Hivi ndivyo URUSI ilivyojidhatiti kwenye VITA vya KIELETRONIKI (Electronic Warfare)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 97

  • @ManusuraWalumona
    @ManusuraWalumona หลายเดือนก่อน +8

    Shabiki no1 wa makala zenu nawapenda woote makala za kielim hongereni sana!!!mmepiga hatua kubwa katika hili

  • @JosephMhecha
    @JosephMhecha หลายเดือนก่อน +9

    Urusu ni noma sana kwenye masuala ya Tech ila hawajitangazi kama west.

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z หลายเดือนก่อน +9

    Jamaa wako mbali sana

  • @SebastianKatwali
    @SebastianKatwali หลายเดือนก่อน +8

    tuko pamoja

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 หลายเดือนก่อน +1

    Big up sana SNS kwa madini mazuri..Big up kaka aly kwa uchambuzi mzuri sana

  • @amirinestory
    @amirinestory หลายเดือนก่อน +18

    Leo ndio nimejua ukibinyeza Comment ya mtu mara tatu unapunguza matumizi ya MB kwenye video husika...Uraaaaa

    • @amirinestory
      @amirinestory หลายเดือนก่อน +1

      Ally ana ni mchambuzi mzuri sana na Sauti yake kama ya jaivah inanogesha sana na kutuwakilisha vyema vidume vya Taifa hili.

    • @user-wd7eg4ql2i
      @user-wd7eg4ql2i หลายเดือนก่อน

      ​@@amirinestoryizo ni dalili za ushoga mama ww

  • @user-eg1ts2fu9z
    @user-eg1ts2fu9z หลายเดือนก่อน +12

    Brother Ali unafanya uchambuzi Wa kina Sana Yan ule Wa ndani

  • @ezekiakiwovele7794
    @ezekiakiwovele7794 หลายเดือนก่อน +3

    Noma sana

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 หลายเดือนก่อน

    Sana mwnangu masubi madini makaliii🔥🔥🔥🔥

  • @alijuma7674
    @alijuma7674 หลายเดือนก่อน

    Denisellisha huyu kaka Ally Masubi anatowa madini makubwa sana na jamaa yupo sawa tunachokitafuta ni really knowledge na uhalisia

  • @ezekiakiwovele7794
    @ezekiakiwovele7794 หลายเดือนก่อน +3

    Safi

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 หลายเดือนก่อน +1

    More blessings

  • @ezekiakiwovele7794
    @ezekiakiwovele7794 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika

  • @danvannyzawad6452
    @danvannyzawad6452 หลายเดือนก่อน

    Ali masubi on top🎉

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo sauti ya biti ya hako kamuziki kwa mbali iyongeze sauti kidogo ipochini sana.

  • @juliuswambura5488
    @juliuswambura5488 หลายเดือนก่อน

    Ndeg ..,👋

  • @aftapat5365
    @aftapat5365 หลายเดือนก่อน

    asante🎉

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 หลายเดือนก่อน

    Masubi Sasa umekwivaa 🎉🎉🎉

  • @KheriKhatibu
    @KheriKhatibu หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn หลายเดือนก่อน +1

    Iran nae msimchukulie poa

  • @user-xc5mk4ro2z
    @user-xc5mk4ro2z หลายเดือนก่อน

    Sns 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Sina mpaya mm

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 หลายเดือนก่อน +3

    Putin

  • @ibraimnikolaus9702
    @ibraimnikolaus9702 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda uchambuzi wako unaga ushabiki unaangalia uwezo wa mtu

  • @adiliwasanga4521
    @adiliwasanga4521 หลายเดือนก่อน +4

    Tuendelee kuliombea taifa la urusi

  • @saidiyusufumuhode3159
    @saidiyusufumuhode3159 หลายเดือนก่อน +2

    Vita ni technology aisee hiyo ndio warabu wanakosa

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 หลายเดือนก่อน +3

      Pia unafiq ndo unawaharibia warabu mfano angalia kuwait ndio ilimpa USA nafasi ya kuweka zana za kivita ili iraq ishambuliwe.Juzi kati iran balozi zake zilozoko Syria ziliposhambuliwa ,iran ilivyojibu pigo Jordan ndo ilikua inadungua drone za Iran.Wamagharibi wanavibaraka mpaka kwenye nchi ya kiarabu.

