John Heche ni mmojawapo wa watu makini na vichwa sana, bahati mbaya sijui kwa nini watu bora wapo nje ya system.. walio kwenye system ukisikiliza wakiwa wanahojiwa unaweza kushika kichwa aibu tupu
Kwa akili yangu wanataka halmashauri zote waziongoze tu kwa remote ccm waweze kuwanyima wapinzani kwenye halmashauri zao.....WATALIPIGANIA SANA HILO WAZO CCM WATZ TUKIKAA KIMYA.LITAPITA KISHA MTAONA JINSI UBAGUZI UNAVYOZIDI KUKUA KWA HARAKA
Nikweli nimeenda Tanesiko kuwekewa umeme kwenye nyumba ambayo inaumeme tahari ninatakakutumia pekeyangu make mwenyenyumba aliniruhusu nikaambiwa nilipe sh350000
uko vizuri Heche nakuelewa sana watanzania wanahitaji watu kama wewe
well done,Mr heche u'll never never be forgotten
Hii Mashine huwa naielewa mbaya,BigUp Heche,
Duuu, Yeke Muraaa Tisha sanaaaa...
Bravo hon. Heche it was on ur best ....Madini Tupu
Heche uko vizuri sana na upinzani kwa ujumla mungu awasaidie sana
Mmm
yaani nataka kukunyanyua zaidi mungu akulinde
Hon.Heche big up!..Tel'em da truth
Mbunge wangu nakukubali sanaaa, piga kazi jembeeee
Watu kama hawa wachache sana duniani
Nchi yetu bado tupo gizani wanaitajika wabunge kama hawa wanaoweza kutoa mwanga iweze kuwanganza hongera sana Mkuu tuko pamoja
mungu akubaliki heche
Waambie ukweli wanafik hao Mwenyezi Mungu atawaonesha na awapeo maradhi yasiokuwa na dawa ameen.
Safi sana mh heche
Waambie hao wa ndio mzee
Mh. Heche upo vizuri endeleza mapambano zidi ya ufisadii
Daaaaaah mbunge mpinzani 1 sawa na wabunge wa ccm 100, safi sanaaa Heche🙏
Safi sana kiongozi wangu unaongeo point sana
mb zikikata najaza tena mzee wangu endelea kuunguruma
Upo sawa Kamanda
Best work of opposition ....I like ur spirit Mr Heche. May u leave long in sha Allah
Maalim Ali Amiin
you are Absolutely right Mr Heche
na sio deni la bunge peke yao kodi za wavuja jasho hizo
Powerful points
safi sana kamanda heche hawa maccm tumewachoka na hadithi zao
Saf safi mh heche upo vizur mbunge
Honourable !! Heche
Bigup heche! Uko makin
Safi sana umeeleweka
big brain heche
Daaaaah wat kama hawa
Safi sana heche
Heche umetisha kwa kweli
Hon.Heche nimekupata vizuri lakn tatizo la wabunge wetu wanaongea kisha wanasema naunga mkono hoja,wabunge inusulini nchi hii
point bin point
Kama mti basi mhe,john Heche ww ni mizizi iliyoshika mti big up kaka mkubwa
Wewe ni master bro
Heche yuko sawaa dahhhhhh
2021 bunge limepooza sana. Wapinzani warudi vitini
your Highness Sir...!
Saluti heche
Thanks Mr Heche
Uwiiiiii evaeee HECHEE.
Mungu akulinde baba
Thankx
Tarime hatuchagui mabwege!!!! Heche 2020 hakuna mpinzani kwako tata!!!!!!
Wabunge wa upinzani wana akili sana na ndio maana mwaka huu wamewafanyia figisu ili asiwepo wa kusema maovu yao ccm kuna ubabaifu sana
Hongera sn mkuu utarudi tena Mungu akipenda
Heche upo vizuri sanaa
Fact
Heche noma aiseeeeeee
Conrad junior huu ndiyo ukweli
japo niko mbeya namkubali sana uyu jamaa john heche
Hasante sana mheshimiwa
Naipenda iyo
Sana kaka imepenye
safi sana,keep a good work alive
chadema 1 =ccm 25
du hongera sana kamanda apana chezea chadema www
Wapinzani ndio Kila kitu. Hongereni sana wapinzani
Huyu jamaa hatareee sanaa
John Heche ni mmojawapo wa watu makini na vichwa sana, bahati mbaya sijui kwa nini watu bora wapo nje ya system.. walio kwenye system ukisikiliza wakiwa wanahojiwa unaweza kushika kichwa aibu tupu
Sijawahi jutia Mb zangu kwako kaka, I wish maneno yako yangewekwa km kumbukumbu ili kizazi kijacho kijue kuwa uliyasema hayo!
