MACHOZI YA FURAHA KWENYE STAGE | MR. RIGHT KAPATA CHOMBO | PESA ZIMEONGEA !!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @bitokknelson3839
    @bitokknelson3839 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo dada kweli alikuwa serious kwa kutafuta mtu atakayefaa. Yote mema kwake🙏🏼
    Loved this.

  • @thechapter304
    @thechapter304 10 หลายเดือนก่อน +70

    Wooow,wanafaana hawa wawili👏👏👏👏👏.
    Nawatakia kila la kheri kutoka 🇰🇪

  • @PetroMnyagatwa
    @PetroMnyagatwa 9 หลายเดือนก่อน +82

    Sauti ya mziki ipo juu sana wakati mtu anaongea. Ingekuwa inapungua kidogo ingekaa poa sana. Asante!

    • @maryayusuf4288
      @maryayusuf4288 9 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli atleast wapunguze

    • @evalinegideon3982
      @evalinegideon3982 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisaaaa Yan mziki uko juu sana mpk kero

    • @LucySanga-du9fd
      @LucySanga-du9fd 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kabs dear

    • @mrmeshack
      @mrmeshack 8 หลายเดือนก่อน

      Iko poa tu ndg

    • @DydcuDHzuv
      @DydcuDHzuv 4 หลายเดือนก่อน

      Exactly increase on volume please

  • @bensonthuo1447
    @bensonthuo1447 9 หลายเดือนก่อน +57

    Huyu dada amefalia dresi nyekundu Ako na hekima na maarifa ya maisha

  • @jonahfadhil
    @jonahfadhil 10 หลายเดือนก่อน +3

    Sharon i'll come for you😛😛Anyway amazing job guys.

  • @aishakimosa2492
    @aishakimosa2492 24 วันที่ผ่านมา

    So amazing mt right no.2. congratulations brother❤

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 10 หลายเดือนก่อน +8

    BRAVO MAN GOD BLESS ❤❤❤

  • @albertfoyan4829
    @albertfoyan4829 8 หลายเดือนก่อน +2

    Background song ina sauti kubwa Hadi wazungumzaji hatuwasikii vizuri, DJ tunaomba uwe unapunguza sauti ya huo wimbo wakati wa mazungumzo.

  • @eliaszephania3115
    @eliaszephania3115 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hamax mke hy ukipata mke anae jali na kuweka kiupaumbele God 🙏

  • @IbraWayland
    @IbraWayland 5 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana st bongo

  • @Shaimaa-i2w
    @Shaimaa-i2w 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ushamba mwingi silazima uvae shuti ukiwa boss yeyote anaeza vaa

  • @billylovebillybillylovebil580
    @billylovebillybillylovebil580 10 หลายเดือนก่อน +3

    Aliya kanenepa pia kapendeza😘😘🤩

  • @JustineMalwa
    @JustineMalwa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ebwana ye ingekua watu wanaoa kwa namna hii nafkili kusingekwepo na mivunjiko mingi ya ndoa yeah

  • @SelemanIssa-vl7kw
    @SelemanIssa-vl7kw 4 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi ❤ sana San jinsi wanavyo pendana

  • @irungurapsu6504
    @irungurapsu6504 7 หลายเดือนก่อน

    Kindly punguzeni music kwa background tuweze kuwaskia poa

  • @brunoh_bx
    @brunoh_bx 8 หลายเดือนก่อน +3

    I like this show for sure❤🔥🔥🔥

  • @wardasalumidiwardaidi9635
    @wardasalumidiwardaidi9635 5 หลายเดือนก่อน

    Na mimi nitafutie mchumba Niko omani sina mda narudi ❤

    • @boscogasper8736
      @boscogasper8736 5 หลายเดือนก่อน

      Oooh natak tuwe marafiki

  • @RehemaRajabu-no2tu
    @RehemaRajabu-no2tu หลายเดือนก่อน

    Amenichanganya sana huyo kaka jaman,mpaka raha

  • @kijanayaaput8940
    @kijanayaaput8940 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeenjoy sana kutizama hii kabisa❤🙌🔥

  • @HawaCheyo
    @HawaCheyo 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mchang huy anajuwa kutafuta Hela dad kapambne

  • @hillaryphilip4323
    @hillaryphilip4323 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi pia ningemchakua huyo, dressing cord is good

