Ni mshindi sawa .But siku ya fainali hakutakiwa kuimba wimbo wa majonzi majonzi.Ameshindwa kwasababu bwana yusuph alichagua nyimbo za kuwachezesha na kuwaimbisha watu.Inaitwa Technic knock out.
Huyu jamaa anajua Sana, Yani kwa kipaji huyu jamaa anacho, lakini aliye shinda Hana kipaji anapiga kelele kaimba nyimbo za makelele Ila tukisema mtu aimbe katulia, huyu jamaa anaomba ni hatarii sana, kwangu mm huyu ndo mshindi
Nilkubar hawa Majaji waliangalia mtu kanyoa vp, kavaa vp naso ujumbe waliokuwa wanautoa washriki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kosa la huyu jamaa hakugundua kuwa kat ya pepo na kiza n vtu vwl tofaut, yy kaimba Ujumbe wa Mungu yaan ipo sku et kaimba vbaya alieimba kiza yaan Gusanisha - na + kihun m2pu et kashinda dadeq sana nyie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daaaaaaaah kama unamkubalii uyuu jamaaaa like me
Anaemkubali Peter Kama Mimi agonge like
Daaah umetaka kunilizaaa mpendwaaa wangu Mungu akusimamie utafika2 mbaliiii unakipajiii unaimbaa kwa hisia snaa Mungu akusimamie mpendwaaa wng na azd kukuinua ufike mbal zaid
Petro unakipaj San na ninaomb mungu akuinue kutoka hpo ulipo uinuk uwe juu zaid
Kila mtu ana ladha yake aseee kunavionjo so kilamtu anaweza viiga be blessed aseee🔥🔥🔥
Barikiwa kaka unaimba vizuri mnooo
Oooooo yes this guy can sing ooh my goodness 🙌🏾🙌🏾🔥 his voice is out of this world 👏🏾👏🏾👏🏾
Yan Huyu ndo mshind kwangu.be blessed unafaa sana kuimba gospel
👏👏wewe ndio mshindi wangu wa BCC 11 hata kama ujashika nafasi 1
Mshindi wangu pia
Mi pia
Aisee wewe ni fundi! Utumishi upo ndani yako, nimebarikiwa na vocal lako petro
Kali bro respect one day yes hata usipo shinda wew ni star
Somo kila heri katika mafanikio unaimba vizur Mungu akakutumie zaidi
Hongera sana Petro...Mungu akuinue zaidi
I have to comment for this ❤️❤️😭😭😭😭
Your the best broo wewe ndo Mshindi kwangu kundan from CAPE TOWN SOUTH AFRICA ❤️❤️❤️❤️❤️
The guy is smart big up from🇩🇪
Napenda Nidhamu yako Mungu Akulinde Akupe haja ya Moyo Wako🙏
Wa Congo tunapenda Bss... watching from USA 🇺🇸
#randykinamber
USA ya buza
Amin ..mungu asimame nawe
Gifted & Talented Brother...
Sijawai comment Ila umenifirahisha xana MUNGU akutengenezee mafanikio makubwa cn Broo🙏🙏🙏
Hata kama hujashinda ila ww kaka ni star. Unajuwa sana 😢😢
Barikiwa unaenda mbali
Wonderful and powerful perfomance
Hongera sana mtumishi 👏👏👏
Be blessing broo u sing so nice
Dah majudge mmetisha sana mnajua kuvaa
Babu kama babu Masha Allah
Mungu aku bariki kaka una kipaji acha Mungu akupe nguvu yakumu tumikiya
Well done brother
Well done my br.... Never give up
Jamaa hatar sana kaka
Kaka Mungu azidi kukuinua
Ni mshindi sawa .But siku ya fainali hakutakiwa kuimba wimbo wa majonzi majonzi.Ameshindwa kwasababu bwana yusuph alichagua nyimbo za kuwachezesha na kuwaimbisha watu.Inaitwa Technic knock out.
