Mbunge Heche, Polisi wavutana baada ya kuripoti Polisi Sirari na Tarime Rorya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024
  • Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche ameripoti Kituo cha Polisi Sirari na baadaye kuelekezwa kwenda Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya na kuambiwa Wilaya ya Kipolisi Tarime Mjini Kisha kurudishwa mkoani...bado anaendelea kuhojiwa Polisi...

ความคิดเห็น • 279

  • @janethjackson5370
    @janethjackson5370 7 ปีที่แล้ว +23

    Wanaumeeee! Nimewapenda sana hapo rorya! Big up sana! Hapana kuogopa mitutu,askari jiheshimuni

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว +16

    Tarime huko duuuu ni nomaaaaa!!!!! Safi Ayo upo vzr broo

  • @emmanuelwilson9169
    @emmanuelwilson9169 6 ปีที่แล้ว +15

    kweli huko kunavidume vya shoka

  • @hamisi8
    @hamisi8 7 ปีที่แล้ว +54

    Jeshi la polisi linafanya makosa makubwa sana kuacha kusimamia sheria na kujiingiza kwenye Siasa kwa ajili ya kufukuzia vyeo jeshi polisi limepoteza uweledi wake kabisa

    • @naimasuleyman3861
      @naimasuleyman3861 6 ปีที่แล้ว

      Ama kweli mnalichezea jeshi letu mmelipanda kichwani

    • @tendatanzania8358
      @tendatanzania8358 6 ปีที่แล้ว +1

      hamisi m zuberi
      Kama ulikuwa upendezwi na wanachokifanya polisi mbona Jana ukujitokeza kupinga
      Acha unafiki wewe mnapenda sana malalamiko afu mkiitwa kwenye movement amuendi

    • @mourens3040
      @mourens3040 4 ปีที่แล้ว

      Kweli

  • @obadiahkisonga9193
    @obadiahkisonga9193 7 ปีที่แล้ว +18

    huku siyo kuwakomesha wapinzani ila ni kuwapaisha kisiasa.

  • @salehsalum4690
    @salehsalum4690 7 ปีที่แล้ว +12

    hawa watu wa tarime dah wamepinda sana

  • @philipmayalu1844
    @philipmayalu1844 7 ปีที่แล้ว +15

    najivunia kuzaliwa tarime. hapa ni wanaume tuu

  • @saidmj9213
    @saidmj9213 6 ปีที่แล้ว +1

    Safiii Mh Heche

  • @bonakwelilema9600
    @bonakwelilema9600 6 ปีที่แล้ว +14

    chadema tuige uwezo wa john heche nikamanda shujaa kama tundu lissu nawapenda viongozi wangu kwakasiihio ccm tutaitoa pale beach fery

    • @rajabunyangass9739
      @rajabunyangass9739 6 ปีที่แล้ว

      Bona kweli lema ww kweli hujutambui toka tumeanza kujipa matumaini ya kuchukuwa nchi ni Leo ? Kwa hilo tujipe matumaini tu.

  • @mayalalusana3855
    @mayalalusana3855 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli......

  • @isaacmafole2136
    @isaacmafole2136 4 ปีที่แล้ว +1

    Kanda maalumu hyo

  • @kilekeremson9821
    @kilekeremson9821 4 ปีที่แล้ว +1

    Haya mambo yanaumiza sana

  • @rboymnyange5043
    @rboymnyange5043 7 ปีที่แล้ว +4

    Yaani na mm ningezaliwa Mara ingekuwa bora sana yaani huku ninakoishi maoga yote

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 6 ปีที่แล้ว +1

    Tarime safi sana yaani mnamsimamo kama uku kwetu mbeya %%

  • @hamadimgaza9351
    @hamadimgaza9351 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndo serikali ya wanyonge

  • @malaryhillary3075
    @malaryhillary3075 7 ปีที่แล้ว +20

    serikali makini utumia busara bali, kinyume chake ni kuleta maafa jambo hili si zuri Mh Raisi badili staili ya kuongoza nchi

    • @edsonsign9441
      @edsonsign9441 7 ปีที่แล้ว +2

      nan kakudanganya! wenye akili tunakijua na kukubali anachofanya rais.

