LEONARD SUNDAY EASY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2023
  • Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
    :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
    Bongo Star Search
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch
    TikTok: bongostarsearch
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 182

  • @zamdasaleh6917
    @zamdasaleh6917 ปีที่แล้ว +14

    Gerry313 my favorite artist kiba amchukue mtoto huyu akiongezewa vionjo kidgo ataua San na Kwa nn t touch mm ningesem yogo ndo apige vinanda vyake hapa anayekubar like nying twende sawa

  • @LifeOf-fi5hp
    @LifeOf-fi5hp ปีที่แล้ว +31

    Duuh nimewahi kusema kwamba uyu jamaa ni wa kawaida ...daah Leo kaniumbua asee sorry fundi Leonard sunday 🙌

  • @cassimmahinda
    @cassimmahinda ปีที่แล้ว +29

    Tunaosubiriii kudownload tupo wangap

  • @DIANAPHENNY-Kenya
    @DIANAPHENNY-Kenya ปีที่แล้ว +18

    Madam rita, Salama and Master mnafanyia vijana wa tanzania kitu kizuri sana, mungu awabariki sana. Watu wana ndoto hawajui zitatimia lini but mnajaribu kutengeza platform😍😍😍alafu hii sauti ya leonard mtu haezi jua ndo anaanza muziki..... Mtu anaeza fikiri ni msanii ashafanya mzuki mara mingi😍😍😍kazi poa Sunday😍😍

  • @danielmarwa3299
    @danielmarwa3299 ปีที่แล้ว +4

    Jah bless sana master madam na salama mungu awape miaka mingi sana

  • @TonnyCaesar
    @TonnyCaesar ปีที่แล้ว +4

    The first song nimeplay back 🔙

  • @kastorkidumu6579
    @kastorkidumu6579 ปีที่แล้ว +5

    Ahaaaaa eti rajabu inamuhusu hit song imekaa Safi hongera kwa performance

  • @gidiongipson8734
    @gidiongipson8734 ปีที่แล้ว +9

    Ametisha kinoma yani Daaah nimeirudia zaidi ya Mara Nne4

  • @manchesterunitedstandusa4877
    @manchesterunitedstandusa4877 ปีที่แล้ว +3

    Harmonize mr.j

  • @user-ez7ym2ki3w
    @user-ez7ym2ki3w 5 หลายเดือนก่อน +1

    U r de most1

  • @elizabethrichard4974
    @elizabethrichard4974 ปีที่แล้ว +3

    Leonard❣️🥰

  • @herberthmakonter5965
    @herberthmakonter5965 ปีที่แล้ว +15

    T Gun ni kipenzi cha watanzania walio wengi,,,, But ukweli haujifichi Leonard Sunday is more than fire 🔥🔥🔥🔥 You are not a star you are de super star,,,,, Hata kama usipokuwa mshindi wa haya mashindano,,,,, Kwenye Ndoto za T Gun namuona Leonard Sunday akiipeperusha vema bendera ya Tanzania 🇹🇿 kwenye tuzo za Grammy na BET ,,, Wish all de best blood ❤️ Don't give up,,,, 🙏🔥❤️ You are not regular person you are extra ordinary one,,,,🔥🔥❤️🇹🇿🇹🇿🤝💪💪💪

  • @ayrunyjtayruny279
    @ayrunyjtayruny279 ปีที่แล้ว +4

    Jamaaa kauwa, umepata shabiki mpya from 🇲🇿

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour2347 ปีที่แล้ว +8

    It's a successful song akiyamungu🎶🔥🔥🔥

  • @ibrahimabdullah9904
    @ibrahimabdullah9904 ปีที่แล้ว +2

    Nice song
    Nice beaty
    Nice sound

  • @kentimminvestments7000
    @kentimminvestments7000 ปีที่แล้ว +12

    This guy has just done justice to this beat am sure the producer is contented anywhere he is.