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 หลายเดือนก่อน

      ​@@africanmandetraveler2847
      Irani siyo waarabu
      Iran ni magaidi
      Washia hao hawafai

    • @isihakarajabu2549
      @isihakarajabu2549 หลายเดือนก่อน +1

      Waarab wako vizur tuhu kwenye technology ila unafiq au kutokuwa na umoja ndio changamoto.
      Fatilia Iran wana technology kubwa ila Saudi Arabia na baadhi kama Jordan hawaiungi mkono
      Ndio maana washirika wa iran ni Qatar, Syria, Pakistan,Turkey kwa sasa hivi kidog Iraq ndio kwa jitihada za China kuwaunganisha

  • @AbiKubanga-n5l
    @AbiKubanga-n5l หลายเดือนก่อน

    Dj smaa Iko wapi mbona kimia sana

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 หลายเดือนก่อน

    Limelipuliwa

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 หลายเดือนก่อน

    Masubi majina ya campun weka kabatini usiwataje kama hawatoi sadaka😂😂

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx หลายเดือนก่อน

    Braza masub hawa warus wanaenda nnjee kusomea mambo ya teknolojia

    • @JohnCage-we6tp
      @JohnCage-we6tp หลายเดือนก่อน

      Hata watanzania wengi tupo nje tunasoma ila tukija huko bongo tunafanya nin??hao wanaend nje kusoma ila wakirudi wanapewa material na nyezo muhimu ndio Maan wanapiga hatua san

    • @hamishatibu699
      @hamishatibu699 หลายเดือนก่อน

      Awaendi nje ya urusi kusomea chochote ktk maswala ya kijeshi hawa jamaa wanauwezo mkubwa xna ila sio watu wa kujitanga kama magharibi.

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk หลายเดือนก่อน +1

    🇹🇿🫡🇷🇺

  • @shabanihamisi115
    @shabanihamisi115 หลายเดือนก่อน

    Neno sahihi la Kiswahili lilipaswa kuwa "jizatiti" na siyo jidhatiti@sns

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ หลายเดือนก่อน

    Wangeenda mbali siku NATO wakirusha vibuyu vyao vipoteze uelekeo viende New York city badala ya Urusi 😂😂

  • @lodricophd728
    @lodricophd728 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa anavyofafanua utazani anasumulia watoto wa chekechea😅

    • @deniselisha8158
      @deniselisha8158 หลายเดือนก่อน

      Kabisa aisee, utafikiri anasimulia bibi na babu kijijini 😂😂

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 หลายเดือนก่อน

      Ni kwa scope ambayo kila mmoja anaweza elewa ila ukitaka tuzqme deep hata ww unaweza usiambue kitu mpala uwe umespecialize kwa hyo kitu.

    • @mountaincoffee7
      @mountaincoffee7 หลายเดือนก่อน

      Kama una uwezo mkubwa wakuelewa. Hongera sio Kila mtu anauwezo ka wako wakuelewa jambo lazima atumie mbinu kubwa Ili Kila mtu aelewa kifup ally yupo na IQ kubwa sana

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 หลายเดือนก่อน

      @@mountaincoffee7 ahsante sana kwa kulijua hilo sio rahisi kuelezea katika lugha nyepesi ambayo hata ambaye hana ujuzi na mambo hayo aambulie chochote.

  • @MwemajaphetyZackalia
    @MwemajaphetyZackalia หลายเดือนก่อน +2

    Wahambie kuwa urusi ni majini asi Watu wamejipanga

  • @salumkhamis2059
    @salumkhamis2059 หลายเดือนก่อน

    Ivi jamani nikweli urusi mpaka Leo anashindwa kuinyakuwa kiv kweli

    • @fadhiligasper4067
      @fadhiligasper4067 หลายเดือนก่อน

      Na hata kumuondoa Duniani yule mchekeshaji wa Ukraine anaweza pia ila shida akimuondoa duniani Ukraine haitaweza kutawalika Tena kutatokea vikundi vingi vya uhasi na kutaka madaraka

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 หลายเดือนก่อน

    Ali masoubi lazima uipaishe israil😂

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 หลายเดือนก่อน

    Mmekosea sio KUJIDHATITI ni KUJIZATITI

    • @loisujakigodson8997
      @loisujakigodson8997 หลายเดือนก่อน

      Imagine kuwa mtanzania halafu hata kiswahili hukijui.

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 หลายเดือนก่อน

      ​​@@loisujakigodson8997 we unahisi unakijua kiswahili..?.

  • @godfreydavid6847
    @godfreydavid6847 หลายเดือนก่อน

    Urusi hana nguvu aisee tumekaririshwa tu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 หลายเดือนก่อน

      Urusi hana nguvu? Unatania wewe.Ukisikia vita ndio hivyo!