    • @tendatanzania8358
      @tendatanzania8358 6 ปีที่แล้ว +1

      Malary Hillary
      Mbona jana hukujitokeza kwenye movement kupinga hili acha unafiki waache polisi wafanye kazi yao

    • @mathiasbawilasafisanaraisw2741
      @mathiasbawilasafisanaraisw2741 6 ปีที่แล้ว

      Malary Hillary msenge wewe usimuhusishe Rais na jambo linalofanyiwa uchunguzi, acha ufala kwani kwenye huo ugomvi Rais alikuwepo? acha watu wa ulinzi na usalama wafanye kazi yao kosa la mtu mmoja haliwezi kulifanya jeshi zima la police kuonekana alifanyi kazi kiuadilifu.

  • @aminanoor5637
    @aminanoor5637 4 ปีที่แล้ว +4

    😀😀 umetumwa kumuuwa mweshimiwa😀😀😀😀😂

  • @elianifaaluka4790
    @elianifaaluka4790 4 ปีที่แล้ว +1

    Hamjachoka kuwapakazia

  • @shabaniidd4794
    @shabaniidd4794 5 ปีที่แล้ว +1

    kuna watu wamechoka tayar na uesnge wa inchi hii

  • @johnmatiku1567
    @johnmatiku1567 7 ปีที่แล้ว +17

    serikali iliangalie hili itumie busara lakini ikitumia nguvu watu watapoteza maisha sana maana wakurya wakipanda hawashuki

  • @christopherntaraha19
    @christopherntaraha19 2 ปีที่แล้ว

    Watu wa mara mnajielewa sana

  • @KhadijaKhadija-ed5gj
    @KhadijaKhadija-ed5gj 7 ปีที่แล้ว +8

    😁😁😁😁😁😁 hiyo lugha nilioisikia Ni cha wap?👊

  • @ramadhanially8249
    @ramadhanially8249 7 ปีที่แล้ว +6

    I'm street boy from afriganistan ila hawa jamaa wanatisha

  • @elizabethmkali5782
    @elizabethmkali5782 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana heche mungu yupo nawe

  • @laizerjamaa374
    @laizerjamaa374 6 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio mara

  • @obadiaobadia1753
    @obadiaobadia1753 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kamanda wewe ni mpiganaj

  • @wilsonmtino827
    @wilsonmtino827 ปีที่แล้ว

    Ksbla ya 2015 chadema tulikuwa vizuri

  • @stevenyusuph5059
    @stevenyusuph5059 7 ปีที่แล้ว +8

    millad unazingua bro mbna unakata baadh ya matukio

  • @njikuhr1875
    @njikuhr1875 4 ปีที่แล้ว

    Tarime htr

  • @robertlulandalah2194
    @robertlulandalah2194 6 ปีที่แล้ว +1

    Tarime ni balaaa

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 4 ปีที่แล้ว +1

    watu wamechoka hawaogop ris wal kufa

  • @samwelmwita1915
    @samwelmwita1915 ปีที่แล้ว +1

    Tarime ndo sisi ufala tulikataa zamani

  • @piterlaiza5576
    @piterlaiza5576 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii serikali ya awamu ya tano dhu!!! Ni kiboko kweli

  • @kulwajames4178
    @kulwajames4178 7 ปีที่แล้ว +8

    ugumu ugumu, tarime co wa2 w mchezo

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 3 ปีที่แล้ว +1

    Yan sasahiv Raisi wetu Magufuli ndio anatufanya tunajitambua na nyie Jeshi la polisi jipangeni vzr maana wananchi wanazidi kutoka gizani na kujua haki zao kwahiyo mjiandae Sana kipindi kile hela ilikua inazima ukweli sasahv mambo ni Bam bam Hakuna pesa na nilazima haki itendeke tukimpa tena hii 5 ndio mtazidi kuwaelewa wananchi vzr