  • @felixfelician9114
    @felixfelician9114 9 หลายเดือนก่อน +1

    yaaani hiii nimeipeda saaana jamaa anajua kuchagua safi kbisa hata mimi nilivutiwa na huyo dada wameendana nimetokwa na chozi ASEE. KILA LA HERI

  • @lydiaandisi1938
    @lydiaandisi1938 9 หลายเดือนก่อน +1

    waauh ,amazing couple

  • @hawababy120
    @hawababy120 10 หลายเดือนก่อน +1

    Raha san mnaweka mda wakutosha👌🔥🇨🇦

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mumefanya poa kutuwekea episode yote

  • @stevenobunde9345
    @stevenobunde9345 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona hata jambazi sugu akija hapo mtasema ni TRA OR Banker! Muonekano wa magazine sio judgement sahihi!

    • @stevenobunde9345
      @stevenobunde9345 8 หลายเดือนก่อน

      Not magazine it is mavazi

  • @RasharyAkhary-np6kj
    @RasharyAkhary-np6kj 9 หลายเดือนก่อน

    Nice my brother

  • @shamirahlenny8477
    @shamirahlenny8477 9 หลายเดือนก่อน

    Hahaha 😂😂 okie let me enjoy

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 10 หลายเดือนก่อน +3

    Uyo mwanamke aliosema anamkubali mtu kwa umli nimuongo pia ndomana maelezo yake hayakunyoka

  • @EmillyUNKNOWN
    @EmillyUNKNOWN 3 หลายเดือนก่อน

    Hehe Hehehee wataomba suti wazee naona

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 28 วันที่ผ่านมา

    Hawa wote ni malaya kutoka washiriki mpaka washirikishaji

  • @ChifuMaleta
    @ChifuMaleta 4 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru nilipata mke apo kutoka Mr Light adi Leo nipo nae. Nimemuoa naishi nae.

  • @MariamAntony-ds6xm
    @MariamAntony-ds6xm 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ I love you hello mr light

  • @EmmanuelJackson-xn5eo
    @EmmanuelJackson-xn5eo หลายเดือนก่อน

    Ata mimi nimesha pata suti mbili kwa mtu nakuja kabisa sitaki maswali mengi sababu sina maokoto ila suti pekee ndo mambo yote mje huku mchunge nama ng,ombe😂😂

  • @erickmanyelo6464
    @erickmanyelo6464 4 หลายเดือนก่อน

    Huyudemu msenge kwahyo ss hatuwez vaa hvo wapga pcha mbona mm nawaka hvo😮

  • @chepkemoijoyline3042
    @chepkemoijoyline3042 9 หลายเดือนก่อน

    Wee i need a luo too its amazing ❤

  • @giftezekiel5871
    @giftezekiel5871 6 หลายเดือนก่อน

    😢na mm natafut mume Nina watot 2 Mume wa kunioa Mungu anisaidie

  • @soltv8268
    @soltv8268 10 หลายเดือนก่อน +93

    Mwanzo walikua wana boa na vipande vyao visivyo eleweka nikaacha kuwafatilia leo nimeingia tu bahati mbaya naona wamejirekebisha, video iko full inaeleweka big up

    • @ZitoJose-cl3pt
      @ZitoJose-cl3pt 9 หลายเดือนก่อน +2

      Mimi pia niliacha sasa naludi

    • @victoriarichard8761
      @victoriarichard8761 9 หลายเดือนก่อน +1

      Siyo bahati mbaya ni bahati nzuri sada

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 9 หลายเดือนก่อน +2

      Nami pia ndokwanzaa naingia leo tar 29 mwez 12 nakuta ndefuuu nimependa sasa nitaendelea kuchungulia🧘🙏

    • @Samdelohy
      @Samdelohy 9 หลายเดือนก่อน

      Kipind inakuwaga ckugani na ckugani jmn na ni sahangapi😢

  • @NancykattKangu-xk2bh
    @NancykattKangu-xk2bh 7 หลายเดือนก่อน +120

    Namjua uyo Devis kiukwel mwanamke atakae mchagua uyo kaka atainjoy San nibest yangu sana nanimwalimu wangu nilishawaig igizaganae move yote hayo kaongea ukwel hajadanganya hata kidogo nimpole mstarabu mnyenyekevu best friend alafu kanenepa

