Levo iwe Timu crown Media Vs Wasafi media

  • @allenonesmomwebembezi6248
    @allenonesmomwebembezi6248 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ila Mwijaku bhanaaa😂😂😂🙌🙌🙌

  • @allenonesmomwebembezi6248
    @allenonesmomwebembezi6248 7 หลายเดือนก่อน +15

    Anachokiongea Mwijaku ni kitu Cha ukweli, money talks

    • @AbdalaAllymndolwa-wo9gh
      @AbdalaAllymndolwa-wo9gh 7 หลายเดือนก่อน +2

      Nakukubali xan mwijaku

    • @DM.2200
      @DM.2200 7 หลายเดือนก่อน +2

      Uhakika maisha ya sasa ni kuzingatia maokoto

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 7 หลายเดือนก่อน

      King Kiba ni umoja tu

  • @SwalehMgumia-zz4pe
    @SwalehMgumia-zz4pe 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sijui lkn clouds ilimfaa san mwinja

  • @TalibaliMuhajir
    @TalibaliMuhajir 7 หลายเดือนก่อน +1

    Gari haina no itakuaje kadi isome jila lako mbona haiposaw hii😅😅😅

  • @emilioadremaneadremane2706
    @emilioadremaneadremane2706 7 หลายเดือนก่อน +3

    Good news King

  • @WaziriAbdallah-vr4xg
    @WaziriAbdallah-vr4xg 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa mshenz kwel yeye mwenyewe anatangaza wasaf betting kamal

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ni sahihi kubeti ni kamari ila na ww unatangaza betting na ww umooo.

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 7 หลายเดือนก่อน +7

    Zingatia maokoto baba Marichui

  • @AbdulSindano
    @AbdulSindano 7 หลายเดือนก่อน +1

    Unamuabudu mungu Gani wewe kumuita mja wa mungu takataka😅

  • @zephrinekanga4554
    @zephrinekanga4554 7 หลายเดือนก่อน

    Carry nyieeee, Kuamia maana yake nini?? Tumieni hata kamusi kama mambo yamewachanganya. Mmejishusha sana

  • @SimonSalehe
    @SimonSalehe 7 หลายเดือนก่อน +4

    Noma sana mwijaku

    • @AdamBasanza
      @AdamBasanza 7 หลายเดือนก่อน

      😊

    • @AdamBasanza
      @AdamBasanza 7 หลายเดือนก่อน

      😊

  • @RusiaRusi
    @RusiaRusi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Niatari sana

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 7 หลายเดือนก่อน

    Kelele mingi katoto kamoja kwendraaa😊

  • @dadyjunior7367
    @dadyjunior7367 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sema huyu takataka wa bongo 5, ana maswali ya kiduwanzi sana, ..ali aliwakomesha , wanaumia nae mpaka leo😂

    • @twaahbrown1042
      @twaahbrown1042 7 หลายเดือนก่อน

      Umemuonaee huyu jamaa choko tumu wachafu

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba 7 หลายเดือนก่อน

    Jamaniii kumbeeeeee ndo maana simsikiik

  • @JeremiahYohana-br2bd
    @JeremiahYohana-br2bd 7 หลายเดือนก่อน

    Siku si nyingi mwijaku ataanguka subirini kiama chake kimekaribia tamaa mbaya.

  • @ndorobocarworks-dx4pf
    @ndorobocarworks-dx4pf 7 หลายเดือนก่อน

    Mawe mawili kwa jiwe moja

  • @hudhaimarajab9103
    @hudhaimarajab9103 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wasaf bet ilikua nini 😂

  • @bonfacebonafide012
    @bonfacebonafide012 7 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🙌

  • @lestantbbar6981
    @lestantbbar6981 7 หลายเดือนก่อน

    Acheni kuponda ili kukuza Brand ya kitu kinachoanza ni muhimu uwe na super stars ili kupata wale wafuasi wengi na ndio akili inayotumika.