  • @justinwany7955
    @justinwany7955 6 ปีที่แล้ว

    Aiseee

  • @cosmasmutasingwa4969
    @cosmasmutasingwa4969 6 ปีที่แล้ว +1

    Tarime nawapenda sana makamanda

  • @philipopaulo7784
    @philipopaulo7784 4 ปีที่แล้ว

    Daaa noma xana wanaume wakweli sikuzote unatakiwa uxiogope polisi muogope MUNGU2

  • @PeterDaniel-ju8kz
    @PeterDaniel-ju8kz 6 หลายเดือนก่อน

    Iyo tumbo iyooo

  • @paschalmakoye8102
    @paschalmakoye8102 7 ปีที่แล้ว +2

    Wakurya atariii

  • @marynoni3712
    @marynoni3712 6 ปีที่แล้ว +1

    heche ungemkata ngumi moja kwanza

  • @manyweletheboss6053
    @manyweletheboss6053 7 ปีที่แล้ว +3

    wote wanatafuta vyeo

  • @miliammbilinyi1257
    @miliammbilinyi1257 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awatie nguvu

  • @alleninebway5652
    @alleninebway5652 7 ปีที่แล้ว

    safiii sanaaaa tarimee

  • @sifamajura7925
    @sifamajura7925 3 ปีที่แล้ว

    Ulivumilia kamanda

  • @godwinchengula3621
    @godwinchengula3621 5 ปีที่แล้ว +1

    Aibu polisi tz

  • @Mrmgoneke
    @Mrmgoneke 7 ปีที่แล้ว +3

    We know where we're coming from but we don't where we're going.

  • @maikomura2003
    @maikomura2003 ปีที่แล้ว

    Ajaliya ndege Tanzania ilitokea mwezi gani

  • @sixmangwela4543
    @sixmangwela4543 4 ปีที่แล้ว

    tz wote tungekua hiv nchi ingekua na adabu

  • @rajabumapunda416
    @rajabumapunda416 4 ปีที่แล้ว

    Wangapi wamesikia eti iyo tumbo

  • @ayububadru3030
    @ayububadru3030 6 ปีที่แล้ว

    daaaaaaaah ama kweli pasua kichwa

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 4 ปีที่แล้ว

    Heche..... 💪

  • @bonabonala7685
    @bonabonala7685 6 ปีที่แล้ว +3

    Wansiasa wote wangekua j heche basi ccm nkoloni mweus atangogoka

  • @chilombachilo7534
    @chilombachilo7534 7 ปีที่แล้ว +44

    wanaume tupo Tanzania mzima ila vidume vya shoka wapo tarime

    • @jacklinesaxtus5943
      @jacklinesaxtus5943 7 ปีที่แล้ว +2

      Chilomba Chilo hahahah kabisaaa huko ndo wanaume wapo i wish ht bashite wamuhamishie huko yan watamnyoosha

    • @edsonsign9441
      @edsonsign9441 7 ปีที่แล้ว

      +Jackline Saxtus bashite anaigiaje hapo! pombe tupu.

    • @edsonsign9441
      @edsonsign9441 7 ปีที่แล้ว +1

      ujinga mtupu!

    • @tatut3889
      @tatut3889 7 ปีที่แล้ว +1

      Chilomba Chilo hahahahahahaha 😂😂😂😂

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 7 ปีที่แล้ว

      Chilomba Chilo tumekusikia wakike

  • @tendatanzania8358
    @tendatanzania8358 6 ปีที่แล้ว +1

    Polisi Wa Tanzania Ongereni sana tena sana Kwa kazi nzuri mnayo ifanya na mzidi kuwanyoosha wote wananchi.
    Wa Tanzania wanapenda sana malalamiko msiwasikilize.

