PETRO JAILOS NA LEONARD SUNDAY WAPIGA MASHUP YA GOSPEL HATARI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2023
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - บันเทิง
Kwakulitaja hili jinaaa Vijana Mungu hatowapungukia hata Kama msipo kua washindiiiii be blessed @kadushi pk from Mwanza
Talanta kubwa naomba ata likes 10tu
Huyu PETRO NI GOSPEL SINGER KBS KBS MAISHA YAKE YOTE🙌🏽
Hawa majamaa wameuwa sana si kwa sababu wameimba kuusu Mungu bali wamejipanga na wameendana kwel kwel
Huyu Petro Mungu kampa sauti Jamani kha!
Petro petro petro Mungu Ana haja wewe kwenye industry ya kusifu
Itakuwa poa Sana Kama Solomon Mkubwa ataangalia hii performance, vile amekua inspiration kwa vijana wengi.
PETRO MTU WANGU ❤❤❤
Wewe Petro, fanya huduma brother na njia itanyooka
Petro hiyo kuvuta ni bonge la silaha kwako aisee🙌🏿
Woow..... nimeipenda hii sana
Petro the best.mungu akawabariki
Amen mbarikiwe mungu awape haja ya mioyo yenu
Safi Sana wote wawili du mnaweza sanaaaaaaa🙏🙏
Mpokee kile mnataka Kwa jina la yesu
Duet ya heshima hii congrats brothers
Be blessed guys very stong spiritual song.
Petro petro Kaka MUNGU akupe kuwa mshindi wa bas 13
Kila lakheri Petro unasauti nzuliii Sana yenye mamlaka zaidi ya kigospel kaziahapohapo baba👏👏
My man Petro since kitambo
Nyie petro 😂😂❤❤ I like that
Jairos ni noma vocally, anabadilisha wimbo kuwa wake
What a collaboration, Huyo Petro Mungu amtunze Kwa sauti aliyonayo
Kazi safi, huyu Leonard anaezakuwa worship leader noma sana
Petro Mungu azidi kukupaka mafuta
Petroooooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Top 3 performing together.
Si Ajabu mshindi akatoka hapa
Mungu awatie nguvu zaid na zaid kaz nzur sana inavutia mpk bc
Wooooow this performance 🎉🎉🎉
Petro sauti aiseee🔥🔥🔥🔥
Hawa wanajua saaaana from congo 🇨🇩
I'm blessed with this performance
Petro Mashaallah kampoteza kabisa Leonard
I feel blessed 🙏
God Chosen you all the best 🙏😊
Nice one
Mshindi ni mmoja tu than toz
Good show
Hongeren
Wow
Wanaweza kbx
Petroo
Petro hatari👌👌👌
😭😭😭😭 mmeniliza
Back vocal wanazingu alooo
they deserve ✅
Fonabo yupo wap jamani?
sio vibe za Leonard
Mungu mbele 🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hawa wanajua mpaka wanaharibu
Asa uho wimbo ni wafuraha ama wa majonzi sihelewi
🔞💥
Hii daudi alikuwa kijana sasa ni mzee nani kaimba?
Solomon Mukubwa
Wow
Hii daudi alikuwa kijana sasa ni mzee nani kaimba?
Solomon mkubwa
Solomoni mkubwa wa kenya
Solomon mkubwa