SAMAD-3: Ifahamu Drone ya Iran ambayo Israel inadai Wahouthi waliitumia kushambulia Tel Aviv

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 101

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 หลายเดือนก่อน +11

    Iran ni noma

  • @user-vf3wt3sb1h
    @user-vf3wt3sb1h หลายเดือนก่อน +8

    Yaaanihapa nimeanza kuelewa sasa, ndomana hata sikuile Irani waliporusha makombora 300ml lakini kati yahayo matatu ndo yalifika mengine hayakufika, maana yake nikwamba, hayo matatu ndo yalikuwa lengo ila hayo mengine yalikuwa zugatu. Ndomana Irani walisema lengo limetimia maanayake wametengeza drone ambayo haionekani na mifumo ya Israel, lakinipia haizuiliki.

  • @aminaali792
    @aminaali792 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu mtangazaji jamani mbona bado sanaaa🥺Tuletee Dj Smaa Atupe hizi habari kwa ufanisi zaidi😍💪🏼

    • @blueboybajos6880
      @blueboybajos6880 หลายเดือนก่อน +3

      usiseme ivo dda

    • @gabrielwence
      @gabrielwence หลายเดือนก่อน +5

      Give other people chanses to grow.

    • @nasibugunda7927
      @nasibugunda7927 หลายเดือนก่อน +4

      We usipende mtu penda habari na jinsi anavyo chambua

    • @aminaali792
      @aminaali792 หลายเดือนก่อน +2

      @@nasibugunda7927 ndo huo uchambuzi bado sanaa yaani natamani niwe namuelewa lkn anatafuna maneno sana kaka etu afanyiwe practice kwa wingi 🥰

    • @aminaali792
      @aminaali792 หลายเดือนก่อน

      @@blueboybajos6880 sijamuelewa nina haki ya kucoment ninacho jiskia please 🙏🏽

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa หลายเดือนก่อน +3

    Safi sanaaaa ALLAH akbar Israeli wamezidi kuwadhulumu wapalestina acha wapelekewe moto

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 หลายเดือนก่อน +12

    Ilivyo tokea hiyo nimefrahi sana meno 3na nje yote mbili😂😂 ,wambieni hata na rebanon wa wengine wa piganaji wa kijikhad wawe wana piga hata wauwe mmoja mmoja tufidie idadi ya gaza 🙏🙏

    • @vladimirputn1809
      @vladimirputn1809 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 หลายเดือนก่อน +1

      @@vladimirputn1809 we puttin wewe 😂

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 หลายเดือนก่อน +4

    Ally zidisha mbwe mbwe aiseee, unapoa sana

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤😂😂😂Safi sana

  • @mohamedrashid6578
    @mohamedrashid6578 หลายเดือนก่อน +3

    Dj smaa Kila siku anasema israel siokua wana ulinzi kiiivyo kama wanavyotangaza wao, ila wewe Masubi unabisha sana, unaona kama wao hawawezi kuguswa

  • @ManusuraWalumona
    @ManusuraWalumona หลายเดือนก่อน +2

    Somo limeeleweka vizuri tu!

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 หลายเดือนก่อน +20

    Natamani siku moja niiyone israel ikiona inaadhirika

    • @ElijahOwino-xe2cd
      @ElijahOwino-xe2cd หลายเดือนก่อน +1

      @@salymsuleiman2035 subiri Israel ilipize kisasi halafu mlielie kuwa Israel inawaua watu wasio na hatia... 😂

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@ElijahOwino-xe2cdyaan wewe hujuwi Israel wanaua wasiyo husika wenzao wanalenga office zao wanalenga vituo vyao sasa wao wanaua ad watoto wa miezi miwili ndio utofauti ulipo

    • @vladimirputn1809
      @vladimirputn1809 หลายเดือนก่อน +2

      😂

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 หลายเดือนก่อน

      @@vladimirputn1809 I appreciate you so much if is really official Putin the way you are strong to all World big up

    • @MrNoNonsenseYes
      @MrNoNonsenseYes หลายเดือนก่อน

      ​@@ElijahOwino-xe2cd Kwani alieanza nani, Israel anawapiga wenzie mabomu kila sike left, right centre

  • @Goldentouch_Ab
    @Goldentouch_Ab หลายเดือนก่อน +3

    Inaitwa ' YAFA' drone , imekuwa develop kutoka kwa SAMAD-3.

