HECHE ASIMULIA ALIVYOKOSA POSHO ya MIL1 kwa SIKU - BUNGE la NDUGAI TIMUATIMUA ya WABUNGE wa UPINZANI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- HECHE ASIMULIA ALIVYOKOSA POSHO ya MIL1 kwa SIKU - BUNGE la NDUGAI TIMUATIMUA ya WABUNGE wa UPINZANI...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Asante sana mwanaharakati Heche kwa kutukumbusha kazi ya mbunge: 1. Kutunga sheria. 2. Kukosoa na kusimamia serikali. 3. Kuhakikisha serikali inapeleka maendeleo kwa wananchi. 4. Kufukuza kazi serikali ambayo inashimdwa kupeleka maendeleo kwa wananchi. 5. Kumfukuza kazi (impeach) rais. Natumai nimekuwa mwanafunzi mzuri na nimepata maksi nzuri leo katika mafundisho (somo) la leo la mwanaharakati Heche.
Brorher heche nakukubali sana unamaono halisi yauongozi namna yakuwatoawatu mahaliwalipo kusonga mbele namaisha yenyeunafuu kupitia malitulizokuwanazo,big up mybrother iposiku💪🏻💪🏻
Hongereni sana global kwa kuvialika vichwa makini kwenye studio zenu. Kuna studio zinapenda kualika wale wanaosifia kila kitu. Waalikeni sana upinzani maana hao ndio wanaotusemea wananchii. Wanatutoa porini na kutuleta bara barani. Big up sana global TV. Ninyi mnaongoza wengine wanafuataaaaaaaa!!!!
👏
Kolumba Lebabaz. Mshauri Mh. Heche agombee uenyekiti wachama taifa. Mwamba yupo vizuri balaaaaaaa!!!! Mbowe ana vichwaaa hatari sanaaa...
Sana
Umeonaa eeh
Ni baada ya miaka 5 ijayo lisu akimaliza.muda wake
Kichwa kizuri hiki, SEMA watu makini ubezwa ❤❤
Brother John Big Respect Big brain long lifetime 🙏
I proud to be with You Brother in Home sit Tarime ...God lord bless You we play for u.. You do best and greater pokea maua yako🎉❤nipo dar nafuatilia hotuba yako daily points tupu
Not I proud, but I'm proud. You are grammatically poor.
Brother your very smart
Mh. Mbowe kwakweli vijana unao kweli uliwapika wakapikika kamanda.
Aisee inauma sana kuona watu mhimu kama mh HECHE hawako madarakani kuiongoza nchi badala yake tunatawaliwa na machawa aisee mi naumia sana
Ni Hatari Akili Ndogo Kuongoza Akili Kubwa, Huyu Alifaa Kua Mtu Mkubwa Sana Wizi Wa Kura Nakukosa Tume Huru ya Uchaguzi Vinatunyima Mchango Watu Wa Maana Kama Heche, Katiba Mpya Ni Sasa.
Inauma saaanaaaa aseee
Kweli kabisa ila mimi daima CDM watu wenye akili
Bg up Mr heche mwamba kabisa
Akili zipo vizur aisee dah? Kule kati hamna kitu aisee! 🎉🎉
mh heche akili kubwa sana ccm wana kariri wamekosa ubunifu
Kuna vitu vingi sana vya kumuinua mwananchi wa chini leo hii muwekezaji akija nchini anakuja na bajeti ya kuwalipa wafanyakazi wake malipo mazuri kabisaa lakini akifika hapa akionyesha malipo ya kuwalipa wafanyakazi anaambiwa hizo hela nyingi sana kuwalipa hawa watu wanaanza kupewa hela kidogo kabisaaaaa ambayo haiwezi kumuendeleza mfanya kazi ila wangesimamia watu wa sekta binafsi walipwe vizuri nchi hii ingekuwa inamelemeta sana
Kabisa kaka umesema ukweli watu wazima wanalipwa lakimoja na nusu
Akili kubwa 🎉🎉🎉🎉🎉
Mzee gombea bas urais Nyerere wetu
Heche umeongea point sana kama ingependeza ingekuwa mkufunzi uwafundishe wabunge wa ccm kutekeleza wajibu wao.
Nynyi waandishi msikate hizo enterview
Achen uchawa
Yaani Heche Mungu amjalie maisha marefu aisee.
Sifa za Watanzania walio wengi ni kuwa waongo, wanafiki na kujipendekeza.
Heche nakukubal mbaya nafuatilia kile video yako napenda uzalendo🎉
Posho za namna hiyo wakati wananchi wanaumia! This is so sad!
Jamaa yupo vizuri sanaa
Ahsante Heche Kwa Haya Madini.
Uko sahihi kaka
Jamaa kichwa snaa...Hana anaposoma anavyokichwan akili kubwa sna asee! Dah!
Heche ni noma sana jembe kweli
Panzi ana miguu mingapi😂😂😂😂
Chadema ina watu smart sana na ukifatilia hata comment wale wapiga makofi hawana cha kucomment umu
Watanzania tunatakiwa tumuombe sana Mungu,hatuwezi kumpata spika wa bunge kama marehemu Sitta,Mungu amuweke pema huko aliko.