    • @glorychristopher7283
      @glorychristopher7283 6 หลายเดือนก่อน +4

      Wewe dada chizi kweii unapenda ela zake wewe una nn utazeeka ukiangalia mfuko wa mtu wewe n mlemavu s upambane na wewe

    • @ahz6907
      @ahz6907 5 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa kunenepa kwake kunahusu nini?😂

    • @MarySimoni-tz3fm
      @MarySimoni-tz3fm 4 หลายเดือนก่อน +2

      Huyo ananifaa Mimi kabisa SEMA Nina mtot 1ila nimempenda

    • @nasrafarjallah6691
      @nasrafarjallah6691 3 หลายเดือนก่อน

      @@glorychristopher7283 kwan wap kazungumzia mfuko

    • @RoseMjema-q6t
      @RoseMjema-q6t 2 หลายเดือนก่อน

      Tupe mrejesho ndoa lin

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 10 หลายเดือนก่อน +20

    kwakupenda pesa mtafanya wanaume waazime suti ili wawakubarishe kwakuwapata😂😂😂😂😂😂😂kitawalamba

    • @ProspertRubura
      @ProspertRubura 10 หลายเดือนก่อน +3

      Wanakuja kutafuta pesa siyo mapenzi mimi nimefata musimu wakwanza paka wa inné wanawake wengi wanakufa apo kutafuta pesa

    • @evelynekariuki
      @evelynekariuki 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kitawalamba au kitawaramba😅😅😅😅😅 from Kenya

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 9 หลายเดือนก่อน

      @@evelynekariuki Bora hujalewa, umeelewa❤😃😃

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 9 หลายเดือนก่อน

      @@evelynekariuki Bora hujalewa, umeelewa❤😃😃

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 9 หลายเดือนก่อน

      @@ProspertRubura kazi yao hawatazipata

  • @MohamedShaddydu
    @MohamedShaddydu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hich kipind mmekuwa mnafanya na follow up ya hzo couple mtuoneshe hata harusi au kama kiredio amezivunja 😂

    • @DorisDidas
      @DorisDidas หลายเดือนก่อน

      @@MohamedShaddydu hahahha umenifanya nimechoka sanaaaa

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 9 หลายเดือนก่อน +37

    Jacky I love you ma, ulisema vizurisana, Umuri nikitu kizuri pia in relationships ❤❤️🇨🇩

    • @henriette99
      @henriette99 6 หลายเดือนก่อน

      Yes uyu dem ameongea Na kama Mimi Ni moja Kati ya vigezo zangu miaka

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 10 หลายเดือนก่อน +36

    Ndo maana mabinti wasiku hizi mnafeli kwenye maisha mnaangalia pesa yamtu ambaye hamjui kaipataje pesa

    • @salomevenance9555
      @salomevenance9555 5 หลายเดือนก่อน +1

      Fact

    • @tunuhhashim
      @tunuhhashim 4 หลายเดือนก่อน +6

      kweli wanawake wengi tunafeli pakubwa sana kupenda pesa kupitiliza tena unakuta huyo anae penda maokoto hajui kutafuta zake

    • @OCHUMASIHI
      @OCHUMASIHI 4 หลายเดือนก่อน

      Umeonaeeh jinga kbs hy muuza nyama hy unazitaka pessa co zk muache avunde hapo

    • @JosephNjeri-vc6eh
      @JosephNjeri-vc6eh 2 หลายเดือนก่อน

      Ujijari juu pesa iko nani ushai sikiya amezikwa n pesa 😂😂

  • @pendomushi6351
    @pendomushi6351 10 หลายเดือนก่อน +14

    Huyo bint anaechagulia mavazi amepoteza point sana asubiri wale wanao vaa Jin's mchaniko ndo wanao mfaa aendelee kuwasubiri😂😂

  • @hopefreddiecker0537
    @hopefreddiecker0537 10 หลายเดือนก่อน +14

    Jacky huyo uwii wenzie wanamchora tu,,,, umri ni Nini,Unaeza pata mtu kakuzidi 32 yrs na bado akawa wa ovyo tu,,, ila ukapata wa same age akawa na akili zilizonyooka.....🤣

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 9 หลายเดือนก่อน +42

    Ni kweli ukifokasi kwenye kazi yako na mungu akikubaliki utapata pesa

  • @shukuruskay4949
    @shukuruskay4949 9 หลายเดือนก่อน +46

    Asanteni sana kwa kuongeza dhakika, ni fan wenu mkubwa kutoka South Africa 🇿🇦 na fwatilia hiki kipidi sana...na enjoy sana 🙏😍 🥰

