TISHIO LA MAUAJI: HECHE AWATAJA KWA MAJINA WANAOMTISHIA UHAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ย. 2024
  • Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche adai kuwa amekuwa akipokea vitisho vya mauaji tangu alipozungumzia suala aliloliita la ufisadi katika vitambulisho vya taifa na utengenezwaji wa pasipoti za kielektroniki wakati wa kipindi bunge la mwezi Februari.

ความคิดเห็น • 184

  • @erickpallangyo1325
    @erickpallangyo1325 5 ปีที่แล้ว +5

    mungu akulinde eche ✌✌✌✌✌💪💪💪💪💪

  • @ungonelamapunda4908
    @ungonelamapunda4908 6 ปีที่แล้ว +2

    pole mh. mbunge. mungu atawaumbua wabaya wako....

  • @ngajangaja6640
    @ngajangaja6640 5 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akuepushe na watesi wako heche amen

  • @chenodigganyika297
    @chenodigganyika297 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu akulinde mh Heche!

  • @michaelmachugu7136
    @michaelmachugu7136 5 ปีที่แล้ว +8

    mungu akurinde we nikama wagwe usiogope tuko pamoja nawe 100

  • @veronicamnico7039
    @veronicamnico7039 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 6 ปีที่แล้ว +7

    Mungu ndio mlinzi wako

  • @henrypodolski3652
    @henrypodolski3652 6 ปีที่แล้ว +1

    poleee sanaaa

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ata kulinda kama atulindavyo!!!

  • @hullianawadeya8008
    @hullianawadeya8008 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi richard okello
    Hongereni wanatarime kwa kupata mbuge sisi wanarorya tuna ngurue kwamba ni mbunge

  • @getaromagaiwa7918
    @getaromagaiwa7918 5 ปีที่แล้ว

    safi sana JOHN HECHE!!!!! Hoja kuntu!!!!

  • @shammahlupon7945
    @shammahlupon7945 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama unamtambua Heche ni Shujaa ngonga like!

  • @danielgasaya6720
    @danielgasaya6720 6 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atakulinda mbunge . hao wanaokuombea mabaya watatangulia wao kaburini

  • @julianusnambert2237
    @julianusnambert2237 5 ปีที่แล้ว

    neema unakomenti ujinga subili nawewe yatakukuta pumba yamtama jinga sana Pole sana mh heche

  • @stanfordsaulo5403
    @stanfordsaulo5403 4 ปีที่แล้ว

    Utoto was siasa ndo sababu pambana tu mungu yupo

  • @shepherdizotarimo8227
    @shepherdizotarimo8227 6 ปีที่แล้ว +1

    Duh Haya Mambo Yakutishana Hayataisha Mpaka Tutekenyane kidogo

  • @davoo2555
    @davoo2555 5 ปีที่แล้ว +5

    Watanzania wenye uelewa na akili zetu timamu tuko pamoja Mkuu usiogope

  • @mickmaheka2541
    @mickmaheka2541 5 ปีที่แล้ว +7

    Ss ni Tarime tuko fiti tumekuchagua mura pigakazi

  • @iddiaman6418
    @iddiaman6418 6 ปีที่แล้ว +2

    Bora uwataje umma ujue

  • @pauloabdala6516
    @pauloabdala6516 5 ปีที่แล้ว

    da aise kaka uko pw sana

  • @ziadaalute6836
    @ziadaalute6836 6 ปีที่แล้ว

    Munguingilia kati

  • @FocusMachumumwizarubi-m3y
    @FocusMachumumwizarubi-m3y 8 หลายเดือนก่อน

    MUNGU ni mkubwa sana atakuepusha nao maadui na wezi wa nchii hii

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 4 ปีที่แล้ว +1

    Heche chacha kama wangwe....!!!!

  • @chuwaerasmi5564
    @chuwaerasmi5564 5 ปีที่แล้ว

    Ni heri ukisema ukweli kulìko kufanya unafiki. Watawala watambue kuwa wao ni binaadamu kama walivyo wengine. Wakumbuke pia nao watakuwa na mwisho. JOHN HECHE usiogope chochote, MUNGU wetu anakulinda

  • @kajanjaahamadi7550
    @kajanjaahamadi7550 6 ปีที่แล้ว +2

    nikweli heche kwasasa tunashinikizwa tukubari hata uovu wa serikari jamani hii si haki

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 ปีที่แล้ว +4

    Nakushauri ukaripoti na kituo cha polisi

  • @elianifaaluka4790
    @elianifaaluka4790 4 ปีที่แล้ว

    Watakufa wao watakuacha Mungu atakuokoa

  • @lameckmtaka2659
    @lameckmtaka2659 5 ปีที่แล้ว +1

    Soma zaburi 23

  • @simonkasongi1460
    @simonkasongi1460 6 ปีที่แล้ว +4

    Pambana kamanda, pamoja na vitisho vyao kamwe haturudi nyuma.