  • @davidibrahim9138
    @davidibrahim9138 7 หลายเดือนก่อน +6

    Mwijaku ana impact gani kwenye radio mara elfu Baba levo,,mwijaku kwenye kipindi Cha ya Leo tena hajawahi kuwa na point,, mwijaku anaweza kumuongelea diamond negative Hana content ya maana redioni

    • @tonnybrighton7528
      @tonnybrighton7528 7 หลายเดือนก่อน

      Umemjua lini mwijaku? Mwijaku ana zaidi ya miaka 10 n mtangazji

  • @KassimuIsmail
    @KassimuIsmail 7 หลายเดือนก่อน

    Tena jinga Sana anajificha kivuli mnafki Sana

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 7 หลายเดือนก่อน

    Zingatia Maokoto!

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 7 หลายเดือนก่อน +33

    KIBA AKILI NUSU ANAFIKILI KUJAZA MASTER WENGI UWANJAN ND KUSHINDA MCHEZO CMG N MTAKUJA TU.

    • @mrcaro4141
      @mrcaro4141 7 หลายเดือนก่อน +2

      Ayo mawazo yako juwa ivi usipo jiandaa vizur juwa umejiandaa kushindwa

    • @shaibukhamis863
      @shaibukhamis863 7 หลายเดือนก่อน +2

      Haha tumia akir ndo uongee ujaambiwa cmg aito kuwepo na ukitaka kusema hivy virabu vya mpira visinge kuwa na sehemu ya kusajisi wachezaji kwanini wasikuchukuwe wewe wakamchukuwa mwijaku wew si binadamu na mwijaku binadamu

    • @ursulinenyandindi3051
      @ursulinenyandindi3051 7 หลายเดือนก่อน

      Game ya media ni ya watu hao hao tuu wachache (mabosi). Wanaamua tuu kwenye vikao wanapeleka nguvu huku wakiona kumewaka wanaibuka na uhamisho mwingine.. yani ni hivyo. Wamesha calculate kila kitu, wataishi vipi, ndio mana bongo media inaanza hata haijaruka hewani,hata tathmini ya inawafikia jamii kiasi gani haijafanyika lakini tayari wana dili la bonge la kampuni (benki/bia).. mipango

    • @salimhassan3369
      @salimhassan3369 7 หลายเดือนก่อน

      (1)real Madrid
      (2)man city
      😂😅

    • @erickhussein5960
      @erickhussein5960 7 หลายเดือนก่อน +2

      Umelogwa ww tafuta kaz ya kufanya uwache kulalamika😅😅😅😅😅😅

  • @JumaMaulidi
    @JumaMaulidi 7 หลายเดือนก่อน

    Huchezi kamari kwakisingizio kua ni kharam ila unaitangaza-+ ?___
    Ila ukweli uliousema elim nibora kuliko ujinga

  • @KassimuIsmail
    @KassimuIsmail 7 หลายเดือนก่อน

    Yani afukuze ndgu zake ili uende ww duuuh ili jmaaa anarohombya xna

  • @elvira9325
    @elvira9325 7 หลายเดือนก่อน

    Fact

  • @MustaphaRashidi-tw7zs
    @MustaphaRashidi-tw7zs 7 หลายเดือนก่อน

    Ndio mAan nakukubali

  • @reginamluviji9405
    @reginamluviji9405 7 หลายเดือนก่อน

    hahahahah media ya mzungu jesca hahahahhhhah

  • @SaleheKatoto
    @SaleheKatoto 7 หลายเดือนก่อน

    Acha tamaa clouds imekulea alikua anakujua nani?

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 7 หลายเดือนก่อน +1

    sasa mwambie Ali kiba kile kigorofa akipge rangi halafu zile air condition mbovu azitoe sio mnakaa apo majasho kibao

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 7 หลายเดือนก่อน

    Afadhali umeondoka clouds ulikuwa unaharibu brand yetu. Kwanza wewe ni muongo Kama demu unapenda uchawa tu

  • @hellenmassawe7284
    @hellenmassawe7284 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndiyo ulikuwa una mwambia jose nenda jahazi wewe ubak nahusina Atakula maisha kweli

  • @KassimuIsmail
    @KassimuIsmail 7 หลายเดือนก่อน

    Ww mnafki we mwenyewe unalaana

  • @kouswayisaidahamada9979
    @kouswayisaidahamada9979 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kubeti ni kamari n'a unatangaza kampuni zakubeti