  • @ESAMSTERbia
    @ESAMSTERbia 10 หลายเดือนก่อน +9

    mademu wa hapo asilimia 70 ni wasenge wakatafute na wao pesa zao mbona watu wote tunasoma ili tuje kupata kazi basi wanawake wasiwe wanasomeshwa ili walelewe na wanaume

    • @safinatija6458
      @safinatija6458 10 หลายเดือนก่อน

      Kila dk maokoto yaan Had userious unaisha

  • @petermbaga9137
    @petermbaga9137 9 หลายเดือนก่อน +13

    Unamuona dem wako yuko apo mbele 😂😂😂
    Kitu kizito

  • @josephkigembe-ec4pq
    @josephkigembe-ec4pq 9 หลายเดือนก่อน +11

    Johari akipata Mtu (anayejitambua) niko pale niiteni kitoto cha mbwa. Na kwa bahati mbaya akiolewa siku 365 ni nyingi. Kiukweli ni mzuri (temporal) ila kichwani ni kapput. M. Mungu amsaidie kubadilika

    • @albanbalayingwa4425
      @albanbalayingwa4425 7 หลายเดือนก่อน

      Hahahahahahaha ety kichwan ni caput sema hawa dada zetu wanafeli saaana

    • @tuliaselali4499
      @tuliaselali4499 4 หลายเดือนก่อน

      Napenda hiki kipindi nijiunge

    • @tuliaselali4499
      @tuliaselali4499 4 หลายเดือนก่อน

      Ila sijui nianzie wapi

  • @honorykwahhay4364
    @honorykwahhay4364 9 หลายเดือนก่อน +10

    Wanawake wengine kwa muonekano ni wazuri Kabla hajaongea, lakini akianza kuongea ndio unajua yaliyomo yako, Kuna mke au hakuna. Hizo ni hatua za mwanzo kabisa Kabla hamjaanza kuishi pamoja.

    • @ahz6907
      @ahz6907 5 หลายเดือนก่อน

      True

  • @didah4really93
    @didah4really93 9 หลายเดือนก่อน +9

    Johari ni jeuri sana na atachelew sana kupata mr right wake, mpuuzi huyu 😢ana attitudes sana Johari 😢

    • @azizaaziz9261
      @azizaaziz9261 8 หลายเดือนก่อน

      Ajui nin anataka jaman uyu dada

    • @nurukidakule9468
      @nurukidakule9468 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa, pia johari ana dharau sana

    • @FastpayMauzo
      @FastpayMauzo 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ajioe

  • @johnstoneimbukwa128
    @johnstoneimbukwa128 9 หลายเดือนก่อน +28

    Here in Kenya Mr Right show is pure comedy.. never serious

    • @AbuuuMwambus
      @AbuuuMwambus 9 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @AbuuuMwambus
      @AbuuuMwambus 9 หลายเดือนก่อน

      They joking all the time

    • @winniemwesh6778
      @winniemwesh6778 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @filbertnashon7160
      @filbertnashon7160 8 หลายเดือนก่อน

      Anawafokea sana😅mwambieni

    • @rosemarynjare3588
      @rosemarynjare3588 5 หลายเดือนก่อน

      Kenyans ladies are like prostitute wallah too bored

  • @theluos
    @theluos 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hello Mr Right ya Bongo is so boring..waschana wanakaa wako njaa kila mtu amechoka..amujachangamka..Host pekee ndio anaongea..mziki iko juu kuliko sauti..have you watch hello Mr Right ya Kenya ama other countries..kuna level of energy and drama.....

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 9 หลายเดือนก่อน

      Angalia ya kwenu ilochachamaa😅

  • @winfridaadam
    @winfridaadam 9 หลายเดือนก่อน +10

    wachaga oyee wachaga na biashara😊 atariii

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 10 หลายเดือนก่อน +17

    Huyo sijuhi Johari mshamba sanaa😏😏😏😏

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi yetu ni copy and paste kwa wengine, hii ni chow zawa Chinese... mambo haya si mila na tamaduni za ki-Africa... maana mwishoe watafikia kutengana awaja patikana kwenye tamaduni zetu, mvulana na msichana wanakitana kwenye njia ya ubishoooo siku hela imeisha ndoa kuisha....