  • @daudidaudi5342
    @daudidaudi5342 ปีที่แล้ว +2

    Oyooooooooooooohhhhhhj my favorite songs for african

  • @TonnyCaesar
    @TonnyCaesar ปีที่แล้ว +5

    Beka Ibrozama nae kashapata backup yake 🙌🏿

  • @eastafricabrokerkiller8028
    @eastafricabrokerkiller8028 ปีที่แล้ว +3

    Nyi jamaa mnajua sana safi sana

  • @jacksonfulgency2790
    @jacksonfulgency2790 ปีที่แล้ว +2

    Leo ni fund Mungu amsaidie na kumbariki Zaid na zaid atatupa faraja kubwa sana kupitia vibao vyake ,, it eassssy hata na mim Nina moyo beibiiii

  • @PUGBFORBEGGINERS
    @PUGBFORBEGGINERS ปีที่แล้ว +17

    1: Tgun Tozy
    2:jailos au Sunday
    3: sunday au jailos
    4: Neema Ntigonzaa
    Kwa ngoma nne walizo post besticaly mie nazipanga ivo ila when comes to my favorite easy is my fav

  • @franklarissa2820
    @franklarissa2820 ปีที่แล้ว +4

    You killed it brother, this is next level, you're the most talented guys in my generation.

  • @kamigwasfamily1178
    @kamigwasfamily1178 ปีที่แล้ว +2

    Namba 1 tgun
    Namba 2 Patrick
    Namba 3 Leonard......kama umenielewa gonga like

  • @wardirashidi7721
    @wardirashidi7721 ปีที่แล้ว +4

    ❤️❤️❤️❤️❤️Anaweza sana

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 ปีที่แล้ว +6

    good music kabisa bro, This all stars has done something better to all these competitors

  • @monicachondo6784
    @monicachondo6784 ปีที่แล้ว +1

    My no 1 song

  • @kawanga0073
    @kawanga0073 ปีที่แล้ว +3

    Wee jamaa ni full package 📦 aisee nakuelewa since ulikuwa top 2 kipindi kile na yule jamaa wa mbeya 👏👏👏, nakuona top 5 ata top 3 tena kaka 👏👏👏keep it up 👆

  • @silvernayzer4107
    @silvernayzer4107 ปีที่แล้ว +4

    Muandishi mzuri mnoo anajua kuimba brother tupo pamoha

  • @farajalongo4528
    @farajalongo4528 ปีที่แล้ว +13

    Hii inaenda mainstream kabisaa. 🙌🙌💪 Mziki mzuriiii 🤛🏹🎯

  • @rosekengele5449
    @rosekengele5449 ปีที่แล้ว

    Dah !!!!kijana uko vzr nmekubl ngoma

  • @jadekavusa9309
    @jadekavusa9309 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Kaka unaenda kawa bongela stars focus tu

  • @mossesnengo9656
    @mossesnengo9656 ปีที่แล้ว +3

    Utafika mbali sana , pambana sana fundii wa nyimbo tz .👍

  • @mashoo6781
    @mashoo6781 ปีที่แล้ว +4

    Mwamba anasauti safi

  • @nniebrown2021
    @nniebrown2021 ปีที่แล้ว +3

    Wow so amazing

  • @charlesrongo3615
    @charlesrongo3615 ปีที่แล้ว +2

    congatulation to PRODUCER IS FIRE

  • @samayraqueen134
    @samayraqueen134 ปีที่แล้ว +1

    Uririvye neza cane🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👌🏻👌🏻👌🏻

  • @rahabyjoseph3373
    @rahabyjoseph3373 ปีที่แล้ว +5

    Hataree majaji kazi wanayo😅

  • @user-fg2kn6xx4c
    @user-fg2kn6xx4c ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde katika hii safari Yako umeningusa sn

  • @pettyclara6284
    @pettyclara6284 ปีที่แล้ว

    Jamn mim Leonard ananimaliza mie hasa haka ka wimbo kake noma sana

  • @mateips8247
    @mateips8247 ปีที่แล้ว

    P1 kakaa Kwa touch umechagua brother saloot kwako ✌️✌️

  • @Olleny_tz
    @Olleny_tz ปีที่แล้ว +3

    Jamen it's great 😍😍😍

  • @anithajaphet4587
    @anithajaphet4587 ปีที่แล้ว

    Nyie this guy walahi anajua sana

  • @michaelkisselar5691
    @michaelkisselar5691 ปีที่แล้ว +3

    Aiseeeeee. This boy can sing

  • @mchomvunaman9676
    @mchomvunaman9676 ปีที่แล้ว +1

    Master j hujui music wala hujasomea chochote usichukulie watu kirahis coz umekaa kwa hiyo kiti I love madam Rita huna tofaut na Simon cowel

