Siku zote mshiha achana nae kabsa toka enzi za Vita ya iraq Vs iran ,iran ilipoteza raisi waziri na makamu ila bado walizipiga iraq marekani usoviet kwahyo watu hao hawana cha kupoteza wakimvimbia marekani
Nimeirudia Mara 3..ili nieleweee...mwaliko wa waziiii kwa wale wanaotaka kushirikiana nasiii😊😊😊❤❤China urusi no 1...wengine mkitaka mjeeee .....habar kubwa yenye akir❤
Hakika sikuzote Iran ipo kweny haki big up 🇮🇷🇷🇺🇹🇿
Nilitamani sana kusikia hiyo taarifa, afadhali Sasa kazi iendelee.
Wqoooo nmekupenda bure asante sanaa raisi kwa kuitambua urusi
Asante ezechian,kwa kucaguwa upande mzuri china na urusi.ongera...
Huyu jamaa naona atakua tishio zaidi kuliko Ebrahim Rais maana anajua vizuri sana wamagharibi sio watu wazuri
Safi sana hapo kidogo naanza kuwa na iman na ww sasa
Sasa marekani hofu yake nn mana km silaha za nyuklia yeye anatengeneza ss irani isitengeneze woga sana
Congratulations mr prisdent fr🇹🇿💪💪
Safi sana, Russia forever 🇹🇿
Mwenyezi Mungu amsimamie
Safi sanaaaa
Mungu ahsante..
Moto ni uleule
Tunaendelea tulipoishia kwelikazi iendelee
Wasikukute kwenye helicopter zao😂😂😂😂😂, all the best kwenye majukumu yako Mr president
Kabisa 🎉🎉❤❤
❤❤
Hatuna shida nae akafie mbali🤣
💥💥👑👑
Siku zote mshiha achana nae kabsa toka enzi za Vita ya iraq Vs iran ,iran ilipoteza raisi waziri na makamu ila bado walizipiga iraq marekani usoviet kwahyo watu hao hawana cha kupoteza wakimvimbia marekani
😂😂😂 yaani Una vichekesho
🙏🙏
🇹🇿🇹🇿🌹🇹🇿
Nakubl
Big up mr president ❤❤❤❤
Nimeirudia Mara 3..ili nieleweee...mwaliko wa waziiii kwa wale wanaotaka kushirikiana nasiii😊😊😊❤❤China urusi no 1...wengine mkitaka mjeeee .....habar kubwa yenye akir❤
Like dat 🇮🇷🙌🙌🇮🇷
Teeena
Hakika irani inanguvu
Kumbe anavimba alafu anaogopa kutengeneza nuclier
Pgne hayo mashoga
Muungu mbariki huyu raisii
Dah afazali,,tulizani hili no mamluki la magharibi,,kumbe mtu yumo,,afadhali
NAONA BARA LA ASIA SAIZ WAMEJIPATA MAAK SI KWA DERBY HII
USA ft ( RUSSIA , IRAN , CHINA ,INDIA etc)
😅😅😅 hawatak mchezo wembe ni ule ule
Yaani kabisa na India ukaiweka hapo😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani India akawe pamoja na Iran na China 😂😂😂 amka bro
@@jonasmrema8550 Tena aamke asije akajisaidia kitandani
Marekani kazi anayo
Unaota 😒😒😒
@@user-nb6yh2bn9ymarekani mashoga
Anaota ndoto ya mchana
@@user-nb6yh2bn9y marekani mashoga
Arra akupenguvu
Hyu jamaa ukimtazama usoni unajua kbca n muongo
😂😂😂😂
Mm namtaka Elia mpanzu wew unaongelea rais wa iran😢