  • @Nelly-s3h
    @Nelly-s3h 9 หลายเดือนก่อน +11

    Kilichobaki ni mrejesho sasa wa wanaochaguana baada ya kutoka hapo😊

  • @juma3473
    @juma3473 9 หลายเดือนก่อน +8

    Uyo mwanamke alongea mwanzo sauti yake inafaa kwenye kazi Kama uandishi wa habari

  • @samwelmzava1174
    @samwelmzava1174 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wadada wengi hapa washiriki ni wapumbavu Sana Wana matarajio ya ki lofa sijui wao Wana nn cha Zaid mfano mwingine anamkataa m2 kwasabab ya kabila wale... Kibooo

    • @zamzamyusuphukagemulo
      @zamzamyusuphukagemulo 4 หลายเดือนก่อน

      Mm atasikumoja siwezi kujileta na kujitangaza achanikae single

  • @sebomanyotakali761
    @sebomanyotakali761 9 หลายเดือนก่อน +10

    Show ni ya kibabe sanaaaaa yani iko Fire 🔥 sema mnge mute kidogo hiyo background tupate raha ya kuckia vizuri hizo maneno ###Mr right Tumetoboaaaa

  • @mlumez
    @mlumez 9 หลายเดือนก่อน +11

    Wadada wanataka unafuu wa maisha, kigezo kikubwa ni maokoto ndio maana wengine wanawasha taa baada ya kupata historia ya maokoto, hakuna mapenzi😂😂😂

    • @EdithaJoseph-zt2xu
      @EdithaJoseph-zt2xu 9 หลายเดือนก่อน +2

      Hakuna mapenzi hata kidogo wanataja kazi

    • @sarahrashidabdallah3109
      @sarahrashidabdallah3109 9 หลายเดือนก่อน +2

      😅😅😅🤳🤳Natafuta network pesa hajaingia 😅😅😅

    • @EdithaJoseph-zt2xu
      @EdithaJoseph-zt2xu 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@sarahrashidabdallah3109 🤣🤣

    • @CatherineKyalo-i4f
      @CatherineKyalo-i4f 9 หลายเดือนก่อน +2

      Very true alot of ladies are just after money which is wrong it's good to start with someone from scratch and lift each other

    • @EdithaJoseph-zt2xu
      @EdithaJoseph-zt2xu 9 หลายเดือนก่อน

      @@CatherineKyalo-i4f sure wanawake wengi ni machizi hata wakimpata aliye na pesa hawana uchungu nazo hawawezi kuendeleza Kwa sababu hawajui zilipatikana vipi wakiachiwa wanafilisi tu nakuacha

  • @faridalihondo3322
    @faridalihondo3322 10 หลายเดือนก่อน +10

    Jitu lenyewe jeusi et mavazi yake hayaendan na kaz yake ulitaka atembee uchi 😂utasugua gaga sana hapo

    • @pendomushi6351
      @pendomushi6351 10 หลายเดือนก่อน +1

      Umeonaee Wala haendani kuwa na huyo kaka 😂😂😂

    • @faridalihondo3322
      @faridalihondo3322 10 หลายเดือนก่อน +2

      @@pendomushi6351 Yan jaman hawa wadada wengine hapana kwakwel😂😹🙌

    • @QueenMishy
      @QueenMishy 10 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @faridalihondo3322
      @faridalihondo3322 10 หลายเดือนก่อน

      @@QueenMishy 😂😹😹😂

    • @SaoblackSaoblack
      @SaoblackSaoblack 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @SWEETGALKHAN_001
    @SWEETGALKHAN_001 หลายเดือนก่อน +1

    You people reduce your music volume when the show starts or one is talking ,,,and again no one speaks in English in the show 🤔eiyyyy my laaawwd

  • @vedastinamongogwela6338
    @vedastinamongogwela6338 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi napendekeza mtu akiwasha taa pale tu Mr right akingia kusiwepo na nafasi ya baada ya hapo nahisi anayependa at first site ndio wa kweli

  • @antonyezekiel9260
    @antonyezekiel9260 9 หลายเดือนก่อน +5

    Awe na utayari wa ndoa kweli si vinginevyo, moyo wake huenda umesukumwa na vitu vya nje, Aombe Mungu ampe msukumo wa ndani kumpenda mshkaji cos anaonekan Wajumbe wake ndani ya akili na moyo bado wapo ambao hawajaridhia, anatakiwa kupewa counceling sasa ya kuishi na mshkaji kama mke na kutambua changamoto za kimaisha,, kupata na kukosa.