Muungwana huongea yaliio moyon tumewamiss
Najivunia chadema
Nampenda sana heche jamani Mungu amuweke miaka 100 anaongea point ni mkweli anajiamin yuko gadoooooo
Haya wakina bashite mpoo
Namkubali sana uyu jamaa
Kazi nzuri
Asanteeeee
Nakuunga mkono Mheshimiwa Heche..umeongea la maana leo.
Big up
Safi Murah tabhaghambera mbane Enokwe akotangate
huko juu
Tamimu Vairres 🤔
Mtapata tabu sanaa ccm
penda sana chama langu ✌🏼✌🏼✌🏼forever 😍😍😍
Points, Heche
Saafi sana
Hizo ndiyo hoja
Nice
kweli wew jembe
Kuna wabunge mna akili kuptiliza, saf sana
Heche ni mwanaume na kiongozi wa kipekee anayeweza kusimamia maslahi ya wananchi wote Tanzania nzima
😭😭😭😭😭😭
Rais wazikilize hawa hata kidogo tu. Itakusaidia
ahsante
anaongea jamaaa noma sana
Point's tupu
Mbunge mmoja wa upnzan sawsaw na ccm 20
Kwa akili yangu wanataka halmashauri zote waziongoze tu kwa remote ccm waweze kuwanyima wapinzani kwenye halmashauri zao.....WATALIPIGANIA SANA HILO WAZO CCM WATZ TUKIKAA KIMYA.LITAPITA KISHA MTAONA JINSI UBAGUZI UNAVYOZIDI KUKUA KWA HARAKA
Wengine wanasema uncle magu alikua Sawa%, lakini uamini usiamini lipo kusudi la kuondoka kwake, maana hakuna mwanadam mkamilifu ila Mungu TU
ubarikiwe kk
Utashangaa hata hawasikilizi na kufanyia kazi point kuntuntu kama hizi
hatariii cjui
Heche umeshashinda ubunge trh 29'10'2020
Kuna raha sana kuwa upinzani
Simon Fundi
Mh.Waziri wa fedha chukua hili...tuokoe watz...
Barlows sana kamanda
mungu akubarki sana ndugu
mbona hawaombi taarifa ,saf
anaongea point tupu
Ila kweli kuna kitu cha kujiuliza hapa mapato ukitoa matumizi unaanza kujiuliza hela ya kujenga Standard gauge Railway zipo wapi?
Nikweli nimeenda Tanesiko kuwekewa umeme kwenye nyumba ambayo inaumeme tahari ninatakakutumia pekeyangu make mwenyenyumba aliniruhusu nikaambiwa nilipe sh350000
Huyu ndio mra msimi
Taarifa za leo
Majibu
saf saaana
Wewe mh heche ni msema ukweli kuliko jiwe
Heche ww ni mbunge wa aina yake tangu tarime tuchague sijaona kiboko kama ww, kura yangu 2020 lazima iangukie kwako .
Saw kabisa
Namkubali
Jembeeeee hilooo
yani selikari hii nishida
wabunge ni kama hawa sio wale nyinyiem wanao ogopa kusema ukweli
Silinde ht km kipofu mnafiki mkubwa
Global tv mm nna ushauri icho kitu kinacholia iyo sound mwanzo kabsa toeni inaumiza maskio kwa ss tunaotumia earphone
Heche we ni jiwe kwerikweri nakupongeza kwa dhati kabisa,
Saf San
Wabunge wa ccm hawawezi kuongea kama heche.akiongea hvyo tu.anapugwa.
heche noma
Mbunge wa mbeya
Jembe hilo ccm kalalen
new JPM.
Mbn ccm wanawachukua wapinzani...