  • @raphaelsimba2806
    @raphaelsimba2806 6 ปีที่แล้ว +3

    Fanya kazi bro kukimbilia kweny ma t.v haya kusema kwetu tukusaidie nn maan tumekuchagua ww ukatuwakilishe sisi hatuna nguvu yyte bro

    • @ukweli255
      @ukweli255 6 ปีที่แล้ว

      raphael simba mbungeni wanambia nenda kwenye mada sasa kwenye Tv ndio sehemu ya kunenea na kuwatarifu wananchi nini kinawasibu nje ya kazi zao..tuyapokea kama yalivyo sio mambo ya kupuuza huyo ni mtu mzima anajua nn cha kufanya kiki zinawenyewe

    • @raphaelsimba2806
      @raphaelsimba2806 6 ปีที่แล้ว

      Aloyce Garani mm naonaga wananivuruga tu rafk yangu sisi tumewapa dhamana hiyo watuhangaikie bro na pia waliapa Miungu yao yte leo sisi hatuna nguvu tena bro

    • @muddyville
      @muddyville 6 ปีที่แล้ว

      raphael simba we umempa dhamana nani mbuzi ww, si ulichagua kijani ???

    • @raphaelsimba2806
      @raphaelsimba2806 6 ปีที่แล้ว

      Mahamudu Juma na hapo ndo nmeona jinc gan ulivyo na upeo mdgo ww jamaa unahisi matusi au kuitana majina ya ajabu ndo suluhisho????nakupa pole kwa herufi kubwa maan sio kosa lako iseeeee

    • @muddyville
      @muddyville 6 ปีที่แล้ว

      raphael simba so what the hell do you want to tell me? Stay the fuck away from me... Dumbass!!!!!

  • @mwahamedychilungu8981
    @mwahamedychilungu8981 3 ปีที่แล้ว

    wanakufa wao sasa

  • @awadhijuma4223
    @awadhijuma4223 4 ปีที่แล้ว

    wakikuuwa wakikuuwa heche. hakuna rangi waacha kuona tumechoka watz kuona watu wanatekwa wanateswa nahata kuuwawa hivihivi et kwasababu ama hukusapot mambo yao unatofaut kiitikadi wasizani watz hatujui kinachoendelea mhh kunyamaza pia nijibu twendenitu tutafika

  • @ramahhouzzer2342
    @ramahhouzzer2342 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hilo tutamtafuta zito mana ndo kibokoyao

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 5 ปีที่แล้ว +2

    Habibu mbwa kabisa, na huyo usalama wa taifa ni usalama wa jehenamu.

    • @unadanganyabanadunia1038
      @unadanganyabanadunia1038 5 ปีที่แล้ว

      Habibu mchange ni muhuni tu kama wahuni wengine.. kashindwa masomo UDOM 2009 sas yuko mtaani anaokoteza Mambo ya hapa na pale.. ni mganga njaa tu uyo.. namjua in and out..

  • @bestonmfikwa8510
    @bestonmfikwa8510 4 ปีที่แล้ว +3

    Tarime mna jembe

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว

    Watu wa Musoma mnatisha sanaaa,kujiamini asilimia 1000.Pole ila km Ni kweli siyo Jambo zuri kutafutana kwa Nini watanzania mnafika huko?

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 4 ปีที่แล้ว

    Uhuni WA kishamba

  • @benardzephania7728
    @benardzephania7728 5 ปีที่แล้ว +2

    Du KUMBE siasa ni chafua nikuchafue

  • @albertsengo8334
    @albertsengo8334 6 ปีที่แล้ว

    Tarehe 26 nikesho kutwa2 jamani hata msi hofu

  • @musadosa4115
    @musadosa4115 6 ปีที่แล้ว +5

    mmesahau majimboyenu mnakamjini kazi kutafuta kk wananch wanateseka wapinzani mnakaa dar mnakearasana

    • @ezekielmwadomba4675
      @ezekielmwadomba4675 6 ปีที่แล้ว

      Ampty brain!!!!!!!!