  • @remishoyfrank9229
    @remishoyfrank9229 4 ปีที่แล้ว

    Hakika kubwa watauwa wangapi

  • @astonmaringomaringo873
    @astonmaringomaringo873 7 ปีที่แล้ว +3

    tarime mi nawakubali

  • @octavianfranc1384
    @octavianfranc1384 4 ปีที่แล้ว

    Jaman daaa Sjui tunaeda wap

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko 20 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉

  • @shanynyalusi1507
    @shanynyalusi1507 6 ปีที่แล้ว +1

    Makurya siwaweziiiii

  • @vitaliscompanltd7574
    @vitaliscompanltd7574 6 ปีที่แล้ว

    Nakukubali msh

  • @allymasenti7974
    @allymasenti7974 6 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo ipo ck yatawageukia haya wanaotufanyia ccm upo mwishiwake

  • @veronikadalali7251
    @veronikadalali7251 3 ปีที่แล้ว

    Hawa ndo wanaume wamara

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 6 ปีที่แล้ว +1

    tanzania tanzania😭😭😭😭 da! ama kweli m afrika akipewa bunduki anajion yeye anaweza kufanya chochote kwaajili ya masilahi yake

  • @superchadema2417
    @superchadema2417 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli unaingia tarime

  • @ayoubpapiy6692
    @ayoubpapiy6692 2 ปีที่แล้ว

    Nikotayari nife kwaajili ya imani ya diniyangu ila siyo kwaajili ya siasa ni ujinga mkubwa.

  • @emmanuelnyansiro8636
    @emmanuelnyansiro8636 7 ปีที่แล้ว +17

    Najivunia kutokea mkoa wa Mara sisi ni wamura hatuogopi risasi

    • @mrprez9703
      @mrprez9703 7 ปีที่แล้ว +1

      huna lolote

    • @tibrucemushi1735
      @tibrucemushi1735 6 ปีที่แล้ว

      fala kweli wewe...

    • @albertmakuri4273
      @albertmakuri4273 5 ปีที่แล้ว

      Uogopi risasi inayotoka kwa askari wa polisi mbona kinonke alitetemesha tarime mpaka watu wakawa wanalala saa 12 vidume ndo wakawa wanatamba acha zarau risasi we isikie kwa mwenzio

  • @lestantbbar6981
    @lestantbbar6981 10 หลายเดือนก่อน

    Waliofeli wengi wanaenda kujiunga na jeshi la police unategemea nini

  • @chinaliviga5923
    @chinaliviga5923 4 ปีที่แล้ว

    Uyo police kamata weka ndan

  • @consolatamaarufu6762
    @consolatamaarufu6762 6 ปีที่แล้ว +1

    heche awe mwenyekiti wa chadema itanoga sana heche ni mwanaume namkubali sana

  • @issakapemba6115
    @issakapemba6115 4 ปีที่แล้ว

    Vita muraaa

  • @uhurunamaendeleo6127
    @uhurunamaendeleo6127 4 ปีที่แล้ว

    Aki wanaume Wote tuwe wakurya hatuta letewa ujinga na ccm wala polisi kutuonea bila sababu

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 6 ปีที่แล้ว +1

    nataman namm ningezaliwa kwa wanaume wa shoka tarime

  • @peterkisiri4938
    @peterkisiri4938 6 ปีที่แล้ว +1

    Makubwa vidume tarime risasi kitu gani atuogopi risasi mula

  • @sixmangwela4543
    @sixmangwela4543 4 ปีที่แล้ว

    saf sana huo ndo uanaume

  • @kabaranamaganga6646
    @kabaranamaganga6646 7 ปีที่แล้ว +2

    Uwiii murah! Amang'ana gasarekere

  • @mikangapata3324
    @mikangapata3324 5 ปีที่แล้ว

    Pongezi kwa Heche ana msimamo sana

  • @deobajutha8805
    @deobajutha8805 5 ปีที่แล้ว

    Vita ni vita mura

  • @ibrahimpius893
    @ibrahimpius893 7 ปีที่แล้ว +10

    Hao ndiyo wanaume

    • @Mjukuuwanombo
      @Mjukuuwanombo 7 ปีที่แล้ว +1

      Ibrahim Pius wewe ni mwanamke au?