  • @metrineomega1635
    @metrineomega1635 10 หลายเดือนก่อน +15

    Good job, sasa hapa ni kukaa Kwa kutulia kbsaa, watching from Kenya but currently in Saudi Arabia

    • @stacyauma6644
      @stacyauma6644 9 หลายเดือนก่อน

      Same here with you

  • @florencemkaighombo5608
    @florencemkaighombo5608 9 หลายเดือนก่อน +12

    Haki natamani kupata wangu tuanze maisha ,Mko Tanzania upande gani nije nipate wangu na Mimi haki

    • @dgochuibra588
      @dgochuibra588 9 หลายเดือนก่อน +1

      nipo mm

    • @rhodarichard4494
      @rhodarichard4494 9 หลายเดือนก่อน +1

      Njo nikupe kaka yangu

    • @florencemkaighombo5608
      @florencemkaighombo5608 9 หลายเดือนก่อน

      @@rhodarichard4494 Seriously 😂Kaka Yako atakubali kupewa bibi

  • @thandiweonkhwazi8164
    @thandiweonkhwazi8164 10 หลายเดือนก่อน +17

    Jamani back ground music ina sauti kubwa punguzeni sauti. Mngritoa ingekuwa nzuri zaidi

  • @anithamsaki2040
    @anithamsaki2040 10 หลายเดือนก่อน +74

    Now jamnii tunaenjoy mnaweka kipandee kina dakika full.. vibes

  • @sergigermain9507
    @sergigermain9507 9 หลายเดือนก่อน +1

    Some of this genz ladi3s are so delusional ukiskiza vitu wanaongea wenyewe wajielewi

  • @JasintaDaniel
    @JasintaDaniel 8 หลายเดือนก่อน +9

    Waoooh uyu mrembo nilimpemda Toka anatoa maoni yake ya hawali Toka mwanzo🥰🥰🥰

  • @salomevenance9555
    @salomevenance9555 5 หลายเดือนก่อน +5

    Namtakia huyu kaka kila la heri ni husband material kabisa yaani hapo huyo mwanamke ayabanange mwenyewe❤❤❤❤❤❤❤

  • @RachelMlunza
    @RachelMlunza 2 หลายเดือนก่อน +5

    Safi sana dada lulu diva kwa kumjibu huyu dada 😂😂

  • @mindhearts123
    @mindhearts123 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hii background music yenu ipo juu sana....nadhani pia sio kila sehemu iwekwe at least hata muweke some effect ambazo zitafanya kipindi kiwe more interesting than kuwa kama movie za bongo za zamani jmn....

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 10 หลายเดือนก่อน +16

    Johari is wife material .....nimempenda japo its my first time to watch this show

    • @pueblo148
      @pueblo148 9 หลายเดือนก่อน

      Haswaaaa

  • @EliaKayuni-o8r
    @EliaKayuni-o8r หลายเดือนก่อน +1

    Jamani jamani hivi mbona wanawake hamuna hela mnaitaji mwanaume mwenye hela Kwa hiyo nikiishiwa Hela hakuna ndoa tena embu tafuta mtu ataejali hisia zako basi jamani maisha mazuli mtatafuta wote pia kwenye mafanikio ya mwanaume lazma akili ya mwanamke imehusika tafteni hela wadad msitukomoe bana

  • @HappinessIdama
    @HappinessIdama 10 หลายเดือนก่อน +26

    namimi nilikuwa na mashaka nilipofuatwa na Mr right wangu ila tunamiaka kadhaa naenjoy,kazi nzuriii alyaa

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 10 หลายเดือนก่อน +94

    Sasa tuna enjoy jamani wapenzi wa hiki kipindi na hatupo tz tulikua tunaumia mnoo mbarikiwe star time‘s kwa kutujali fan’s wenu

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib 9 หลายเดือนก่อน +7

      Ndio ata Mimi nakipendaga

    • @EvelineWandera
      @EvelineWandera 9 หลายเดือนก่อน +3

      They match.mavazi pia imechangua 7shindi WA huyu msichana

    • @jacobmakono4399
      @jacobmakono4399 9 หลายเดือนก่อน

      .. mpuuzi Sana wewe,yaani unaumia kukosa mambo ya uchiuchi

    • @gracebila1719
      @gracebila1719 9 หลายเดือนก่อน

      Nakipenda sana hiki kipindi

    • @HekimaSaid
      @HekimaSaid 9 หลายเดือนก่อน

      @@gracebila1719 ..,..