    • @fredymachumu465
      @fredymachumu465 6 ปีที่แล้ว +1

      Ezekiel Mwadomba ww ndo empty mzee

    • @ezekielmwadomba4675
      @ezekielmwadomba4675 6 ปีที่แล้ว

      @@fredymachumu465
      HAPO NDO UMETHIBITISHA KABISAA!!! KWAMBA WEWE UME WAPA MZIGO WALO HUSIKA KUKU LETA.

    • @fredymachumu465
      @fredymachumu465 6 ปีที่แล้ว

      Ezekiel Mwadomba awana lolote awa mzee MFA maji haishi kutapatapa, mda so mrefu u ujinga utaishaa

    • @ezekielmwadomba4675
      @ezekielmwadomba4675 6 ปีที่แล้ว

      @@fredymachumu465
      Yupi anatapatapa?

  • @ibratzramadan2745
    @ibratzramadan2745 6 ปีที่แล้ว +2

    Tutachukua yanayotuhusu yasio tuhusu tutakuachiaa,kuna watu hawajawahi fikwa na jambo lolote soo they will take this as bushit ani.....ila siku yakikuta utajua kama anasema kweli ama uongo .time will tell

    • @exaudmwakila2651
      @exaudmwakila2651 4 ปีที่แล้ว

      Acha vitisho mtu mzima atishiwi nyau hi nchi sio ya babaako ni ya watanzinia wote Kuma la mamaako

    • @awadhijuma4223
      @awadhijuma4223 4 ปีที่แล้ว

      kwan hao wanaowauwa wanawauwa kwalipi mjinga wewe

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 4 ปีที่แล้ว

    Ninyi hamjengewi chuku ila mnajijengea chuku kwatabiazenu zakuchonganisha wtz ninyi mmkwisha hamnamaneno yakujenga nakuwaunganisha wtz ilamnahoja za kuisambalatisha tz

  • @shadrackmwelela6935
    @shadrackmwelela6935 6 ปีที่แล้ว +7

    hawa mafisi wanaokutishia ni mazwazwa wote,TUPO PAMOJA HECHE

  • @stephanothomas3585
    @stephanothomas3585 6 ปีที่แล้ว

    No litit No salender!! pumbavu zaoo...

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว

    Yaan tuko tayari hata kufa, hatumuogopi mtu yeyote...tupige kazi...

  • @isaacmakiro1140
    @isaacmakiro1140 6 ปีที่แล้ว

    WATAJE BROO ILI UKIPATA TATIZO TUWAJUE SAFIII

  • @nicholausnchimbi1599
    @nicholausnchimbi1599 5 ปีที่แล้ว

    Ahh wapi tuache wongo in nyie wenyewe kwa mini mliwasamehe walioponga kumteka meya

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 6 ปีที่แล้ว

    Ila jeshi hata sikumoja huwa halikagui bwana BOni kazingua

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 4 ปีที่แล้ว

    Propa kama ganda tushazoea akili ya kuambiwa weka na yakoo...!!!

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 5 ปีที่แล้ว

    Ukionekana unakosoa Nini John 🙊🙊

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx 8 หลายเดือนก่อน

    Mwamba

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 5 ปีที่แล้ว

    Pambana heche wewe ni jeshi, achana na mapoyoyo wanaojiita ni watu wasiojulikana.

  • @francisdaudisibuti1882
    @francisdaudisibuti1882 6 ปีที่แล้ว

    Tarime ni watalamu wa kufinya wakileta za kuleta gecha mula

  • @paulokilenga8025
    @paulokilenga8025 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante xna kwa kutu taarifu hao wajinga kwa majina yao. ...

  • @labanylabany2879
    @labanylabany2879 6 ปีที่แล้ว +1

    tokaaa apaaa wew nanii anakutishiaaa

  • @temesjames8867
    @temesjames8867 6 ปีที่แล้ว +6

    Kama umesha hakikisha unatishiwa basi na wewe mtishie ilimwende sawa halafu jilinde kama kufa sote tutakufa hainasababu ya kuogopa

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 5 ปีที่แล้ว

    kiki hizo sasa tukusadie ninyi kama mmekosa nidhamu na mmekuwa wakudhalau Mamlaka kiukweli kwasasa mnaboa sana mmekuwa kama vichaa wasio jielewa .

  • @paulokilenga8025
    @paulokilenga8025 6 ปีที่แล้ว

    habibu mchange nina hata njaaa tupu yule. ..