  • @jamesmugala8944
    @jamesmugala8944 ปีที่แล้ว +3

    Fire saana mzeew 🔥🔥

  • @divinmassudi8141
    @divinmassudi8141 ปีที่แล้ว +1

    Wamakonde tumeshapitanayo hii 🔥🔥we are on trending everyway my big brother Konde

  • @noeldaudi2068
    @noeldaudi2068 ปีที่แล้ว +1

    Akuna msaanii anaeimba hivi aisee huyu jamaa anajua zaidiii

  • @hashimahashimu7366
    @hashimahashimu7366 ปีที่แล้ว +2

    Master j ana rohoo mbaya

  • @TonnyCaesar
    @TonnyCaesar ปีที่แล้ว +11

    The lady didn't disappointed you. She's a good actress as well 🔥

  • @joshuakabalika1057
    @joshuakabalika1057 ปีที่แล้ว +2

    Kali Sana Mzee 🔥🔥

  • @ezekielibrahim5545
    @ezekielibrahim5545 ปีที่แล้ว +3

    Classic song 💥💥💫💫

  • @gladysmarwa3693
    @gladysmarwa3693 ปีที่แล้ว +1

    I wona download the song I love it

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 ปีที่แล้ว +7

    Azoba beats
    Zouk beat
    Nyimbo za kubembeleza mutoto mzuri 😍😍💪

  • @bilalisalim360
    @bilalisalim360 ปีที่แล้ว +3

    I think theTanzanian artist can perform like this sio makelele Tu Kwa jukwaa na mikono juu mingi we need performance sio nduru

  • @ringotechnology9759
    @ringotechnology9759 ปีที่แล้ว +2

    Akili mtu wangu

  • @kenyomarion5605
    @kenyomarion5605 ปีที่แล้ว

    Leonard ni Noma, umeitendea haki beat, yan beat nzuri, sauti nzuri Yan daaah

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 ปีที่แล้ว

    Jamaa anajua saana kaimba kama song yake

  • @ramadhankaniq7179
    @ramadhankaniq7179 ปีที่แล้ว +2

    Hata hii inafaa kua video mdogowetu
    Umeua sana nimekubal unajua kwel mzik kipaj chako
    Pin kal inachoma na inaskilizika🤗💪💪💸💸💸💸💸

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 ปีที่แล้ว +1

    Daahhh bonge la ngomaaa

  • @raychelrecho8143
    @raychelrecho8143 ปีที่แล้ว +2

    love the song

  • @pauline5753
    @pauline5753 ปีที่แล้ว +3

    Nice performance

  • @doctorflavour2049
    @doctorflavour2049 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ni msanii na mwandishi mzur...appreciate

  • @elizabethmugo254
    @elizabethmugo254 ปีที่แล้ว +2

    My favourite 💕💕💕

  • @TonnyCaesar
    @TonnyCaesar ปีที่แล้ว +2

    T touch ameua, Yogo anawafaa mastar tu. Maunderground kutoboa kwa beats zake ni ngumu Sana. That's my point

    • @antipascann2797
      @antipascann2797 ปีที่แล้ว

      Nakubali... Yogo beat zake za kikubwa sana

  • @annekambua1090
    @annekambua1090 ปีที่แล้ว +2

    Wow 🔥🔥🔥🔥

  • @caxyle
    @caxyle ปีที่แล้ว +2

    UMEUAAA BROOH 🔥🔥🔥

  • @shabanimarwa6174
    @shabanimarwa6174 ปีที่แล้ว +2

    T touch,,, Kamtendea haki saaana kijana

  • @mamalaobabalao67
    @mamalaobabalao67 ปีที่แล้ว

    Love you baby from Sweden

  • @officialbenbizzo7200
    @officialbenbizzo7200 ปีที่แล้ว +2

    Bizzo from k brother nice Good

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +1

    Good music n good performance 👏👏

  • @theodoramertus4700
    @theodoramertus4700 7 หลายเดือนก่อน

    Keep it good work

  • @TICODELA
    @TICODELA ปีที่แล้ว +2

    Sunday ♥️🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @masterbosco8781
    @masterbosco8781 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anajua dah hongereni sana BSS kwa kuleta kipaji hiki kipya

