Nawaza kwa sauti ya chini hvi chadema ikichukua nchi wasanii na waandishi wa habari wataweka wapi sura zao...lakini naamini serikali ya chadema inajua kuwa wanatumiwa itawasamehe na hawatakuwa na kisasi dhid yao viva chadema..hongera milady unajitahid
Heche pole ,mziki unao kuja si wa mchezo wa ccm utaisoma hizi habari za kusema hawakuwezi ni mbaya Sana siku zote chadema huwa tuna washuhudia kuwa na kauli za ajabu,
Naomba sana Lissu akishinda arudishe Kodi ya Kichwa, Ada mashuleni watoto wanasomaje Bure aisee, Ushuru wa Baiskeli, Ushuru wa wafanya Biashara ndogondogo na makusanyo mengi ili serikali ipate fedha nyingi kwaajili ya Ujenzi wa Ofisi za Chama kwenye Wilaya zote Tanzania na Mikoa yote. Tulipe ili tuweze kujenga nchi yetu, #Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Lissu💪
Katika wabunge wa Ukawa ninaowaelewaga,ni huyu jamaa kila anachoongea ni jiwe,BiUp,kila nikifikia kuhama ukawa nashindwa kwaajiri ya hili jembe huwa linaongeaga point sana ujue
Mbunge wangu John Heche "" Mungu akulinde sana!!!!! big up xanaaaaa!!!!!
Hakuna kupoa Heche.Komaa wataelewa tu.Mungu akupe maisha marefu
Naona upinzani mpya kupitia john heche,unaelewa unachozungumza broo keep it up
Mp Heche iron man of our time.congratulation.
Heche nakukubali sana bredhe sariti kwako umenifanya nijivunie kw Na viongozi mahiri kutoka Mara..
Tarime ndio Mana mmpewa Kanda maalumu.Nyie ni nomaa
Makamandaa wetuuuuu wa chademaaaa hongeraaa
Michael Ngaka Peoplessssss!
Nawaza kwa sauti ya chini hvi chadema ikichukua nchi wasanii na waandishi wa habari wataweka wapi sura zao...lakini naamini serikali ya chadema inajua kuwa wanatumiwa itawasamehe na hawatakuwa na kisasi dhid yao viva chadema..hongera milady unajitahid
Yaani kweli uwezi kuunyamazisha upinzani ukitaka kumnyamazisha huyu na mungu anamuibua mwengine safi sana mheshimiwa heche
Big up heche, god be with you.
Point zenye nguvu salute muraa
Mm ni muha kutoka kigoma ila mheshimiwa heche ninamkubali sanaaaa natamani angekuwa mbunge wetu
Mtu kuja ni nan?
Unamwita mtanzania mwenzako mtu kuja, huo ni ukabila
Wenu Wapi
Kuna aliekuuliza kabila fala wew
Daa napata shiida sana ivi kuna kosa gani mbunge wa jimbo jingine kutoa msaada kwenye jingine la mbunge mwenzake
Mungu ibarik Ukawa
Heche nichuma cha reli kweli kweli
Mungu wa mbinguni akubariki Sana heche unanibariki sana
Jembe hilo John Heche godbless u
Kamanda safi sana
Huyu jamaa anauchungu wa moyon kabsaaaaaa
Hii cio sio siasa
Huyu kweli n rais wa rais wa tarime
Asante sanaa kaka nakukubaliiii
Hongera heche uko vizuri
Penda sana heche mungu akupiganie vitanivita mura
safi Sana uzendo waichi unatakiwa inatakiwa kujiamin
kukamata wanasiasa wa milengo mingine ni dalili za kutojiamini za watawala,waache ,kila mtu atoe maoni yke akiwa huru,tusiwakamate wapinzani
Najivunia kuwa mkurya aiseee
Ofcoz Chadema ni mashine kubwa
aisee nakukubali kwa kujiamini
Uko sawa Heche toboa. Una uhuru wa kusema.
mungurimi mwenzangu john heche Bantu culture nakuunga mkono
Kweli kamanda
HECHE Wamoto sanaaa
Nimeipenda sana hyo
tunduma tukiwa kama tarime hatutotikiswa mbunge mwakajoka ni chuma cha reli
chadema safi
Pamoja Heche
safi sana Mh.HECHE
heche kidume Mwamba wewe mmoja sawa na wa bunge wa chama flani mia
Nawakubali sana tarime kura za ndiyo chadema mnapata tena kwa kishindo ao mbwa wa ccm awawezi wananchi tumechoka
Sitachoka kukuombea siku moja uwe Mwenyekiti wa chadema. Unafaa Sana Heche
Mbowe atamfukuza
Heche pole ,mziki unao kuja si wa mchezo wa ccm utaisoma hizi habari za kusema hawakuwezi ni mbaya Sana siku zote chadema huwa tuna washuhudia kuwa na kauli za ajabu,
Uko sawa milo milo 2 ishu
Heche nakkubali kamanda wangu ndiyo maana mbunge wa cuf alijutaja kwa misimamo yako
hapo sawa mkuu nimekuelewa
Ongera ndugu yangu
Sawa sawaaaaa!!