    • @mohamedaley5632
      @mohamedaley5632 หลายเดือนก่อน +1

      Ww mfuatiliaj mzur... wngne wanatoshek na sns na CNN na channel za propaganda

  • @abdallahnamuha3357
    @abdallahnamuha3357 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye swala la war Strategies Alli Masubi yupo vizur kuliko wote,,,ila Kwa smaa na mwinuke wapo vizur kwenye geopolitics has kutoa possible scenario

  • @user-nm2pr1xz6u
    @user-nm2pr1xz6u หลายเดือนก่อน +2

    Natamani kuona Israel Siku Moja iwe kama Gaza insha'allah

  • @lughainstitute8627
    @lughainstitute8627 หลายเดือนก่อน +2

    Sns we are the best

  • @murtalla2826
    @murtalla2826 หลายเดือนก่อน +2

    Ally masumbwi bado sana please #sns tunaomba habar kama hizi azichambue #djsmaa

    • @nassirali7499
      @nassirali7499 หลายเดือนก่อน +1

      Acha upuuzi, ww unataka habari! unataka mbwembwe?

    • @danielmkama24
      @danielmkama24 หลายเดือนก่อน

      Mtazoea tu
      Maana sisi wakongwe 2najua hata #Smaa mlimpiga vita saana zaid ya Ally na hakuwa vzr kama Ally

    • @MrNoNonsenseYes
      @MrNoNonsenseYes หลายเดือนก่อน

      Wacha upumbavu wewe, unalipa pesa ngapi mpk utake kummwagia unga mwenzio

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx หลายเดือนก่อน +2

    Iran ni mziki mwingine

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 หลายเดือนก่อน

    Mdogo wangu msulimoto kaz kaz

  • @IsmailiNiraji
    @IsmailiNiraji หลายเดือนก่อน +1

    Daaa Ali Sawa uko vzr ila kwenye simulizi shekhe mwachie sky na sma kwa upendo maana tuishie hapo au wadau mnasemaje

    • @aminaali792
      @aminaali792 หลายเดือนก่อน

      @@IsmailiNiraji ndi yo nilivyoelezea hata mimi bado sijamuelewa kwa kweli ila watu wanaona ni hater’s 🤦🏽‍♀️😒

  • @richardtom38
    @richardtom38 หลายเดือนก่อน

    Dj smaa huyu yupo taratibu sana

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 หลายเดือนก่อน

      Sasa unataka habari au mbwembwe

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 หลายเดือนก่อน +1

    Bora ally kuliko yule mjinga mwengine anaye tangaza km anakataroho

    • @soudmoshmnyika5813
      @soudmoshmnyika5813 หลายเดือนก่อน +1

      Hivi mtu unajitambua unaweza kumtukana mtu bila kukutukana au ndivyo ulivyo lelewa kwenu? Hapa tumekuja kusoma

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn หลายเดือนก่อน

    Ampe mrusi hio

  • @LukawisehusseinAli
    @LukawisehusseinAli หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 หลายเดือนก่อน +1

    Tusubiri majibu ya israel sasa

  • @Pedeshee01
    @Pedeshee01 หลายเดือนก่อน +4

    Wahutu wa Yemen wapo na moto hasaa,Iran na korea kaskazini wapo na vikwazo kibao ila jamaa wapo juu.Sisi TZ uboya mtupu miaka 60 na kitu ya uhuru bado tupo na mashimo ya choo,madarasa umeme.Aisee wale maadui watatu aliowasema Nyerere ujinga umaskini na maradhi hawatatuacha mpaka dunia ikaishe.

    • @user-ii6gs2jg4g
      @user-ii6gs2jg4g หลายเดือนก่อน

      We nae sio wahutu bana

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 หลายเดือนก่อน

      Sawa kaka wahutu ni wa Burundi kumbe Yemen wanaitwa wahuthi.mimi nilijua ni wahutu wote

    • @elopheygandabway
      @elopheygandabway หลายเดือนก่อน

      😂​@@Pedeshee01

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 หลายเดือนก่อน +2

    Wew ali si ulisema israili haishambuliki kwa mfumo wao sasa ilikuwaje

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @pesaspy_tv
      @pesaspy_tv หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 na alibisha kweli kwamba wao ni wazuri kwenye ulinzi wa anga

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe หลายเดือนก่อน

      @@pesaspy_tv kuna comentei yake ni Lin sikia na mimi😂😂😂😂

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 หลายเดือนก่อน

      Karibu GpS next episode utajua.

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm หลายเดือนก่อน

    Wakati Israel anahangaika na wanamgambo , Iran anajiimarimasha kwa makombora na drone

    • @sadammkinga2946
      @sadammkinga2946 หลายเดือนก่อน

      Wakati wakiwa wana expand enea Lao

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 หลายเดือนก่อน

    Wenyewe wamesema Jaffa, nyie munakazania Samad 3.. Km zote izo si mchezo... Wazipige nyingi hizo

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn หลายเดือนก่อน

    Iran ni nyoko droni zake ndio zilibadilisha mchezo ukrain

  • @AhmediAbubakari
    @AhmediAbubakari หลายเดือนก่อน +2

    Kaka samadi 3 haina klg 20 bali ina klg 50 fanya uchunguzi vizuri juu ya hili

    • @HabibuHobohobo-py2mq
      @HabibuHobohobo-py2mq หลายเดือนก่อน

      HUYU Ally masubi ni mwongooo jana alisema kutoka Yemen mpaka tel Aviv ni kilometers 127 leo TENA anasema uongo mwingine eti kati ya Yemen na tel Aviv ET kuna NCH nyng wakat IPO NCH MOJA TU ya suudia anatuona CC mazwazwa KAMA Atlas hatujasoma?