Saf sana uko vzr
Ndugai alilewa ukereketwa mpaka akajivua uSpika wake na elimu yake kwa faida ya siasa za maji taka wakati wa Magufuli,kiasi cha kujidharaulisha kwa wananchi kabla hajajitumbua mwenyewe kwa ujinga uleule....!
heche insha'Allah tukutane bungeni 2025
Kumbe hii inchi Kuna watu wanakula maisha wengine tunasurvive.Yaani kumbe mnalipwagwa milioni 12 Kwa mwezi halafu posho kila siku laki nne.Bado Tena mkistaafu mnalipwa dah!!
Ahahaaa usiumue sio ww tu sote mioyo yetu inaumia ndo Tanzanian yetu iyo nchi ya kazi na bata
Saivi ni18 na posho ni laki 7
Tanzania bwanaaa!!!
Kwani hawa akina heche walisemaje juu ya Lowasa na baada ya kuhamia kwao WALISEMAJE? KWELI NYANI HALIONI 😂😂😂
Mungu bariki hii hazina ya taifa....hakika Mbowe una watu makini sana
Mhe.Heche ni Akili kubwa sana
Upinzan mko vizur sana sana ila kwakukosa ktba mpya na uchaguz huru na haki tumehuru.
Mpka jmaaa ( kurumba Hana chakuhoji) tunawashkru kwa kutuletea watu wenye akili kubwa kama hawa
Mugaka mungu nakuona
VIVA MH. HECHE....WAKATI WA MABADILIKO UMEFIKA!
Heche unaakili sana Kwa mambo unayoongea ni kweli kabisa ila kijana hawaelewi kabisa.
Heche heche heche we ni mwamba sema hii nchi haioni watu sahihi!
Big brain always speak the fact
Kweli wew ni mwandishi msomi.
Akili kubwa hii, CCM haitaki watu wenye akili
Akili nyingi ndio kama hizi.
Hvi hawa watu wapo selekalin? Mbna watu wenye akili ndo wnachukiwa hakika Dunia hii haipo sawa
ukweli usemwe tuu huu jamaa ana IQ kubwa sana ni mtu wakumtumia
Nakukubali mbunge wangu wa sirari wewe nijembe alafu nijembe tena
Madam President sikiliza watu wenye akili timamu
Yani natamani ccm iondoke madarakani leo, heche hongera ipo ccm watakuelewa
Mh wanavyo kataa katiba mpya wanajua
Ingia darasani nod utaelewa hilo swali lako
Bunge ni idara ya chama Cha mapinduzi
Heche kichwa sana
Àkili kama hizi ni adimu hongera heche
👊✌️👍.
Kiongozi hakuna kitu kibaya kama unawabunge wa ugonjwa wa Akili Kwahiyo CCM wote wana ugonjwa wa Akili
Namwona mwenyekiti hajae chadema
Yaan wewe hakri yako ni sawa wabunge 200 ya wale wa kile chama Cha ndiyooo Kila kitu
Wao ni uchawa nahuku inateketea
Mal Rushwaa hugeuzwa kuwa mtumwa wa Mtoa RUSHWA. Ndiyo walivyo VIONGOZI walio saint mkataba ya madini kisha WANANCHI WAKASHANGILIA SAAANA.
Katiba mpya ndo kilakitu
Kichwa hewa tu mpuuzi huyu kazi kubeza serikali hamna lolote na Chadema yenu
Ww unaumwa akili sio bure
Wewe ndiyo mgonjwa kumsaidia mpuuzi
Wewe mwerevu tuambie huo ukweli wako.
Sasa tumweleweje huku anapinga ujenzi wa viwanda na mawazo ya jpm alokuwa nayo upande mwingine anasema vingejengwa viwanda watu wapate ajira na vitu vitengenezwe hapa . Nadhani Rais jpm ndo suala alokuwa anaubili sana kuwa hata madini yaongezwe thamani hapa nchini. Lkn sawa ndo kipindi cha kuanza kujifagilia njia mwakani.
Viwanda vipi niambie hata vitatu tu muhim
JPM hakufaa kuwa rais yule.
Delete ccm
Unafiki ndio kazi yenu nyote wanasiasa, hata Wapinzani walituambia Lowasa fisadi baadae mkamsifu. Ni upuuzi kusema Mbunge wa Tanzania amuwondoe Rais wakati Rais ni 51% ya Bunge, yaani Rais anaweza kufanya lolote bila Bunge wakati Bunge haliwezi kufanya lolote bila Rais. Utamfukuza je?
Mbuna hueleweki uone hata aibu
Haya mambo huwezi kuyaelewa ingali bado unaishi kwa shemejio subiri siku ndoa ya dadako ikivunjika ndio utaielewa dunia ikoje😢
Pole sana, shida ni shule. Bila shule huwezi kujua majukumu, wajibu na nguvu ya bunge kuisimamia serikali!
Tanzania bwanaaa!!!