    • @elvira9325
      @elvira9325 7 หลายเดือนก่อน

      Anakutangazia yeye hachez 😂😂

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@elvira9325ukiamasisha ngono wakafanya nawe dhambi unapata

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@elvira9325ukihamasisha ngono na watu wakafanya unapata dhambi

  • @jonasnyanga8167
    @jonasnyanga8167 7 หลายเดือนก่อน

    Can where are you🙄

    • @allyjama3552
      @allyjama3552 7 หลายเดือนก่อน

      Andika kiswahili au tumiya Google translate maana hujaeleweka.....

  • @oyay2821
    @oyay2821 7 หลายเดือนก่อน

    Azungumzia kuhusu laana ya mcheza kamari na yeye ni balozi wa wasafi bet

  • @omariKalyango
    @omariKalyango 7 หลายเดือนก่อน

    Elimu ya kisheria kwanza sio hiyo

    • @abunajreenELSESANY
      @abunajreenELSESANY 7 หลายเดือนก่อน

      Elimu ya KISHERIA ni IPI ?.
      UISLAMU haubagui ILMU, ndio maana maswahaba kama ABDURAHMAN BIN AUFY walikua mabingwa wa fani ya BIASHARA

    • @abunajreenELSESANY
      @abunajreenELSESANY 7 หลายเดือนก่อน

      Kinachotizamwa hapo, ni HALALI and HARAAM

  • @getajo1153
    @getajo1153 7 หลายเดือนก่อน

    WATANZANIA WASIOJUA MNACHOTWA TU AKILI NA NDUGU JOSEPH KUKOBOA 🤣🤣

    • @roberttagaya9098
      @roberttagaya9098 7 หลายเดือนก่อน

      Aise wewe kweli umesomea CUBA. Hii ni content tu wanayo jaribu kuitengeneza hawa watu KUKOBOA NA SAM KIKEKE ili kuibust Crown tu.

  • @ndarnationsoundtz
    @ndarnationsoundtz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hahha clouds wasafi is best izi zingine kelele.wakianza kulipa kodi mdo wote wanarudi waliko.toka

    • @Romainkikela
      @Romainkikela 7 หลายเดือนก่อน

      Broo utakufa maskini ukiwa na chuki😂😂😂

    • @enockbange77
      @enockbange77 7 หลายเดือนก่อน

      Bro acha roho mbaya pambana kutafuta zako

  • @HamidAhmed-id9wy
    @HamidAhmed-id9wy 7 หลายเดือนก่อน

    Card inatoka kabla ya Card mzee

  • @Tariqxxtenations
    @Tariqxxtenations 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekukubali unaangalia masilahi yako na sio uzoefu wa kazi au wa kigu fulani.mujaku kmaa mie walai nisubili sehem haina manufaa aa sifanyi kazi iyo

  • @YusuphAbdul-rm7nx
    @YusuphAbdul-rm7nx 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 7 หลายเดือนก่อน +1

    Diamond mchawi atakuroga usionekani mwijaku

  • @SululuZungu
    @SululuZungu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nivizur2 pig kz hpo harmonize nayy akifungua radio pia pig kz huk na huk sf kabs

  • @IbrahimMohamed-rk7zx
    @IbrahimMohamed-rk7zx 7 หลายเดือนก่อน

    Unavojikuta kama mtu vile

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ila kumbuka ulipotoka

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbio za sakafu huishia ukingoni, nko pale

  • @HappyBurrito-bm5me
    @HappyBurrito-bm5me 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa mcheza kamari baba levo na mwinjaku ambae ni balozi wa wasafi bet si wote njia moja tu nae pia anakula haramu au vile huchezi wakati wew muhamasishaji

  • @ElizabethAtanasi
    @ElizabethAtanasi 7 หลายเดือนก่อน

    Pumbav huna lolote

  • @muniraoman9551
    @muniraoman9551 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @theuniversetv2870
    @theuniversetv2870 7 หลายเดือนก่อน

    Milioni ishirini uongo usituletee drama mwemba weweee