Aiseee JAMAA ulikua unaongea vitu vinachekesha sana, ila ulikua kwenye WRONG AUDIANCE ... hapo hawakuwepo wa kuweza kufafanua kwa haraka uliokua unayamaanisha. POLE SANA mkuu, Ilikua one of your best perfomance, Nataman uyarudie yoote hayo kwenye Cheka tu.
Hawa kenge walikuwa na njaa ndo mana hawacheki halafu ni washamba wanakushangaa hawaamini kama wakuona so kila mmoja amekaa tayari kukutazama sio kukuskiliza in short ni vilaza ila apo jeshi umepita sana ungekuwa cheka tu ungeuwa sana
Nmeona jamaa anachekesha sana nmecheka sana nlipo naangalia kila mda ila hiyo mijitu ilikua inamshangaa msanii haipat mda wa kuconcentrate kwenye jokes
Right comedian before the wrong audience.
Aiseee JAMAA ulikua unaongea vitu vinachekesha sana, ila ulikua kwenye WRONG AUDIANCE ... hapo hawakuwepo wa kuweza kufafanua kwa haraka uliokua unayamaanisha. POLE SANA mkuu, Ilikua one of your best perfomance, Nataman uyarudie yoote hayo kwenye Cheka tu.
Sahiv uumiz kichwa am your fan... Leonard ebu Leta yale mapunchline y fainal
Audience ni wana-SUA ni vigumu sana ku-perform mbele yao ni wana stress ya Chuo😂😂
Hii Audience wote wana stress, changamoto sana kwa mwamba
Hawa kenge walikuwa na njaa ndo mana hawacheki halafu ni washamba wanakushangaa hawaamini kama wakuona so kila mmoja amekaa tayari kukutazama sio kukuskiliza in short ni vilaza ila apo jeshi umepita sana ungekuwa cheka tu ungeuwa sana
Jama huu anaweza kbx
Hii show ilikuwa ngumu sana kwa mwamba
😂😂
Hawa hawakuja kucheka 🤝🤝🤝
Mi nacheka kinomaaaaa....hao watu hapo hawaelew kiswahili au😂😂😂😂
Perfect jokes but wrong audience 🙄hizi jokes angefanya Cheka tuu ingekua bonge la performance
Broo hii show ilikukataa but keep up man🤞
Unajuwa broh ❤️🚀
Nmeona jamaa anachekesha sana nmecheka sana nlipo naangalia kila mda ila hiyo mijitu ilikua inamshangaa msanii haipat mda wa kuconcentrate kwenye jokes
respect bro
Jamaa umepata changamoto sana lkn ukobamba sana 😂😂😂😂
Unajua sana bro keep it up.
Show kali audience siwaelew ni mazombi au🥲
i think maybe he performed late hours ,when people are tired
Audience imezingua... katoa vitu vikal sana... sa kama hao wanao chat wataelewa
jokes 🤣😂 khaliii sana sema kikoba na maden inawafanya watu wasielewee
Huyu jamaa anatakiwa awe professor tcha
Jamaa unajua
Hii audiance haikukuwa serious aki...
audience ya mabibi but big up boy unjuaa sanaa
Kwan wanadaiwa mbn hawacheki
Good
Kazi ngumu sana hii
Etii eeh
Siku ngumu 😀
😂😂leonardo mwamba
😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Mbn hawacheki wawap hawa kwan
Kifupi sana; katika kila kazi kuna zile siku tunaamka tofauti mambo hayaendi
Hii audience ni watu wenye stress uko vizur bro
I laughed bro
Hao jamaa walikua na stress sanaa
Audience wana stress balaa
Jamaa amepoa sana hata steji haitumii ipasavyo kasimama sehemu moja
Haimbi ngonjera
Sio running comedy ni standup comedy
😹😹
X,,,,,
Hapo hakuna mchekaji maana mawazoyao hayapo hapo na mchekeshaji ameshajua kuw hapo amechemka
Dogo hii imekukataa lakini ndio kazi🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Unajitahidi
Hii audience ina stress ya mikopo
Audience mikausho mikaliii
😂😂😂😂
Audience wazembe
Jamaa wamegoma kucheka
Ni maneno ya busara yy kakamlika
Wrong audience, jokes nzuri.
My Kuna kinadada kina charti tu ... shenzi
suree kabisaa
Kabsa wanaboa
audiences ni marobot😂
Ni kama wamegoma vile 🤣🤣🤣 hawacheki
Performance nzuri ila ao maaudience wamekaa kishamba sana as if wapo msiban 😢
Hii audience
S... N...
Wrong audience foreal
audiences is hell