Bro Mungu akupe neem zaidi wee ni bonge la star!
Umeimba vizur kaka hongera sana
Daaaaah anamzd hata mwenye wimbo👏👏👏
Kabisa Mungu akubarik
Uwe juu kwa jna la YESU ameni
waoooo nice bro🥰🥰🥰
Jamaa anajua sana mungu amsaidie
Mungu amusaidie but saut bdo sana
Unazijuwa sauti au umesema tuuuu
The best ever
Huyu jamaa analeta huruma sasa 🤣
Dah yan hatare badala mtu aenjoy mziki analia bs t
Sio huruma ndiyo uhalisia wa wimbo
Ipo siku🙏🙏🙏🙏
Adi nimesisimka Mungu akuinue bro
🔥🔥🔥🔥🔥😘😘 nice bro...
Huyu ndo alikuwa mshind bss
Ongera kwa mshindi
Wao good job
Huyu ndio mshindi wa bss bwana
Mwanang anajua sanaaaaaa
Huyu jamaa anajua Sana, Yani kwa kipaji huyu jamaa anacho, lakini aliye shinda Hana kipaji anapiga kelele kaimba nyimbo za makelele Ila tukisema mtu aimbe katulia, huyu jamaa anaomba ni hatarii sana, kwangu mm huyu ndo mshindi
Petro mshindi
Pamoja sana bro mungu akutangulie
respect he killed it
Wow wow 🔥🔥🔥🔥
Anajua sana sana sana
Duu mkali Sana mani one day it will be yes
Jamaa anajua sanaaa
Nice show
Bravo MTU wa dodoma mwenzetu
Ubarikiwe
Safi sana🙏🙏🙏🙏
Jamaa fundi sana
Hapana hii nomaa
Bro salutee
Umetisha
Nice nice 👍👍👍👍👍🎧🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰💞💞💞💞💞💞💞👍👍👍👍👍❤❤❤❤ iam speech less wallah anaimba jamani 🇱🇷
Nawapenda Sana Hawa watu natamani mwakani wawepo tena(majaji)
Amina
Respect kk
Good
Big talent unafaa
Master j as observer hahahaha
Madam Rita na mastaje ni wabinamu ila majaji hawa wana vituko sana
Wanafurahisha kwakweli
Wow nice
Abal
Kwangu mm binafsi huyu ndo mshindi wangu Ata kama wamechangua🔥🔥🔥 mungine✋✋
Sound was poor....
be blessed
Sasa kwann usiwe mshindi? Kwann wampe kenge mwingine?
Bongo anae jua kiguu chali ila wapka kelele ndyo wanabebwa
🔥🔥
Umeuwa kinyama ipo siku yangu tuu nitabarikiwa😭😭😭
No one lik God utafanikiw t
Safiiiiii
Amen
Huyu ndio mshindi ..mshindi anavunja magita
Dah!
Brooo nakukubal nipe sapot na mm niwe kam ww
Hata msipomshindisha jamaa aendelee ni Star wa nchi ulimwenguni hapa kwakweli
His good
Am have a crush on Christian Bella😚
Kaimba kwa hisia sana
Nilkubar hawa Majaji waliangalia mtu kanyoa vp, kavaa vp naso ujumbe waliokuwa wanautoa washriki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kosa la huyu jamaa hakugundua kuwa kat ya pepo na kiza n vtu vwl tofaut, yy kaimba Ujumbe wa Mungu yaan ipo sku et kaimba vbaya alieimba kiza yaan Gusanisha - na + kihun m2pu et kashinda dadeq sana nyie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Namkubali saana Ila atapita na atachukua ushindi mtoto wa mchungaji
Kbx upewe sifaa
Umetubadisha mood bana waah
Mshindi ni mmoja lkn wote wana jua sanaaaaa
❤❤❤
Nampenda elisha from my heart ila huyu jamaaa kaua
🙏🙏😭❤️❤️❤️❤️