    • @davidmihambo3051
      @davidmihambo3051 7 ปีที่แล้ว

      +Chrispini Beno hahaha

    • @ibrahimpius893
      @ibrahimpius893 7 ปีที่แล้ว

      +Chrispini Beno Fala wewe nani mwanamke una comment kama umekatwa kichwa pumbavu au ww punga nini

    • @Mjukuuwanombo
      @Mjukuuwanombo 7 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Pius sasa matusi ya nini ndugu yangu, wakati ww mwenyewe umewasifia ina maana ww huna sifa za kuitwa mwanaume, thats why nimekuuliza ww ni mwanamke??😂😂😂

  • @remishoyfrank9229
    @remishoyfrank9229 4 ปีที่แล้ว

    Trip hii ukibwaga mboga tunamwaga ugali

  • @sojaruben1757
    @sojaruben1757 4 ปีที่แล้ว

    hawa ndio wanaumoja piga mwizi wa kisiasa uyo

  • @philimonleonard7338
    @philimonleonard7338 4 ปีที่แล้ว

  • @mikidadligogi8921
    @mikidadligogi8921 7 ปีที่แล้ว

    duh

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 7 ปีที่แล้ว +6

    wanaume halisi wapo Tarime mkoa Wa Mara tu

  • @hebronmwambola1525
    @hebronmwambola1525 ปีที่แล้ว

    Miaka hii polisi mnawaonaje chadema?

  • @ikundamaleko5527
    @ikundamaleko5527 4 ปีที่แล้ว

    😳

  • @husseinaaliyah5637
    @husseinaaliyah5637 6 ปีที่แล้ว

    Ila inatia uchungu jaman

  • @francisdaudi9894
    @francisdaudi9894 7 ปีที่แล้ว +6

    Kumbe hawa ndo wanaume wa dar wanaotukana wanaume wa Dar? Kurareki.. Mura ana mikwara.

    • @japhetjsphetnoniape4066
      @japhetjsphetnoniape4066 6 ปีที่แล้ว

      Ukizumbaa unaonewa ukijihami wanakuogopa kikubwa n kujikubali mwenyewe kwnza

  • @mustaphajaffary1898
    @mustaphajaffary1898 6 ปีที่แล้ว

    Hakuna haki nchi hii

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 4 ปีที่แล้ว

    Haya ni madhara ya uchochezi,,inamaana police miaka yote huwa hawatembei na bunduki,ulimbukikeni wa chadema,,mtaishia hivyo hivyo IKULU hamtaisogelea.

  • @abdallahyasin6829
    @abdallahyasin6829 4 ปีที่แล้ว

    Tumechoka

  • @givendavidgoodluck3284
    @givendavidgoodluck3284 5 ปีที่แล้ว

    Alafu watu wanajifanya kupenda ccm..nashangaa Sana yan

  • @tanzaniayetu6973
    @tanzaniayetu6973 7 ปีที่แล้ว +7

    Nachukua nafasi huu kuviomba vyombo husika kuangalia swala la Democracy upya ndani ya nchi yangu hamtaweza kuwaziba hawa watu midomo mpaka 2020 uvumilivu utawashinda,wataingia barabarani kitu ambacho ni kibaya na niaibu kwa nchi wacheni Uhuru utawale ndani ya nchi yetu yangu ni hayo tu

  • @herikayezu5467
    @herikayezu5467 5 ปีที่แล้ว

    Kwann watu mnakuwaga hamna hekima

  • @saidomar8502
    @saidomar8502 4 ปีที่แล้ว

    Duu

  • @nelsonmrangu752
    @nelsonmrangu752 5 ปีที่แล้ว

    Lin hii

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi6816 6 ปีที่แล้ว

    mtasalenda tuuuu..

  • @furthernelly665
    @furthernelly665 6 ปีที่แล้ว

    Dah kwakweli sipati picha

  • @fedhalashidi1336
    @fedhalashidi1336 6 หลายเดือนก่อน

    kwani haunabodigadi nitafute atamm ntawanyooshao asikali atawakiwakumi

  • @mcmackone1958
    @mcmackone1958 6 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua tofauti kati ya maandamano na msafara