  • @jamaljeff5643
    @jamaljeff5643 ปีที่แล้ว

    Thank you bss, tanzania's definitely got talent... bss bora ni season hiii... great ideas... wow🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏

  • @ajizakdeclassic2826
    @ajizakdeclassic2826 ปีที่แล้ว +3

    ngomaaa kali yyte atakaepita me poa

  • @tabithajohn8254
    @tabithajohn8254 ปีที่แล้ว

    Love u sunday ur yet to receive it keep moving n You’ll get it 🥰🥰♥️

  • @samwellaurence7035
    @samwellaurence7035 ปีที่แล้ว

    Keep it up bro,,, ni 🔥

  • @lilyngonyani2312
    @lilyngonyani2312 ปีที่แล้ว +1

    Wooow nc🥰🥰

  • @gracetatu9639
    @gracetatu9639 ปีที่แล้ว +4

    ❤️❤️🔥🔥🔥

  • @zainabbaraza609
    @zainabbaraza609 ปีที่แล้ว

    That’s so great music
    Could you please send to audiomack coz hatuwez kupata

  • @samsonthoya3158
    @samsonthoya3158 ปีที่แล้ว +1

    Toeni izi ngoma tu download tuskize tukisubir videos

  • @cellestinelucas165
    @cellestinelucas165 ปีที่แล้ว

    huwa sifatili bongo star search ila uyu mwamba ni shida

  • @silviocimo3948
    @silviocimo3948 ปีที่แล้ว +1

    Leonardo umetisha

  • @mwalimudavidkizazihuru
    @mwalimudavidkizazihuru ปีที่แล้ว

    Congratulations brother, this is my song now❤❤❤

  • @anethjaphet1625
    @anethjaphet1625 ปีที่แล้ว +1

    Heeeyyy ... Can't wait for this heat song jamn 💪💯💯💯

  • @williammayoni5709
    @williammayoni5709 ปีที่แล้ว +3

    🙌🙌💪

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu kijana alistahili kuwa mshindi sema TU mkamuhujumu hakuna aloweza kufika kiwango chake huyu reonadi

  • @tinanaija3058
    @tinanaija3058 ปีที่แล้ว +3

    Bruce atarudi lini chamani

  • @sylviamassawe6070
    @sylviamassawe6070 ปีที่แล้ว

    Smart san 💯

  • @ayubfarouk4370
    @ayubfarouk4370 ปีที่แล้ว

    Jamani mtoto tgun tozzy

  • @nasraally5414
    @nasraally5414 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥

  • @bizone_tz
    @bizone_tz ปีที่แล้ว

    Huyu ndo msanii Sasa bongostarsearch

  • @ROBERT75376
    @ROBERT75376 ปีที่แล้ว

    Vocal kaliiii. Hongera sana, utatoboa.

  • @jamilahemed5131
    @jamilahemed5131 ปีที่แล้ว +1

    Uyu Leonard anajua

  • @mrpoultry7037
    @mrpoultry7037 ปีที่แล้ว

    Unajua mwamba... #MikonoYa Mr T Touch 🔥🔥✌🏿✌🏿

  • @user-nj5hd8jr9m
    @user-nj5hd8jr9m 8 หลายเดือนก่อน

    Nice san

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 ปีที่แล้ว

    Masta j umezingua Ngoma Kari sana

  • @TonnyCaesar
    @TonnyCaesar ปีที่แล้ว +1

    Nlishasema huyu mwamba akileta userious wake hapa hakuna wa kumshika. Mpeni taji lake

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 ปีที่แล้ว

    Umetshaaaaaaa xana,,,

  • @jacksonmfyagidzi943
    @jacksonmfyagidzi943 ปีที่แล้ว +1

    unajua