  • @surphianlinus6083
    @surphianlinus6083 6 ปีที่แล้ว

    😴

  • @abdulkareemally8371
    @abdulkareemally8371 6 ปีที่แล้ว

    Shame this country

  • @abasimfaume1482
    @abasimfaume1482 6 ปีที่แล้ว

    Haipendezi, na UONGO HAUDUMU

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 6 ปีที่แล้ว

    Naona unatafuta kick kwa nguvu kweri

  • @mateidesdery7614
    @mateidesdery7614 5 ปีที่แล้ว +2

    pumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 6 ปีที่แล้ว

    Heche kalale hakuna wa kukuua. Wewe mpuuzi tu. Mnajichezea wenyewe huyo inawezekana ni mbowe alifanya hayo

  • @amedeusmodestikimey9888
    @amedeusmodestikimey9888 4 ปีที่แล้ว

    Heche pambana wewe na LEMA nawakubali

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 6 ปีที่แล้ว

    Unajua kumtaja mchaw wakat si yeye mchaw ndo anakuloga ufe kabisa si anajua humfahamu

  • @dudashuga9293
    @dudashuga9293 4 ปีที่แล้ว

    Duu nishida

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 5 ปีที่แล้ว

    Tupo na YESU daima na si hao wauwaji, ogopa alah nyie serkali

  • @abdulhussein4000
    @abdulhussein4000 5 ปีที่แล้ว

    Upuuzi huwo nyinyi kila siku ndo mnasema eti mnatishiwa peleka taarifa polisi sio kwenye vyombo vya habari ulishindwa nn kuwashitaki

    • @hamzabingwe4178
      @hamzabingwe4178 5 ปีที่แล้ว

      Abdul Hussein mmmmmmm

    • @awadhijuma4223
      @awadhijuma4223 4 ปีที่แล้ว

      unajua huu shabiki wenu wakijinga mutambue tutakuja kuliawote mtu wanakwambia wanataka kumuuwa kwani tundu lissu sialipiga kelele jamani jamani mwisho wasiku sinimungutu amewaumbua wauwaji wakubwa nyinyi wote mnaotetea uovu unaondelea hapa nchini wote mnalo lakujibu mbele zamungu

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 5 ปีที่แล้ว

    Watengenezaji wa matukio chadema

    • @nassormohammed7079
      @nassormohammed7079 5 ปีที่แล้ว

      MDA WA KUFA UKIFIKA UTAKUFA NA IKIWA MDA WAKO WAKUFA HAUJAFIKA HAKUNA YOYOTE ANAEWEZA KUKUUWA NDUGU YANGU HECHE ASIKUBABAISHE MTU YOYOTE MTEGEMEE ALLAH NAHUYO ANAEKUTISHIA MAISHA YAKO HUENDA AKAFA YEYE MWANZO KULIKO WW

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 6 ปีที่แล้ว

    Woote ni wale wale waropokaji

  • @yusintheboss4483
    @yusintheboss4483 4 ปีที่แล้ว

    Heche pambana mbaba

  • @edinachami1754
    @edinachami1754 6 ปีที่แล้ว +2

    nondo wako wengi

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 5 ปีที่แล้ว

    Wahalifu nyinyi

  • @abdallahmkumbi1369
    @abdallahmkumbi1369 4 ปีที่แล้ว

    Acha woga wewe fanya kazi

  • @haroubabdallah1860
    @haroubabdallah1860 6 ปีที่แล้ว

    kaka piga kazi achana na hao wanaokupiga majungu sisi tunakuelewa sana wananchi wako

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 4 ปีที่แล้ว

    Utajiuwa mwenyewe mnafki mkubwa wakuuwe kwa lipiy au wawauwe kwalipiy mmesha jiishia nyie

    • @muhaachautahira3470
      @muhaachautahira3470 4 ปีที่แล้ว

      We mkundu nn yaan mtu anakwambia wanamtafuta ili wamuue hlf ww unamdihaki? kuma ww

    • @awadhijuma4223
      @awadhijuma4223 4 ปีที่แล้ว

      wacha ujinga unakataa bashe alipolia ndani yabunge kuhusu hao watuwenu mnaowaita wasiojulikana mbona hakubisha

  • @verdianabanabi5943
    @verdianabanabi5943 5 ปีที่แล้ว

    Watakao kukuua wewe watauwawa wenyewe. Mungu atapigana nao

  • @kudraahmad806
    @kudraahmad806 6 ปีที่แล้ว

    fuga ndevu broo

  • @sojamanyanga4084
    @sojamanyanga4084 6 ปีที่แล้ว

    kwani ww s jambazi ovyoo mjomba

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 5 ปีที่แล้ว

    Msigwa anafaa kuwa shahidi wako?