  • @sweetyjanne255
    @sweetyjanne255 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani aliyesema uzuri wa mwanamke upo kwenye kinywa chake hakukoseaa wadada wengi hapo ni wazuri ila wakifungua kinywa unaona kabisa hamna kitu Wanawake wakikristo someni mithali 31 sana,na umuombe Mungu kuwa huyo mwanamke anayezungumziwa kwenye hicho kitabu wadada wazuri vinywa havina hekima jamani.

  • @asiliyetuonlinetv5063
    @asiliyetuonlinetv5063 9 หลายเดือนก่อน +8

    Hiki kipindi kumbe huwa kitamu hivi mpaka nimelia machozi ya furaha aisee. Mungu awabariki na mkaendane katika maisha yenu ya ndoa

    • @NuhuKigahe-fv9ng
      @NuhuKigahe-fv9ng 9 หลายเดือนก่อน +1

      Inapendeza sanaaa

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 9 หลายเดือนก่อน

      Kipindi cha wadangaji mtu anaejielwa hawezi tafta mwanamke au mwanaume wa maisha

    • @StellaAkiza
      @StellaAkiza 9 หลายเดือนก่อน

      Nimekupendea pia kinavutia sana❤❤❤

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@fatmafatu1128pole kila mtu nabaht yake mpk online unapat matajir na unaolew acha Zana potof maisha yamebadilik

  • @angelitapaulo
    @angelitapaulo 9 หลายเดือนก่อน +5

    Ndoa njema, mimi nahitaji mwanaume mwenye upendo tutakachojaliwa tutakula

    • @DennisAnthony-j5y
      @DennisAnthony-j5y 5 หลายเดือนก่อน

      Jamani mie nataka bi mdogo nipe namba

    • @angelitapaulo
      @angelitapaulo 5 หลายเดือนก่อน

      @@DennisAnthony-j5y me mkristo ndoa yetu ni mke moja

  • @SULTANSamir
    @SULTANSamir 9 หลายเดือนก่อน +2

    Guys the series of this iko powa ila hiyo background ya nyimbo iko juu sanaa jaribu mupunguze hiyo sound tupate skiya vizuri we can’t hear anything editor do your job well please.

  • @naligiatomaso5006
    @naligiatomaso5006 9 หลายเดือนก่อน +8

    Hakika hiki kipindi bwana huwa na enjoy Sana maana huwa nafurahisha ubongo

  • @motivationalit
    @motivationalit 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiangalia hii na uangalie ya Kenya, huku kuna ustaarabu mzuri. Maongezi mazuri matulivu so miondoko ilivyo kwa Mr. Right Kenya😂

  • @mariamumaliki6980
    @mariamumaliki6980 9 หลายเดือนก่อน +18

    Wanao olea miwemnatuletea maisha yao tuone 😊

    • @ahz6907
      @ahz6907 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli ingependeza tuone maisha baada ya hapa

    • @ChifuMaleta
      @ChifuMaleta 4 หลายเดือนก่อน

      Mi nimeoa apo kutoka Mr Light na nipo nae

    • @zabibumwalwisi3804
      @zabibumwalwisi3804 19 วันที่ผ่านมา

      Naomba muongozo plz​@@ChifuMaleta

  • @dkdeokiria8200
    @dkdeokiria8200 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huuu n udhalilishaj tuu na hao wanawake wanaenda kujidhalilisha hapo mbele

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 10 หลายเดือนก่อน +10

    Hao madada aisee wapuuzi Sana wanapenda matawi ya juu Yani huyo kaka aisee mm nisingeenda kujicholesha

  • @AdamNasrahk
    @AdamNasrahk 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani huyo johari si hajavutiwa nae sasa nani kampa mamlaka ya kum-judge😂😂johari tupishe bana

  • @MwanangeniAyubu-nn1hw
    @MwanangeniAyubu-nn1hw 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo miez 6 kaweza kuweka pesa sababu demu alikua mtumiaj wa pesa vby ss kawekeza kaweza kufanya mengine

  • @ruthongeri5115
    @ruthongeri5115 9 หลายเดือนก่อน +14

    Tanzanians are very calm ! Kuna wengine wangekua washarukaruka hadi wakambusu!!