    • @hamicpina1151
      @hamicpina1151 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha kaupiga mwingi awachie wachambuzi banaa​@@HabibuHobohobo-py2mq

    • @radjabusuleiman6486
      @radjabusuleiman6486 หลายเดือนก่อน

      Alijidanganya Yemen to Israel km 2000 na pwenti juu​@@HabibuHobohobo-py2mq

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 หลายเดือนก่อน

      ​@@HabibuHobohobo-py2mqinategemea unakuwa umeamua kupita njia gani..?. Na kuhusu suala la distance kukosea huwa inatokea hiyo ndiyo air dstance

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 หลายเดือนก่อน

      @AhmedAbubakari sawa kama wewe ndo uelewa wako huko ulikojifunzia umeelewa hvyo ila kutokea hapa chukua hyo kilo 20.

  • @user-tq4lx9si1n
    @user-tq4lx9si1n หลายเดือนก่อน

    Skusionying waislamu watahanza kusema tunawombea nduguzetu kwa Allah Israel inauwa watoto nakinamama stunasubilitu kisasi hambacho niahakiyetu hatutaki mtu hatupangie namna yakulpa kisasi

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 หลายเดือนก่อน

      We nikuma

    • @user-ed1cf9nq5w
      @user-ed1cf9nq5w หลายเดือนก่อน

      Hezbollah pia amewambia Israel wakishambulia Raia wa Lebanon na raia wa Israel hawapo salama. Sasa muhimu ni kuomba amani pande zote mbili na wala sio ushabiki wa kiimani japo hao wayahudi hawautambui ukristo wala yesu.😂😂😂 naona watu wanaojidhalilisha kwa kujipendekeza kwa wayahudi eti ni taifa la Mungu😂😂😂

    • @user-tq4lx9si1n
      @user-tq4lx9si1n หลายเดือนก่อน

      @@user-ed1cf9nq5wmbona Waislamu wengi uku wanajipendekeza kwa Iran wakat wao hawawatambui suni

    • @user-tq4lx9si1n
      @user-tq4lx9si1n หลายเดือนก่อน

      @@AFRICA_D669 mamahako halikutolea kwenye mavi hahu alkutapka

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-tq4lx9si1nWayahudi wamepitisha sheria,hakuna kumtaja Yesu pale Kwao Israel😂😂😂Jipendekeze tu kama malaya.

  • @saddamhussein8620
    @saddamhussein8620 หลายเดือนก่อน

    Kwann israel kila ikishambuliwa utasikia kafa mmoja😂? Lkn wao utasikia watu 30 wamekufa

  • @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq
    @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq หลายเดือนก่อน

    ali hapo bado utasemaukweli

  • @WaziriMwakyando
    @WaziriMwakyando หลายเดือนก่อน

    Israeli yeye aanzi Bali anamalizia

    • @soudmoshmnyika5813
      @soudmoshmnyika5813 หลายเดือนก่อน

      Kama nikumaliza basi angemaliza gaza tuu kwasababu hawana mifumo ya ulinzi wa anga ila mpaka sasa bado wanapigana tuu sasa washabulie barafu na wenyewe watume kama hiyo ya majaribio kivu 100 tuu zidisha kama moja imeua mmoja na kujeruhi kumi

    • @HusseinAbdul-is9xq
      @HusseinAbdul-is9xq หลายเดือนก่อน

      Uko usingizi totolo

  • @ElijahOwino-xe2cd
    @ElijahOwino-xe2cd หลายเดือนก่อน +1

    Halafu Israel wakilipiza kisasi utawaskia waislamu wakilialia....

    • @bonifacewanyonyi3555
      @bonifacewanyonyi3555 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kapisa hawamuezi israel

    • @alimomade2712
      @alimomade2712 หลายเดือนก่อน +2

      Kwani nawe ni mu Israel?

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche หลายเดือนก่อน +1

      ​@@bonifacewanyonyi3555israel jasusi anauwa watu ashia mashariki.

    • @alimomade2712
      @alimomade2712 หลายเดือนก่อน

      Acha wavurugane2 ni mwisho wa dunia

    • @HamzaMbasha-xs2ky
      @HamzaMbasha-xs2ky หลายเดือนก่อน +2

      Sasa hao israel ni wakristo hao si washenzi tuu
      Wasioutaka ukristo wala uislma
      Mm nashngaa sana wakristo kusaport hawa washenzi wayahudi..