Hpo ndo Tarime,!!!!
Ndio ni tarime mjini
Hahahaaaaaa Mara tuko vizur xn kwenye kuchagua
chama cha mungu
Kweli MULA weito, waambie mapoyoyo
daaaaaaaah kiongozi nimekuelewa na maendeleo hayanaga chama
Good
Kauli ya rais yy ni rais wa wanyonge nyie hamkuielewa yan yy ananyonga ndio maana ya hiyo kauli
Umenena ndugu yangu
Kwel ananyonga aisee
Heche unakili sana ningekua Na uwezo ningekupeleka ccm
nmekusoma my mb
Naomba sana Lissu akishinda arudishe Kodi ya Kichwa, Ada mashuleni watoto wanasomaje Bure aisee, Ushuru wa Baiskeli, Ushuru wa wafanya Biashara ndogondogo na makusanyo mengi ili serikali ipate fedha nyingi kwaajili ya Ujenzi wa Ofisi za Chama kwenye Wilaya zote Tanzania na Mikoa yote. Tulipe ili tuweze kujenga nchi yetu, #Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Lissu💪
DUH!
JAMAA ANATISHA
aeroporto Nissan
aisee wewe nakupa ukuu zaidi ni mzarendo wengine nguvu nyingi akiri kidogo ndomana kilakesi munayopewa munashinda wanashindwa wao tu daah
Katika wabunge wa Ukawa ninaowaelewaga,ni huyu jamaa kila anachoongea ni jiwe,BiUp,kila nikifikia kuhama ukawa nashindwa kwaajiri ya hili jembe huwa linaongeaga point sana ujue
Heche unafaa kuwa kwenye nafasi kubwa
John Heche ww ni respect!
Jasili
Naona watoto tu ndowako wengi
Heche waambieee....
Kurya boy
North Mara
ccm wanaboa sana hawajiamini kwasababu wanafanya utumbo mtupu yaaani mtu kujitolea anakamatwa daaaah
Hahaha hahaha Kwa maneno nawakubali ila hayanikai nina akili mingi JPM oyeeee
nakuelewa sana
Mim nimwana ccm damu damu Ila uyu jamaa anaongea vitu jiwe
fact...
Mbegu ya Kenya....iishiyo Tanzania...
Hii mbegu ipandwe Tanganyika pote!!
Mwamba mmoja na robo tatu, Heche!!
Rais wa kunyonga wanyonge yupo ccm jpm
Salute to u,
Chadema niwaongo sana ila trip hii mtakiona
Siku zote mkurya ni jasiri kama Simba
Nakubali ✌🏿✌🏼✌🏿✌🏿✌🏼✌🏿✌🏿✌🏼✌🏿✌🏿🙏🙏🙏
Tusiwakose bungeni kwakweli mkatuwakilishe nawapenda sana
Mtto wa kiume wa kikurya.
Kweli Heche Arusha. Tuko juu hata sisi tulichagua mbunge wetu lema ni jembe balaaaaa
nicheeeeche
Mbowe akimaliza muda wake Uenyekiti apewe Heche anafaa sana
saf !!piga kz
Dah kweli huyu Heche atambui kweli mambo anayoyafanya Rais au anatafuta kiki, sielewi naomba msaidie hilo wadau wa siasa ana kweli haoni au,,,,,,?
Walai wanasiasa wanatutus Kila kukucha wanyonge wanyonge
piga kazi tunakuamini
Kiongoz
nimekuelewa
Asanta
Safi sana heche
nimekuelewakuu
🙌🙌🙌🙌
Ukijua tafsiri ya uongozi sidhani kama hayo maneno yanafaa kwa unaowawakilisha.
Nimekuelewa mkuu
Mmmmmh , mi napita tu sioni jipya
chadema itatukomboa kutoka kwa mkoloni mweisi ccm
Itawakomboa na nini ?
Muda wote hasira… ongea point basi sio mipasho
Kinamama wakikulya wagumuuuu
Nakuelewaga sana Kaka
Magufuli songs mbrle.yunanua ndege zote zilizoabizwa na serikali yako zote zitakuja. Wajiandae kwa aibu zikija.
ata kuandika hujui
John eche nikamanda
ukombozi hauji bila mateso
Tunakutegemea kwa uhai wa chama chetu baba usitukimbie kama wengine
Huo ni udicteta mtu anatoa hela zake kuchangia maendeleo pia mnamkamata nyie mnapgania maendekeo ya aina gan?
Heche unawadanganya wanyonge wapigwe kwa ajili ya ujinga wako we utaenda Dar na hutawasaidia waacha hiyo wafuate misingi ya haki
Jembe hecheeee