    • @kalamukalomu1780
      @kalamukalomu1780 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani mpaka busu😂😂

    • @nellydesniper3611
      @nellydesniper3611 4 หลายเดือนก่อน

      Sema tu Kenya😂

    • @mbwayastatehouse695
      @mbwayastatehouse695 2 หลายเดือนก่อน

      Iyi ndo inabamba hii Iko serious sana wah

    • @ruthongeri5115
      @ruthongeri5115 2 หลายเดือนก่อน

      @@nellydesniper3611 😂😂😂

  • @CECILIAMAGANGA-sk8md
    @CECILIAMAGANGA-sk8md 10 หลายเดือนก่อน +24

    Mungu akutangulie kaka kwa kila jambo🙏 pia akupe mke mwema na awe mkweli

  • @juliusjacob2590
    @juliusjacob2590 9 หลายเดือนก่อน +11

    Ila hawatatoboa hiyo mindset na mentality yake ni kazi sana Kuendana na jamaa

  • @selinathindwa9754
    @selinathindwa9754 9 หลายเดือนก่อน +7

    Wanawake wengi wanapenda mtu mwenye hela badala ya upendo wakweli

  • @JULIETHAMERICA
    @JULIETHAMERICA 8 หลายเดือนก่อน +8

    Duuh Kumbe Wanaume ndo wanawindwa namna hiii😅😅😅 Ngoja nikaze Kumpigia Magoti Mr Right wangu uwiiii😂😂😂😂😂 Mungu nilindie Kipenzi changu asije naswa na Mademu wa Dar

    • @fredrickkaweu
      @fredrickkaweu 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa ulichokuwa nacho ss
      Uckizarau maana wengine
      Piya want hitahi chamsingu
      Ujifafamu kweke yeye ww
      Ninani na uhakikishe majukumu
      Yako huyasahau nakutakiya
      Mapenzi mazuri frnd

    • @mtumepaul
      @mtumepaul 12 วันที่ผ่านมา

      @@JULIETHAMERICA kwema

  • @shakiralasway8821
    @shakiralasway8821 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tutangulie ss wake wakizazi hichi,maana utu umepotea kauli kubwa kwakila mwanamke nihela namuonekano bila kujua hata mwenye hizo fedha kunamda anapitia magumu anahitaji mke atakae mpa faraja nakuwa muombaji mzuri mbele zamungu kwaajili yakutengeneza familiar nzuri,ss mkute mwanamke mwenyewe anayetaka mwanaume mwenye hela nyingi yeye nn anamiliki unakuta make up tu wala hana account acheni dharau za ovyo baadhi yawanawake😏

  • @LilianCornel-x6y
    @LilianCornel-x6y 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kiukweli tangu nimeangalia kipindi Cha Mr right hii couple wameendana sana Mungu awabariki mfike mbali

  • @glorysichone
    @glorysichone 9 หลายเดือนก่อน +5

    Jamni nmekipenda hiki kipend...tuwekeeni na kwenye Azamtv

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nina Toto15 ila bado mdogo ungeli mchua wabure from Sweden

  • @justinambrose3577
    @justinambrose3577 9 หลายเดือนก่อน +31

    Aaliya you are so cute and matured one. God bless you 🎉

    • @FatumaMohamedi-n2b
      @FatumaMohamedi-n2b 8 หลายเดือนก่อน +3

      huyu johari ni mwehu kwan mavazi yanategemea na kazi unayofanya,, ukimiliki pesa unavaaa chochote unachokiitaj siyo ety mpaka ifanye kazi bank

    • @Noren-q7z
      @Noren-q7z 7 หลายเดือนก่อน

      Naweza kupata namba ya mister right

    • @kateigamaleo968
      @kateigamaleo968 7 หลายเดือนก่อน

      Please, some English, we enjoy your content even when we have very little kiswahili. Could be putting some content in kingereza? Love from Uganda

    • @MariamMariam-f6s
      @MariamMariam-f6s 4 หลายเดือนก่อน

      40:09 40:09 ​@@Noren-q7z