PATRICK ALSINA ACHEZA SONDELA NA MADAM RITA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2024
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - บันเทิง
Favorite song kbsa nasubiri tu litoke nili download #Sondela🔥🔥
master j acha wivu isigeuke kuwa uchawi,toka kenya mi nasema hii ni hit noma sote kenya twasema sondelaaaaaaa
nyimbo Kali PRODUCER ... KATISHAA MNOOO
Hili nibonge la song tuwekeni fasta tulipakuweeeeeee najikuta nachezaaaaaaaaa Nampa aslimia zoteeeeee unawezaaaaa na saut unayoooo❤️🥲 sondelaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
The best performance of the night huyu tgun wameweza sana
Sondela♥️🔥🔥🔥From 🇰🇪
For the first time nime🙌🏿 kwa Alsina coz ameimba design ya ngoma nazihusudu
Amegusa moyo wako hahahaha
My friend your r talented aki acha master ni vile anataka uwe star zaidi
Achana na Ndotoni #Sondela ndo yenyewe 💞
hii nyimbo imeniliza it's ☀️☀️☀️☀️
Big up saaaaana🙌🙌🙌 kazi nzuri sana bong all star
Jux in the House 👏👏 keep it up ndugu
Ili goma likitoka lisipo upiga mwingi mniite mbwa nimekaa pale😆😆🙌🙌🔥🔥🔥
Wapi????
master j, hana tena sikio la mziki wa mda huu, hii yimbo ikipata airtime utakuwa bali, yimbo ine zimekuwa hit
huyu ndio mshidi mwetu,
Ameumia roho mwamba aliyocheza na Madam Ritha ndo akashindwa kuzizuia hisia za mihemko yake ya ovyo daadeq zake
Kama ingekua fainali aisee 🙌🏿
Beat Kali sanaaaaaa ila maneno machache Sana kuujaji uwezo wake inakuwa sio rahisi kuujua
Congratulations 🎊 Mungu Ataku saidiya Utafika mbali
Master J ck hz kazidi roho mbaya yaan anaenda kmzidi salama jabir😭😭😶😶
Kuwa judge kazi 😂😂
M namuelewa master j anachofanya ukikaa vzuri utamuelewa jamaa
master hakosei
Master anatumika facts sio hisia
jux ur the winner bhana🥰🥰🥰🙌🙌
Wow like wow wow me nashindwa nichague nani dah dah
Nyimbo quali namuona Mboso kwa karibuu saana please support him
New banger in town 🔥🔥🔥
Wooooôw NC songo bro unajuwa sannnn
Mziki mzur saaaana
keep it up broo👊
nmeskiliza sana hii ngoma, nataman nipate audio yake niidownload
Master j ananiboo wew unatakanga kukatisha ndoto za watu ulikataa harmonize Sahi ako wapi master j mbuzi sana
Uuuuu kauwaaa woyooooop❤️❤️❤️❤️😘❤️❤️
Umeweza
Tunaomba Audio ya hii nyimbo
Bonge moja la ngoma aiseeee
Ngoma Kali ...ni hit ..umeenda na wakati
🔥🔥🔥🔥❤️Beautiful song
Beautiful song
Hit🔥🔥
Keep It Up Man....
Nyimbo tamu sana🔥
oya nyimbo kali kweli nc
Noma na nusu mzeee Patrick.......
Hongera sana
Ni sogea love from south 🇿🇦
its a JAAAM 💥💥💥💥
You are full package. You have what it takes
Master j ni msenge anazinguaaa kinoma hatakam kaanza mziki kitambo lkn anafeli fara huyu
Ha master j uwe na akili siku ingine adi aibu jmn 😟😟😟unakera sana
Huyu ndo mshindi wangu Mimi💯💯
umetisha sana
Umetishaaa🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦
Oyaaah big up kaka
Sondela new vibe in town
Daah komesha yao ni Mr lg bs
Jamaa anajua kinoma
Pini kali sanaa jo
Ndotoni na Sondela
Master Jay atokeeeeeeee hatumtakiiiiiiiiiiiiii anakorogana kbsaaaaaa atokeeeeeee jamani anatuchanganya bhana kiufupi anakeraa
Mh masta hajapata dem mda ndo maana ana hasira niko hapa mniite mbwaaa
Dah bonge la ngoma
A girl in red had the best night of her life😃
Producer ni nomaaaaaaaa
Emotionl sasaa 🤜🏾🤛🏽 🔥
Ngoma Kali
Jamaa mkali sana
Jamani iyi new generation ni fire aponasema MBosso na hormoniz wakae hangeee naivi vipaji
🔥🔥🔥
Nc snggggggg❤️✌️
Hii hapa top 🔝🔥🎉
So premier
Kali Sana kaka
Sondela kali sana🙌🏿
Kali sana
Bss nice
Twazidownload wapi hizi ngoma za hawa vijana
Your star
Nicomment tuu jaman anajuaaa
We ninomaa saaaaan
kijana ya smartjunior wonder
🔥🔥🔥🔥🔥❤💋💋💋💋
Wakenya tunaomba audio ya hii nyimbo tutaipata vipi?
Lit
U killed it#sondela🔥 Big up Alsina
Kings Music inamfaaa sanaaaa
Huyu kama jux..💕💕
Ushasema ...anamuonekano kama wa jux
Huyu ndyo mshindi wangu Kwa season hii 🙌🙌🙌🙌🙌
Ngoma kaliii
🔥🔥🔥🔥
🙌🙌🙌🙌
Mr LG 🏌♂️ itoshe kusema waliopita mikono yako wameua 😁
Unajua bro
Master J acha makasiriko Patric kafanya kitu kizr
anamkaza kijana azidiii kupamban
Sauti safiiiiiii
Tunaomba Audio ya hii nyimbo plz
Unajuwa unajuwa tena nakubali sa mushikaji🤗🤗🤗 ata mondi hakufikiyi mwanangu
❤
Uyu ndio mshindi
Niliikpenda hta kabla hajaperform
Tunaomba Audio ya hii nyimbo tutaipata vipi
Sina budi ku comment mmetisha Bss
Tunaomba Audio
Tunaomba Audio yake
Tunaomba audio ya hii nyimbo tutaipata vipi?
🥰🥰🥰
Alafu Mungu hayupo upande wa mj kila anayemdiss anatoboa