    • @vladimirputn1809
      @vladimirputn1809 หลายเดือนก่อน

      Wewenitangopori pampas kizazi2000

    • @ShekhMufyd-mn9zn
      @ShekhMufyd-mn9zn หลายเดือนก่อน

      Umeshalishwa propaganda wew Mmarekami ndo Hana nguvu

    • @godfreydavid6847
      @godfreydavid6847 หลายเดือนก่อน

      @@ShekhMufyd-mn9zn hahahahahahah utakuwa unaongelea unazi na sio uhalisia..Finland alitushiwa na Urusi akijiunga NATO kuwa atashambuliwa, Marekani akamwambia jiunge mwisho wa siku Urusi analialia tu. Ukraine sasa hivi anapiga ndani ya Urusi na kashateka mji wa Kursk Urusi analia Lia tu.

    • @ShekhMufyd-mn9zn
      @ShekhMufyd-mn9zn หลายเดือนก่อน

      @@godfreydavid6847 😀😀😀😀propaganda hizo nyie ndo mnaangaliaga BBC, french 24 ,dw hamna mnachojua bora liende tu mnamezeshwa mnakalili Kwa taarifa yako wamefyekwa wote

  • @MbojiHokororo-vl5uf
    @MbojiHokororo-vl5uf หลายเดือนก่อน

    Hivi ilikuwaje mpaka Ukraine wameingia Urusi, Wakati mlisema ameweka WiGo wa ulinzi mkubwa, hatua 3.???

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 หลายเดือนก่อน

      Adui yako anapotaka vita na wewe pasipokua tatizo nae muache angie nyumbani kwako iliuweze kumshulikia vizuri 😂😂😂

    • @HABARI24532
      @HABARI24532 หลายเดือนก่อน +1

      Waulize Ukraine kimewakuta nini baada ya kuingia Urusi

    • @mountaincoffee7
      @mountaincoffee7 หลายเดือนก่อน

      Urusi nikwabwa sana

  • @deniselisha8158
    @deniselisha8158 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ni zero kabisa katika skills za utangazaji na journalism kwa ujumla, yaani habari ni nzuri lakini hakuna ladha ya kusikiliza. Sky mtoe huyu anakuharibia, ni kama vile ameingia kutangazaji kwa sababu ya njaa (I'm sorry to say this Ila naboeka sana naipenda SnS). Anarudia rudia maneno tu. We need people the kind of DJ SMA

    • @TabiaMwangaya
      @TabiaMwangaya หลายเดือนก่อน

      Wew zombie unataka yule wa dini

    • @reainnovationstanzania5163
      @reainnovationstanzania5163 หลายเดือนก่อน

      It's the Matter of time utakuja kumwelewa tu, big up sana ally masoud

    • @msabahaali758
      @msabahaali758 หลายเดือนก่อน

      jifunze kukosoa ili ujenge sio chuki

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 หลายเดือนก่อน

      ​@@reainnovationstanzania5163one love ndugu.

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa หลายเดือนก่อน +4

      Unamaanisha wewe ni bora kuliko Sky aliyeamua kucollaborate naye? Nadhani ungeshauri nini kiboreshwe na si kusema nani atolewe, ni jambo la uelewa tu. Mpaka mtu anasikika kwenye Media kubwa kama hii ujue ana umuhimu mkubwa hapo licha ya mapungufu ya kawaida ya kibinadamu.
      NB: Ili mtu afanikiwe,watu kama ninyi mnatakiwa msikosekane✍️

  • @ibraimnikolaus9702
    @ibraimnikolaus9702 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda uchambuzi wako unaga ushabiki unaangalia uwezo wa mtu

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj หลายเดือนก่อน

      Kabisaa aisee, ila humu Kuna baadhi ya kenge ndo wanamuona hafai, wakati jamaa hapendelei upande Kama DJ-SMA.

    • @user-rt1wf6se5f
      @user-rt1wf6se5f หลายเดือนก่อน +1

      Mbwa ninyi mpaka Leo munawaza hivyo😂😂😂

    • @mountaincoffee7
      @mountaincoffee7 หลายเดือนก่อน

      ​@@GeorgeAkasha-zx2rj Kila mtu ana ladhayake ww usifosi usicho kupenda ww na wengine wasipende

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj หลายเดือนก่อน

      ​@@mountaincoffee7Ww ndo hupendi kabisaa mchambuzi awe balanced ila Ally Yuko sahihi kabisaa.