RAYVANNY AMTOLEA MASHUKA LEONARD SUNDAY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ธ.ค. 2022
  • Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
    :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
    Bongo Star Search
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch
    TikTok: bongostarsearch
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 44

  • @lukoyamedia5765
    @lukoyamedia5765 23 วันที่ผ่านมา

    Incredible
    Simply incredible
    Its incredible
    I mean incredible

  • @alphadreammedia
    @alphadreammedia ปีที่แล้ว +9

    Ila vany anagawa sana pia anatia moyo sana kwa vijana au wadogo zake

    • @ventojose
      @ventojose ปีที่แล้ว +1

      Huyo kijana ana sauti, na hiyo ndio rayvanny anangalia

  • @eliasmshiu2600
    @eliasmshiu2600 ปีที่แล้ว

    Mungu bariki RayVanny.. anajua LIFE🕊🕊

  • @TonnyCaesar
    @TonnyCaesar ปีที่แล้ว +6

    Fid akiaminia ni inatia moyo sana

  • @salimabdallah3739
    @salimabdallah3739 ปีที่แล้ว +2

    Uyu jamaa n 🔥🔥🔥

  • @ifraimifraimuhusen282
    @ifraimifraimuhusen282 ปีที่แล้ว

    Babu nakuona ukiwa mshindi wa kwanza ww ni binge la staaaaaa

  • @sarifusteven4634
    @sarifusteven4634 ปีที่แล้ว

    Karibu kwaya church

  • @lizmondTz
    @lizmondTz ปีที่แล้ว

    U so good

  • @sikujuaopio5059
    @sikujuaopio5059 ปีที่แล้ว

    Kaka ww atali sanaaaaaaaa

  • @agnesfelex8292
    @agnesfelex8292 ปีที่แล้ว

    U killing

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 ปีที่แล้ว

    💞💞💞💞

  • @samwelipaul1462
    @samwelipaul1462 ปีที่แล้ว +3

    Beka Yuko vizuli mno acheni kulinganisha beka na huyo dogo

  • @moffimms8211
    @moffimms8211 ปีที่แล้ว

    Wa mjua beka ibraza vizuri

  • @sammymelkion
    @sammymelkion ปีที่แล้ว +1

    Beka Ibrozama!!? Mnamjua kwel huyo Beka!? Msimlinganishe na huyu leonard japo naye anajua

  • @maggiehazel2454
    @maggiehazel2454 ปีที่แล้ว +1

    Huyu bado yupo bado kwa haya mashindano kila time namwona

  • @modycombo7421
    @modycombo7421 ปีที่แล้ว

    Anasauti ya kumba jaman

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 ปีที่แล้ว

    Dogo unajuwa Sana kaza

  • @rajybrown4532
    @rajybrown4532 ปีที่แล้ว +1

    1st runners up unarudi tena bss kufanya Nini.,..pisha platform kwa watu wengine bwana

    • @Bensonfrank25
      @Bensonfrank25 ปีที่แล้ว

      Alikua wa pili sio mshindi

    • @rajybrown4532
      @rajybrown4532 ปีที่แล้ว

      Broo Kuna mshind alafu 1 2 3 runners up

  • @LifeOf-fi5hp
    @LifeOf-fi5hp ปีที่แล้ว +1

    Uyu jamaa mbona m namuonaga wa kawaida Sana au Mimi ndo cielewi muziki

  • @ALLINONE-wr5wk
    @ALLINONE-wr5wk ปีที่แล้ว

    fid q comment yake siielewi nikiangalia na response alioifanya kwa kutikisa kichwa kwa kukataa anachokifanya jamaa etu.. ma judge wanafki hawa basi tu angalia dakika ya 2:15 bonyeza hizo dakika nilizoweka hapo

    • @deboramhagama4577
      @deboramhagama4577 ปีที่แล้ว +1

      Me nimemuelewa fid q, kamkubali kijana na uimbaji wake angalia vizur huo mda anapotikisa kichwa na kijana alivyokua akiimba kwa mda huo, so fid q hajatikisa kichwa kumkataa hapana kamkubali tena sana, kila mtu ana response yake

    • @lareineminah1353
      @lareineminah1353 ปีที่แล้ว

      @@deboramhagama4577 naam

  • @qwirinishao1003
    @qwirinishao1003 ปีที่แล้ว +1

    Uyu afanane na beka kweli?

  • @gun60jgt40
    @gun60jgt40 ปีที่แล้ว +3

    Hivi beka ni wa kumfananisha na huyu dogo kweli?? Beka ni level nyingne kabisa hao wakasome,, hata Rayvany hamsogelei beka Ibronzama,, Beka ni balaa aisee acheni ujiiiiiii

    • @emanuelimassawe1034
      @emanuelimassawe1034 ปีที่แล้ว

      Soma ulichoandika

    • @jbrainyjoel2632
      @jbrainyjoel2632 ปีที่แล้ว +1

      Mm mwenyewe nashangaa ebu wamtake radhi ibrozama ni habar nyingine hapa bongo hamna ata uyo vanny boy hamuwez beka barnaba mwenyewe anatii kwa beka

    • @abdulzaidi6043
      @abdulzaidi6043 ปีที่แล้ว

      Hawamjui vzr beka au fid kaongea kufurahisha watu tu hapo,beka ni nuksi ktk hizi style

    • @gun60jgt40
      @gun60jgt40 ปีที่แล้ว

      Hao wanabebwa na connection tu japo sawa wanaimba ila syo kwa beka aisee,, m napenda sana music na nafatilia mno,, waache kufananisha watu kwa sifa waangalie uharisia na uwezo wa mtu binafs,, Beka hata akiimba live ni kama amerecord

  • @Bensonfrank25
    @Bensonfrank25 ปีที่แล้ว

    HUYU JAMAA ANAJUA MPKA ANAKERAA

  • @rgtv7754
    @rgtv7754 ปีที่แล้ว

    kusema et beka ibrozama asinge weza kurudia wanmjua au ndio sifa

    • @gracejosephy2242
      @gracejosephy2242 ปีที่แล้ว

      Beka ni habari nyingine bwana

    • @abdulzaidi6043
      @abdulzaidi6043 ปีที่แล้ว +1

      Hamjui beka huyu fid,beka ni konyo ni shida ktk hz style

  • @gichimujef8806
    @gichimujef8806 ปีที่แล้ว +1

    Ana sauti nzuri