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 6 ปีที่แล้ว +2

    Mmh!!mna chosha kweli 🙄 acheni mfe tu

  • @stanleymathias7242
    @stanleymathias7242 5 ปีที่แล้ว

    Ishapita mwaka na hujafa mbona?

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 4 ปีที่แล้ว

    mmepotezana nyie sacos

  • @zabronmsabi1556
    @zabronmsabi1556 6 ปีที่แล้ว +1

    Acha uzushi nyie tunawajua nia yenu

  • @sundaystanley5459
    @sundaystanley5459 5 ปีที่แล้ว

    acha kiki zako za kipumbafu

    • @isaacsengunda3099
      @isaacsengunda3099 5 ปีที่แล้ว

      Sunday stanley mpuuzi zaidi kuliko hata wapuuzi wa mirembe.
      Mwehu sana wewe.

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 5 ปีที่แล้ว

    Makenge nyie

  • @kolokochomwakyagi5113
    @kolokochomwakyagi5113 6 ปีที่แล้ว +1

    kiki ata picha

  • @joycelugano3946
    @joycelugano3946 5 ปีที่แล้ว

    Waripoti Kwa rais wetu mwelewa atakusaidia, kuna wanaojipendekeza ndio wanaosumbua watz jamani

  • @fortunatuswangubo6013
    @fortunatuswangubo6013 4 ปีที่แล้ว

    Unatafuta kiki ya kisiasa 2020 huna chochote utabaki kupiga domo tu

  • @issamsomba7219
    @issamsomba7219 5 ปีที่แล้ว

    we nani? hata usi report Polisi, unatafuta umaarufu huo ndo uchochezi ukamatwe tu ukae Ndani

  • @leilainnocent6532
    @leilainnocent6532 6 ปีที่แล้ว +2

    Pumbavu wakubwa mmeishiwa

    • @hassankaluta8864
      @hassankaluta8864 6 ปีที่แล้ว

      Leila Innocent ningeshangaaa chizi asiongee na mdomo unaonuka mavi

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 6 ปีที่แล้ว

      kuma ww leila

    • @leilainnocent6532
      @leilainnocent6532 6 ปีที่แล้ว

      James Mbata unataja tupu ya mama yako? Kweli wewe mtoto wa kikopo.

  • @nashonnashon689
    @nashonnashon689 6 ปีที่แล้ว +1

    mura taita umutu wasikutishe

  • @kalanilukula2118
    @kalanilukula2118 5 ปีที่แล้ว

    Wabunge wa mitandaoni unamwambia nani hapa ciyo kama ujinga uongo tu mbn msigie nyinyi tu wansamge bora unde polisi kihelehele chenu

  • @husseinsenkoro5021
    @husseinsenkoro5021 6 ปีที่แล้ว +1

    Tarime vijijini inahitaji maendeleo. Wasaidie watu wa jimboni kwako. 2020 sio mbali. Vijana ni chachu ya Mabadiliko. Broo siasa hizo waachie wao waliopoteza muelekeo; lakini sio wewe. Kwa unayoyafanya sasa. Utapoteza Credibility yako kwa watu wa Tarime Vijijini.

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 6 ปีที่แล้ว +8

    Hizi kiki jamani. Mtu ukidhulumu watu ukiona unafuatiliwa unaongea kitu uonekane umegusa jambo useme unafuatiliwa. Hebu acheni watu waishi kwa amani. Matumbo yenu yasituponze watanzania wote.

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 4 ปีที่แล้ว

    Nendazako akuuwenani wewe

  • @bahatiboniphace2613
    @bahatiboniphace2613 6 ปีที่แล้ว +3

    heche ww unakotoka tu tabia ya ujangili ipo usianze kujitetea kama hukufanya Mungu atakusaidia kama ulifanya dhambi lazima uilipe ikumbukwe malipo yote nihapa hapa duniani

    • @natusjahnidc4441
      @natusjahnidc4441 6 ปีที่แล้ว

      Bahati Boniphace # mbona kama una laana ya kudumu,angalia hoja ...anakotoka ndo nn ina maana unataka kututukana tunaotoka huko au unatakaje

    • @maulidikigonashable4575
      @maulidikigonashable4575 5 ปีที่แล้ว

      Pore kwa kwa kutishiwa maisha

  • @hellenmwayole8715
    @hellenmwayole8715 6 ปีที่แล้ว

    Fyuuuuuu

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 5 ปีที่แล้ว

    Acha hizo wewe mfa maji.